#HABARI: Aliyewahi Mbunge wa Jimbo la Kiteto na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, katika Serikali ya Awamu ya Nne, Mh. Benedict Ngalama Ole Nangoro, amefariki dunia alfajiri ya leo katika Hospital ya Rufaa ya Mount Meru, jijini Arusha, alipokuwa akipatiwa matibabu ya figo na moyo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania