#HABARI: Mamlaka ya Mapato Tanzania Nchini (TRA), imejenga na kukabidhi kituo cha biashara kwa wanawake wajasiriamali wa eneo la Namanga, hatua iliyotajwa kuwa ukombozi mkubwa kwa wafanyabiashara hao.

Akikabidhi kituo hicho, kilichojengwa katika eneo la Forodha Namanga Mkuu wa Wilaya ya Longido, Mhe. Salum Abdallah Kalili, ameipongeza TRA kwa kuendelea kutekeleza mpango wa kuwawezesha wafanyabiashara wadogo, akisisitiza kuwa uwepo wa kituo hicho utaboresha mazingira ya kazi na kuongeza tija kwa wanawake wajasiriamali.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *