🔴KUMEKUCHA KISHINDO: FIKRA ZA UANDISHI WA VITABU |NOVEMBA 14, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: FIKRA ZA UANDISHI WA VITABU |NOVEMBA 14, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: FIKRA ZA UANDISHI WA VITABU |NOVEMBA 14, 2025
RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kumuapisha Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk…
WAZIRI Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba anatajwa kuwa ni mtu mwenye maono ya kujua taifa linataka kwenda wapi. Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema hayo…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 14, 2025
#LIVE: KUMEKUCHA MICHEZO: MJADALA MZITO KOCHA GAMONDI KUAMINIWA TIMU YA TAIFA, NOVEMBA 14
WABUNGE wa vyama vya upinzani wameeleza matarajio yao kwa Waziri Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba ukiwemo usimamizi wa rasilimali za taifa ili ziwaletee wananchi maendeleo The post Upinzani wapongeza uteuzi…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 14, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: .....NOVEMBA 14, 2025
🔴#MAGAZETI: MIAKA 32 MLALAHOI HADI WAZIRI MKUU / CAMARA AWAGOMEA MABOSI...
#KIPIMAJOTO: Ahadi za Waziri Mkuu Mteule bungeni. Je, zinajibu changamoto za Watanzania wakati huu?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 14, 2025
KATIKA kutatua migororo ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Chamwino mkoani hapa Halmashauri ya Wilala ya Chamwino imepima zaidi ya ekari 6,600 kwa ajili ya matumizi bora ya ardhi…
UTEUZI wa Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania ameandika ukurasa mpya katika historia ya nchi, akiwa ni wa 12 tangu uhuru. The post Tunamtakia…
WAZAZI inawapasa wajitahidi kuwapatia watoto makundi ya vyakula, angalau yanayopatikana kwa urahisi kwenye maeneo yao ili kuweza kuwaepusha na utapiamlo. Pia, mzazi anapokuwa anauguza mtoto mwenye utapiamlo, hulazimika kukaa hospitalini…
BUNGE la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limempitisha kwa asilimia 100 Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo awe Naibu Spika. Sillo alikuwa ni mgombea pekee wa nafasi hiyo…
WAZIRI Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba ameonya watumishi wa umma wavivu, wazembe na wala rushwa. Dk Mwigulu ameagiza waache mara moja kwa sababu anakuja na fyekeo na rato kusafisha uovu…
BUNGE limethibitisha Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba awe Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. The post Bunge lamthibitisha Mwigulu first appeared on HabariLeo.
RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kumuapisha Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. The post Kuapishwa Leo Ikulu Chamwino first…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 13 NOVEMBA 2025
"Hili sasa limekuwa somo kwamba kumbe kwa mwanadamu lolote linaweza kutokea hivyo ni vizuri sana kwa wakati tuliokuwa nao, viongozi wetu, Serikali, Taasisi zisizo za kiserikali na wananchi kwa ujumla…
#HABARI: Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, kumteua Mbunge wa Iramba Magharibi na Waziri wa zamani wa Fedha, Mhe. Dk. Mwigulu Nchemba,…
🔴NINI KIFANYIKE MATUKIO YA OKTOBA 29 YASIRUDIE KATIKA ARHI YA TANZANIA?, NOVEMBA 13, 2025
Wakazi wawili wa Kata ya Msongozi, mkoani Morogoro wamefariki dunia na wengine wanne wameugua baada ya kula viazi pori. Theresia Mwanga anasimulia tukio hilo. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imeanza ukarabati wa madarasa mawili, stoo na ofisi katika shule ya msingi Kagongo yaliyobomolewa na mvua iliyoambatana na upepo hivi karibuni, hali iliyosababisha wanafunzi 150…
Namna ufugaji wa mbuzi wa maziwa ulivyowakomboa kiuchumi wakazi wa wilaya za Chamwino na Bahi - Dodoma. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 13, 2025 -MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU WA TANZANIA
Fahanu zaidi hapa
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi ya kwanza ya makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Petro Atletico ya Angola, lakini kuna taarifa moja inayoshtua baada…
#MALUMBANOYAHOJA....NOVEMBA 13, 2025 #MADA:NINI KIFANYIKE MATUKIO YA OKTOBA 29 YASIRUDIE KATIKA ARHI YA TANZANIA? KARIBU KWA #MAONI HAPA
#HABARI: Siku chache baada ya kuanza msimu wa mwaka 2025 wa upatikaji wa senene, katika maeneo ya Mkoa wa Kagera, baadhi ya wafanyabiashara wanaojihusisha na shughuli ya kuwatega na kuwauza,…
#HABARI: Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametoa maoni yanayounga mkono uteuzi wa Dkt. Lameck Nchemba kuwa ni kiongozi aliyeteuliwa kwa wakati sahihi kwa kuwa anazijua shida…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MBEYA.. 13 NOVEMBA, 2025
KIKOSI cha Singida Black Stars kimeingia kambini jana kujiandaa na maandalizi ya mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CR Belouizdad, itakayopigwa kwenye…
MABOSI wa TRA United zamani Tabora United, wapo hatua za mwisho za kumtangaza kocha mkuu Etienne Ndayiragije, raia wa Burundi ili kukiongoza kikosi hicho msimu huu, huku akiachiwa msala wa…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umemshusha rasmi nchini aliyekuwa Kocha wa Pamba Jiji, Coastal Union na TRA United zamani Tabora United, Mkenya Yusuf Chippo ili kukiongoza kikosi hicho msimu wa 2025-2026,…
Tazama jinsi Waziri Mkuu mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba alivyopokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu alipowasili katika makazi ya waziri mkuu yaliyopo Mlimwa jijini Dodoma. Dkt. Nchemba ameteuliwa na…
BAADA ya takribani miezi mitano kupita hatimaye pazia la Ligi ya Wanawake linafunguliwa rasmi leo zikipigwa mechi nne kwenye viwanja tofauti.
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesisitiza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vingine vya Usalama na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuwabaini na kuwachukulia hatua za kisheria wote wanaojihusisha…
SINGIDA Black Stars inajiandaa kusafiri kwenda Algeria kwa ajili ya pambano la kwanza la makundi la Kundi C la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CR Belouizdad na habari nzuri…
NAHODHA wa Tanzania Prisons, Salum Kimenya amesema Ligi Kuu Bara msimu huu ni ngumu, hata hivyo wanajipanga kwa mechi ijayo dhidi ya Tabora United itakayopigwa Novemba 22 kwani, wamejiandaa vizuri…
BAADA ya kucheza dakika 270 bila ushindi, kocha mkuu wa Stand United, Idd Nassor ‘Cheche’ amesema tatizo lililowatesa amepata mwarobaini wake sasa kazi inaanza rasmi akiivimbia Kagera Sugar.
BAADA ya Ali Bakar Mngazija kutambulishwa kuwa kocha mkuu wa JKU, ameahidi kuipa hadhi timu hiyo kwa kufanyakazi kwa ushirikiano ili kuiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi Kuu…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri lenye sura ya mabadiliko na uwiano wa kisiasa, huku akiongeza wizara kutoka…
#HABARI: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefafanua vigezo alivyovitumia katika kupanga Baraza jipya la Mawaziri, hatua inayolenga kuimarisha utendaji wa Serikali…
Dk Mwigulu apokelewa Ofisi ya Waziri Mkuu – HabariLeo Waziri Mkuu Mteule Dk Mwigulu Nchemba akipokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini…
🔴MEZA HURU: MASHINDANO YA CAF, VILABU VYETU VINA NAFASI GANI? NINI KIFANYIKE ? NOVEMBA 13, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 13, 2025
RAIS Samia Suluhu Hassan atamuapisha Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba 14. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka imesema hafla…
#HABARI: Jeshi la Polisi la Tanzania, limetangaza kumkamata Ambrose Leonce Dede kwa kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha uhalifu kupitia grupu la WhatsApp. Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la…