🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 13, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 13, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 13, 2025
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo amechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupata kura zote 371 zilizopigwa. ✍Juliana James…
Waziri Mkuu Mteule wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba ameahidi kuhakikisha Watanzania wanasikilizwa kwa nidhamu katika ofisi za umma sambamba na kuwaonya watendaji wazembe kwenye ofisi hizi kuchukuliwa hatua kali za…
#HABARI: Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Daniel Baran Sillo amekula kiapo baada ya kuwa mshindi kwa kura 371 za wabunge waliomchagua bungeni. Tukio hilo limefanyika leo Novemba 13, 2025 Bungeni…
“…lazima chombo kifike salama na watu wake wakiwa salama, kwa watumishi wa Umma wavivu, wazembe wala rushwa na wenye lugha mbaya kwa Watanzania, tuwe tayari. Wavivu wote, wazembe wote ndani…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 13, 2025
#MEZAHURU: Kipi unashauri vilabu vyetu zilivyofanikiwa kushiriki mashindano ya CAF ili tubebe ushindi wa CAF safari hii..?
#HABARI: Mara baada ya kuthibitishwa kuwa Waziri Mkuu mteule leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchema amepewa nafasi ya kuzungumza bungeni kwa mara ya kwanza ambapo pamoja na mambo mengine,…
"...mimi umaskini wa Watanzania sijausoma kwenye vitabu nimeuishi, Mhe. Spika katika maisha yangu haya katika umri wangu huu miaka takribani 32 nimeishi katika maisha hayo ya umaskini.....nayatambua matatizo ya ajira…
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemthibitisha Waziri Mkuu Mteule, Mwigulu Nchemba kwa kura 369 kati ya kura 371 zilizopigwa na Wabunge kwa lengo hilo. Baada ya uthibitisho huo,…
#HABARI: Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamemthibitisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kura 369 za ndiyo. Wabunge wamepiga kura hizo jijini Dodoma…
#HABARI: Baada ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kumpendekeza Dkt. Mwigulu Nchemba, Mbunge wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amemnadi Dkt. Mwigulu kwa kumpa sifa zake na kumpongeza…
#HABARI: Baada ya jina la Waziri Mkuu mteule Dkt.Mwigulu Nchemba kupelekwa bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Johari Hamza, amebainisha majukumu ya Waziri Mkuu miongoni mwa hayo ni kuwa na madaraka…
DK. MWIGULU Lameck Nchemba ni miongoni mwa viongozi wa kisasa wa Tanzania wanaotambulika kwa umahiri katika taaluma ya uchumi na uongozi wa umma. Alizaliwa Januari 7, 1975 katika kijiji cha…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameyaweka wazi majukumu makubwa ya Waziri Mkuu wa Tanzania kama yanavyoelezwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majukumu hayo na mengine ndiyo…
Serikali imesisitiza udhibiti wa matumizi sahihi ya fedha katika utekelezaji wa mradi wa afua za UKIMWI na Kifua Kikuu ngazi ya jamii baada ya mafanikio kuonekana katika awamu zilizopita. Takwimu…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Uteuzi wa Rais unasubiri uthibitisho wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaofanyika kupitia kura za…
BREAKING NEWS | Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa waziri mkuu wa tanzania. Jina la Mwigulu ambaye ni Mbunge wa Iramba Magharibi limewasilishwa bungeni leo Novemba 13,…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 13, 2025
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: STARS NA MIPANGO MIPYA CHINI YA KOCHA GAMONDI NOV. 15| NOVEMBA 13, 2025
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 13,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
🔴KUMEKUCHA: ...NOVEMBA 13, 2025
🔴#MAGAZETI: LISSU AIBUKA NA HOJA 6 AKIMKATAA SHAHIDI WA SIRI - 13 NOVEMBA 2025
Ongezeko la wanaougua magonjwa yasiyoambukiza pasipo wao kujua. je, jamii inaelimishwa kuhusu dalili na umuhimu wa kupima afya mara kwa mara
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 13, 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 12 NOVEMBA 2025
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) imetangaza Operesheni Maalum ya kuwaondoa wasafirishaji na watoa huduma wote, katika mfumo pamoja na kuwatoza faini iwapo watabainika kutoa huduma kinyume…
#HABARI: Wakati Timu ya Taifa ya Soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ikiondoka leo kuelekea nchini Misri, imani imekuwa kubwa kwa wadau wa soka kuwa Benchi jipya la ufundi…
#HABARI: Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Kuzuia Magonjwa Yasioambukiza Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, imesema magonjwa hayo yameongezeka ambapo kwa mwezi inaona wagonjwa wa Kisukari watu wazima 800 hadi…
JKT Queens imeambulia sare ya 1-1 dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory Coast kwenye mechi ya pili ya kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika Kwa wanawake.
Takribani wanafunzi 150 wa shule ya msingi Kagongo, Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, wanalazimika kusomea kwenye jengo lililo wazi kwa majuma matatu baada ya mvua iliyoambatana na upepo kuharibu paa…
Eneo la Posta - Iringa limetengwa mahsusi kwa ajili ya wafanyabiashara wenye ulemavu wa aina mbalimbali, ikiwemo viziwi. Hata hivyo, nyuma ya pilika pilika za watu na magari katika eneo…
Wafugaji katika kijiji cha Katuka, wilayani Kalambo, wameiomba serikali kufanya utafiti juu ya ugonjwa wa kwato na kutoa chanjo, kwani ugonjwa huu unashambulia ng’ombe zao na kuzuia kufanikisha malengo yao…
Mbunge wa Viti Maalum kwa Kundi la Watu wenye Ulemavu, Nassirya Nassir Alli, ameliomba Bunge kurekebisha kanuni ili apate msaidizi wa kutafsiri lugha ya alama ndani ya Bunge, jambo litakalomsaidia…
#HABARI: Jeshi la Uhamiaji Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, limewataka wakulima wote wa zao la Tumbaku wilayani hapo ambao wanahusika kuwavusha kinyemela vijana kutoka mataifa ya jirani kwa nia ya…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kutangaza Baraza jipya la Mawaziri kesho, Novemba 13, 2025, katika hafla fupi itakayofanyika Ikulu Zanzibar. The…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 12, 2025 -LISSU AWEKA MAPINGAMIZI SITA KWA SHAIDI WA TATU
BODI ya Korosho Tanzania (CBT) kwa kushirikiana na Kampuni ya Rhino Sports Talents Promotion imezindua vifaa vya mbio za Korosho Marathon msimu wa nne, huku mwaka huu zikitarajiwa kuwahusisha pia…
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Safia Jongo, ametoa wito kwa wazazi na walezi nchini kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao ipasavyo katika malezi ya watoto…
KIKONGWE mwenye umri wa miaka 93, Eliashisauwa Isay, mjane wa kijiji cha Ngira, kata ya Masama Mashariki wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro, amemuomba serikali kuingilia kati mgogoro unaomhusisha na mkwewe anayedai…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA ARUSHA: 12 NOVEMBA, 2025
DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Yannick Ndoinyo ameahidi kutekeleza ahadi zote alizoahidi kwa wananchi wa jimbo hilo. Akizungumza leo nje ya ukumbi wa bunge mara baada ya…
KUTOKA CS SFaxien ya Tunisia, kisha Al-Waab SC ya Qatar, Naby Camara raia wa Guinea, uwezo wake kwa sasa unaonekana ndani ya kikosi cha Simba alichojiunga nacho kipindi cha usajili…
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linaendelea kukuza uchumi wa kidijitali kwa kuhakikisha inatoa huduma bora kwa gharama nafuu. Agenda hiyo ambayo pia inaungwa mkono na serikali inakuja…
KINACHOFANYWA na madaktari wa Azam hivi sasa ni kumpambania kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum 'Fei Toto' awepo kwenye mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Maniema.
MENEJA wa Msanii wa Bongo Fleva, Grady Godlove 'Pipi Jojo', maarufu kama Chief Godlove, amefunguka kuhusu uhusiano wake na msanii huyo, akisisitiza kuwa hana mkataba rasmi naye bali anamsaidia kwa…
KUNA pande tatu zimetoa kauli mbili tofauti zilizoibua utata wa madai ya fedha za usajili yanayomuhusu kiungo wa Yanga, Aziz Andabwile dhidi ya klabu hiyo ambapo kesi hiyo imefikishwa kwenye…
BAADA ya kuambulia pointi moja katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam, winga wa Namungo FC, Helbert Lukindo amesema bado wana kazi ngumu kusaka matokeo mazuri kutokana na…
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ametangaza kuwa kesho, Novemba 13, 2025, Bunge litakuwa na kikao maalum cha kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu wa…
KOCHA Msaidizi wa Malindi, Mohamed Salah ‘Richkard’ amesema mabadiliko iliyofanya timu hiyo msimu wa 2025-2026 yanalenga mambo makuu mawili ambayo ni kuuza wachezaji kimataifa na kuweka rekodi ya kuchukua ubingwa…