Samatta dakika 519 bado mambo magumu Ufaransa
NYOTA wa kimataifa na nahodha wa timu ya taifa, Mbwana Samatta jana Jumapili alitimiza jumla ya dakika 519 kupitia mechi nane za Ligi Kuu ya Ufaransa bila ya kufunga bao.
NYOTA wa kimataifa na nahodha wa timu ya taifa, Mbwana Samatta jana Jumapili alitimiza jumla ya dakika 519 kupitia mechi nane za Ligi Kuu ya Ufaransa bila ya kufunga bao.
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: OKTOBA 27, 2025
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 27,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
🔴#MAGAZETI: POLISI - USALAMA WENU TUACHIENI / SIMBA YATINGA MAKUNDI CAFCL...OKTOBA 27, 2025
#KIPIMAJOTO: Mafunzo wanayopewa Makarani watakaosimamia zoezi la upigaji Kura katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29. Je, wayatumie vyema kufanikisha Uchaguzi?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 27, 2025
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha NRA, Almas Hassan Kisabya ameahidi kuweka mfumo imara wa ukusanyaji maduhuli ya serikali akiahidi uthabiti katika mapato, ili mfumo huo usaidie katika maendeleo…
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kupitia mgombea wake wa urais Salum Mwalim ameendelea kusisitiza azma yake ya kupunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi, endapo watamchagua katika uchaguzi…
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othmamn amesema iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa rais, atahakikisha Zanzibar inapata stahiki zote za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.…
Wakati hekaheka za wagombea wa urais wa Tanzania zikiendelea, mgombea urais kwa tiketi ya chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo akiwa mkoani Tanga amesema endapo watanzania watampa ridhaa ya kuwaongoza…
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kupitia mgombea wake wa urais Salum Mwalim ameendelea kusisitiza azma yake ya kupunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi, endapo watamchagua katika uchaguzi…
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, ameahidi kuleta mabadiliko chanya na kutatua changamoto zinazowakabili wakazi wa jimbo hilo endapo atapewa ridhaa…
Mgombea urais kupitia chama cha United Democratic Party (UDP), Saum Hussein Rashid amesema iwapo wananchi watamchagua kuwa rais atahakikisha anawafukuza kazi watumishi wowote wa umma, ambao watatuhumiwa kujihusisha na vitendo…
Akihitimisha kampeni zake leo, Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema endapo akipata ridhaa ya wananchi katika awamu ijayo ataendelea kujenga nyumba…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, ameahidi kuwafuta wananchi machungu waliyoyapata wakati wa uongozi uliopita chini ya aliyekuwa Mbunge wa…
Naibu Katibu Mkuu Huduma za Hazina Wizara ya Fedha, Jenifa Omolo amewataka wahitimu wa mitihani ya kitaaluma ya ununuzi na PSPTB kuhakikisha wanafanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya…
Jumuiya ya Afya ya nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA-HC) na Jukwaa la Wabunge wa Nchi Wanachama wa Mkutano wa Kimataifa wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP-ICGLR) wamesaini…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 26, 2025 - WAGOMBEA WATATU ZANZIBAR WAFUNGA KAMPENI ZAO (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Dkt. Aboud Jumbe amepongeza waandaaji wa Mdahalo wa Hatua 5 za Dkt. Mwinyi, ulioandaliwa na Waandishi wa Habari kutoka…
#HABARI: Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma mkoani Mara, Michael Msoganzila amewaomba waumini wa kanisa hilo kuombea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025 ili uwe wa haki…
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jacobs Mwambegele amewataka wasimamizi wakuu na wasaidizi, kutenda haki kwenye vituo vya kupigia kura kwa vyama vyote vya siasa, ambavyo vimesimamisha wagombea kwenye…
#HABARI: Rais wa Tanzania Dkt @samia_suluhu_hassan ameandika historia mpya kabisa, baada ya kufanikisha timu nne za mpira wa miguu Tanzania kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Afrika. Timu hizo…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewasihi watu wenye ulemavu kuendelea kuliombea taifa huku wakifanya shughuli za uzalishaji mali na kujipanga kupokea mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kwenye kila…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Profesa Adolf Mkenda amewahimiza wananchi wa Vijiji vya Wilaya ya Rombo kujitokeza kwa wingi Oktoba…
#HABARI: Baadhi ya Wakulima wa zao la Mbaazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wameiomba Serikali kuwekeza zaidi na kuwatafutia mbegu bora za zao hilo, ili waweze kuongeza…
SIMBA imeweka rekodi mpya baada ya kufuzu hatua ya makundi kwa mara ya saba katika miaka minane, lakini kama taifa kukiwa na rekodi nyingine kali ya kufanikiwa kuingiza timu nne…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA: OKTOBA 26, 2025 -
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo, Oktoba 26, 2025, amewasili nchini Seychelles kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla ya uapisho wa Rais mteule wa sita wa nchi hiyo, Dkt. Patrick…
#HABARI: Msimamizi wa uchaguzi Jiji la Mbeya Annamary Malima amewataka wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupiga kura kutochanganya nyaraka zinazoweza kusababisha usumbufu wakati wa kuhesabu kura siku ya Oktoba 29,…
#HABARI: Jumuiya ya wasioona Tanzania imewataka vijana kutokubali kutumika na watu wa nje kuleta mafarakano ndani ya nchi yao ili kuepusha maafa yanayoweza kuikumba jamii likiwemo kundi la watu wenye…
LICHA ya kushindwa kutetea taji la ubingwa wa gofu wa Afrika ya Mashariki na Kati baada ya kumaliza katika nafasi ya tatu, timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania imemuibua…
#HABARI: Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa nafasi ya Udiwani Kata ya Goba, Mtaa wa Matosa jijini Dar es Salaam, zimehitimishwa rasmi ambapo mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bwana Lawrence…
BEKI wa kati wa Fountain Gate, Mrundi Derrick Mukombozi, amesema kwa sasa timu hiyo inaanza taratibu kujipata kutokana na mwanzo mbaya walioanza nao, ingawa bado wana kazi kubwa ya kufanya…
BEKI wa kati wa Fountain Gate, Mrundi Derrick Mukombozi, amesema kwa sasa timu hiyo inaanza taratibu kujipata kutokana na mwanzo mbaya walioanza nao, ingawa bado wana kazi kubwa ya kufanya…
#HABARI: Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na MKA Foundation kwa mara nyingine wamefanikiwa kufanya upasuaji wa kibingwa wa kumtengenezea mgonjwa taya jipya kwa kutumia kipande cha ubavu wake…
BAADA ya KMC kupoteza mechi nne mfululizo za Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo, anakabiliwa na presha kubwa ya kuondolewa katika benchi la ufundi la…
LICHA ya Flambeau du Centre ya Burundi kuondoshwa na Singida Black Stars katika raundi ya pili ya mtoano wa Kombe la Shirikisho Afrika, kocha wa kikosi hicho, Rukundo Jean de…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtambile kupitia Chama cha mapinduzi CCM ndugu Muhammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa wananchi wa jimbo hilo wapo tayari kupiga kura siku ya tarehe 29…
TIMU ya Kilimanjaro FF inayomilikiwa na kuendeshwa na Watanzania waishio nchini Sweden, imeshika nafasi ya tatu katika Ligi ya Daraja la Sita kwenye Jiji la Stockholm katika msimu wa 2024-2025…
#HABARI: Tume huru ya taifa ya uchaguzi wilayani Mkinga imewaonya makarani waongozaji wa wapiga kura kuondoa itikadi zao za vyama vya siasa siku ya zoezi la upigaji kura ili kuepuka…
#HABARI: Wakati vyama vya siasa vikiendelea kukamilisha kampeni zao katika maeneo mbalimbali nchini kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, makundi mbalimbali yakiwemo ya kijamii na kidini yameendelea kutoa…
#HABARI: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro wakili Cornelia Bitegeko, amewataka makarakani waongoza wapiga kura kujiepusha kuwa vyanzo vya malalamiko kutoka kwa vyama vya siasa pamoja na kuwasisitiza…
Mgombea ubunge katika jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara, Esther Bulaya amewasihi wananchi wa Tanzania kudumisha amani kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutolea mifano ya madhara yaliyotokea katika baadhi ya maeneo…
#HABARI: Viongozi mbalimbali wa dini mkoani Rukwa wametoa wito kwa waumini wao juu kuwapuuza watu wanao shawishi kupitia mitandao ya kijamii ili kufanya vurugu na maandamano wakati wa uchaguzi mkuu…
#MICHEZO: Kikosi cha Simba SC leo Dimbani, tupe utabiri wako hapo Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa,…
Ni kosa kumnyima baba haki ya kumuona mtoto hata kama hamtunzi mtoto huyo. Msikilize mwanasheria wetu akifafanua zaidi. #SheriaUpdates
Wananchi wanaoishi kando ya Mto Kagera ambao maji yake yanatumika kuzalisha umeme wa mradi wa Rusumo ambao unahudumia nchi tatu za Tanzania, Burundi na Rwanda wamehimizwa kulinda vyanzo vya mto…