Waasi wa M23 nchini DRC wakanusha kuiba dhahabu
Kampuni inayofanya kazi katika jimbo la Kivu Kusini, ambayo sehemu kubwa iko chini ya udhibiti wa M23, ilisema wiki hii kwamba M23 "imesafirisha dhahabu kwa njia ya siri."
Kampuni inayofanya kazi katika jimbo la Kivu Kusini, ambayo sehemu kubwa iko chini ya udhibiti wa M23, ilisema wiki hii kwamba M23 "imesafirisha dhahabu kwa njia ya siri."
#MEZAHURU: Fukwe za bahari. Tunaangalia juu ya umuhimu wa fukwe za bahari na matunzo yake. Je, zipo chini ya uangalizi wa nani?. Je usalama wa watumiaji wa fukwe hizi upoje?…
#HABARI: Meneja Mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU LTD Mohamed Mwinguku, amezitaka taasisi za kifedha kuharakisha malipo ya wakulima wa korosho na kutoa taarifa mapema badala ya kusubiri…
Rais wa Marekani Donald Trump anapata wapi pesa za kukarabati sehemu ya Mashariki ya Ikulu kwa ajili ya wageni karibu 1,000 wakati serikali ikiwa imefungwa Wakosoaji wanatoa onyo kuhusu rushwa…
#HABARI: Abiria waliokuwa wanasafiri na treni za SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma wameipongeza Serikali na Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kuchukua hatua haraka na kurejesha huduma…
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu imeahirishwa hadi Novemba 3 baada ya upande wa Jamhuri leo Oktoba 24, 225 kusema hawana…
Rais Samia Suluhu Hassan ameidhinisha kuwa Oktoba 29, 2025 ni siku ya mapumziko kutoa nafasi kwa wananchi wenye sifa stahiki wakiwemo watumishi wa umma na wafanyakazi katika sekta binafsi, kutumia…
🔴KONGAMANO LA AMANI TABORA, OKTOBA 24, 2025
Baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri kwa treni za SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma wamesema wamefarijika kuona huduma za usafiri wa reli hiyo kurejea muda mfupi baada ya…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO...OKTOBA 24, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kumsimamia mkandarasi kwa karibu hasa katika kipindi hiki cha mvua ili hatua za awali za…
#HABARI:Mahakama ya Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam Oktoba 22,2025 imewahukumu kutumikia kifungo cha miaka 35 jela Mohamed Aloyce Mtangile mwenye umri wa miaka 32 mkazi wa yombo vituka na…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ...OKTOBA 24, 2025
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 24,2025 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates
Ingawa kilimo cha zao la mwani kimezoeleka visiwani Zanzibar lakini kwa miaka 17 kimekuwa mhimili wa Maisha ya Mariamu Nanjota mkazi wa kijiji cha Shuka mkoani Lindi. Simulizi yake inahadithiwa…
#KIPIMAJOTO: Ajali ya Treni ya SGR kwa mara ya kwanza. Je, ufanyike uchunguzi wa kina kuzuia tukio kama hilo kujirudia
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 24, 2025
Timu inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga, VfB Stuttgart imelazwa 1-0 na Fenerbahce ya Uturuki usiku wa kuamkia leo katika mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Ulaya.
Wawakilishi wa Marekani, Saudi Arabia, Umoja wa falme za Kiarabu na Misri watakutana leo mjini Washington na pande zinazozozana kwa muda sasa nchini Sudan.
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameanzisha hatua ya mwisho kuelekea kufikia makubaliano ya lengo la miaka kumi la kupunguza utoaji wa gesi chafu ya kaboni kuelekea mkutano mkuu wa mazingira…
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer atatoa mwito kwa viongozi wa Ulaya kuongeza msaada wa makombora ya masafa marefu kwa Ukraine katika mkutano wa kilele utakaofanyika mjini London Ijumaa.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani haitoiunga mkono tena kivyovyote Israel iwapo itauvamia Ukingo wa Magharibi, ambao imeukalia kimabavu tangu mwaka 1967.
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameanzisha hatua ya mwisho kuelekea kufikia makubaliano ya lengo la miaka kumi la kupunguza utoaji wa gesi chafu ya kaboni kuelekea mkutano mkuu wa mazingira…
Rais wa Marekani Donald Trump atishia kutoiunga mkono Israel iwapo itauvamia Ukingo wa Magharibi//Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer kutoa wito wa Ukraine kuongezewa makombora na Ulaya//Na Umoja wa Ulaya…
Rais wa Marekani Donald Trump atishia kutoiunga mkono Israel iwapo itauvamia Ukingo wa Magharibi//Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer kutoa wito wa Ukraine kuongezewa makombora na Ulaya//Na Umoja wa Ulaya…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 23, OKTOBA 2025
Ziara ya siku tatu ya Rais wa Uturuki ililenga katika kuimarisha uhusiano wa pande mbili, ushirikiano wa kikanda, na kuunga mkono suluhisho la mataifa mawili katika Mashariki ya Kati.
“sisi ni Watanzania ni lazima tujuwe fahari ya Kitanzania tuna ufahari gani na namna ya kujua ufahari wetu sisi Watanzania ndio tuna rasilimali nyingi, tuna mbuga za wanyama, tuna Ngorongoro,…
“kwa hiyo tukishakuwa na akili zetu kwenye huu mtazamo sasa itatusaidia kwenda kufata zile taratibu ambazo zimewekwa na Tume ya uchaguzi kwamba kabla ya uchaguzi kama sasa hivi tunapaswa tuhuzulie…
UNAMKUMBUKA mwamuzi Thobias Wariko, aliyefungiwa kwa muda wa miezi mitatu kutokana na kushindwa kutafsiri vyema sheria za mpira wa miguu katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (ZFF Cup) iliyomalizika…
Mgombea Gombo Samandito Gombo wa Chama Cha Wananchi (CUF) amewaahidi wazee nchini kupokea mshahara kila mwezi kutoka katika serikali yake iwapo atafanikiwa kushinda kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.…
Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kupitia kwa mgombea wake wa Urais, Salum Mwalimu amesema akifanikiwa kitwara kiti hicho atahakikisha anatoa kipaumbele kwa wazawa katika uendelezaji wa rasilimali za madini.…
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CCK, David Daud Mwaijojele ameahidi kuimarisha huduma za afya kila kata nchini iwapo atachaguliwa kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. Ametoa ahadi hiyo kwenye…
Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limewaua wanamgambo zaidi ya 50 wa kundi la Boko Haram baada ya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani kutekelezwa na kundi hilo dhidi ya kambi…
Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema akifanikiwa kushinda muhula wa pili wa Urais wa Zanzibar atahakikisha kunakuwepo na ongezeko la ajira kupitia sekta za ualimu, afya na vikosi vya SMZ ili…
Wadau wa elimu wakiwemo wataalamu wa taaluma ya ualimu wameiomba serikali kupitia Wizara ya Elimu kutumia upimaji maarifa wa taifa kwa wanafunzi wa darasa la nne ulioanza jana na kumalizika…
“kwa sababu ulinzi na usalama wa taifa letu pendwa la Tanzania ni jukumu takatifu la kila Mtanzania, mwenye mapenzi mema na nchi yake si jukumu la vyombo vya ulinzi na…
Mgombea Urais wa Zanzibar wa chama cha UPDP, Hamad Mohamed Ibrahim ameahidi kulipa kipaumbele suala la elimu ikiwemo kuwapeleka vijana wahandisi katika nchi mbalimbali zilizopiga hatua kubwa zaidi ili kujifunza…
Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka chama cha ADA TADEA kuweka mazingiara bora ya wajasiriamali wa kilimo cha mwani na wakulima wa mabwawa ya chumvi kwa kuwapa…
🔴MALUMBANO YA HOJA: KUELEKEA SIKU YA UCHAGUZI JUMATANO IJAYO, JE NINI KIFANYIKE KULINDA AMANI .?”
#HABARI: Familia ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Jonh Heche, imeliomba Jeshi la Polisi, kuwaeleza ni wapi alipo ndugu yao ambaye alikamatwa na jeshi hilo…
#HABARI: Mtemi wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili mkoani Mwanza Shaban Ramadhan amekemea vikali tabia ya baadhi ya waganga wanaojihusisha na vitendo vya ukatili, ikiwemo wale wanaopiga ramli chonganishi…
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha Cecilia Pareso amewataka wananchi wa Jimbo la Songwe mkoani Songwe kuipa kura za kishindo CCM kwa kumchagua Mgombea wa Urais wa…
#HABARI: Rais William Ruto ametetea uamuzi wake wa kutia saini mswada wa matumizi mabaya ya kompyuta na makosa ya mtandao ambao ni marekebisho ya sheria ya kompyuta, 2024, Oktoba 15,…
Sampuli yake ya mkojo iliyochukuliwa mwezi Machi ilionyesha kiwango cha dawa hiyo kilichozidi kiwango kinachoruhusiwa mara 190.
#HABARI: Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa Kituo cha Polisi Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi na kuagiza kituo hicho kianze kazi ifikapo Novemba 1, mwaka huu. Mhe. Majaliwa amemuagiza…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma, linamshikilia mtuhumiwa mmoja mwenye umri wa miaka 46, mkazi wa Kamala, Wilaya ya Kigoma, Mkoa wa Kigoma kwa tuhumu ya mauaji ya mtoto…
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Temeke Mkoani Dar Es Salaam kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mariam Kisangi amemshukuru Mgombea wa nafasi ya Urais wa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 23, 2025 -LISSU ASHINDA PINGAMIZI LINGINE DHIDI YA SHAIDI WA TATU