#HABARI: Wakazi wa Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, wamesema wapo tayari kujitokeza kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyi…
#HABARI: Wakazi wa Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, wamesema wapo tayari kujitokeza kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, ili waweze kupata viongozi bora watakaotatua changamoto zao…