Salah, Hakimi wateuliwa kuwania mchezaji Bora wa Afrika
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah na Achraf Hakimi wa Paris Saint-Germain ni miongoni mwa nyota 10 walioteuliwa kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika 2025.
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah na Achraf Hakimi wa Paris Saint-Germain ni miongoni mwa nyota 10 walioteuliwa kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika 2025.
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaongoza kwenye kura za maoni kwa asilimia 84.5 dhidi ya wagombea wenzake wanaochuana…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema ufanisi mkubwa unaoonekana katika sekta ya bandari nchini ni ushahidi wa hatua za kimkakati zilizochukuliwa…
#HABARI: Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche, amesafirishwa hadi Tarime na Jeshi la Polisi baada ya kukamatwa leo asubuhi. Gaston…
Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kujenga daraja jipya la Jangwani lenye urefu wa mita 390 pamoja na soko kubwa la…
#HABARI: “Si muda mrefu uliopita tulikuwa na kilio cha umeme kukatika katika, umeme kuletwa kwa zamu umeme kutokutosheleza sasa hivi Dar es Salaam, umeme ni 24/7 na ukizimwa kuna matangazo…
Wafahamu waamuzi wa Yanga v Silver Strickers
🔴MEZA HURU: APOINTMENT NA DAKTARI...OKTOBA 22, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 22, 2025
Fiston Mayele na Shomari Kapombe hawajakutana uwanjani tangu Mayele alipojiunga na Pyramids FC ya Misri mwaka 2023 akitokea Yanga.
Paris Saint-Germain ya Ufaransa iliicharaza Bayer Leverkusen 7-2, Barcelona ikiondoka na mabao 6 huku Erling Haaland akifunga bao la 24 la msimu huu.
Mabasi mawili na magari mawili yamegongana Kaskazini mwa Uganda na kusababisha vifo vya watu 46, katika mmoja ya ajali mbaya zaidi za barabarani katika taifa hilo la Afrika Mashariki katika…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 22, 2025
Israel ililipiga marufuku shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wapalestina UNRWA kufanya kazi Israel baada ya kuwashutumu baadhi ya wafanyakazi wake kushiriki katika shambulio la Hamas la Oktoba…
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, imesema taifa hilo limekamilisha mchakato wa kutambua miili miwili ya mateka iliyokuwa ikishikiliwa na Hamas. Hayo yanajiri huku JD Vance akiizuru Israel.
Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amekamatwa na jeshi la polisi katika viunga vya Mahakama Kuu ya Dar es…
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Hamad Mbega, amewataka vijana wanaonufaika na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri ya Wilaya hiyo, kutumia fedha hizo kwa malengo yaliyokusudiwa ikiwemo kuanzisha na…
Polisi nchini Uganda imesema mabasi mawili na magari mengine mawili yamegongana na kusababisha ajali mapema leo Jumatano kwenye barabara kuu magharibi mwa nchi hiyo na kuua takriban watu 46 na…
#MADA:'Appointment na Daktari' Tunaangalia umuhimu wa kufanya Appointment unapotaka kwenda kumuona daktari hasa daktari bingwa. Je, zipi faida zake?
#HABARI:Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Rorya katika Mkoa wa Mara Jafari Chege, amewaomba wananchi wa kijiji cha Ng’ope kata ya Roche, kuhakisha hawaruhusu…
Jumatano mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich watawakaribisha Club Brudge ya Ubelgiji huku Real Madrid wakimenyana na kibibi cha Turin Juventus. Mechi hizi zitachezwa majira ya saa nne usiku kwa saa…
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kiutu OCHA imeripoti kwamba ongezeko la machafuko linakoleza hali ngumu ya kibinadamu inayoshuhudiwa katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan.
Urusi imefanya mashambulizi katika maeneo mbalimbali ya Ukraine mapema Jumatano, na kusababisha vifo vya watu sita, kwa mujibu wa maafisa wa Ukraine.
Mshauri wa Fedha, Uchumi na Uwekezaji, Janeth Soka ameelezea dalili nne za mtu kufahamu kama ni mtumwa kiuchumi. Ametaja dalili au hali hizo ni pamoja na mtu kufanya kazi kwa…
Maoni ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Badr Abdelatty yanakuja huku kukiwa na hofu kubwa kwamba Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anaweza kusitisha mpango huo na kuanzisha…
Wakulima wa mwani visiwani Zanzibar wameahidiwa kupata soko la uhakika na thamani ya zao hilo itakayofikia Shilingi 6,000 kwa kilo iwapo Chama Cha MAKINI kitafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu. Ahadi hiyo…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kusini, Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa mapacha wawili Daniel Stephen Seif (Kurwa) (24) mkulima, mkazi wa Kijiji cha Mraushi "A" Wilaya ya Masasi…
Kampuni ya kuchimba madini ya Twangiza Mining nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imesema waasi wa M23 wamepora takriban kilo 500 za dhahabu
Ajali hiyo ilitokea mwendo wa saa 2100 GMT siku ya Jumanne kwenye barabara kuu ya kuelekea Gulu, jiji kuu kaskazini mwa Uganda.
Simba katika msimu wa 2024/2025 ilifika hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
STAA wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Alphonce Modest anatarajiwa kuzikwa Ijumaa mchana katika makaburi ya Lubengela mkoani Kigoma.
STAA wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Alphonce Modest anatarajiwa kuzikwa Ijumaa mchana katika makaburi ya Lubengela mkoani Kigoma.
Kufuatia kifo cha staa wa zamani wa Simba na Yanga, Alphonce Modest kilichotokea jana Jumanne Oktoba 21, 2025 akiwa nyumbani kwao Kigoma, wadau mbalimbali wa soka wamemlilia zikiwemo klabu alizowahi…
Rais wa Taifa la Gambia au The Gambia ni Adama Barrow mwenye umri wa miaka 60.
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekubaliana na pingamizi la tatu lililowasilishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu na kukataa kupokea flashi na memori kadi…
Mtaalam wa Macho kutoka CCBRT, Henry Ngogo amewashauri watu kuacha kutumia simu gizani, kwani miale inayotoka kwenye simu husababisha athari katika macho unapotumia kwenye giza au mwanga hafifu na kuongeza…
Je, unajua unapotumia simu yako kwa masaa matatu mfululizo kunaweza hatarisha afya ya macho yako? Je, wewe unatumia simu yako kwa masaa mangapi? Msikilize Mtaalamu wa Macho kutoka CCBRT, Henry…
Mkutano na wanahabari Mbashara kupitia chaneli ya Sinema Zetu kuanzia saa tano nusu asubuhi #NextLevel
Kesi hiyo ilitarajiwa kuanza kusilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu, maarufu kama Mahakama ya Kisutu, na Hakimu Mfawidhi, Hakimu Mkazi Mkuu, Franco Kiswaga, jana Jumatatu, Oktoba…
#HABARI: Muda mfupi kabla mapingamizi kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa CHADEMA hayajolewa uamuzi katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake wala…
Zaidi ya wanafunzi 1,500,000 wa darasa la nne nchi nzima, wanatarajiwa kufanya mtihani wa upimaji wa kitaifa leo Oktoba 22,2025 katika maeneo mbalimbali nchini, mtihani huo wa upimaji utafanyika kwa…
Kwa hali ya unyonge, Muddy alimfuata afisa wa uhamiaji ambaye alimuongoza hadi katika ofisi nyingine iliyokuwa na watu wengi.
SEMINA YA AMANI KUTOKA MKOANI KILIMANJARO /OKTOBA 22, 2025
#HABARI: Katibu Mkuu wa Chadema Bwana John Mnyika ameongelea kuhusu kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bwana Jonh Heche akiwa anaingia Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kwa…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam Oktoba leo 22, 2025 siku ya Jumatano inatarajia kutoa uamuzi juu ya mapingamizi manne ikiwemo kupinga uhalali wa shahidi…
#HABARI: Takribani watu 63 wamethibitishwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa kwa ajali iliyohususha magari manne yakiwemo mabasi mawili, lori na gari dogo aina ya Toyota Land Cruiser, katika Barabara ya…
#HABARI: Aliyekuwa Jaji Mkuu nchini Kenya David Maraga, amemtupia lawama Rais William Ruto akidai kuwa ametumia fursa ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga na maandalizi ya maziko yake,…
Linnie aliendelea kumdodosa kuhusu safari yake na maisha yake ya Tanzania naye alijitahidi kumuelezea kila kitu kuhusu maisha yake. Mwanamke huyo wa Kizungu alijikuta akivutiwa na maelezo yake na aligundua…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 22, 2025