Jeff Koinange Afichua Aligundua Kuwa Ana Binti wa Miaka 30
Mwanahabari mkongwe Jeff Koinange anazindua podikasti yake, akifichua maungamo ya kibinafsi kuhusu mahusiano ya zamani na kugundua ana binti wa miaka 30.
Wachezaji saba wa Eritrea waliotoroka kambini bado hawajulikani walipo
Wachezaji saba wa kikosi cha timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Eritrea waliopata ushindi wa...
Coastal women demand power in Tanzania’s blue economy
ZANZIBAR: BEFORE dawn breaks over the Indian Ocean, Jamila Ali steps into the water. Like thousands of women along Tanzania’s coast, her day begins with seaweed farming, tying lines, checking…
Kutana na ‘mmiliki’ wa mwezi aliyeuza ardhi mwezini na kuwa bilionea
Wanunuzi walikuwa watu maarufu kama marais wa zamani wa Marekani Ronald Reagan, Jimmy Carter na hoteli kubwa kama Hilton na Marriot.
Miaka 14 baada ya kifo cha Kanumba
Imetimia miaka 14 sasa tangu kifo cha aliyekuwa muigizaji maarufu nchini, Steven Kanumba. Kila...
Msiba wa Kariandusi: Mkewe nesi aliyefariki katika ajali iliyoua 11 akumbuka mazungumzo ya mwisho
Familia ziliomboleza wahasiriwa wa mkasa wa Kariandusi, zikishiriki mazungumzo ya hisia ya mwisho na mipango ya Pasaka waliyokukuwa nayo na wapendwa wao.
Rais Samia, Dk Mwinyi watoa ujumbe miaka 54 ya Hayati Karume
Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza Watanzania kumuenzi aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar...
Wananchi Makambako wakubali mradi wa umwagiliaji, wadai uhakika wa umiliki ardhi
Baada ya miezi ya hofu na sintofahamu kuhusu hatima ya ardhi yao, hatimaye wananchi wa mitaa ya...
Finance Ministries provide humanitarian aid to 38 women and 44 children in Dodoma
DODOMA: 38 women in the maternity ward and 44 children under the age of five in the pediatric ward benefited from the assistance provided by the Ministry of Finance in…
Damaro airudisha tena Simba TFF, sababu yatajwa
Simba imepanga kurudi tena katika Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF kwa ajili ya...
Lessons from the region: Why Tanzania must choose dialogue over division
DAR ES SALAAM: NATIONS rarely slide into crisis in a single moment. More often, instability begins quietly, through contested narratives, rising mistrust and unresolved grievances. If left unattended, these pressures…
Choose forgiveness, not vengeance, Tanzanians told
DAR ES SALAAM: AT a time when the nation is focused on sustaining peace, unity and solidarity, Tanzanians are being urged to draw lessons from the past rather than carry…
Tunajua nini kuhusu mapendekezo ya Pakistan ya kusitisha vita kati ya Marekani na Iran?
Mpango wa amani uliandaliwa baada ya waziri wa mambo ya nje wa Pakistan kusafiri hadi Beijing kutafuta msaada wa China katika juhudi za nchi hiyo za kukomesha mzozo huo.
Aliyekuwa Msaidizi wa Raila Afichua Ziara Yake ya Mwisho Afisini, Asema Aliwapa Wafanyakazi KSh 100k
Jack Odhiambo anakumbuka nyakati za mwisho za bosi wake wa zamani Raila Odinga na ukarimu katika ofisi yake ya Capital Hill kabla ya kifo chake nchini India.
DSE trading slows, liquidity tightens
DAR ES SALAAM: THE Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) experienced a notably quieter week of trading activity during the week ended April 3, 2026, as both liquidity and investor…
Kamati yaeleza sababu kutupilia rufaa ya Mtaka TOC, watatu kuchuana urais
WAKATI watu watatu wakipitishwa kuchuana kuwania urais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), kamisheni ya uchaguzi huo imeeleza sababu za kutupilia mbali rufaa ya Anthony Mtaka.
Commission of Inquiry into General Election’s unrest granted 21 days more
DODOMA: THE appointing authority has approved a fresh extension for the Commission of Inquiry into incidents of unrest during and after the October 2025 General Election, granting it an additional…
TMA issues a weather alert warning of heavy rainfall, floods in coastal regions
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Meteorological Authority (TMA) has issued a three-day weather alert warning of heavy rainfall that could lead to flooding in several coastal regions, including Dar es…
Rapper Offset shot in Florida, spokesperson says he is stable
HOLLYWOOD: The rapper Offset was shot Monday and is stable, according to a spokesperson for the Migos rapper, but his exact condition is unknown. He is being treated at a…
Unyanyembe, the heart of 19th Century East African trade
TABORA: UNYANYEMBE, located in present-day Tabora in central Tanzania, holds a significant place in the history of East Africa due to its role as an economic and cultural center during…
Female students in Sikonge receive bicycles to easy school commute
TABORA: TWO hundred female students from Mole and Nyahua Secondary Schools in Sikonge District, Tabora Region, have received bicycles to ease the burden of walking more than seven kilometres to…
Dr Samia leads Tanzanians in a special prayer for Abeid Karume
ZANZIBAR: THE President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, and the President of Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi, have today, April 7, 2026, joined other leaders and Tanzanian…
Majembe Avunja Ukimya Baada ya Kumlima Mbavu Destroyer kwenye Mechi ya Vurugu: “Iwe Funzo”
Bondia mahiri Majembe alitetea ushindi wake dhidi ya Mbavu Destroyer katika makabiliano ya Vurugu, na kuzua hisia tofauti mtandaoni baada ya pambano kali Kasarani.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), Priscus Joseph amesema mabadiliko ya nauli hayapo mikononi mwa wam…
Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), Priscus Joseph amesema mabadiliko ya nauli hayapo mikononi mwa wamiliki wa mabasi bali hupangwa na mamlaka husika za serikali. Amesisitiza…
Time to align medicine supply with reality
DAR ES SALAAM: THE recent directives issued by Minister for Health Mohammed Mchengerwa mark a critical turning point in Tanzania’s public health sector. His call for an immediate review of…
Dadake mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Moi ambaye alizama kwenye maporomoko ya maji amuomboleza
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Moi alikufa maji kwenye maporomoko ya Kesses River, dadake alimlilia kwa uchungu huku wanafunzi wakionywa kuepuka eneo hatari.
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Saidi Miraji amesema Hayati Abeid Amani Karume alikuwa kiongozi mwenye falsafa ya kuunganisha j…
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Saidi Miraji amesema Hayati Abeid Amani Karume alikuwa kiongozi mwenye falsafa ya kuunganisha jamii na kupunguza matabaka. Ameeleza kuwa moja ya mbinu alizotumia ni kuhimiza…
Kipengele kipya cha Cyber ubashiri wa Esports, burudani zaidi na fursa
AfroPari inaendelea kuboresha jukwaa lake ili kuongeza uwezekano wako wa kushinda. Ndiyo maana kampuni hii ya kubashiri imezindua kipengele kipya cha Cyber ndani ya aplikesheni ya simu kwa ajili ya…
Mikoa hii ijiandae kwa mvua siku tatu
TMA imeeleza itaendelea kufuatilia mwenendo wa hali ya hewa na kutoa taarifa zaidi kadiri...
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Felix Tshisekedi, ametoa zawadi ya gari jipya kwa kila mchezaji na mwan…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Felix Tshisekedi, ametoa zawadi ya gari jipya kwa kila mchezaji na mwanachama wa benchi la ufundi la timu ya taifa, "The…
#HABARI: Rais Donald Trump ametoa onyo kali kwa Iran akitishia kuharibu miundombinu yote muhimu ya nchi hiyo, ikiwemo madaraja n…
#HABARI: Rais Donald Trump ametoa onyo kali kwa Iran akitishia kuharibu miundombinu yote muhimu ya nchi hiyo, ikiwemo madaraja na vituo vya umeme. Trump amedai kuwa Marekani tayari ina mpango…
Ajali ya Gilgil: Jamaa Aanika Ujumbe wa Mwisho Aliomtumia Dadake Kabla ya Kujua Amefariki
Mwanamume Mkenya amefichua jumbe zake za mwisho kwa dadake, aliyefariki kwenye ajali ya kutisha Gilgil, na kuibua hisia za kina na kutafakari kuhusu kupoteza.
Real Madrid, Bayern mechi ya kikubwa Mabingwa Ulaya
Mchezo ambao unaonekana utabeba hisia za wengi leo ni baina ya Real Madrid dhidi ya Bayern...
Katambi warns against spreading ‘genital theft’ rumours
DAR ES SALAAM: MINISTER for Home Affairs, Mr Patrobas Katambi has warned citizens against spreading rumours that their private parts have been stolen, saying the government will take strong action…
Zendaya amshangaza Bibi Harusi!
Mwigizaji wa Marekani, Zendaya, 29, amewashangaza wanandoa watarajiwa, Alexandra Warren na KB...
Tume ya uchunguzi yaongezewa siku 21
DODOMA – Mamlaka ya Uteuzi nchini Tanzania imeongeza muda wa siku 21 kwa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani ili kukamilisha kazi yake, na kuitaka iwasilishe ripoti kabla…
Utata Peter Kaluma Akiwataja Wagombea wa UDA Kama ‘Taka Taka’: “Hakuna cha Kuogopa”
Kauli ya Mbunge wa Homa Bay Peter Kaluma ya 'taka taka' ilichochea mjadala miongoni mwa Wakenya. Alidai kuwa wito wa ODM wa kugawa maeneo si kwa kuhofia ushindani.
Government orders swift recovery for traders after Simu 2000 fire
DAR ES SALAAM: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has directed for immediate measures to restore business activities following a devastating fire that destroyed Mawasiliano market stalls, popularly known as Simu…
Tume ya Oktoba 29, yaongezewa tena siku 21
Baada ya kufanya kazi kwa takriban miezi minne, hatimaye Tume ya Rais ya kuchunguza matukio ya...
Nation remembers Karume
Samia, Mwinyi to lead memorial prayers as preparations conclude ZANZIBAR: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan and Zanzibar President Hussein Mwinyi are expected to join top leaders and wananchi today at Kisiwandui…
PM stresses unity, stability as key to economic growth
DAR ES SALAAM: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has urged Tanzanians to continue upholding peace for their own social and economic benefit, as well as for the nation at large.…
Magazetini, Aprili 7: Edwin Sifuna Achungulia Kupoteza Wadhifa Wake baada ya Kupewa Barua ya Adhabu
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna sasa anakodolea macho kutimuliwa kutoka wadhifa wa katibu mkuu wa chama cha ODM. Chama kinamtuhumu kwa kukinzana na maadili.
One Health Lyon: ‘Ili kuboresha afya ya binadamu, ni lazima tuboreshe afya ya sayari yetu’
Mkutano wa One Health (“Afya Moja”) unafanyika kuanzia Aprili 5 hadi 7 mjini Lyon, Ufaransa. Mkutano huu wa kimataifa, ulioanzishwa na Emmanuel Macron, unawaleta pamoja watafiti na viongozi ili kushughulikia…
MZEE WA FACT: Wazo la Makonda na mikasa huko nyuma
Waziri mwenye dhamana ya michezo nchini, Paul Makonda, ametoa kauli mbili ngumu ambazo historia...
Donald Trump awapongeza wanaanga wa Artemis II walioruka upande wa mbali wa Mwezi
Rais wa Marekani Donald Trump amewaita wanaanga wa ujumbe wa NASA wa Artemis II jioni ya Jumatatu, Aprili 7, kwa kuwapongeza baada ya kuzuru Mwezi, kwa mara ya kwanza katika…
Govt urges faster preparations for Saba Saba golden jubilee
DAR ES SALAAM: THE government has called for the accelerated implementation of strategies for the 50th anniversary of the Dar es Salaam International Trade Fair (DITF), warning that delays could…
Wanaanga wa Artemis II wavunja rekodi kwa safari ya kihistoria mwezini
Lengo la misheni hii ilikuwa kuweka msingi kwa ajili ya kutua mwezini katika misheni ijayo ya Artemis III.
AzamTV inawatakia Watanzania Kumbukizi njema ya Karume Day
AzamTV inawatakia Watanzania Kumbukizi njema ya Karume Day #AzamTVBurudaniKwaWote (Feed generated with FetchRSS)
Banks to lead Dar exchange post-Easter trades
DAR ES SALAAM: DAR ES SALAAM Stock Exchange (DSE) trading is expected to be driven by banks this week, following the Easter long holiday, as investors focus on selective stock…