Afrika yatakiwa kuwekeza katika haki, utu na amani
Nchi za Afrika zimetakiwa kuongeza uwekezaji katika kujenga jamii zinazozingatia haki, huruma...
Emmanuel Macron: Cécile Kohler na Jacques Paris ‘wako huru na wako njiani” kuelekea Ufaransa
Raia wa Ufaransa Cécile Kohler na Jacques Paris “wako huru na wako njiani kuelekea nchini Ufaransa, baada ya miaka mitatu na nusu wakiwa nchini Iran,” ambapo walifungwa kwa muda mrefu…
Lucha yapinga mpango wa DRC kuwapokea wahamiaji waliofukuzwa Marekani
Hatua ya serikali ya DRC kuingia kwenye mkataba na Marekani, ili kuwapokea wahamiaji waliofukuzwa katika nchi hiyo, imeendelea kuzua mitazamo mbalimbali. Imechapishwa: 07/04/2026 – 16:58 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Moto wateketeza jengo la Mahakama Lugoba
Wakizungumza na Mwananchi, baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Pwani wamesema tukio hilo limeibua hofu...
WPL mzunguko wa 13 mechi sita kupigwa leo
APRILI 8, 2026, mzunguko wa 13 wa Ligi Kuu Soka Wanawake Tanzania Bara (WPL) utaendelea kwa mechi sita zitakazopigwa zikitarajiwa kuwa na ushindani wa aina yake kutokana na timu zinazowania…
Trump atishia kuikabli Iran kwa nguvu zaidi usiku wa leo
Rais Trump ametishia kuwa usiku wa leo, Iran itashuhudia hasara na uharibu mkubwa na ustaarabu wote utakuga, iwapo masharti ya kufunguliwa kwa mlango wa bahari wa Hormuz hautafunguliwa kufikia leo.…
Wanasiasa 42 kutoka vyama mbalimbali wanazuiliwa nchini DRC
Wanasiasa 42 kutoka vyama mbalimbali wapo kizuizini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa mujibu wa ripoti ya pamoja ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa. Imechapishwa: 07/04/2026 –…
Wazazi wapewa somo kulea vipaji vya watoto nje ya darasa
Ili kuwafanya watoto wajiamini, wawe wadadisi wa mambo pamoja na kuwaandalia mazingira bora ya...
Simulizi ya Shemndolwa aliyemaliza kifungo na maisha mapya ya ufundi
Miaka 15 iliyopita, Rashid Shemndolwa maarufu Zunde aliingia gerezani akiwa kijana wa miaka 22,...
Kilio kipya walioungulia bidhaa Simu 2000
Sakata la kuungua kwa Soko la Simu 2000, Ubungo jijini Dar es Salaam limeibua mahitaji tofauti...
Uchafu wazua taharuki mnada wa Maswa, wafanyabiashara walalamika
Malalamiko ya wafanyabiashara na wananchi yameongezeka katika Mnada wa Maswa Mjini baada ya...
Droo FA Zanzibar yapangilia ratiba, mechi kuanza Aprili 13
BAADA ya Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), kufanya droo ya hatua ya 16 Bora ya Kombe la FA, imeweka wazi ratiba na Aprili 13…
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi na Mafunzo CCM Ndugu Kenan Laban Kihongosi @kenanikihongosi akizungumza na Waandishi wa Habari …
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi na Mafunzo CCM Ndugu Kenan Laban Kihongosi @kenanikihongosi akizungumza na Waandishi wa Habari leo Tarehe 07 Aprili. #kilichoborakabisa (Feed generated with FetchRSS)
Mtengwa aonyesha njaa ya mafanikio TRA United
BAADA ya beki wa kulia wa TRA United, Isaack Mtengwa kupewa dakika 80 za kucheza dhidi ya Singida Black Stars, amesema hiyo inazidi kumpa ukomavu.
Kibet Rotich: Rigathi Gachagua Amzindua Mgombea wa DCP kwa Uchaguzi Mdogo wa Emurua Dikirr
Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua alimzindua Vincent Kibet Rotich kugombea ubunge wa Emurua Dikirr baada ya kifo cha kusikitisha cha mbunge Johanna Ng’eno.
Wadau wa maendeleo waibua madai mapya
Wameeleza hayo katika mkutano wao na waandishi wa habari huku wakiwa na vielelezo vya matukio...
Maguire apunguza mshahara, akisaini mkataba mpya Man United
Beki wa kati wa Manchester United, Harry Maguire, amesaini mkataba mpya utakaomuweka klabuni...
Bares aondoka KMC, aweka imani kwa kocha ajaye
BAADA ya Kocha Abdallah Mohamed ‘Bares’ kufikia makubaliano ya kuachana na KMC, amesema anaamini mbadala wake atakuwa na jambo la kushauri ili kuhakikisha timu hiyo inasalia Ligi Kuu Bara kwa…
Wellness Day ya CRDB yachochea kuimarisha afya
MAZOEZI ya viungo, michezo na elimu ya afya vilitawala uzinduzi wa programu ya Wellness Day ya Benki ya CRDB, hatua inayolenga kuimarisha utimamu wa mwili na akili kwa wafanyakazi wake…
54 years after Karume: How Mwinyi is reviving a vision for health, education and housing
ZANZIBAR: A MOVING tribute captured in a local classic music refrain by veteran musician Marjan Rajabu of the Dar es Salaam International Band in 1970s, still echoes across generations: “…Heko…
ODM yamtetea Opiyo Wandayi kufuatia shinikizo la kumtaka ajiuzulu sababu ya kashfa ya mafuta
Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Oburu Oginga alitoa kauli nzito kuhusu kashfa ya mafuta ya KSh 4.8 bilioni. Alimtetea Waziri Opiyo Wandayi.
Damaro airudisha Simba TFF
SIMBA imepanga kurudi tena katika Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kuomba kufanyike marejeo ya shauri lao kumuhusu mchezaji Mohamed…
New police post at Jundamiti to curb crime in Kiwani, says 2nd VP
ZANZIBAR: ZANZIBAR’s Second Vice-President Mr Hemed Suleiman Abdulla has said the construction of the Jundamiti Police Post will play a crucial role in reducing crime in Kiwani Constituency. Speaking after…
‘Wewe si dada yangu tena’ – Vita vyachochea migogoro ndani ya familia za Iran
Watu nchini Iran wanaelezea matukio ya hasira na uhusiano wenye mvutano huku mifarakano ikijitokeza kuhusu vita.
‘Tumuenzi Karume kwa kutenda haki, tusibaguane’
Karume aliuawa Aprili 7, 1972 kwa kupigwa risasi na mlinzi wake katika jengo la Makao Makuu ya...
President Samia salutes Tanzania on the 54th anniversary of Abeid Karume’s death
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has extended her greetings to Tanzanians on the 54th anniversary of the death of the first President of Zanzibar and Chairman of the…
Mambo mawili Marioo akija na EP mpya
Mwimbaji wa Bongofleva, Marioo yupo mbioni kuachia Extended Playlist (EP) ya kwanza tangu...
Invest more in children with disabilities, Govt urged
MWANZA: STAKEHOLDERS have called on the government and development partners to invest more in inclusive education by improving school infrastructure, expanding disability-friendly services and ensuring children with disabilities enjoy their…
Azimio la kufanikisha safari mlango wa baharí wa Hormuz lagonga mwamba Barazani
Rasimu ya Azimio iliyowasilishwa mbele ya wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa lengo la kuchagiza nchi zinazotumia mlango wa bahari wa Hormuz kuchangia katika kuhakikisha usalama…
Sayansi iwe msingi wa maamuzi yoyote kuhusu masuala ya afya – WHO
Leo ikiwa ni siku ya afya duniani, shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) limetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuimarisha ushirikiano na kuunga mkono sayansi kama msingi…
Mauaji ya Kimbari: Kamwe tena itasalia maneno matupu iwapo hakuna vitendo – Balozi Ngoga
Wakati leo ni kumbukizi ya miaka 32 tangu mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi ya mwaka 1994, nchini Rwanda, Martin Ngoga, Mwakilishi wa Kudumu wa Rwanda katika Umoja wa Mataifa,…
Mambo 6 yenye ukweli mchungu kuhusu afya ya mwanamke
Wanawake wanaishi miaka mingi zaidi kuliko nyakati zilizopita, lakini hawaishi maisha bora. Ikiwa kuna mtu anasema "tayari tumefikia usawa wa kijinsia," au anauliza "hivi huu usawa tayari umevuka kiwango?", Shirika…
Kukumbuka pekee mauaji ya Rwanda 1994 haitoshi, tuchukue hatua – Guterres
Leo ni miaka 32 tangu mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi nchini Rwanda mwaka 1994 ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres anatoa wito wa dhati wa kukumbuka,…
Traders demand action over market toilet crisis
TANGA: MORE than 1,700 traders at Mgandini Market in Tanga City have called on City Mayor Mustafa Selebos and the Tanga City Council to urgently fast-track the construction of new…
Police hold two bodaboda riders for circulating a ‘genitals theft’ hoax
MTWARA: POLICE in Mtwara Region are holding two men, Abdallah Fadhili (24), a resident of Chuno, and Isihaka Hamisi (26), a resident of Likonde, both motorcycle taxi riders (bodaboda), on…
Huduma za upasuaji nguzo muhimu ya afya wananchi
Afya ni msingi wa maendeleo, na huduma za upasuaji ni sehemu muhimu ya huduma hizi adhimu.
Mwinyi: Qur’an contests build talent, values
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Hussein Mwinyi has hailed international Qur’an memorisation competitions as a vital platform for nurturing youth talent and promoting strong moral values in society. Dr Mwinyi made the…
Abdallah: Kutoka ndoto za udaktari bingwa hadi mfanyabiashara wa mayai
Khalid alizaliwa miaka 24 iliyopita huko Kasulu Mjini, Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, akiwa...
HESLB disburses 3.6tri/- in loans in five years
ARUSHA: DURING the five-year tenure of President Samia Suluhu Hassan, the Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) has disbursed a record 3.6tri/- in loans to eligible students across Tanzania. HESLB…
Vitimwendo vyaleta matumaini mapya kwa watoto wenye ulemavu Kilosa
Tabasamu na matumaini mapya vimeanza kuonekana kwa baadhi ya wazazi na walimu katika Shule ya...
BoT boosts safe, productive borrowing drive
DAR ES SALAAM: BANK of Tanzania (BoT) has intensified a nationwide campaign to promote safe and responsible borrowing, as part of broader efforts to strengthen financial literacy and protection loan…
#MICHEZO: Raphinha amerejea katika Klabu ya FC Barcelona baada ya kukosa michezo kadhaa kutokana na majeraha
#MICHEZO: Raphinha amerejea katika Klabu ya FC Barcelona baada ya kukosa michezo kadhaa kutokana na majeraha. Winga huyo wa Brazil sasa ameanza mazoezi kwa lengo la kurejea uwanjani haraka iwezekanavyo.…
Jeff Koinange Afichua Aligundua Kuwa Ana Binti wa Miaka 30
Mwanahabari mkongwe Jeff Koinange anazindua podikasti yake, akifichua maungamo ya kibinafsi kuhusu mahusiano ya zamani na kugundua ana binti wa miaka 30.
Wachezaji saba wa Eritrea waliotoroka kambini bado hawajulikani walipo
Wachezaji saba wa kikosi cha timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Eritrea waliopata ushindi wa...
Coastal women demand power in Tanzania’s blue economy
ZANZIBAR: BEFORE dawn breaks over the Indian Ocean, Jamila Ali steps into the water. Like thousands of women along Tanzania’s coast, her day begins with seaweed farming, tying lines, checking…
Kutana na ‘mmiliki’ wa mwezi aliyeuza ardhi mwezini na kuwa bilionea
Wanunuzi walikuwa watu maarufu kama marais wa zamani wa Marekani Ronald Reagan, Jimmy Carter na hoteli kubwa kama Hilton na Marriot.
Miaka 14 baada ya kifo cha Kanumba
Imetimia miaka 14 sasa tangu kifo cha aliyekuwa muigizaji maarufu nchini, Steven Kanumba. Kila...