Mwenyekiti wa CCM Itilima afariki dunia
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed, amesema kuwa chama kipo katika maandalizi ya...
AgriCluster reaches 600 farmers in Dodoma, Singida
DODOMA: THE 2025 Annual Progress Report of the AgriCluster Programme implemented by CultivAid Tanzania shows that the initiative reached more than 600 farmers, distributed over 170,000 improved hybrid seedlings and…
Sahara Magharibi: Maseneta wa Marekani Wataka Polisario kutangazwa kama ‘shirika la kigaidi’
Nchini Marekani, maseneta watatu wa Republican wamewasilisha muswada unaotaka kuitangaza Polisario Front kama shirika la kigaidi. Hatua hii imeibua hisia hata kutoka Algeria, mfuasi wa harakati inayopigania kujitawala kwa Sahara…
FIFA yaitoza Israel mamilioni kisa Palestina
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (FIFA) limeipa Israel adhabu ya faini kiasi cha Sh491...
TZ lauded as leader in clean cooking energy
DODOMA: THE Commissioner for Electricity and Renewable Energy, Engineer Innocent Luoga, has called on Ministry of Energy staff to intensify efforts to promote clean cooking energy in Tanzania, an agenda…
Kutoka msaidizi wa wasusi hadi mfanyabiashara wa kimataifa wa magauni ya harusi
Alikuwa binti mwenye ndoto kubwa, lakini safari ya kuzifikia haikuwa nyepesi. Hakuwa na elimu...
Ramadan spirit unites Zanzibaris, says Mwinyi
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Hussein Mwinyi has urged Zanzibaris to continue praying for peace and unity, saying the prevailing situation reflects citizens’ collective commitment to stability and harmony. Dr Mwinyi, made…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55….MACHI 20 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....MACHI 20 2026
#HABARI: Vikosi vya usalama vya Israel vimeripotiwa kuwashambulia kwa mabomu ya machozi waumini wa Kiislamu waliokuwa wakijaribu…
#HABARI: Vikosi vya usalama vya Israel vimeripotiwa kuwashambulia kwa mabomu ya machozi waumini wa Kiislamu waliokuwa wakijaribu kutekeleza Swala ya Eid karibu na eneo la Msikiti wa Al-Aqsa jijini Jerusalem.…
Union, Zanzibar govts move to expand job opportunities
ZANZIBAR: THE Union and Zanzibar governments have opened a new chapter of cooperation aimed at expanding employment opportunities, both locally and abroad, while improving working conditions for youth and women.…
Mbunge wa Jimbo la Segerea Agnesta Lambert Kaiza ameendelea kuonesha moyo wa kujali jamii kwa kutoa msaada wa vyakula, vifaa vya…
Mbunge wa Jimbo la Segerea Agnesta Lambert Kaiza ameendelea kuonesha moyo wa kujali jamii kwa kutoa msaada wa vyakula, vifaa vya shule pamoja na fedha taslimu kwa watoto yatima, ikiwa…
MPs applaud expansion of communication services
DAR ES SALAAM: THE Parliamentary Standing Committee on Infrastructure has commended the government for expanding communication services across the country, urging citizens to fully utilise the opportunity to speed up…
Rais wa Nigeria Tinubu akamilisha ziara yake Uingereza kwa kusaini mikataba kadhaa
Baada ya kupokelewa kwa fahari kubwa na Mfalme Charles III katika Kasri la Windsor, Bola Tinubu ameendelea na ziara yake ya kiserikali nchini Uingereza siku ya Alhamisi, Machi 19. Wakati…
Japan provides 5bn/- to boost child health in Zanzibar
ZANZIBAR: THE government of Japan has provided nearly 2 million US dollars (about 5bn/-) to the United Nations Children’s Fund (UNCEF) to support efforts aimed at improving child wellbeing through…
Tanzania nears 70bn/- fibre deal with DRC
DAR ES SALAAM: TANZANIA is in the final stages of implementing a 70bn/- fibre optic expansion project to the Democratic Republic of Congo (DRC), targeting over 10 million people in…
#MICHEZO: Mvutano kati ya taifa la Senegal na Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) umefikia hatua mpya ya kushtua baada ya Koc…
#MICHEZO: Mvutano kati ya taifa la Senegal na Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) umefikia hatua mpya ya kushtua baada ya Kocha wa Senegal, Pape Thiaw, kuripotiwa kulipeleka taji la…
#HABARI: Kanisa Katoliki nchini Kenya, limewakosoa vikali Rais William Ruto na viongozi wa upinzani wakiongozwa na aliyekuwa Nai…
#HABARI: Kanisa Katoliki nchini Kenya, limewakosoa vikali Rais William Ruto na viongozi wa upinzani wakiongozwa na aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua, kwa kueneza cheche za matusi hadharani. Usemi huo…
PSSSF hosts Iftar, extends support to vulnerable groups in Zanzibar
ZANZIBAR: THE Public Service Social Security Fund (PSSSF) has reaffirmed its commitment to enhancing social welfare by extending support to vulnerable communities during a special Iftar event in Zanzibar. At…
Jubilei ya Dhahabu ya TanTrade: Miaka 50 ya kuijenga Tanzania ya biashara kimataifa
Akizungumza kuhusu mafanikio hayo, Mkurugenzi wa TanTrade, Dk Latifa Mohamed Hamisi, amesema...
Mkewe William Kamket akumbuka maneno ya mwisho ya mwanawe kabla ya kupelekwa ICU
Mbunge wa Tiaty William Kamket na mkewe wanaelezea huzuni yao kwa kufiwa na mtoto wao wa kiume, wakitafakari kumbukumbu zake nzuri wakati wa misa ya mazishi yake.
How politics of insults, threats tear Kenya apart ahead of 2027 polls
NAIROBI: A DANGEROUS trend is emerging in Kenya’s political conversation as the country nears the upcoming General Election, set for August 2027. This trend involves the use of insults, ridicule,…
Msemaji wa IRGC: Uzalishaji wa makombora unaendelea hata wakati wa vita
Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema: "Hakuna wasiwasi katika uwanja wa makombora kwa sababu tunazalisha makombora hata wakati wa vita, jambo ambalo linashangaza, na…
Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Upendo Wella, amefturisha waumini wa dini ya Kikristo na Kiislamu waliopo katika kipindi cha mfungo wa…
Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Upendo Wella, amefturisha waumini wa dini ya Kikristo na Kiislamu waliopo katika kipindi cha mfungo wa Ramadhani na Kwaresima. Akizungumza katika tukio hilo, amesema lengo…
Meya wa New York: Ninapinga mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Zahran Mamdani, meya Mwislamu wa New York, ametuma ujumbe wa salamu za Sikukuu ya Nowruz na mwaka mpya wa Kiirani kwa Wairani na kutangaza kwamba bado anapinga mashambulizi ya kijeshi…
TZ seeks to boost Chinese investment in textiles
CHINA: TANZANIA has stepped up a charm offensive to attract Chinese capital into textiles, agro processing and mineral beneficiation, as it seeks to accelerate industrialisation and reduce reliance on imports.…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi imetangaza dau nono la Tshs: milioni mbili (2,000,000) kwa mwananchi yeyote atak…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi imetangaza dau nono la Tshs: milioni mbili (2,000,000) kwa mwananchi yeyote atakayeleta taarifa za kuthibitika za wananchi wasio waaminifu wanaohujumu miundombinu ya…
Ufaransa, Côte d’Ivoire, na Benin kujitolea kwa ushirikiano wa kupambana na ugaidi
Wakati wa mkutano wa pande tatu uliofanyika siku ya Alhamisi, Machi 19, huko Cotonou, wakuu wa vikosi vya kijeshi vya Ufaransa, Côte d’Ivoire, na Benin wamekubaliana kuendelea na ushirikiano wao,…
Polisi yajipanga Sikukuu Eid Fitri
JESHI la Polisi limesema limejipanga kuimarisha hali ya usalama wakati wa maadhimisho ya Eid al-Fitr nchini. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema hali ya usalama nchini ni shwari…
Police assure peaceful Eid
DODOMA: AS Muslim believers conclude the Holy Month of Ramadan, the Police Force has issued a comprehensive security assurance to the public ahead of the Eid El Fitr celebrations. In…
Mambo 10 muhimu kwa Muislam siku ya Eid
Sikukuu ya Eid ni miongoni mwa siku muhimu zaidi kwa Waislamu duniani, ikiwa ni hitimisho la...
Tanzania defends voluntary repatriation process of Burundian refugees
DAR ES SALAAM: TANZANIA has reaffirmed its commitment to ensuring that the ongoing repatriation of Burundian refugees is conducted in a voluntary, safe and dignified manner, in line with national…
TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa, wananchi waonywa
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya tahadhari na angalizo la mvua kubwa...
Israel yasema imesitisha mashambulio dhidi ya vituo vya gesi Iran
Israeli imeahidi kujizuia kutekeleza mashambulio dhidi ya miundombinu kuu ya gesi nchini Iran. Imechapishwa: 20/03/2026 – 08:54 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata Hatua ya Israel…
Waislamu duniani waadhimisha siku kuu ya Eid ul Fitr
Waislamu duniani wanaadhimisha Eid-ul-Fitr leo Ijumaa baada ya kuonekana kwa mwezi mpevu siku ya Alhamisi jioni, kuashiria kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. lakini baadhi ya nchi zitaadhimisha sikukuu hiyo…
Experts flag internet, systems as key to tax reforms
DAR ES SALAAM: ANALYSTS have described the newly released Presidential Commission on Tax Reforms report as pro-revenue and progrowth. They cited its strong focus on digitalising tax collection and formalising…
Idadi ya watu waliouawa katika mashambulio Iran yapita 3100
Zaidi ya watu 3,186 wameuawa nchini Iran tangu kuzuka kwa mapigano Februari 28 kulingana na Shirika la kutetea haki za binadamu (Hrana) lenye makao yake nchini Marekani. Imechapishwa: 20/03/2026 –…
Kivuli cha mauti juu ya mawaziri wa Marekani; ndege zisizo na rubani zamuandama Rubio na Hegseth
Maafisa wa serikali ya Marekani wamegundua ndege zisizo na rubani zisizojulikana juu ya kambi ya kijeshi huko Washington ambako Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Vita wa Marekani…
Mwanamume wa Uasin Gishu Atafuta Familia Yake baada ya Kutoka Gerezani Alikofungwa Miaka 37
Joseph Ng'ang'a Ngugi, aliyeachiliwa baada ya miaka 37 katika Gereza la Shimo la Tewa, anatafuta familia yake iliyotoweka wakati na migogoro..........
Dk Nchimbi: Tulinde Misitu
MAKAMU wa Rais, Emmanuel Nchimbi amesema sekta ya misitu ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa nchi, akibainisha kuwa sekta hiyo inachangia takribani asilimia 20 ya Pato la Taifa. Dk…
Takukuru yabaini kasoro miradi ya Sh37 bilioni Mara
Ukaguzi huo ulifanyika kuanzia Julai 2021 hadi Septemba 2025, ukihusisha sekta za afya, maji...
JKIA: Afueni Mkenya Akirejea Nyumbani baada ya Miezi Kadhaa Katika Vita vya Urusi na Ukraine
Familia ya WarKelvin Koriko ilishiriki katika nyimbo na densi huko JKIA baada ya kurejea Kenya kutoka Urusi ambako alikuwa akipigana vita dhidi ya Ukraine.
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….MACHI 20 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....MACHI 20 2026
#MEZAHURU: Unahisi kwa nini asilimia kubwa ya watu hawana elimu ya KUTUNZA FEDHA AU KUIZUNGUSHA..?wanatumia fedha hovyo wakipata
#MEZAHURU: Unahisi kwa nini asilimia kubwa ya watu hawana elimu ya KUTUNZA FEDHA AU KUIZUNGUSHA..?wanatumia fedha hovyo wakipata -Weka maoni yako.
#HABARI: Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amefanya mwonekano wa nadra na wa kushtukiza hadharani leo Machi 20, 2026, l…
#HABARI: Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amefanya mwonekano wa nadra na wa kushtukiza hadharani leo Machi 20, 2026, lengo likiwa ni kukomesha uvumi uliosambaa kwa wiki kadhaa kwenye mitandao…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….MACHI 20 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....MACHI 20 2026
RDC: Watu wanane wafariki dunia katika ajali ya boti Ziwa Albert
Watu wasiopungua wanane wamekufa na wengine kumi na saba wameokolewa wakati wa ajali ya Boti iliyokuwa ikisafirisha abiria na mizigo kadhaa ilipozama katika Ziwa Albert, baada ya kukabiliwa na upepo…
Mke wa pili wa Karangu Muraya azungumza baada ya yeye na Triza Njeri kukubali kulea kwa ushirikiano
Karangu Muraya na Triza Muraya watangaza mpango wao wa amani wa malezi mwenza kufuatia uhusiano mgumu, huku mke wake wa pili Carol akiongeza mawazo yake mtandaoni.
Njugush, Celestine Ndinda wawasha tetesi baada ya kwenda gym moja licha ya madai wanatengana
Celestine Ndinda, almaarufu Wakavinye, na mumewe Njugush wanakabiliwa na uvumi wa kutengana baada ya kutofanya bathidei zao. Mashabiki wanatazamia uwazi kutoka kwao
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ….MACHI 20 , 2026
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ....MACHI 20 , 2026
Magazeti ya Kenya: Idara ya Hali ya Hewa yaonya kuhusu mafuriko, maporomoko ya ardhi kaunti kadhaa
Magazeti ya Kenya yaliangazia maonyo kutoka Idara ya Hali ya Hewa ya Kenya, yakisisitiza tahadhari ya mvua kubwa iliyoongezeka, na kuwasihi wakazi kuwa macho.