KONA YA MSTAAFU: Wastaafu tujihadhari na mikopo ya kununua madeni yetu
Wiki za karibuni mstaafu wetu amekuwa akishangazwa na mfululizo wa matangazo kutoka hizi benki...
Wastaafu tujihadhari na mikopo ya kununua madeni yetu
Wiki za karibuni mstaafu wetu amekuwa akishangazwa na mfululizo wa matangazo kutoka hizi benki...
Milipuko yasikika Jerusalem huku Netanyahu akisema Israel ‘ilichukua uamuzi peke yake’ kushambulia kiwanda cha gesi cha Iran
Katika mkutano wake na wanahabari, Netanyahu alikanusha madai kuhusu uhusiano kati ya Marekani na Israel, ambao anajua unamsababishia Trump matatizo mengi.
Jinsi Iran inavyopendelea vita virefu kuliko kusitisha mapigano
Brigedia Jenerali Reza Talaeinik, msemaji wa Wizara ya Ulinzi, pia alisema kwamba Iran inaweza kudumisha "ulinzi wa kushambulia" mara nyingi zaidi kuliko adui anavyotarajia.
Je, vita na Iran vinamfanya Kim Jong Un awe na hofu kuhusu mustakabali wa Korea Kaskazini?
Korea Kaskazini ililaani mashambulizi haraka, ikiyaita "kitendo kisichokubalika cha uchokozi."
🔴TAARIFA YA HABARI ASUBUHI MACHI 20, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI ASUBUHI MACHI 20, 2026
Watendaji wanaogeuza huduma ya maji ya umma kama biashara binafsi ya kufanyia uchuuzi
Watendaji wanaogeuza huduma ya maji ya umma kama biashara binafsi ya kufanyia uchuuzi. Je, waadhibiwe kama wahujumu uchumi?
Iran yamjibu waziri wa mambo ya nje wa Saudia
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza umuhimu wa hatua za haraka kutoka kwa nchi za eneo la Asia Magharibi ili kuzuia kuendelea kwa matumizi ya ardhi…
Onyo la Pezeshkian kuhusu uhalifu wa Marekani na utawala wa Kizayuni: Moto wa mgogoro huu utaathiri wengi
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa onyo kuhusu uhalifu wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran, akisisitiza kuwa moto wa mgogoro huu unaweza kuenea…
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa: Real Madrid na Man United zampigania Bruno Guimaraes.
Bruno Guimaraes apiganiwa na baadhi ya timu zenye majina makubwa, Manchester United wako tayari kukataa mkopo wa msimu mwingine kwa Marcus Rashford, na nahodha wa Tottenham Cristian Romero apuuza mazungumzo…
Jeshi la Iran lalenga ndege ya kivita ya Marekani aina ya F‑35
Ndege ya kivita ya kimkakati aina ya F‑35 ya Jeshi la Marekani imelengwa kwa kombora na kuharibiwa vibaya ikiwa inaruka katika anga ya kati mwa Iran kwa lengo la kutekeleza…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 20, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Vunjo yajipanga kufufua zao la kahawa, miche 500,000 ya kisasa ikipandwa
Wakati Jimbo la Vunjo, Mkoani Kilimanjaro likipanga kuotesha miche 500,000 ya kahawa ya kisasa...
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MACHI 19, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MACHI 19, 2026
“Kwa asilimia kubwa hawa wanaoendesha bodaboda kundi kubwa ni la vijana, na vijana wana mambo mengi, wakati mwingine wana mihemk…
"Kwa asilimia kubwa hawa wanaoendesha bodaboda kundi kubwa ni la vijana, na vijana wana mambo mengi, wakati mwingine wana mihemko katika hali yao ya ujana wana mambo ya starehe...lakini pia…
“Kwa sasa hivi kwa wale ambao wanakuja kuingia kwenye mfumo, lazima aje akiwa amekamilika, akiwa na leseni….kwa sasa anaekuja …
"Kwa sasa hivi kwa wale ambao wanakuja kuingia kwenye mfumo, lazima aje akiwa amekamilika, akiwa na leseni....kwa sasa anaekuja kujiunga kwenye kituo chochote lazima aje amejikamilisha...ukienda LATRA kuna maelekezo kabisa…
“Muitikio kwa watu wanaokuja kujifunza uendeshaji salama wa vyombo vya moto ni mkubwa na ni mzuri lakini sio kwa waendesha pikip…
"Muitikio kwa watu wanaokuja kujifunza uendeshaji salama wa vyombo vya moto ni mkubwa na ni mzuri lakini sio kwa waendesha pikipiki na bajaji..."-Faustine Matina -Mkufunzi wa Udereva Magari na pikipiki…
MTIBWA SUGAR: “…tumepata muda wa kutosha wa kupumzika…tumeangalia mechi zao”
MTIBWA SUGAR: “…tumepata muda wa kutosha wa kupumzika…tumeangalia mechi zao” Kikosi cha Mtibwa Sugar FC kinaendelea na tizi la nguvu kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi, Jamhuri…
YANGA SC: “…tumeshavuka kipindi kigumu”
YANGA SC: “…tumeshavuka kipindi kigumu” Kikosi cha Yanga kimewasili jijini Dodoma tayari kwa mchezo wao wa Jumamosi dhidi ay Mtibwa, huku msemaji wake Ally Kamwe akiwahakikishia mashabiki kwamba sasa ni…
#NBCPL “…ilikuwa ni lazima wafungwe”
#NBCPL “…ilikuwa ni lazima wafungwe” . Neno kutoka kwa Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ baada ya mechi, ambaye anasema imekuwa ni bahati kwa Azam FC kutoka kwenye mchezo…
#HABARI: Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Afya ya Kinywa na meno kutoka Wizara ya Afya Dkt Baraka Nzobo, amesema asilimia 70 y…
#HABARI: Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Afya ya Kinywa na meno kutoka Wizara ya Afya Dkt Baraka Nzobo, amesema asilimia 70 ya watu wenye changamoto ya afya ya kinywa na…
Kuelekea Sikukuu ya Eid Fitri, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) Mkoa wa Dodoma imetoa msaada kwa watoto yatima na wenye mahitaji m…
Kuelekea Sikukuu ya Eid Fitri, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) Mkoa wa Dodoma imetoa msaada kwa watoto yatima na wenye mahitaji maalumu katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Rahmani.…
#NBCPL “…kila anayekuja hapa lazima achinjwe”
#NBCPL “…kila anayekuja hapa lazima achinjwe” Neno kutoka kwa mashabiki kwenye Dimba la CCM Kirumba baada ya mechi…. Pamba Jiji wanatamba “…timu yoyote itakayokuja Kirumba, haitoki..siyo Simba tu…” Lakini Simba…
Wadau Katika sekta ya usuluhishi nchini wamehimizwa kushirikiana na serikali katika kuongeza ushiriki wa wanawake katika utatuzi…
Wadau Katika sekta ya usuluhishi nchini wamehimizwa kushirikiana na serikali katika kuongeza ushiriki wa wanawake katika utatuzi wa migogoro inayojitokeza katika jamii ambayo athari zake huwafikia watu wengi bila kujali…
Kiwango cha mamlaka za maji ambazo utendaji wake hauridhishi kimeongezeka kutoka asilimia mbili hadi nne kwa kipindi cha mwaka 2…
Kiwango cha mamlaka za maji ambazo utendaji wake hauridhishi kimeongezeka kutoka asilimia mbili hadi nne kwa kipindi cha mwaka 2024/2025. Hayo yamebainishwa katika ripoti ya utendaji wa Mamlaka za Maji…
TRA Dodoma yawapa tabasamu wenye uhitaji
DODOMA: Kaimu Meneja wa Mkoa wa TRA Dodoma, Obrey Sillayo, akiambatana na Kaimu Meneja wa Huduma kwa Mlipakodi pamoja na maafisa wengine wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wametoa mkono…
Azam Ice Cream imeendelea kusogeza huduma kwa wananchi kwa kuzindua duka jipya leo katika eneo la Bandari Kavu, Makongo Mwisho, …
Azam Ice Cream imeendelea kusogeza huduma kwa wananchi kwa kuzindua duka jipya leo katika eneo la Bandari Kavu, Makongo Mwisho, Dar es Salaam. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi (Feed generated…
Mkutano wa Injili ulioratibiwa na Shirika la A Light to the Nation, ambao awali ulizuiwa na serikali ya Mkoa wa Tabora kutokana …
Mkutano wa Injili ulioratibiwa na Shirika la A Light to the Nation, ambao awali ulizuiwa na serikali ya Mkoa wa Tabora kutokana na kuwepo kwa viashiria vya kwenda kinyume na…
🔴MALUMBANOYAHOJA: NINI KIFANYIKE BODABODA ZITUMIKE KAMA FURSA BADALA YA KUGEUKA JANGA?
🔴MALUMBANOYAHOJA: NINI KIFANYIKE BODABODA ZITUMIKE KAMA FURSA BADALA YA KUGEUKA JANGA?
Mama Migori Ampoteza Mwanawe Aliyedungwa Kisu na Kuuwawa Siku Moja Baada ya Mumewe Kuaga Dunia
Familia ya Migori inamuomboleza Brian Marwa, bawabu aliyeuawa na rafiki yake. Huzuni iligeuka kuwa wito wa haki huku wakikabiliwa na msiba wa kuhuzunisha.
Rafiki, majirani wasimulia mauaji ya mtalaamu sauti za filamu
Iliyokuwa hadithi ya mapenzi yenye matumaini na ndoto za pamoja, imegeuka simulizi ya kushtua...
Mfanyabiashara mbioni kukata rufaa baada ya korti kukataa ombi lake la kutaka Kindiki ang’atuliwe
Mfanyabiashara amemkaba kisherias Kithure Kindiki, akitafuta jopo la majaji watano kushughulikia masuala ya kikatiba katika mzozo unaoendelea wa kumng'atua Kindiki.
#HABARI: Katika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 inayolenga kujenga uchumi imara na shindani, Benki Kuu ya Ta…
#HABARI: Katika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 inayolenga kujenga uchumi imara na shindani, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa mafunzo kwa walemavu kuhusu utambuzi wa alama…
#HABARI: Wenyeviti wa serikali za vijiji vya Nambawala ‘A’ na ‘B’ wilayani Masasi, Emmanuel Swedi na Johnson Gideon, wameonya ku…
#HABARI: Wenyeviti wa serikali za vijiji vya Nambawala 'A' na 'B' wilayani Masasi, Emmanuel Swedi na Johnson Gideon, wameonya kuwa hawatasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya wananchi wanaofanya…
#HABARI: Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini mkoani Mtwara umetoa zawadi za vyakula kwa wafanyakazi wake 245 kama s…
#HABARI: Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini mkoani Mtwara umetoa zawadi za vyakula kwa wafanyakazi wake 245 kama sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Eid el-Fitr na kutambua…
Tanzania na viwango hafifu vya furaha, wananchi waeleza ya moyoni
Je, wewe ni Mtanzania Unafurahia maisha Jibu la swali hilo unalijua mwenyewe, lakini Tanzania...
Kupambana na mafuriko Nairobi: Sakaja aanzisha usafishaji, kuhamisha watu kwenye kingo za mto
Gavana Johnson Sakaja ameamuru kubomolewa kwa majengo yote haramu kwenye kingo za mto ili kupambana na mafuriko, kurejesha mtiririko bora wa maji.
#HABARI: Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt Abubakar Zubeir, ametangaza rasmi kuwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani utaendelea kwa…
#HABARI: Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt Abubakar Zubeir, ametangaza rasmi kuwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani utaendelea kwa siku ya kesho baada ya mwezi kutoandama katika maeneo mbalimbali nchini.…
Vera Sidika akanusha madai anachumbiana na Tipsy Gee: “Mtu alianza huo uvumi”
Sosholaiti wa Kenya Vera Sidika anakana madai ya kuchumbiana na Gen Z msanii kwa jina Tipsy Gee hasa kutokana na kuonekana pamoja Naivasha Safari Rally.
Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar imesema kuwa leo Alhamisi mwezi haujaandama na kwamba Waislamu wanatakiwa kuendelea na mfungo wa…
Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar imesema kuwa leo Alhamisi mwezi haujaandama na kwamba Waislamu wanatakiwa kuendelea na mfungo wa Ramadhani. Taarifa ya Mufti huyo kwa vyombo vya habari imesema…
Sh8 bilioni kubadilisha Kampasi ya MUST Mtwara, Kuimarisha Elimu ya Ufundi
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekabidhiwa rasmi miundombinu ya...
Askofu Shoo apendekeza neno haki liwekwe kwenye wimbo wa Taifa
Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk...
Askofu mpya Jimbo Katoliki Bariadi asimikwa, viongozi wa dini waonya
Viongozi wa dini wameonywa kutojikita katika kutafuta utukufu wa wanadamu bali kumtukuza Mungu,...
TWCA yagawa vitabu kuhamasisha masomo ya biashara
Katika juhudi za kuimarisha elimu na kuwajengea wanafunzi msingi imara wa taaluma za biashara...
Mkutano wa Injili Tabora kufanyika kwa masharti
Sakata la zuio la mkutano wa Injili mkoani Tabora limechukua sura mpya baada ya Serikali...
Aliyekataa penalti ya Yanga vs Azam, Singida BS vs Simba wafungiwa
WAAMUZI Hussein Katanga kutoka Tabora na Ally Mnyupe wa Morogoro, wamekumbana na adhabu za kufungiwa kutokana na makosa yaliyotokea kwenye michezo waliyochezesha.
#HABARI: Kupitia ukurasa rasmi wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt
#HABARI: Kupitia ukurasa rasmi wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa tayari ametoa maelekezo rasmi ya kisheria kufuatia picha na video…
Vigogo wamebanwa mbavu Ligi Kuu
Wakati jana mashabiki wa Simba wakifurahia sare ya mchezo wa TRA United dhidi ya Yanga, leo...