“….kwa Wabunge ambao ni wapya kwenye Kamati hii hiki Chuo kina mabadiliko makubwa sana tofauti na kilivyokuwa huko nyuma na ma…
"....kwa Wabunge ambao ni wapya kwenye Kamati hii hiki Chuo kina mabadiliko makubwa sana tofauti na kilivyokuwa huko nyuma na mara nyingi Watanzania wengi walipokuwa wanasikia NIT akili yao yote…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Segerea (CHAUMMA), Mhe
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Segerea (CHAUMMA), Mhe. Agnesta Kaiza, ametembelea Kituo cha Watoto Yatima cha Mwana Orphanage jijini Dar es Salaam, na kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali yakiwemo chakula,…
Polisi Kilimanjaro yamtia mbaroni mtuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara Hai
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Kimira, Kata ya Romu...
Wanawake wanufaika wa Tasaf wafungua kiwanda cha kusaga karanga
Wanawake 15 wa kikundi cha Wasikivu katika Mtaa wa Kabangaja, Manispaa ya Ilemela mkoani...
Chuo cha Nyerere chajivunia mifumo bora Tehama
DAR ES SALAAM: Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kimeboresha mifumo ya Tehama ambayo itasaidia kufundisha kwa njia ya mtandao ndani na nje ya chuo. Akizungumza leo Machi 16, jijini…
#MICHEZO:Tuhuma za timu mbalimbali kuwa na tabia za kupulizia kemikali katika vyumba vya kubadilishia nguo za timu pinzani hazip…
#MICHEZO:Tuhuma za timu mbalimbali kuwa na tabia za kupulizia kemikali katika vyumba vya kubadilishia nguo za timu pinzani hazipaswi kupuuzwa. @hoseamchopa kupitia Kambi ya Michezo ya Radio One, amezungumza na…
Kairuki ataka ulinzi nyanzo vya maji
MOROGORO: WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki amesema bila majisafi na salama jamii haiwezi kustawi, uchumi hauwezi kukua na mazingira hayawezi kuendelea. Kufuatia umuhimu huo jamii inalo…
Mwenyekiti wa kijiji mbaroni kwa madai ya kumpa ujauzito mwanafunzi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Mlangoni, Wilaya ya...
Mkuranga yajadili, kupitisha mpango wa maendeleo ikilenga kuwa na manispaa tatu
Wadau mbalimbali wakiwemo wananchi, taasisi wezeshi na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
Waziri Mkuu aagiza walionunua mabati yasiyofaa Katavi wakamatwe
Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kukamatwa kwa watu wote waliohusika na ununuzi wa...
Kiambu: DCI Yawakamata Washukiwa 2 Akiwemo Mnigeria Anayehusishwa na Ulanguzi wa Dawa za Kulevya
Maafisa wa upelelezi Kiambu wamewakamata washukiwa wawili akiwemo Mnigeria anayehusishwa na biashara ya mihadarati. Ushahidi muhimu ulipatikana kwenye eneo
Sheria mpya za soka 2026 kupiga vita kupoteza muda
MABADILIKO ya sheria za soka ambazo kimsingi zitaanza kufanya kazi wakati wa Kombe la Dunia 2026 kabla ya kuhamia karika ligi mbalimbali, yamemuibua mkufunzi wa waamuzi nchini, Soud Abdi ambaye…
Wizara ya afya ,Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ,Wizara ya elimu ,Wizara ya ujenzi pamoja na shirika la maendeleo la watu wa Ja…
Wizara ya afya ,Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ,Wizara ya elimu ,Wizara ya ujenzi pamoja na shirika la maendeleo la watu wa Japan wameandaa mradi wa kuboresha huduma…
EALA swears in Ambassador Kombo as its new member
DAR ES SALAAM: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Mahmoud Thabit Kombo, has been sworn in as a Member of the East African Legislative Assembly (EALA). The…
Watanzania washauriwa kumuenzi Magufuli kwa kuwajali wenye uhitaji
Maadhimisho hayo yanatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wa dini, wanasiasa, wanajamii na wananchi...
Familia yaiangukia Serikali kupotea kwa mtoto wao
Imeelezwa ni siku 12 sasa familia imegubikwa na giza nene kuhusu aliko mtoto huyo kumsaka bila...
TTCL launches hyper-speed FAIBA internet service
DAR ES SALAAM: IN efforts to strengthen Tanzania’s communications infrastructure and expand access to reliable internet services across the country, the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL) has officially launched a new…
MNH gets 4bn/- for the construction of the 21bn/-private ward building
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has allocated 4bn/- to Muhimbili National Hospital so that it can continue the construction of a four-floor private ward building worth 21bn/- Speaking today,…
Kairuki ataka wadau wa maji kuja na mpango wa kusaidia wenye ulemavu
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, amewataka watumishi wa Wizara...
Tanzania seeks to increase the number of AI, data science experts
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has announced plans to increase the number of specialists in Information and Communication Technology (ICT), Artificial Intelligence (AI) and Data Science by sponsoring Tanzanian…
Hofu yatanda Hormuz ikifungwa, Marekani yaita washirika kuifungua
Wito wa Trump unakuja wakati vita kati ya Israel, anayeshirikiana na Marekani, dhidi ya Iran...
#HABARI: Watu wawili wamefariki dunia na wengine wanne wa familia moja wamejeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati mvua kubwa i…
#HABARI: Watu wawili wamefariki dunia na wengine wanne wa familia moja wamejeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika Kijiji cha Kilosa mpepo, wilayani Malinyi mkoani…
Wawili wafa ajali ya jahazi Nungwi, watatu hawajulikani walipo
Wakati mwili wa aliyekuwa mtumishi wa afya, Amos Sika (33), ukipatikana, watu wawili wamefariki...
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, leo Machi 16, 2026 imefanya ziara katika Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania …
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, leo Machi 16, 2026 imefanya ziara katika Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania jijini Dar es Salaam (TCAA), na kujionea utendaji kazi…
“….Mheshimiwa Waziri tunaomba umsimamie Mkandarasi yapo malalamiko ya malipo ambayo yanatolewa kwa wafanyakazi ambayo si haki …
"....Mheshimiwa Waziri tunaomba umsimamie Mkandarasi yapo malalamiko ya malipo ambayo yanatolewa kwa wafanyakazi ambayo si haki stahiki kwa hiyo ni vizuri mkakaa naye mkaangalia kwa upana mazingira ambayo anawalipa wale…
#HABARI: Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, amesema mdahalo wa wadau kuhusu maji na jinsia ni furs…
#HABARI: Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, amesema mdahalo wa wadau kuhusu maji na jinsia ni fursa muhimu ya kuhakikisha wanawake, vijana na makundi maalum wanapata upatikanaji…
Call for timely payment to the Aviation College’s contractor, to protect its workers’ rights
DAR ES SALAAM: THE Parliamentary Standing Committee on Infrastructure has urged the government to ensure that workers’ rights are protected and that the contractor is paid on time so that…
Tanzania insists on adopting adaptive leadership in health service delivery
ARUSHA: THE Tanzanian government has emphasized the importance of adopting adaptive leadership to improve health service delivery and tackle challenges facing the sector. Speaking on March 16, 2026, in Arusha…
Dar Hospital cautions on death threats from respiratory diseases
DAR ES SALAAM: TANZANIANS have been asked to create a culture of testing for respiratory diseases, as they have been contributing to many deaths in the country. The advice was…
Serikali yatakiwa kutenga fedha za ukarabati wa majengo kila mwaka
Serikali imetakiwa kuweka utaratibu thabiti na wa kitaalamu wa kufanya ukarabati wa majengo ya...
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata watu wawili kwa tuhuma za matukio hatarishi yanayohusisha bastola na kupig…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata watu wawili kwa tuhuma za matukio hatarishi yanayohusisha bastola na kupiga risasi hovyo, yanayohatarisha usalama wa jamii. Kesi ya kwanza imehusisha Ibrahimu Ideva…
Mafrrmbanya: Video ya Pasta Kanyari Akiwaongoza Kondoo Wake Kuimba Wimbo Mchafu Kanisani Yaibua Gumzo
Video ya mchungaji Kanyari akiimba wimbo wa kilimwengu "Mafrrmbanya" ilizua hisia tofauti, na kuibua hisia kuhusu burudani za kanisa na maana yake.
Serikali kuendelea kupeleka wanafunzi nje kusomea AI
Profesa Mkenda amesema maendeleo ya teknolojia ya akili unde yana faida nyingi katika maendeleo...
Wagonjwa wa ICU Waasha Moto na Kuua Watu 10 Katika Hospitaki Kubwa ya India
Takriban wagonjwa 10 walifariki na 11 kujeruhiwa katika moto iliyotokea katika Chuo cha Matibabu cha SCB nchini India, uliosababishwa na mzunguko mfupi ICU
Namba za Dube zamfunika Depu, mastaa Simba wakomaliwa
Kuna eneo moja ambalo Prince Dube na Laurindo Dilson ‘Depu’ wanapigana vikumbo kwenye Ligi hivi...
Daily Mail: Trump amekwama kwenye kinamasi
Gazeti la Daily Mail linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa Iran imethibitisha kuwa ina nguvu na imejiandaa vizuri sana kuliko vile ilivyokuwa ikidhaniwa na Marekani.
Kamanda Naeini: Iran inadhibiti kikamilifu Lango Bahari la Hormuz
Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Lango Bahari la Hormuz linadhibitiwa kikamilifu na Iran na kwamba uchokokozi wowote utakabiliwa na jibu kali.
Mchambuzi wa Marekani: Wananchi wa Marekani wanachukizwa na vita vya Trump dhidi ya Iran
Mchambuzi wa Marekani ameeleza kuwa wapiga kura wa nchi hiyo wamekasirishwa na hatua ya rais wa nchi hiyo ya kuiburuta Washington katika vita na Iran.
Araqchi: Kushambulia maghala ya mafuta ni kuangamiza mazingira
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kitendo cha kushambulia maghala ya kuhifadhia mafuta katika mji wa Tehran ni sawa na kuangamiza mazingira.
Karatasi za Kesi ya Tuju Zatoweka Huku Mali Yake Ikibabiliwa Kupigwa Mnada
Mgogoro wa kisheria wa Raphael Tuju na Benki ya EAD unakabiliwa na ucheleweshaji baada ya kesi muhimu kushindwa kuendelea katika mahakama ya kibiashara.
Urithi wa Magufuli; mafanikio, changamoto na mjadala wa haki za binadamu
Moja ya vipengele vilivyomfanya ashikilie kumbukumbu ya wananchi ni majina ya utani aliyoyapata...
Strait of Hormuz: Which countries’ ships has Iran allowed safe passage to?
TEHRAN: DURING the United States-Israeli war on Iran, Tehran has said the Strait of Hormuz is open to all except the US and its allies. One-fifth of the world’s oil…
Mwanafunzi wa Kidato cha 3 Apatikana Mochari Baada ya Kutoroka Shuleni
Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 15 kutoka Shule ya Sekondari ya Riamukurwe alipatikana katika makafani Nyeri PGH kufuatia ajali mbaya ya barabarani.
Martha Karua Atoa Tamko Baada ya NTV kufichua kura za Raila Zilivyoibwa 2007
Martha Karua alikanusha kuhusika katika madai ya wizi wa kura 2007 baada ya NTV kuelezea matukio ya kina kuhusu Raila Odinga alivyopoteza kwa rais Mwai Kibaki