‘Tanzania systems fully functional’
GENEVA: TANZANIA remains firmly on course in safeguarding its global image and has not fallen into the category of nations unable to conduct independent assessments, investigations and issue findings on…
Johana Ng’eno: Dakika za mwisho za mwathiriwa aliyejaribu kuruka kutoka kwenye chopa wakati wa ajali
Habari za kuhuzunisha zinatoka kwa familia ya Amos Rotich, mlinzi wa Huduma ya Misitu nchini Kenya ambaye alifariki katika ajali ya helikopta huko Mosop, Nandi.
Tanzania inayo mifumo ya kulinda haki za binadamu
Serikali imetoa msimamo ikisema Tanzania inayo mifumo ya kulinda haki za binadamu, ambayo ina...
Watanzania kunufaika mikopo ya nyumba bila dhamana
Watanzania wenye kipato cha chini ambao awali walishindwa kupata mikopo ya nyumba kutokana na...
Tanzania inavyoweza kukabili ongezeko bei ya mafuta duniani
Februari 28, 2026, Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi yao kwa Iran, yaliyosababisha...
‘Interfaith unity strengthens national peace’
MWANZA: TANZANIA has continued to break the chains of religious and ideological division by fostering social unity grounded in brotherhood, human dignity and shared humanity through strengthened national cohesion. This…
Gavana afunguka mpango wa Serikali kukuza biashara, benki mbili kuteka soko
Katika jitihada za kuchochea ukuaji wa sekta binafsi na kupanua fursa za mikopo kwa...
MCAs wa Azimio wajitenga na hoja mpya inayolenga kumng’atua Sakaja: “Tunatetea utulivu”
MCAs wa Nairobi wathibitisha umoja chini ya Muungano wa Azimio, wakataa kuunga mkono hoja ya kumng'atua Gavana Sakaja, waapa kutanguliza ajenda ya maendeleo ya jiji.
Je, vita baina ya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni halali?
Muda mfupi baada ya Marekani na Israeli kuanza kuishambulia Iran mnamo Februari 28, Rais Donald Trump aliishutumu Tehran kwa kujenga silaha za nyuklia ambazo zinatishia washirika wa Marekani na zinaweza…
Mauaji ya Ayatollah Khamenei: Jinsi Afrika inavyojibu kwa tahadhari, ukosoaji na huzuni
Serikali, vikundi vya kidini, na viongozi wa kijamii wamejibu kwa njia tofauti, wakionyesha uhusiano wa kidini na kisiasa wa muda mrefu kati ya Afrika na Iran.
Bunge la Seneti Marekani lashindwa kudhibiti nguvu za kivita za Trump huku Iran ikiishambulia Israel
Hatua hiyo ingesitisha hatua za kijeshi za Marekani nchini Iran bila idhini ya bunge.
Maelezo kuhusu mashtaka 22 yanayomkabili Sakaja kesi ya kumng’oa ofisini yaibuka: “Kusema mbwekse”
Gavana Johnson Sakaja ameshtakiwa kwa kuajiri maafisa 4,500 wa jeshi la kijani bila kufuata utaratibu uliowekwa. MCA wanataka kumng'oa madarakani.
Rehema: Ujane si hukumu, napambana kutunza wanangu
Kabla ya jogoo kuwika mara ya pili, maandazi ya kwanza huwa tayari yameiva, ya moto, yenye...
Profesa Hamo asimulia jinsi kumchiti mkewe kulivyomfanya awe maskini, aonya dhidi ya uzinzi
Mchekeshaji Profesa Hamo alimdanganya mkewe na Jemutai, na wakapata watoto wawili. Alishiriki video akionya jinsi kudanganya mke wake kulivyomfanya avunjike.
George Natembeya aondolewa kesi ya ufisadi, apewa fidia ya KSh 2.5m
Mahakama Kuu Ilifuta mashtaka yote dhidi ya Gavana George Natembeya, na kumpa fidia ya KSh 2.5 milioni kwa ukiukaji wa haki zake katika kesi ya ufisadi yenye kasoro.
Burundi: Mwanahabari aliyekuwa akizuiliwa tangu 2024 aachiwa huru
Mwanahabari kutoka nchini Burundi Sandra Muhoza, ambaye amekuwa akizuiwa tangu Aprili mwaka 2024 na baadaye kuhukumiwa jela miaka minne mwezi Januari, ameachiwa huru. Imechapishwa: 05/03/2026 – 04:37 Dakika 1 Wakati…
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi: Real Madrid yajiondoa katika harakati za kumsajili Rodri wa Man City
Real Madrid wasitisha hamu yao ya kumnunua Rodri wa Manchester City, vilabu vitatu vya Ligi Kuu ya Uingereza vyamtaka kiungo wa kati wa Juventus Khephren Thuram na Liverpool vinamhitaji winga…
Edwin Sifuna aeleza chanzo cha fedha za kampeni zake baada ya kuhusishwa na Uhuru Kenyatta
Sifuna amekanusha madai ya ufadhili wa Uhuru, akisisitiza kwamba mikutano ya Linda Mwananchi inafadhiliwa na waasi wa ODMi, marafiki, na wasamaria wema
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 5, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Energy access ‘essential’ for women’s development, says minister
DAR ES SALAAM: MINISTER for Community Development, Gender, Women and Special Groups, Dorothy Gwajima, has said access to reliable energy is critical to advancing women’s development and achieving gender equality.…
Spika Zungu aahidi mazingira bora ya kisheria kwa wanawake
Dar es Salaam. Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu ameahidi kuwa Bunge litakuwa mdau...
Samia ardhi kliniki, chachu ya kupunguza migogoro ya ardhi Simiyu
Simiyu. Uzinduzi wa kliniki ya ardhi, maarufu Samia Ardhi Kliniki umeelezwa kuwa chachu ya...
Kapinga aitaka Brela kuhakikisha usajili na leseni zinazalisha ajira
Amesema baraza hilo la pili katika mwaka wa fedha 2025/26 litajadili ajenda kuu mbili, ikiwemo...
Fahamu mbona mbunge Johanna Ng’eno aliamua kuoa akiwa na miaka 44 licha ya shinikizo za mamake
Wakenya wanamkumbuka Johana Ng'eno kwa safari yake ya binafsi ya kusisimua na kazi yake ya kisiasa, wakitafakari historia yake, familia na kifo katika mkasa wa chopa
Gavana Ntutu asema Ng’eno alikuwa amejitolea kumpa lifti kabla ya mkasa uliomuua: “I can pick you”
Gavana wa Narok Patrick Ole Ntutu alisimulia jinsi marehemu Johanna Ng’eno alivyompa nafasi ya kukaa ndani ya helikopta saa chache kabla ya mkasa kumuua Nandi.
Jemutai Comedian amjibu Prof Hamo anayedai kuchiti kumlimfanya awe maskini
Mchekeshaji wa Jemutai amevunja ukimya wake baada ya Prof Hamo wake wa zamani, kuzungumza kuhusu kashfa yao ya kudanganya. Alimkosoa kwa kuwaita watoto wao kosa.
Serikali yaagiza TET kuimarisha ufuatiliaji wa mitaala iliyoboreshwa
Dar es Salaam. Wakati mageuzi ya sekta ya elimu yakishika kasi nchini, Serikali imeitaka...
Kamandi ya Khatam al-Anbia: Wanajeshi 100 wa Marekani wameuawa katika shambulizi la Iran huko Dubai
Msemaji wa Kamandi ya Majeshi ya Iran ya “Khatam al-Anbia” ametoa taarifa akisema kuwa wanajeshi 100 wa Marekani wameuawa katika shambulizi la Iran huko Dubai.
Mjane wa Johana Ng’eno ajitia ujasiri akimuomboleza mumewe, video yawagusa wengi
Mjane wa Johana Ng'eno, Nayianoi Ntutu, alimuenzi mume wake kwa heshima kubwa. Alimkumbuka kwa jina lake la utani la Joha na jinsi alivyouchangamsha ujana wake.
Wakulyamba, Nyamhanga, Shilogile waagwa kwa gwaride rasmi
Makamishna walioagwa ni aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba, pamoja...
Serikali kuendelea kuwawezesha wanawake kutumia nishati safi
Kutokana na hilo, amehimizwa kuwa sehemu ya suluhisho kwa kuongoza mabadiliko ya matumizi ya...
MCAs wa Nairobi waamsha popo tena, waivisha mchakato wa kumng’oa Sakaja: “Tuna saini za kutosha”
Sehemu ya MCA wa jiji la Nairobi wakiongozwa na Waithera Chege wanalenga kumng'oa madarakani Gavana Johnson Sakaja, wakitaja mashtaka 22 dhidi yake.
Msako wa tiketi ya CAF
WIKIENDI hii hatua ya 32 Bora katika Kombe la Shirikisho (FA) inakwenda kuchezwa baada ya ile ya 64 kumalizika huku tukishuhudia timu moja kati ya 16 za Ligi Kuu Bara…
Johanna Ng’eno: Wakenya wamfariji mama ya marehemu wakati akiomboleza nyumbani kwa mwanawe Karen
Wakenya wanaomboleza Mbunge Johana Ng’eno na wengine watano waliofariki katika ajali ya helikopta. Mama yake alilia nyumbani kwake Karen, akifarijika na familia.
Madiwani waonywa vurugu kwenye halmashauri
KIGOMA: MADIWANI katika halmashauri za wilaya, miji na majiji wametakiwa kutokuwa chanzo cha vurugu zinazoweza kuchangia kuzorotesha uhusiano baina ya watendaji na madiwani na kukwamisha shughuli za maendeleo nchini na…
Anadolu: Iran imeitia Marekani hasara ya dola bilioni 2 hadi sasa, ACP yasema ni dola bilioni 5
Shirika la Habari la Anadolu limeripoti leo Jumatano kwamba tangu kuanza kwa vita vya sasa vya Marekani na Israel dhidi ya Iran, Jumamosi iliyopita, Jamhuri ya Kiislamu imeharibu zana za…
Tanzania kupanu utambuzi wa ujuzi sekta ya ubunifu
MOROGORO: Tanzania imeanza mchakato wa kupanua mfumo wa utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya elimu rasmi ili kuwanufaisha vijana na wanawake wanaojihusisha na sekta ya utamaduni na ubunifu. Hatua hiyo…
Araqchi: Trump amesaliti diplomasia na watu wa Marekani
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump ameisaliti diplomasia na watu wa Marekani waliompigia kura akisisitiza kuwa: Wakati uongo mkubwa unapopotosha…
Alichokisema Kihongosi ukaguzi ujenzi bandari kavu, stendi Kahama
Katika ukaguzi wa stendi ya mabasi Mbulu uliofikia asilimia 40, Kihongosi ametaka vibanda vya...
Wamachinga waliyoondolewa mitaa ya Uhuru na Msimbazi, Kariakoo
Tangazo liliwataka wafanyabiashara wanaopanga na kuuza bidhaa katikati ya barabara na njia za...
Military Watch: Fattah 2 haiwezi kuzuiwa na makombora ya Marekani
Jarida maarufu la Military Watch limefichua kuwa ni karibu muhali kuweza kuzuia kombora jipya la hypersonic la Iran, Fattah 2, kutokana na kasi yake ya kustaajabisha na uwezo wake mkubwa…
Nyota Azam awekwa chini ya uangalizi
KIUNGO mshambuliaji wa Azam, Nassor Saadun amewekwa chini ya uangalizi wa madaktari wa kikosi hicho baada ya kutoonekana uwanjani kutokana na majeraha ya nyama za paja.
Russia: Kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya mauaji ya wanafunzi nchini Iran kinashangaza
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya mauaji yaliyofanywa na Marekani dhidi ya wanafunzi wa shule ya msingi nchini…
Sh7 bilioni zahitajika kudhibiti Mto Mbulumi wilayani Mvomero
Zaidi ya wananchi 1,200 wa vitongoji vya Msufini na Sokoni katika Kijiji cha Kichangani, Kata...
Mtaalamu azungumzia faida, fursa katika sekta ya gesi
Dar es Salaam. Mtaalamu wa Nishati ya Gesi kutoka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT)...
Bodaboda 3,000 wamepatiwa mafunzo udereva salama Mara
Zaidi ya bodaboda 3,000 mkoani Mara wamepatiwa mafunzo ya udereva salama na sheria za usalama...
Mechi tano zatibua mambo Mbeya City
MWENENDO usioridhisha wa Mbeya City kwa sasa katika mechi za Ligi Kuu msimu huu, zimemweka kwenye wakati mgumu kocha wa timu hiyo, Mecky Maxime, huku presha ikizidi zaidi baada ya…
Mikakati mipya ya Baresi KMC
KOCHA wa KMC, Abdallah Mohamed ‘Baresi’, amesema mechi tano zijazo za Ligi Kuu Bara kwa kikosi hicho zitakuwa za uamuzi mgumu wa kuamua hatima yao, japo jambo nzuri kwao kama…