Bodaboda 3,000 wamepatiwa mafunzo udereva salama Mara
Zaidi ya bodaboda 3,000 mkoani Mara wamepatiwa mafunzo ya udereva salama na sheria za usalama...
Mechi tano zatibua mambo Mbeya City
MWENENDO usioridhisha wa Mbeya City kwa sasa katika mechi za Ligi Kuu msimu huu, zimemweka kwenye wakati mgumu kocha wa timu hiyo, Mecky Maxime, huku presha ikizidi zaidi baada ya…
Mikakati mipya ya Baresi KMC
KOCHA wa KMC, Abdallah Mohamed ‘Baresi’, amesema mechi tano zijazo za Ligi Kuu Bara kwa kikosi hicho zitakuwa za uamuzi mgumu wa kuamua hatima yao, japo jambo nzuri kwao kama…
Musalia Mudavadi: Video ya Mkuu wa Mawaziri na Mwanawe Moses Wakipiga Tizi Yasisimua Mitandao
Video ya Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi na mwanawe Moses iliibuka mitandaoni na hivyo mjadala wa kinyang'anyiro cha kuwania ubunge wa Westlands 2027 ulizuka.
Takukuru ilivyookoa Sh51 milioni Shinyanga
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Shinyanga, imeokoa Sh51.75 milioni,...
SMZ kununua mafuta lita milioni 100 kukabiliana na athari za vita
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza mipango ya kununua takriban lita milioni 100...
Udhibiti dawa za kulevya Tanga wapunguza waraibu
Tanga. Upatikanaji wa dawa ya kulevya aina ya heroini umeelezwa kuwa mgumu katika Jiji la...
Dk Gwajima kuongoza maadhimisho Siku ya Wanawake Geita
GEITA: WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima anatarajia kuongoza maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani yatakayofanyika mkoani Geita. Maadhimisho hayo yanatarajiwa kuambatana na…
SADC begins implementing the 2020/30 Strategic Development Plan
PRETORIAL: THE meeting of Chief Secretaries and Senior Officials of the Southern African Development Community (SADC) member states has begun today, March 4, 2026, in Pretoria, South Africa, focusing on…
Asilimia 80 nishati safi fursa kiuchumi
DAR ES SAAM: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, amesema upatikanaji wa nishati safi ya kupikia ni ajenda ya kimkakati inayochochea ukuaji wa uchumi…
Kilo 900 za mahindi zakabidhiwa Liwelyangula
SHINYANGA: WANAWAKE manispaa ya Shinyanga wameadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa vyakula mbalimbali ikiwemo kilo 900 za mahidi na sukari kilo 145 katika shule ya msingi Liwelyangula.…
Kesi ya Dk Manguruwe: Askari JWTZ aeleza alivyotapeliwa Sh8 milioni
Shahidi huyo, Iddy Mndeme, ambaye ni Askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ)...
Tanzania banks on CATC to produce skilled professionals in the aviation industry
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has hailed the completion of the Civil Aviation Training College (CATC), saying it will help increase the production of skilled professionals in the country’s…
Kiungo Twiga Stars afunguka faida, hasara kusogezwa WAFCON 2026
KIUNGO wa Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, Maimuna Hamis ‘Mynaco’ amesema kusimamishwa kwa mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON) yana faida na hasara kwa upande wa…
Ripoti: Mkataba wa Washington umetekelezwa kwa 23% miezi minane baada ya kusainiwa
Miezi minane baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya amani kati ya DRC na Rwanda chini ya usimamizi wa Marekani mnamo Juni 27, matokeo yanachelewa kufikiwa. Kulingana na ripoti ya tathmini…
CRDB Foundation yafungua fursa za kiuchumi kwa maofisa elimu Tanzania
Benki ya CRDB kupitia taasisi yake ya CRDB Bank Foundation imesaini mkataba wa makubaliano ya...
Lamata: Alama isiyofutika filamu za bongo
LEAH Mwendamseke maarufu kama Lamata alizaliwa na kukulia mkoani Mbeya, Tanzania, na tangu utotoni alionyesha kipaji cha kipekee cha kuandika na kusimulia hadithi zinazogusa maisha ya kila siku ya jamii…
Ziara ya Dk Mwigulu yaweka hatarini ajira za watendaji mikoani
Huenda ziara zilizofanywa na Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, katika mikoa ya kaskazini...
Straika wamliza Maxime
WAKATI mashabiki wa Mbeya City wakilia na matokeo yasiyoridhisha, kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime amesema tatizo ni upepo kikosini na ubutu wa straika wake katika kutumia nafasi wanazopata.
Takukuru yasaidia TRA kuokoa Sh mil 57
KAGERA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesaidia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kukusanya zaidi ya Sh milioni 57 kutoka kwa wafanyabaishara waliokwepa kodi na kuingiza bidhaa bila…
Kiswahili language, Singeli music make sky-high leap globally
DODOMA: THE Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Information, Culture, Arts, and Sports, Methusela Ntonda, said the global recognition of Kiswahili Language is among the significant achievements the ministry…
Ninja aelezea uzoefu anaoupata Championship
BEKI wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ anayeichezea Transit Camp inayoshiriki Championship, alisema anajifunza vitu vingi kutoka ligi hiyo anayocheza kwa mara ya kwanza, huku akifichua huko zaidi nguvu…
Takukuru yaokoa vifaa vya mil 51/-ujenzi nyumba ya mwalimu
SHINYANGA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Shinyanga imeokoa vifaa vya zaidi ya Sh milioni 51.2 ambavyo vilikuwa vitumike kwenye mradi wa ujenzi wa nyumba ya…
HRW: Mwitikio wa kimataifa dhidi ya usaidizi wa Rwanda kwa M23 bado hautoshi
Shirika la kimataifa la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limekaribisha vikwazo vilivyotangazwa Machi 2 na Marekani dhidi ya jeshi la Rwanda na maafisa wanne wakuu wa kijeshi kwa…
Dar Rotary Club installs safe water project at Bugando Oncology Center
MWANZA: THE Rotary Club of Dar es Salaam, in partnership with the Rotary Club of Daniel Island from the US, Water Mission, and Bugando Medical Centre (BMC), has completed a…
Serikali yasisitiza ujenzi vituo vya polisi
PWANI: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ametoa wito kwa wadau wa maendeleo na wabunge kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali kuimarisha miundombinu ya usalama,…
Madini ya vito yavutia uwekezaji
SPINEL ni mojawapo ya madini ya vito yenye thamani kubwa duniani, inayojipatia umaarufu mkubwa kimataifa kutokana na ubora wake, rangi adimu na uimara wa hali ya juu. Tanzania ni miongoni…
Kiongozi mkuu wa Kishia wa Iraq alaani ‘vita visivyo vya haki’ dhidi ya Iran
Kiongozi mkuu wa Kishia wa Iraq, Ayatollah Ali Sistani, amelaani leo Jumatano “vita visivyo vya haki” dhidi ya Iran, vilivyoanzishwa tangu siku ya Jumamosi na Marekani na Israel. Ali Sistani,…
Shehena ya dawa tiba hatari za kulevya yanaswa kwenye basi
Jumla ya chupa 1,795 za dawa tiba zenye asili ya kulevya zimekamatwa zikiwa zimefichwa ndani ya...
Dickson Job nje miezi miwili Yanga
KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amethibitisha kwamba, nahodha msaidizi wa kikosi hicho, Dickson Job, hatakuwa sehemu ya mechi ya kesho Alhamisi dhidi ya Singida Black Stars kufuatia kuumia enka.
Tanzania orders energy sector projects to benefit communities around them
MTWARA: THE Energy Minister, Deogratius Ndejembi, has urged project managers under his Ministry and its institutions to ensure that Community Social Responsibility (CSR) projects are fully implemented. He emphasized that…
Trump aikosoa Iran kujitoa Kombe la Dunia, Iraq, UAE kuchukua nafasi
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hana wasiwasi wowote iwapo Iran itaamua kujiondoa...
Iran yashambulia kituo cha CIA Saudi Arabia
Kituo cha CIA kilichopo ndani ya ubalozi wa Marekani mjini Riyadh, kimeripotiwa kushambuliwa na...
Watoto hawapaswi kamwe kuwa ‘waathiriwa wa vita,’ inaonya kamati ya Umoja wa Mataifa
Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Mtoto imetoa wito leo Jumatano kwa watoto kulindwa wakati wa vita Mashariki ya Kati, ikirejelea hasa tukio la shambulio dhidi ya shule…
Je, huu ni msimu wa Arsenal wa kumaliza ukame wa Ligi kuu ya Epl?
Matumaini ya Arsenal ya kumaliza ukame wa miaka 21 wa kushinda kombe la ligi kuu ya Epl nchini England yamefufuka upya baada ya kuvuna ushindi katika mechi zake mbili zilizopita…
Call to stop using traditional remedies to treat children with hearing complications
MTWARA: PARENTS and the wider community have been urged to stop using traditional remedies to treat ear problems in children and instead take them to health facilities for proper care,…
Watuhumiwa 50 wakamatwa kwa tuhuma za wizi, kukutwa na nyara za Serikali
Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watuhumiwa 50 kwa makosa mbalimbali, yakiwemo ya wizi...
Mradi wa Komesha Ukeketaji SASA waleta nuru nchini Kenya
Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya watu na Afya ya Uzazi UNFPA nchini Kenya kwa kushirikiana na Muungano wa Ulaya wanatekeleza mradi wa kukomesha ukeketaji ambapo waathirika wanatumika…
Siku ya tano ya mzozo Iran na Mashariki ya Kati- Watu waendelea kufurumushwa
Ikiwa leo ni siku ya tano tangu Marekani na Israeli zianze mashambulizi ya pamoja dhidi ya Iran, na kisha Iran kujibu mashambulizi, mashirika ya Umoja wa Mataifa yanasema hali si…
WLAC: Kutoka ukatili hadi kupata haki, simulizi ya Ansfrida Prospeli
Kuelekea Siku ya wanawake Duniani itakayoadhimishwa mwishoni mwa wiki hii hapo 8 Machi mwaka huu ikijikita na haki, na haki ya kisheria kwa wanawake, leo tunakupele nchini Tanzania kumsikia mmoja…
Mtetezi wa haki na usawa wa wanawake ni nani? (Feministi)?
Utetezi huu hauna kitabu rasmi cha kanuni. Hauna ngazi za uongozi, chombo cha utawala wala mikutano rasmi. Ni harakati inayochukua maumbo tofauti katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia. Huundwa…
Watoto wasifanywe kafara ya vita Iran: UNCRC
Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Haki za mtoto UNCRC, imetoa taarifa ya kushtushwa na vifo vya watoto wasio na hatia nchini Iran huku ikionesha wasiwasi mkubwa juu ya kuongezeka…
Vita vya Mashariki ya Kati: Mazishi ya kitaifa ya Ayatollah Khamenei yaahirishwa Iran
Mazishi ya kitaifa ya Kiongozi Mkuu wa kiroho wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, yaliyopangwa kufanyika Machi 4, yameahirishwa, kulingana na televisheni ya serikali. Imechapishwa: 04/03/2026 – 12:58 Dakika 1 Wakati…
Tanzania enhances procurement officers’ capacity in implementing supply chain strategies.
MOROGORO: THE Ministry of Finance has organized a short-term training program for Government Procurement and Supply Officers aimed at strengthening professional knowledge and capacity in implementing sustainable supply chain strategies.…
Tanzanians call for urgent measures to promote decent creative arts
MOROGORO: ARTS stakeholders have called for urgent measures to promote decent work in Tanzania’s fast-growing arts and creative industry, warning that without structured protections, the sector’s contribution to the national…
Mahakama yamwachia baba aliyehukumiwa maisha kwa kumlawiti mwanaye
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imemuachia huru baba aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha maisha...
Kazi zenye staha zajadiliwa Morogoro
WAKATI sekta ya sanaa na ubunifu ikiendelea kukua kwa kasi na kutoa ajira kwa maelfu ya vijana nchini, wadau wameonya kuwa bila kuwepo kwa kazi zenye staha, mchango wake katika…
Wenyeviti Bahi waingia mgogoro na Mkuu wa Wilaya, mwenyewe awajibu
Wenyeviti wa vijiji 59 vya Wilaya ya Bahi mwishoni mwa wiki walifanya maandamano hadi ofisi ya...
Dr Mwinyi hails reforms at Benjamin Mkapa hospital
ZANZIBAR: THE PRESIDENT of Zanzibar, Dr Hussein Ali Mwinyi, has promised the Isles to continue collaborating with Benjamin Mkapa Hospital as well as finding better ways to work together. He…