Ulaji wadudu unavyopata umaarufu
Kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa, wadudu wanaoliwa wana mchango...
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….FEBRUARI 27, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 27, 2026
SGR lot five hits 68 pc as minister applauds contractor
MWANZA: MINISTER for Transport, Professor Makame Mbarawa has expressed satisfaction with the progress of construction works on Standard Gauge Railway (SGR) Lot Five, which covers the Mwanza–Isaka section, noting that…
Habari za kukamatwa kwa Zein zinaendelea kusambaa maeneo yote, wakati ambao Sarah ameenda kumuona Karam ambaye kwa dsasa ana hal…
Habari za kukamatwa kwa Zein zinaendelea kusambaa maeneo yote, wakati ambao Sarah ameenda kumuona Karam ambaye kwa dsasa ana hali mbaya. Usikose kutazama THE PRICE kuanzia saa 3:00 usiku ndani…
#HABARI: Mbunge waJimbo la Kawe jijini Dar es Salaam Mhe
#HABARI: Mbunge waJimbo la Kawe jijini Dar es Salaam Mhe. Geofrey Timoth, amewahakikishia wafanyabiashara wadogo (wauza maua), waliokuwa wakifanya shughuli zao katika eneo la Kawe lililopo chini ya Shirika la…
Magazetini: Serikali yapendekeza kuwahamisha watumishi wa umma kutoka ajira za kudumu hadi mikataba
Serikali ya Kenya, kupitia mapendekezo kutoka Wizara ya Utumishi wa Umma, inasukuma mpango wa kuwabadilisha wafanyakazi wake kutoka ajira za kudumu hadi za mikataba.
Former leaders’ statements and the fate of Kenya’s economy towards the 2027 elections
NAIROBI: POLITICAL tensions and very strong words from former leaders are already rising as Kenya prepares for the 2027 elections. What seems to be a typical political discussion often appears…
Mauaji ya kimbari Rwanda: Adhabu ya miaka 15 Jela yaombwa dhidi ya Claude Muhayimana
Claude Muhayimana, 65, Mfaransa mwenye asili ya Rwanda, anashtakiwa Paris kwa kushiriki katika mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya binadamu kwa madai ya kuhusika kwake katika mauaji ya kimbari…
Mobile tax offices hit road to drive 1tri USD economy
DAR ES SALAAM: THE drive to build a onetrillion-dollar economy has moved into high gear with the launch of the country’s first-ever fleet of Mobile Tax Office Vehicles. In a…
Tanzania marks 120 years of Maji Maji resistance
Eight additional aircraft in pipeline SONGEA: VICE-PRESIDENT, Ambassador Emmanuel Nchimbi is today expected to lead thousands of Tanzanians in commemorating 120 years of the historic Maji Maji Rebellion. The national…
#HABARI: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho Exavery Luyagaza amemtangaza Dkt
#HABARI: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho Exavery Luyagaza amemtangaza Dkt. Lazaro Kiliani Komba wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa jimbo la…
Feed is deleted
This Feed is deleted because you didn't use it for long time. Please consider purchasing one of our Paid plans to prevent this in the future(Feed generated with FetchRSS)
Nchi za EU zitaweza kufadhili upatikanaji wa utoaji mimba ‘salama’ kupitia fedha za Ulaya
Nchi za Umoja wa Ulaya (EU) zitaweza kutumia fedha za Ulaya kuwawezesha wanawake kutoa mimba zao kwa hiari kote Ulaya, Tume ya Ulaya imetangaza huko Brussels siku ya Alhamisi, Februari…
Siham hamtaki Obedi tena, Maryam ana kizaazaa kingine, unadhani nini kitatokeaUsikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya…
Siham hamtaki Obedi tena, Maryam ana kizaazaa kingine, unadhani nini kitatokeaUsikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Tour du Rwanda: Zemke ashinda hatua ya 5, Kretschy aendelea kushika jezi ya njano
Mjerumani Zemke Jermaine wa kampuni ya Rembe Rad-Net, hapo jana alifanikiwa kushinda hatua ya 5 ya mashindano ya Baiskeli ya Tour du Rwanda kuzunguka mji wa Rubavu, mbio zilizokuwa na…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO:….FEBRUARI 27, 2026
🔴KUMEKUCHA MICHEZO:....FEBRUARI 27, 2026
Pakistan yatangaza ‘vita vya wazi’ dhidi ya Taliban ya Afghanistan
Kufuatia mfululizo wa mashambulizi ya anga yaliyosababisha vifo kati ya nchi hizo mbili tangu siku iliyopita, ndege za kivita za Pakistan zimeshambulia miji kadhaa mikubwa ya Afghanistan, ikiwa ni pamoja…
Marekani na Iran zakubaliana kuendelea kuzugumza
Iran na Marekani zimekutana Geneva, Uswisi, siku ya Alhamisi, Februari 26, kwa ajili ya duru ya tatu ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yenye lengo la kutatua utata uliopo…
Naibu wa Gladys Wanga Oyugi Magwanga ajiuzulu kutoka wadhifa wake
Naibu Gavana wa Homa Bay Joseph Oyugi Magwanga ajiuzulu akitaja kufadhaika,kufungia afisi, kupokonywa gari, na uhusiano mbaya na Gavana Gladys Wanga.
Nyota wa soka wanaocheza Ulaya huku wakiwa wamefunga Ramadhan
"Nafunga kila siku, sikosi hata siku moja. Sasa imekuwa jambo la kawaida na rahisi kwangu. Mazoezi huwa yaleyale wakati wa Ramadhani, lakini tunaposafiri kwa mechi za ugenini, huenda tukahitaji kula…
Saida; nahodha wa Mv Ilemela aliyeigusa jamii kipekee
Imezoeleka masikioni mwa watu kuwa, mwanamke ni nguzo ya jamii, lakini unapomuona Saida...
Familia inavyoweza kujenga mtindo wa maisha wenye afya
Katika mijadala mingi ya afya ya umma, mara nyingi mada huwa kuhusu hospitali, bima za afya...
Yajue mambo yanayoharibu saumu
Katika Makala iliyopita tuliangazia sababu zinazoruhusu mtu Kisharia kufungua mchana wa Mwezi...
Wanajeshi wa Israeli walimpiga risasi mvulana Mpalestina na kumtazama akivuja damu hadi kufa
Makundi ya haki za binadamu yanasema wanajeshi wa Israeli katika Ukingo wa Magharibi mara nyingi huwapiga risasi watu ambao sio tishio kwa maisha yao.
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa: Liverpool na Chelsea zaingia katika mbio za kumnunua Murillo wa Nottingham
Uvumi kuhusu jukumu la Jurgen Klopp na Red Bull umepuuzwa, Chelsea wanasalia kwenye nafasi nzuri ya kumnunua Murillo na bei ya Wolves ya mchezaji Mateus Mane inazifukuza Liverpool na Manchester…
🔴#MAGAZETI: WATEJA WANAVYOLIZWA NA MAWINGA KARIAKOO / HAPO VIPI……FEBRUARI 27 , 2026
🔴#MAGAZETI: WATEJA WANAVYOLIZWA NA MAWINGA KARIAKOO / HAPO VIPI......FEBRUARI 27 , 2026
Araghchi: Iran na US zinapiga hatua ‘karibu zaidi kufikia mwafaka’ katika baadhi ya masuala
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema duru ya karibuni zaidi ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana na Marekani iliyofanyia jana…
Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yamalizika kwa maendeleo makubwa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi, ambaye aliongoza ujumbe wa nchi yake, amesema "maendeleo mazuri" yamepatikana na ingawa kumekuwa na makubaliano kuhusu baadhi ya masuala, bado kuna…
#KIPIMAJOTO: Waziri Mkuu kusubiriwa kutatua matatizo ya Mikoa na Wilaya
#KIPIMAJOTO: Waziri Mkuu kusubiriwa kutatua matatizo ya Mikoa na Wilaya. Je, mfumo uliopo wa utendaji na uwajibikaji wa Viongozi hao ubadilishwe ili kuondoa urasimu?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 27, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 27, 2026
Ijumaa, 27 Februari, 2026
Leo ni Ijumaa 9 Ramadhani 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 27 Februari 2026.
El-Baradei, mkuu wa zamani wa IAEA aionya Marekani kuhusu gharama “za kutisha” za vita dhidi ya Iran
Mohamed El-Baradei, aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), ameionya Marekani kuhusu madhara makubwa na ya kutisha yatakayojitokeza iwapo itaingia katika vita vingine dhidi…
Baraza la Usalama la UN lawaadhibu makamanda wa RSF kwa ukatili wa Darfur
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewawekea vikwazo makamanda wanne wa kundi la waasi la Rapid Support Forces (RSF) linalopigana na jeshi la Sudan, wanaoshukiwa kufanya ukatili dhidi ya…
Wademokrati wanaishutumu Wizara ya Sheria ya Marekani kwa kumwondoa Trump kwenye Mafaili ya Epstein
Chama cha Democratic kimeituhumu serikali ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kwa "ufichaji mkubwa zaidi wa serikali katika historia ya sasa" kutokana na ripoti kwamba imeficha nyaraka zinazohusiana na madai…
Kim atishia kuifuta kabisa Korea Kusini na kuweka masharti ya makubaliano na Washington
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ametishia "kumfuta kabisa" jirani yake wa kusini iwapo usalama wa nchi yake utatishiwa, akiitaja Korea Kusini kuwa ndiyo "kitu chenye uadui mkubwa zaidi"…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 27, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Ungana nasi kumtakia maisha marefu, Staa wa #KombolelaSeries, @cholo_kobisi ambaye leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake
Ungana nasi kumtakia maisha marefu, Staa wa #KombolelaSeries, @cholo_kobisi ambaye leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake. Happy Birthday Cholo. (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mshindi wa Mchezo Supa, Meshack Swakala, aliyejishindia shilingi Milioni mbili katika siku ya Valentine, amesema fedha …
#HABARI: Mshindi wa Mchezo Supa, Meshack Swakala, aliyejishindia shilingi Milioni mbili katika siku ya Valentine, amesema fedha hiyo itaingia moja kwa moja katika mtaji wa biashara yake. Powered by #MCHEZOSUPA…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 26, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 26, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 26, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 26, 2026
“Vijana wanatakiwa kujikita kwenye elimu ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha, vijana tunatakiwa tuwajibike na Je, tumejiandaa …
"Vijana wanatakiwa kujikita kwenye elimu ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha, vijana tunatakiwa tuwajibike na Je, tumejiandaa vipi katika kuzitumia hizo pesa,"Christina Nogisha - Mshiriki. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
“Tuna changamoto kubwa sana, changamoto za kimifumo katika utolewaji mikopo na uwezeshaji kwa vijana, tunachangamoto za kiuwajib…
"Tuna changamoto kubwa sana, changamoto za kimifumo katika utolewaji mikopo na uwezeshaji kwa vijana, tunachangamoto za kiuwajibikaji, kuna changamoto za kitaasisi, tunachangamoto kubwa sana ya taarifa"Abdul Nondo - Mwenyekiti wa…
Hii hapa ratiba ya mazishi ya Kardinali Pengo
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limetoa ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu...
“Serikali imeweza kufanya jitihada zake katika kuwandaa vijana wa Kitanzania katika kupata ujuzi, kuna ujuzi ambao vijana wa Kit…
"Serikali imeweza kufanya jitihada zake katika kuwandaa vijana wa Kitanzania katika kupata ujuzi, kuna ujuzi ambao vijana wa Kitanzania wanao, na Serikali haikuwaacha iliwasaidia, pia vijana wako tayari kwa ajili…
CCM yashinda kiti cha udiwani Shiwinga
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa udiwani wa Kata ya...
Ngoy aiokoa Namungo dakika za jioni
AWAMU hii Namungo imekataa uteja mbele ya Singida Black Stars, baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa leo Februari 26, 2026 kwenye Uwanja…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Iringa, limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa, I…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Iringa, limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa, Ibrahimu Myovella, na wenzake watatu wamepotea wakiwa mikononi mwa polisi. Kamanda wa Polisi…