Ijumaa, 27 Februari, 2026
Leo ni Ijumaa 9 Ramadhani 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 27 Februari 2026.
El-Baradei, mkuu wa zamani wa IAEA aionya Marekani kuhusu gharama “za kutisha” za vita dhidi ya Iran
Mohamed El-Baradei, aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), ameionya Marekani kuhusu madhara makubwa na ya kutisha yatakayojitokeza iwapo itaingia katika vita vingine dhidi…
Baraza la Usalama la UN lawaadhibu makamanda wa RSF kwa ukatili wa Darfur
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewawekea vikwazo makamanda wanne wa kundi la waasi la Rapid Support Forces (RSF) linalopigana na jeshi la Sudan, wanaoshukiwa kufanya ukatili dhidi ya…
Wademokrati wanaishutumu Wizara ya Sheria ya Marekani kwa kumwondoa Trump kwenye Mafaili ya Epstein
Chama cha Democratic kimeituhumu serikali ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kwa "ufichaji mkubwa zaidi wa serikali katika historia ya sasa" kutokana na ripoti kwamba imeficha nyaraka zinazohusiana na madai…
Kim atishia kuifuta kabisa Korea Kusini na kuweka masharti ya makubaliano na Washington
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ametishia "kumfuta kabisa" jirani yake wa kusini iwapo usalama wa nchi yake utatishiwa, akiitaja Korea Kusini kuwa ndiyo "kitu chenye uadui mkubwa zaidi"…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 27, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Ungana nasi kumtakia maisha marefu, Staa wa #KombolelaSeries, @cholo_kobisi ambaye leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake
Ungana nasi kumtakia maisha marefu, Staa wa #KombolelaSeries, @cholo_kobisi ambaye leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake. Happy Birthday Cholo. (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mshindi wa Mchezo Supa, Meshack Swakala, aliyejishindia shilingi Milioni mbili katika siku ya Valentine, amesema fedha …
#HABARI: Mshindi wa Mchezo Supa, Meshack Swakala, aliyejishindia shilingi Milioni mbili katika siku ya Valentine, amesema fedha hiyo itaingia moja kwa moja katika mtaji wa biashara yake. Powered by #MCHEZOSUPA…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 26, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 26, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 26, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 26, 2026
“Vijana wanatakiwa kujikita kwenye elimu ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha, vijana tunatakiwa tuwajibike na Je, tumejiandaa …
"Vijana wanatakiwa kujikita kwenye elimu ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha, vijana tunatakiwa tuwajibike na Je, tumejiandaa vipi katika kuzitumia hizo pesa,"Christina Nogisha - Mshiriki. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
“Tuna changamoto kubwa sana, changamoto za kimifumo katika utolewaji mikopo na uwezeshaji kwa vijana, tunachangamoto za kiuwajib…
"Tuna changamoto kubwa sana, changamoto za kimifumo katika utolewaji mikopo na uwezeshaji kwa vijana, tunachangamoto za kiuwajibikaji, kuna changamoto za kitaasisi, tunachangamoto kubwa sana ya taarifa"Abdul Nondo - Mwenyekiti wa…
Hii hapa ratiba ya mazishi ya Kardinali Pengo
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limetoa ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu...
“Serikali imeweza kufanya jitihada zake katika kuwandaa vijana wa Kitanzania katika kupata ujuzi, kuna ujuzi ambao vijana wa Kit…
"Serikali imeweza kufanya jitihada zake katika kuwandaa vijana wa Kitanzania katika kupata ujuzi, kuna ujuzi ambao vijana wa Kitanzania wanao, na Serikali haikuwaacha iliwasaidia, pia vijana wako tayari kwa ajili…
CCM yashinda kiti cha udiwani Shiwinga
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa udiwani wa Kata ya...
Ngoy aiokoa Namungo dakika za jioni
AWAMU hii Namungo imekataa uteja mbele ya Singida Black Stars, baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa leo Februari 26, 2026 kwenye Uwanja…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Iringa, limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa, I…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Iringa, limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa, Ibrahimu Myovella, na wenzake watatu wamepotea wakiwa mikononi mwa polisi. Kamanda wa Polisi…
TRA yaizamisha Fountain Gate
TRA United imeizamisha Fountain Gate kwa kuitandika mabao 4-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, iliyopigwa leo Februari 26, 2026 kwenye Uwanja wa Black Rhino uliopo Karatu jijini Arusha.
Geay, Dinday warejea kutoka Daegu Marathon
WANARIADHA wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay, Emmanuel Dinday na Benard Geay, wamerejea nchini wakitokea Korea Kusini walikoshiriki mashindano ya Daegu Marathon yaliyofanyika Februari 22,2026 na kubeba heshima ya taifa.…
Kampeni nishati safi yazinduliwa wakati wa Ramadhan, Kwaresma
Katika juhudi za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Oryx Gas Tanzania...
Masaju akomaa na haki za raia
Wakati Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akiwataka majaji na mahakimu kuhakikisha wanatenda...
Serikali imekiri kuwa meli iliyokamatwa ikibeba tani 6.6 za cocaine nchini El Salvador ilisajiliwa Zanzibar, lakini hakuna Mtanz…
Serikali imekiri kuwa meli iliyokamatwa ikibeba tani 6.6 za cocaine nchini El Salvador ilisajiliwa Zanzibar, lakini hakuna Mtanzania aliyekuwepo wakati inakamatwa. Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa…
Katika miezi ya hivi karibuni, ziara za viongozi wakuu wa kitaifa zimekuwa jukwaa la kusikiliza vilio vya wananchi juu ya migogo…
Katika miezi ya hivi karibuni, ziara za viongozi wakuu wa kitaifa zimekuwa jukwaa la kusikiliza vilio vya wananchi juu ya migogoro ya ardhi, huduma za jamii, na changamoto za kiutawala.…
🔴SHILINGI BILIONI 200 ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI KUWEZESHA VIJANA
🔴SHILINGI BILIONI 200 ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI KUWEZESHA VIJANA. JE, WAMEJIPANGA VIPI KUTUMIA FURSA HIYO ...FEBRUARI 26, 2026
Wakazi wa Karema, wilayani Tanganyika na maeneo ya jirani wamejikuta kwenye adha ya usafiri baada ya kukatika kwa daraja la bara…
Wakazi wa Karema, wilayani Tanganyika na maeneo ya jirani wamejikuta kwenye adha ya usafiri baada ya kukatika kwa daraja la barabara inayoelekea Mpanda, hali inayowalazimu kutumia mtumbwi kuvuka. #AzamTVUpdates Mhariri…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Ilala imefanikiwa kudhibiti kiasi cha Shilingi Bilioni 1.5 baada ya Kufanya uch…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Ilala imefanikiwa kudhibiti kiasi cha Shilingi Bilioni 1.5 baada ya Kufanya uchambuzi wa Mfumo wa uwasilishaji wa michango ya NSSF ya…
Mkazi wa kijiji cha Imalamawazo wilaya ya Chato, amegeuka mkombozi kwa wananchi baada ya kujenga daraja la miti, kutokana na ku…
Mkazi wa kijiji cha Imalamawazo wilaya ya Chato, amegeuka mkombozi kwa wananchi baada ya kujenga daraja la miti, kutokana na kuchoshwa kuwashuhudia wenzake wakivuka mto kwa kutembea kwenye maji. #AzamTVUpdates…
Wakati maombolezo ya kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo yaki…
Wakati maombolezo ya kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo yakiendelea, baadhi ya waamini na watu wa kada mbalimbali wameeleza…
Dar City yapagwa na vigogo Afrika
DAR ES SAALAM: Hatimaye Basketball Africa League (BAL) imetangaza rasmi makundi mawili yatakayounda hatua ya awali ya msimu wa mwaka 2026, pamoja na ratiba ya michezo itakayofanyika katika nchi mbalimbali…
Mkazi wa Kwimba asifu jengo jipya la watoto njiti
MWANZA; MKAZI wa Mtaa wa National uliopo Ngudu, wilayani Kwimba mkoani Mwanza, Joyce Emmanuel, amesema kukamilika kwa jengo la watoto njiti kwenye hospitali ya kwimba ni ukombozi kwa wananchi wa…
Serikali yasisitiza mfumo stakabadhi ghalani kwa mkulima
SIMIYU: Serikali imeitaka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala kuendelea kutatua changamoto zote zilizopo katika mfumo stakabadhi ghalani kwani ndiyo mfumo ambao umeonyesha mafanikio makubwa katika kumlinda Mkulima. Aidha,…
MAPUMZIKO | #NBCPL
MAPUMZIKO | #NBCPL HT: Namungo FC 0-0 Singida BS LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #FountainGateFC #TRAUnited #FountainGateTRAUnited (Feed generated with FetchRSS)
Cavani ashauriwa kustaafu soka baada ya kuzomewa Boca Juniors
Mshambuliaji mkongwe wa Uruguay, Edinson Cavani, ametakiwa kutundika daruga baada ya kuendelea...
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 26 – 2026 – ZAIDI YA NYUMBA 700 ZAZUNGUKWA NA MAJI TURIANI
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 26 - 2026 - ZAIDI YA NYUMBA 700 ZAZUNGUKWA NA MAJI TURIANI.
SMZ yajizatiti kulinda vijana dhidi ya madhara ya matumizi ya mitandao
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imekiri kuwepo kwa changamoto na vihatarishi vya...
Mikoa yaanza kukabili Uviko-19 na mafua makali, wananchi wasuasua
Siku moja baada ya taarifa za ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 na mafua makali ya Influenza...
Waziri Mkuu ashtukia ‘mchezo mchafu’ fedha za miradi Kiteto
Ziara ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, wilayani Kiteto mkoani Manyara imekuwa kaa la moto...
Hizi ndizo barabara utakapopita mwili wa Kardinali Pengo kutoka Hospitali ya Lugalo
Kesho, Ijumaa Februari 27, 2026 waumini wa Kanisa Katoliki na Taifa kwa jumla watakuwa katika...
MSHIKEMSHIKE: Yanga, Simba tayari zimewasili Zanzibar kwa ajili ya ‘Dabi ya Kariakoo’
MSHIKEMSHIKE: Yanga, Simba tayari zimewasili Zanzibar kwa ajili ya ‘Dabi ya Kariakoo’. Timu gani unaipa nafasi kubwa ya kushinda na kwa nini?. Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye…
Edwin Sifuna aongezwa muda kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa ODM, hatua ya kumng’atua yazuiwa
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amepata afueni ya muda baada ya Baraza la kutatua Migogoro ya Vyama vya Siasa kuzuia uamuzi wa ODM kumpokonya kiti cha Katibu Mkuu.
Yanga TV wiki hii ni balaa
Yanga TV wiki hii ni balaa...... "...tutawapiga, tutawapiga, tutawapiga.....hadi mama atoke madarakani" Usikose, ni kesho Ijumaa saa 4:00 usiku #AzamSports1HD (Feed generated with FetchRSS)
Serikali yafafanua meli iliyokamatwa na dawa za kulevya
Serikali ya Tanzania imeeleza hatua zilizochukuliwa kufuatia kukamatwa kwa meli yenye bendera...
#HABARI: Zoezi la upimaji wa viwanja katika Mtaa wa Vikawe Shule, eneo la Butiama wilayani Kibaha, limeanza rasmi baada ya kumal…
#HABARI: Zoezi la upimaji wa viwanja katika Mtaa wa Vikawe Shule, eneo la Butiama wilayani Kibaha, limeanza rasmi baada ya kumalizika kwa mgogoro wa muda mrefu kati ya wananchi na…
Edwin Sifuna ni kama mafuriko yasiyoweza kuzuilika kwa mikono, wakili amwambia Ruto kuhusu 2027
Wakili Harrison Kinyanjui anasema Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna hazuiliki kisiasa, akiwaonya wapinzani wa ODM na kukosoa kushindwa kwa utawala wa UDA.
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka mita…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, huku akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa…
Tanzanians assured full participation in the LNG processing project
MOROGORO: The Minister for Energy, Deogratious Ndejembi, has urged the Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) to strengthen its plans for accurate data collection, assessment of exploration blocks, and preparation for…
Usafiri mwendokasi mguu sawa Gongo la Mboto
Awamu ya tatu ya usafiri usafiri wa mabasi yaendayo haraka iko mbioni kuanza kati ya Gongo la...
Mwenyekiti wa tume huru ya Taifa ya uchaguzi Jaji mstafu Jacob’s Mwambegele ameridhishwa na hali ya upigaji kura katika uchagu…
Mwenyekiti wa tume huru ya Taifa ya uchaguzi Jaji mstafu Jacob's Mwambegele ameridhishwa na hali ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Peramiho leo 26.02.2026. Akitembelea baadhi ya…
PURA tasked to accelerate exploration in new oil, gas areas for investment
MOROGORO: THE Permanent Secretary in the Ministry of Energy in charge of Oil and Gas, Dr James Mataragio, has directed the Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) to accelerate preliminary exploration…
Mazungumzo kuhusu mradi wa nyukilia wa Iran yafanyika Geneva
Awamu ya tatu ya mazungumzo ya kidiplomasia kuhusu mradi wa Nyuklia wa Iran, yamefanyika jijini Geneva nchini Uswiszi, kati ya wajumbe wa Marekani na Iran, wakati rais Donald Trump akitishia…