AI for CEOs session to light up Dar
DAR ES SALAAM: STRENGTHENING corporate governance and enhancing risk oversight are among the key areas to be addressed during the Artificial Intelligence (AI) for Chief Executive Officers (CEOs) masterclass scheduled…
Korea Kusini: Rais wa zamani Yoon akata rufaa ya kifungo cha maisha kwa sheria ya kijeshi
Rais wa zamani wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol amekata rufaa dhidi ya kifungo chake cha maisha kwa kutangaza sheria ya kijeshi mwaka 2024, mawakili wake wametangaza leo Jumanne. Imechapishwa:…
Zanzibar airport dismisses baggage theft claims
ZANZIBAR: THE Zanzibar Airports Authority (ZAA) has dismissed social media reports alleging that the authority admitted to incidents of baggage theft at Abeid Amani Karume International Airport (AAKIA). Speaking at…
UEFA yamsimamisha anayedaiwa kumbagua Vinicius
Shirikisho la Soka barani Ulaya (UEFA), limempa adhabu ya muda ya mechi moja kiungo wa Benfica,...
Collins Sichenje: Beki wa Harambee Stars anakung’uta mshahara wa shilingi ngapi Charlton Athletic
Collins Sichenje, kipaji cha Kenya, anajiunga na Charlton Athletic hadi 2029. Gundua alivyocheza mechi yake ya kwanza, mapato, na athari katika Mashindano.
Taasisi yakamilisha jengo la watoto njiti Mwanza
MWANZA; Taasisi ya Doris Mollel Foundation chini ya Mkurugenzi Mtendaji wake Doris Mollel, imefanikisha ujenzi wa jengo jipya la kisasa maalumu la kwanza nchini kwa ajili ya kutoa huduma bora…
Fred Matiang’i Atakaswa Rasmi Kuwa Msemaji wa Jamii ya Gusii Kabla ya Kuwania Urais 2027
Fred Matiang’i aliyeteuliwa kuwa msemaji wa jamii ya Abagusii na wazee wa Nyamira, na kuunganisha Muungano wa Upinzani kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Ratiba ya Mechi 5 zinazofuata kwa Arsenal ikilinganishwa na Manchester City, Ligi Kuu ya EPL
Arsenal na Manchester City ziko katika mbio za kusisimua za ubingwa. Chunguza michezo yao mitano ijayo ya Ligi Kuu kabla ya pambano lao muhimu Aprili 18.
REB yaridhishwa usambazaji gesi asilia Pwani
PWANI: Utekelezaji wa mradi wa kusambaza gesi asili katika eneo la Kisemvule, wilayani Mkuranga mkoani Pwani, umeendelea kuibua matumaini mapya kwa wananchi wa eneo hilo ambapo zaidi ya Sh bilioni…
Zaidi ya Wakenya 600 walioenda kusaka ajira ng’ambo wakwama Cambodia, wataka serikali kuingilia kati
Zaidi ya raia 600 wa Kenya waliosafiri kwenda Kambodia kutafuta fursa za kazi zenye faida kubwa nje ya nchi wamejikuta wamekwama katika hali mbaya.
PM ramps up drive to improve social services
LONGIDO: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has said the government will continue to address citizens’ pressing challenges through improved social services, citing ongoing 29.5bn/- water projects in Longido District, Arusha…
LEO USIKU KWENYE MRS GARCIA
LEO USIKU KWENYE MRS GARCIA Usiikose kutazama tamthilia hii leo saa 3:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV pekee. #AzamONEWeSpeakSeries (Feed generated with FetchRSS)
Ushuru mpya wa 10% wa Trump waanza kutekelezwa
Ushuru mpya kimataifa wa 10% uliopigiwa upatu na Rais wa Marekani Donald Trump, uliotangazwa baada ya Mahakama Kuu, siku ya Ijumaa, kubatilisha sehemu kubwa ya ushuru uliowekwa na kiongozi huyo,…
LEO USIKU KWENYE GREY’S ANATOMY
LEO USIKU KWENYE GREY'S ANATOMY Usikose kutazama kuanzia saa 4:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV (Feed generated with FetchRSS)
Devran ubabe tu kila siku, Hashmet anabadili msimamo wake kwa familia, Fidan naye wanasakwa
Devran ubabe tu kila siku, Hashmet anabadili msimamo wake kwa familia, Fidan naye wanasakwa. Usikose kutazama tamthiliya ya 6 of Us ni leo tena saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO…
Kyerwa Council tops in school feeding programme
BUKOBA: KYERWA District in Kagera Region has recorded a 97.6 per cent performance rate in its school feeding programme for secondary school students. Out of 16,830 students attending secondary schools…
Siri ya ufundi wa Khadija Yusuf kwenye muziki wa Taarab
Kila mtu ana simulizi la safari yake ya maisha, baadhi zikiwa zimejaa mitihani mikubwa na yenye...
Olivia Smith: Kwa nini mechi ya Kombe la FA ilisimama dakika 14 baada ya nyota wa Arsenal kuumia
Straika wa timu ya wanawake ya Arsenal Olivia Smith alihusika katika ajali ya kugongana vichwa wakati wa mechi ya Kombe la FA dhidi ya Bristol City.
PS tasks ministry institutions to drive business, revenue growth
ARUSHA: PERMANENT Secretary of the Ministry of Industry and Trade, Ambassador Waziri Salum has directed institutions under the ministry to implement meaningful changes that will benefit the government through business…
Venezuela: Wafungwa wa kisiasa zaidi ya 30 waachiliwa kwa msamaha wa rais karibu na Caracas
Wafungwa wa kisiasa zaidi ya 30 wameachiliwa siku ya Jumatatu, Februari 23, kutoka gereza la Rodeo 1 nje kidogo ya mji mkuu wa Venezuela, Caracas, chini ya sheria ya msamaha…
Magazeti ya Kenya, Februari 24: Matiang’i avishwa taji kuwa kigogo wa Abagusii, upinzani wamtongoza
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani Fred Matiang'i amevishwa taji kuwa kigogo wa Abagusii huku Muungano wa Upinzani ukivamia eneo hilo ili kumtongoza.
Minister calls on UDSM students to innovate for infrastructure solution
DAR ES SALAAM: MINISTER for Works, Abdallah Ulega has challenged university students, particularly those pursuing engineering and science programmes, to develop practical technological innovations to address persistent national infrastructure challenges.…
Mwalimu bora ni yule anayejifunza daima
Mabadiliko ya mitalaa, ujio wa teknolojia katika madarasa, pamoja na changamoto zinazowakabili...
Davido ajiweka kando, kesi ya malezi iliyomkabili
SUPASTAA wa Nigeria, Davido ametangaza kujiondoa katika kesi malezi inayomkabili Sophia Momodu,...
Teddy hataki kusikiliza maumivu ya Vida kuhusu matendo ya Paul
Teddy hataki kusikiliza maumivu ya Vida kuhusu matendo ya Paul. Sanga ashangazwa ukimya wa Katanga suala la Vida, mipango inaendelea kumuozesha kwa Paul ambaye ni baba yake mdogo...Usikose kutazama #ZoraSeries…
Korea Kaskazini: Dada mwenye ushawishi mkubwa wa Kim Jong Un apandishwa cheo na chama tawala
Kim Yo-jong, dada mwenye ushawishi mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, amepandishwa cheo na chama tawala katika mkutano mkuu ambao hufanyika kwa nadra, vyombo vya habari vya…
Judiciary unlocks 13.1tri/-
Clears 93pc of economic cases DODOMA: THE Judiciary has successfully cleared 93 per cent of economic, commercial, land and tax cases within about a month, unlocking 13.1tri/- back into circulation…
Sesko alivyoipandisha Man United nne bora
Manchester United imeendelea kufufuka chini ya kocha wake wa muda, Michael Carrick, baada ya...
Mexico: Hatari za kisiasa kwa Claudia Sheinbaum baada ya kifo cha El Mencho
Takriban wanajeshi 10,000 walitumwa kote Mexico kufuatia kifo cha El Mencho, kiongozi wa Genge la Kizazi Kipya la Jalisco, katika operesheni ya kijeshi siku ya Jumapili, Februari 22. Vizuizi vya…
Penzi la Kajala, Harmonize limekaa kimkakati
Mwanamuziki wa Bongofleva, Harmonize amejizolea mashabiki wengi kutokana na uwezo wake kimuziki...
Donald Trump anakanusha madai ya kutofautiana na Mkuu wa majeshi Dan Caine kuhusu Iran
Rais wa Marekani Donald Trump, siku ya Jumatatu, Februari 23, amekanusha ripoti za vyombo vya habari kwamba Mkuu wa majeshi wa Marekani, Dan Caine, alimwonya dhidi ya uingiliaji kati mkubwa…
Tour du Rwanda: Muendesha baiskeli wa Uhispania ashinda hatua ya pili, usalama waimarishwa
Muendesha baiskeli rai awa Uhispania Pau Soriano, hapo jana alifanikiwa kushinda hatua ya pili ya mashindano ya Tour du Rwanda, akimshinda kwa mbali Mueritrea Henok Mulubrhan. Imechapishwa: 24/02/2026 – 05:56…
Uganda inataka kuunganisha reli yake na ya nchi jirani ya Tanzania
Nchi ya Uganda inataka kuunganisha reli yake inayoendelea kujengwa na ile ya nchi jirani ya Tanzania, mpango unaotarajiwa kurahisisha usafirishaji wa madini kama dhahabu, kulingana na stakabadhi ambazo zimeonekana na…
Mshauri wa Trump azitaka pande hasimu Sudan kusitisha mapigano
Mshauri wa rais wa Marekani kuhusu masuala ya Afrika na nchi za Kiarabu, Massad Boulos, amezitaka pande hasimu nchini Sudan kukubali mpango wa usitishaji mapigano bila masharti, wakati huu watu…
Kilio cha wanafunzi, wahitimu kwa waajiri
Kila mwaka maelfu ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kati nchini humaliza masomo yao wakiwa na...
Kesi ya Epstein: Waziri wa zamani wa Uingereza akamatwa, Serikali ya Starmer yadhoofika
Waziri wa zamani wa Uingereza na balozi Peter Mandelson amekamatwa siku ya Jumatatu, Februari 23, kama sehemu ya uchunguzi kuhusu uhamisho wa taarifa nyeti kwa mfadhili wa Marekani na mtuhumiwa…
‘Ole wenu mnaocheza michezo ya paka na panya’ na mikataba ya kibiashara – Trump
Trump, katika mfululizo wa machapisho ya mitandao ya kijamii, alisema pia anaweza kutoza ada za leseni kwa washirika wa kibiashara.
Jumanne, 24 Februari, 2026
Leo ni Jumanne 6 Ramadhani 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 24 Februari 2026.
Machungu ya Ukoloni | Eritrea: Chini ya kivuli cha apathaidi ya Italia, simulizi ya udhalilishaji na mapambano
Ukandamizaji wa kikoloni wa Italia nchini Eritrea haukuwa tu mradi wa upanuzi wa ushawishi wa kisiasa, bali ulikuwa mfumo uliosimikwa juu ya uvamizi wa kijeshi, ubaguzi wa rangi au apathaidi,…
Pezeshkian: Iran inafuatilia diplomasia ya faida za pande zote katika uhusiano wake na Afrika
Rais Masoud Pezeshkian amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kwa dhati kupanua ushirikiano wa kina na nchi za Afrika, kwa mujibu wa sera yake ya “diplomasia yenye mlingano” na…
Wapalestina wanakoseshwa kufunga na kufungua Saumu kwa wakati kwenye jela za Israel
Tume moja ya Palestina inayoshughulikia masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye jela za utawala wa kizayuni wa Israel imezishutumu mamlaka za jela hizo kwa kuwafanya Wapalestina hao washindwe kufunga Saumu zao…
‘Hapana, asante’: Jibu la Waziri Mkuu wa Greenland kwa Trump kuhusu kuwapatia meli ya hospitali
Waziri Mkuu wa Greenland Jens-Frederik Nielsen ameikataa ofa ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kutuma meli ya hospitali katika eneo hilo la Denmark linalojiendeshea mambo yake, ambalo Trump amekuwa…
Chad yatangaza kufunga mpaka wake na Sudan kuzuia kuenea mapigano mpakani mwake
Chad imetangaza kuwa, ili kuzuia kuenea mapigano kwenye maeneo ya mpakani, inaufunga mpaka wake wa pamoja na Sudan hadi itakapotolewa taarifa nyingine.
Nigeria: Serikali iliwalipa Boko Haram kuwaachiwa wanafunzi waliotekwa
Uchunguzi uliofanywa na shirika la habari la AFP, umebaini kuwa serikali ya Nigeria iliwalipa mamilioni ya dola za Marekani wanajihadi wa kiislamu wa kundi la Boko Haram ili kuwaachia watoto…
“El Mencho” Mlanguzi wa dawa za kulevya aliyekuwa akitafutwa sana Mexico, ni nani?
Oseguera Cervantes, ni mmoja wapo wa walunguzi wa dawa za kulevya ambaye alikuwa akitafutwa sana na serikali ya Mexico na Marekani.