Putin ameanza Vita vya tatu vya Dunia na lazima akomeshwe – Zelensky
Zelensky aliniambia, Putin tayari ameanza Vita vya Tatu vya Dunia, na jibu pekee lilikuwa shinikizo kubwa la kijeshi na kiuchumi ili kumlazimisha arudi nyuma.
Ni miaka minne sasa tangu Ukraine ivamiwe na Urusi
Nchi ya Ukraine, hivi leo inaadhimisha miaka minne tangu ivamiwe kijeshi na Urusi, maadhimisho yanayofanyika huku licha ya kupata uungwaji mkono kimataifa, baadhi ya washirika wake wamegawanyika. Imechapishwa: 24/02/2026 –…
Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Man United kumrudisha kiungo wa Scotland Scott McTominay kwa £70m
Manchester United wanafikiria kumrejesha Scott McTominay Old Trafford, Real Madrid wanaangalia hali ya kandarasi ya Micky van de Ven, huku Brighton wakitarajia kukamilisha dili la Said El Mala.
Waziri wa Ulinzi: Uhusiano na nchi za Afrika za kimapinduzi na zenye misimamo huru utastawishwa
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia kutekelezwa sera ya msingi ya kuendeleza na kustawisha uhusiano na nchi zenye misimamo huru na za kimapinduzi katika bara la…
Kutokubali Iran kusalimu amri mbele ya Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, akijibu mshangao wa Rais wa Marekani kuhusu sababu za Iran kutokubali kusalimu amri, aliandika kwa uwazi: “Hatusalimu amri kwa…
Utekelezaji wa mradi wa kusambaza gesi asili katika eneo la Kisemvule, wilayani Mkuranga mkoani Pwani, umeendelea kuibua matumai…
Utekelezaji wa mradi wa kusambaza gesi asili katika eneo la Kisemvule, wilayani Mkuranga mkoani Pwani, umeendelea kuibua matumaini mapya kwa Wananchi wa eneo hilo ambapo zaidi ya shilingi bilioni 6.8…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 24, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 23, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 23, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴AIBUYAKO: HII NI AIBU!
🔴AIBUYAKO: HII NI AIBU! UNAISHIWAJE MAFUTA NJIANI... FEBRUARI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Bi. Judith Verus Ligenzi anaamini Ujuzi wake wa kuendesha gari moshi ndio unaoendelea kumpa ajira na kumfungulia milango na si …
Bi. Judith Verus Ligenzi anaamini Ujuzi wake wa kuendesha gari moshi ndio unaoendelea kumpa ajira na kumfungulia milango na si kwa sababu ya jinsia yake. #MwanamkeFundi26 #MwanamkeFundi #UjuziSiJinsiaNiAjira (Feed generated…
#HABARI: Ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Kampasi ya Songea mkoani Ruvuma, utakaogharimu zaidi shilingi Bilioni 18 umefik…
#HABARI: Ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Kampasi ya Songea mkoani Ruvuma, utakaogharimu zaidi shilingi Bilioni 18 umefikia asilimia 44, ambapo mkuu wa chuo hicho, Profesa Eliamani Sedoyeka amesema…
Tanzania lures domestic, foreign investors to boost sugar industry
MOROGORO: THE Tanzanian government is working hard to attract both local and Foreign Direct Investment(FDI) in the sugar industry to close long existing shortage of sugar supply in the country.…
“Kugawa muda wa kazi na muda wa majukumu mengine ya nyumbani kama mama haijawahi kuwa kazi ngumu kwangu” – Bi
"Kugawa muda wa kazi na muda wa majukumu mengine ya nyumbani kama mama haijawahi kuwa kazi ngumu kwangu" - Bi. Judith Verus Ligenzi, dereva wa gari moshi. #kilichoborakabisa #mwanamkefundi2026 #ujuzisijinsianiajira…
New healthcare initiative benefits 65,000 residents in Kigamboni
DAR ES SALAAM: OVER 65,000 residents in Kigamboni district benefited from the ‘Usafi Ndo Zetu’ campaign, which aims at protecting and improving healthcare in the region. This was said yesterday…
Katika kuhakikisha tafiti na bunifu zinachangia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya Taifa, Serikali imeanzisha mfumo maalum wa kata…
Katika kuhakikisha tafiti na bunifu zinachangia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya Taifa, Serikali imeanzisha mfumo maalum wa katalogi ya tafiti na bunifu (MAKISATU) utakaoratibu na kurahisisha upatikanaji wa tafiti…
TANESCO assures the completion of the Simiyu Power project by May
BARIADI: THE Managing Director of the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), Lazaro Twange, has conducted an inspection tour of ongoing power projects in Simiyu Region to assess their progress and…
Pengine Safari kuelekea yalipo mafanikio yako inaweza isifanane na hii ya Bi
Pengine Safari kuelekea yalipo mafanikio yako inaweza isifanane na hii ya Bi. Judith Verus Ligenzi ambaye ni dereva wa gari moshi kwa miaka 13 sasa lakini naamini ukimsikiliza kwa utulivu…
AKU yazindua mradi kubaini mapema kifua kikuu
Makamu Mkuu wa AKU Tanzania, Profesa Eunice Pallangyo amesema Tanzania inapaswa kujijengea...
Waziri Mkuu aagiza kuwekwa ‘scanner’ Namanga, abebeshwa kero
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amemwagiza Naibu Waziri wa Fedha, Mshamu Ali Munde kumwelekeza...
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Dkt
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally Mbwana amemuelezea Askofu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kuwa kiongozi…
Tanzania na Zambia zimefanikiwa kutatua kero tano kati ya kumi zilizokuwa zikiwakabili madereva wa malori katika mpaka wa Tundum…
Tanzania na Zambia zimefanikiwa kutatua kero tano kati ya kumi zilizokuwa zikiwakabili madereva wa malori katika mpaka wa Tunduma na kusababisha foleni kubwa ya maroli, huku zilizobaki zikiendelea kutafutiwa ufumbuzi.…
Michezo ya wiki hii katika Saudi Pro League
Michezo ya wiki hii katika Saudi Pro League Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #SaudiProLeague #Azamtvsports @spl_en (Feed generated with FetchRSS)
Wafanyabiashara wa soko jipya la Kariakoo wamepatiwa elimu ya namna bora ya kutumia miundombinu ya soko hilo pamoja na kujikinga…
Wafanyabiashara wa soko jipya la Kariakoo wamepatiwa elimu ya namna bora ya kutumia miundombinu ya soko hilo pamoja na kujikinga na majanga ya moto… mafunzo yaliyotolewa na Jeshi la Zimamoto…
Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu watatu kwa kutuhuma za kumtapeli wakala wa fedha Paulo Dainet Akweso shilingi …
Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu watatu kwa kutuhuma za kumtapeli wakala wa fedha Paulo Dainet Akweso shilingi milioni 147 mkazi wa kata ya Bombambili Manispaa ya Songea baada…
KUMBUKUMBU ZA WATANI | Jikumbushe kidogo kilichotokea tarehe 20/04/2024, Simba walipokufa 2-1 kwenye Kariakoo Derby
KUMBUKUMBU ZA WATANI | Jikumbushe kidogo kilichotokea tarehe 20/04/2024, Simba walipokufa 2-1 kwenye Kariakoo Derby. Je, ni wachezaji gani waliokuwepo siku hiyo ambao unatamani wangekuwepo kwenye derby ijayo ya tarehe…
#KariakooDerby: Karibu Zanzibar nyumbani kwa mechi ya Yanga dhidi ya Simba
#KariakooDerby: Karibu Zanzibar nyumbani kwa mechi ya Yanga dhidi ya Simba Ni hekaheka kuelekea #KariakooDerby ‘Mbungi’ yenyewe ni Machi Mosi pale New Amaan Complex, Zanzibar na itakuwa LIVE #AzamSports1HD Ujue…
#KariakooDerby: Ndani ya chombo ya @officialazammarine watangazaji @ngodaalwatan na @baraka_mpenja wakaombwa ‘selfie’ na shabiki…
#KariakooDerby: Ndani ya chombo ya @officialazammarine watangazaji @ngodaalwatan na @baraka_mpenja wakaombwa ‘selfie’ na shabiki yao. Ni hekaheka kuelekea #KariakooDerby ‘Mbungi’ yenyewe ni Machi Mosi pale New Amaan Complex, Zanzibar na…
Wataalamu wa Benki Kuu nchi za SADC kujadili vihatarishi vya mifumo
Wakurugenzi wa usimamizi wa mifumo ya Benki Kuu pamoja na wanaosimamia uangalizi wa vihatarishi...
Wananchi wa Wilaya ya Nyang’hwale sasa wanaweza kupata huduma za afya kwa faragha zaidi baada ya Hospitali ya Wilaya ya Nyangh’w…
Wananchi wa Wilaya ya Nyang’hwale sasa wanaweza kupata huduma za afya kwa faragha zaidi baada ya Hospitali ya Wilaya ya Nyangh'wale kuanzisha wodi maalum kwa wagonjwa wanaohitaji utulivu na huduma…
#KariakooDerby: Mtangazaji wa soka @ngodaalwatan amzuia Sauti ya Radi @baraka_mpenja ambaye alitaka kujitosa katikati ya Bahari …
#KariakooDerby: Mtangazaji wa soka @ngodaalwatan amzuia Sauti ya Radi @baraka_mpenja ambaye alitaka kujitosa katikati ya Bahari ya Hindi akitaka kuonesha umwamba wake wa kuogelea. Unadhani Ngoda kaona nini? Ni hekaheka…
Bosi Tanesco akagua miradi ya umeme Simiyu
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (TANESCO), Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme inayotekelezwa mkoani Simiyu. Lengo lilikuwakujionea maendeleo ya utekelezaji wa miradi…
Mwigulu ataka taratibu za uhamiaji zirahisishwe AFCON 2027.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amemuagiza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Waziri wa Nchi Ofisi...
RC Mara aiomba Serikali kuanza ujenzi wa Bandari ya Musoma
Serikali mkoani Mara imeishauri Wizara ya Uchukuzi kuanza mchakato wa ujenzi wa Bandari ya...
#DIMBANILIVE: UCHAMBUZI WA KINA WA MICHEZO NDANI NA NJE YA NCHI/SIMBA IMEWAKA/ YANGA WANAJIULIZA
#DIMBANILIVE: UCHAMBUZI WA KINA WA MICHEZO NDANI NA NJE YA NCHI/SIMBA IMEWAKA/ YANGA WANAJIULIZA (Feed generated with FetchRSS)
Serikali yaagiza ushirikiano na sekta binafsi katika takwimu
Serikali imeitaka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kuongeza ushirikiano na sekta binafsi ili...
Tanzania seeks to get a drug that controls, prevents HIV
DAR ES SALAAM: TANZANIA has begun a process to obtain a drug that controls and prevents the spread of the AIDS virus, so that the drug is available and used…
India yawasihi raia wake kuondoka Iran
Wizara ya Mambo ya Nje ya India, siku ya Jumatatu, Februari 23, imewasihi raia wake kuondoka Iran, huku Washington ikizidisha shinikizo lake la kijeshi dhidi ya nchi hiyo. Imechapishwa: 23/02/2026…
Kesi ya mauaji ya mtoto kwenye nyumba ya kulala wageni kusikilizwa upya
Dosari za kisheria wakati wa usikilizwaji wa kesi ndani ya kesi (trial within trial) katika...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela atoa wito wa kuachiliwa kwa Nicolas Maduro
Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela Yvan Gil Pinto ametoa wito leo Jumatatu, Februari 23, huko Geneva kwa ajili ya kuachiliwa “mara moja” kwa rais wa Venezuela aliyeondolewa madarakani,…
Tanzania unveils strategies to empower small-scale mining that employs 18,000 people
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has announced a move to empower small-scale miners to help them achieve their goals and grow the mining sector,the Minerals Minister, Anthony Mavunde, notified…
Wanafunzi watua kero za shule yao kwa mbunge
Shule ya Msingi Nanjoka iliyopo Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, inakabiliwa na changamoto za...
Kariakoo successfully implements Dr Samia’s directives by 95 percent
DAR ES SALAAM: THE Kariakoo Markets Organization has successfully implemented more than 95 percent of the instructions given by the President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu…
Lissu, Jamhuri wavutana nyongeza ya ushahidi mpya
Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, anakabiliwa na kesi ya uhaini inayosikilizwa Mahakama Kuu Masjala...
Baada ya makataa ya Trump kwa Iran, Mashariki ya Kati inashikilia maneno ya Marekani
Wakati Rais wa Marekani Donald Trump akiendelea kutishia kushambulia Iran, mamlaka ya Iran imesema kwamba itawasilisha mapendekezo mapya ya kufikia makubaliano kuhusu suala la nyuklia wakati wa duru ya tatu…
TFS generates 189bn/- to surpass revenue collection target
MOROGORO: THE Tanzania Forest Services Agency (TFS) has surpassed its revenue collection target, collecting more than Shs. 189b/- against the target of Shs. 176b/-. As of February this year, it…
Gary Neville aipa Arsenal mbinu za Ubingwa EPL
Beki na nahodha wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amesisitiza kuwa Arsenal lazima...