Njugush Afungamana na Watoto Wake huku Kukiwa na tetesi za Kutengana na Wakavinye
Uvumi unazingira ndoa ya Njugush na Wakavinye huku fununu za kutengana zikiibuka. Kutokuwepo kwao hadharani kunazua maswali kuhusu hali ya uhusiano wao.
DRC-Burundi: Mpaka wa Gatumba-Kavimvira wafunguliwa
Mpaka wa Gatumba-Kavimvira kati ya miji ya Uvira (DRC) na Gatumba (Burundi) umefunguliwa rasmi leo Jumatatu, Februari 23, baada ya kufungwa kwa zaidi ya miezi miwili kufuatia vita vya AFC/M23.…
Rungwe District gets the state-of-the-art fire truck
TUKUYU: THE Rungwe District Fire and Rescue Department has received a new fire truck from the central government, which will be used for firefighting and rescue operations. The truck was…
Beki kinda Yanga atua TRA United
BEKI wa kulia kinda wa timu ya vijana ya Yanga U-20, Isaack Mtengwa amejiunga na TRA United iliyopo Ligi Kuu kwa kwa mkopo wa miezi sita akitokea Wakiso Giants ya…
Kocha Mtibwa Sugar alia na mabeki
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Yusuf Chipo amelia na safu ya ulinzi kurudia makosa, huku akisisitiza wamekutana na timu bora ambayo imetumia udhaifu walionao kuwaadhibu na sasa wanaenda kujipanga kwa…
Hospitali maalumu kuwahudumia watoto njiti kujengwa mikoa hii…
Jengo hilo lenye thamani ya Sh2.1 bilioni linatarajiwa kuzinduliwa rasmi Februari 28, 2026 na...
Dk Mwigulu akumbushia magumu ya Longido akikagua mradi wa maji
Waziri Mkuu amesema mradi huo wa maji ulikuwa hitaji la lazima kwa ajili ya wananchi wa wilaya...
Coastal Union wapo kamili gado Ligi Kuu Bara
WAKATI ikijiandaa kwa ajili ya mechi za duru la pili la Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya amesema 'Wagosi wa Kaya wameimarika' na wapo tayari kwa…
Wahuni Wavamia Uwanja wa Ndege wa Kisumu kwa Madai ya Kuwadhuru Sifuna na Babu Owino
KAA yakanusha madai ya wahuni waliovamia Uwanja wa Ndege wa Kisumu, ikithibitisha kuwa hakuna uvunjifu wa usalama uliotokea. Sifuna ataka uwazi kuhusu usalama.
Mwenyekiti mpya wa wa Chama cha Wananchi (CUF), Yusuf Mirambo, amesema kipaumbele chake ni kuimarisha mshikamano kuanzia ngazi y…
Mwenyekiti mpya wa wa Chama cha Wananchi (CUF), Yusuf Mirambo, amesema kipaumbele chake ni kuimarisha mshikamano kuanzia ngazi ya chini ya wanachama, akisisitiza kuwa msingi imara ndio nguzo ya kukirejesha…
ACT Wazalendo waibua mambo manne Sh200 bilioni za vijana
Wakati Serikali ikiendelea kuimarisha juhudi za uwezeshaji wa vijana kiuchumi nchini, Vijana wa...
Ulega atangaza fursa kwa wahandisi vijana
Mbali na fedha hizo, washindi watasaidiwa kusajiliwa katika bodi za kitaaluma, kufungua kampuni...
Hivi ndivyo mazishi ya Kardinali Pengo yatakavyokuwa
Ruwa’ichi ametangaza ratiba hiyo akisisitiza kifo chake ni pengo kubwa kwa Kanisa na Taifa kwa...
Hospitali Geita yaweka nguvu matibabu ya macho
GEITA; HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa wa Geita imeanzisha karakana ya macho ili kukabiliana na mahitaji ya huduma za macho ambayo yamezidi kuongezeka kwa watu wanaopitia changamoto hiyo. Mganga Mfawidhi…
Wahuni Wamvamia Mwanasiasa wa UDA Kanisani na Kumtimua Mbio
Ibada ya kanisa katika eneo bunge la Matungu, kaunti ya Kakamega, ilitatizika kwa muda baada ya mwanasiasa wa UDA kushambuliwa na wahuni waliomfukuza.
Baraza la Haki za Binadamu: Kufanya lililo sahihi si mchezo kwa ajili ya watazamaji ni jukumu la kila mtu
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa linakutana mjini Geneva Uswisi leo Jumatatu, huku Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres akiisihi jumuiya ya kimataifa kutoruhusu mmomonyoko…
IOM: Wahamiaji wengine 30 wahofiwa kufa maji au kutoweka baharini Ugiriki
Takribani wahamiaji 30 wanahofiwa kufa maji au kutoweka baada ya boti waliyokuwa wkisafiria kupinduka katika hali mbaya ya hewa karibu na pwani ya Ugiriki mwishoni mwa wiki, limesema Shirika la…
Mapigano Sudan Kusini yawafurusha karibu watu 280,000: UN
Mapigano mapya katika jimbo la Jonglei nchini Sudan Kusini yamewalazimisha mamia ya maelfu ya raia kuyahama makazi yao katika wiki za karibuni, kuharibu vituo vya afya, kuchochea kusambaa kwa ugonjwa…
Tanzania eyes 50 percent implementation of national deep geological survey plan
DAR ES SALAAM: THE Minerals Minister, Anthony Mavunde, has announced that the government is committed to achieving 50 percent implementation of the national deep geological survey plan by 2030. The…
Tanzania introduces a system of distributing 200bn/- allocated for youth development
DAR ES SALAAM: THE Minister of State, President’s Office – Youth Development, Joel Nanauka, has announced that the government has introduced a new system to manage the distribution of 200bn/-…
Mwanamke aomboleza mahusiano yake ya kimapenzi na AI
Utafiti tofauti zimeonyesha kuwa mifumo hiyo ya AI imekuwa ikijaribu kuwafurahisha watumizi wake, na kuongezea kuwa OpenAI inachochea “tabia hatari” na fikra zisizo za kihalisia.
Wazee wasiojiweza wanaoishi katika Kambi ya Kijiji cha Amani, Manispaa ya Tabora, wameiomba Serikali kuwapa kipaumbele katika ut…
Wazee wasiojiweza wanaoishi katika Kambi ya Kijiji cha Amani, Manispaa ya Tabora, wameiomba Serikali kuwapa kipaumbele katika utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaoendelea nchini, wakisema hali…
FCC intensifies efforts to ensure Tanzanian products meet quality standards
DAR ES SALAAM: THE Ilala District Commissioner, Edward Mpogolo, has affirmed the government’s commitment to work closely with the Fair Competition Commission (FCC) in ensuring all industrial products meet quality…
Mtoto atupa mwili wa babake mochari na kukataa kumzika sababu ya kumtesa akiwa hai
Kijana wa miaka 43 aliyetambulika kwa jina la Zakhele Cindi amekataa kumzika babake mzazi kwa madai kuwa alimtelekeza utotoni na kumnyima kitambulisho.
JK eulogizes Cardinal Pengo heading to his Feb 28 burial
DAR ES SALAAM: THE former Tanzanian President, Jakaya Kikwete, has sent condolences following the death of Polycarp Cardinal Pengo, describing the nation’s loss of a spiritual leader who made significant…
Sh361.5 milioni kukarabati chumba cha upasuaji Ocean Road
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umekabidhi Sh361.5 milioni kwa Taasisi...
Fahamu viwanja 10 vikubwa barani Afrika ambavyo vinaweza kubeba maelfu ya mashabiki
Kenya, Tanzania, na Uganda zipo kwenye mbio ya kujenga viwanja vya kisasa vya kiwango cha juu.
Mabadiliko ya Sheria ya Ushindani 2024 yaja kulinda soko na mlaji
Katika hatua inayolenga kuongeza imani kwa wawekezaji na kulinda masilahi ya wafanyabiashara...
Tanzanian traders lift the lid on high food prices during Ramadhan
DAR ES SALAAM: THERE is reportedly a huge increase in prices of common food items in many areas of Dar es Salaam and its environs in the first week of…
Mama wa Mchuuzi Aliyeuawa na Polisi Akanusha Mwanawe Alikuwa Mwanachama wa Kiengei
Mamake Boniface Kariuki akanusha madai ya kuwa mwanachama wa kanisa la JCM, akielezea kusikitishwa na ahadi ambazo hazijatimizwa kufuatia kifo chake.
Mwanaume mwenye silaha auawa akiyakaribia makazi ya Trump
Tukio hilo limethibitishwa na Idara ya Usalama wa Rais Trump, ambayo ilisimamia operesheni ya...
‘Kichapo ni hakika kwa adui’: Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran abeza madai ya adui ya kutoshindwa
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amebeza madai yanayotolewa na maadui ya kutoshindwa na kusema kuwa maadui hawakutarajia kuiona nchi hii ikionyesha umadhubuti wake mbele ya kuendelea kukusanya majeshi katika…
Somalia yalaani shambulio la mauaji katika jimbo la Zamfara, Nigeria
Somalia leo imelaani vikali shambulio la umwagaji damu katika jimbo la Zamfara kaskazini magharibi mwa Nigeria lililouwa raia wasiopungua 50. Wanawake na watoto pia walitekwa nyara katika hujuma hiyo ya…
Simulizi ya maaskofu kuhusu maisha ya Kardinali Pengo
Hadi anastaafu, alilitumikia Kanisa kama Padre kwa miaka 54, kama Askofu kwa miaka 42 na kama...
Zaiylissa afunguka ishu ya kuolewa mke wa pili
Mwigizaji wa Bongo Movies, Zaiylissa amevunja ukimya na kuwapiga kijembe wale wote...
The Geneva Consensus, Maputo Protocol and Tanzania’s silent crisis
DAR ES SALAAM: IN October 2020, a coalition of countries led by the United States under President Donald Trump unveiled the Geneva Consensus Declaration on Promoting Women’s Health and Strengthening…
Bei za magimbi, viazi zapaa Tanga, nazi zaadimika
Mfanyabiashara mwingine, Zawadi Muya amesema hali ya biashara mwaka huu ni tofauti na mwaka jana.
SADC inaugurates a joint procurement service for medicines, health commodities
JOHANNESBURG: THE Southern African Development Community (SADC), through a meeting of Permanent Secretaries and Health Experts, plans to begin implementing a joint procurement service for medicines and health commodities known…
Kiongozi wa chama cha BSW Ujerumani atoa wito kwa nchi yake kuondoa vikwazo dhidi ya Iran
Kiongozi wa chama cha Union for Reason and Justice cha Ujerumani, Sarah Wagenknecht, anatoa wito kwa serikali ya nchi yake kuondoa vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Iran na kuzuia Marekani kutumia…
Mafuriko mashariki mwa Kongo yameacha zaidi ya kaya 2,500 bila makazi
Zaidi ya kaya 2,500 zimeachwa bila makazi baada ya mito miwili kuvunja kingo zake na kusababisha mafuriko katika vijiji kadhaa katika eneo la kati, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
DCI Yawaanika Waandalizi wa Linda Mwananchi Waliohami Wafuasi na Silaha Kumuua George Olande Otobe
DCI inachunguza kifo cha George Olande Otobe katika mkutano wa Linda Mwananchi, huku kukiwa na uchunguzi kuhusu ghasia za makundi na wafuasi wenye silaha.
President Samia named AU champion for maternal and child health
DODOMA: TANZANIA and Africa have every reason to celebrate following the appointment of President Samia Suluhu Hassan as the African Union Champion for Maternal and Child Health. The prestigious responsibility,…
Korea Kusini wafadhili ujenzi mtambo bayogesi Monduli
TAASISI ya Wanasayansi Wahandisi Wasio na Mipaka (SEWB) ya Korea Kusini imefadhili ujenzi wa mtambo wa kuzalisha gesi asilia ya kupikia ya bayogesi katika Chuo cha Ufundi Stadi cha Wilaya…
Mwandishi wa habari mtajika wa Marekani: Israel ni mzigo mkubwa zaidi wa kigeni kwa Marekani
Mwandishi mashuhuri wa habari wa Marekani, amekosoa waziwazi sera za Washington kuhusu Israel, akisema utawala huo ni mzigo mkubwa zaidi wa kigeni kwa Marekani.
Kwa nini Tehran ichague vita badala ya “kusalimu amri”?
Kwa viongozi wa Iran, haya si mambo madogo ya sera, bali ni nguzo kuu za usalama wa taifa.
Tyla kadata kwa Rema
Mwimbaji nyota wa Afrika Kusini, Tyla, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kukiri kuwa anavutiwa...
When control becomes responsibility
DAR ES SALAAM: IN many Tanzanian neighbourhoods, danger rarely announces itself loudly. It hides in the small things like a loose balcony rail, a wet supermarket floor, an uncovered pit…
Serikali yaeleza chanzo katikakatika ya umeme Zanzibar
Naibu Waziri amesema katika kukabiliana na tatizo la upungufu wa umeme, Serikali ya Mapinduzi...
Safari ya Khadija Mwanamboka kwenye ulimwengu wa mitindo
Katika tasnia ya mitindo Tanzania, ushindani ni mkubwa na changamoto hazikosekani, lakini...