75’ | #SerieA
75’ | #SerieA Atalanta 1-1 Napoli LIVE #AzamSports2HD #SerieA #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #AtalantaNapoli (Feed generated with FetchRSS)
Wananchi Mwanga walalamikia uhaba nyumba za watumishi wa afya
Baadhi ya wananchi wa kata za Kirya, Kilomeni na Lembeni, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro...
Sauti iliyotulia imeondoka, lakini ujumbe wake umebaki
Usiku wa Alhamisi, Februari 19, 2026, Tanzania ilipoteza kitu ambacho hakiwezi kubadilishwa kwa...
Ronaldo bado yupo sana Saudi Arabia
Nahodha wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, hatimaye amevunja ukimya kuhusu hatma yake katika Ligi...
Mwanariadha wa Tanzania Gabriel Gerald Geay leo amefanikiwa kutetea taji la mbio za Marathon za Daegu China akitumia muda wa 2:…
Mwanariadha wa Tanzania Gabriel Gerald Geay leo amefanikiwa kutetea taji la mbio za Marathon za Daegu China akitumia muda wa 2:08:11. Ushindi huo unaendana na kitita cha dola laki mbili(Shilingi…
Katambi: Tanzania amani kwanza
SHINYANGA: WAZIRI wa Mambo ya ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania itaendelea kuwa na amani na utulivu huku akiwaonya watu wanaotumika kuichafua nchi na kuzua taharuki kwa kupewa rushwa.…
1,275 hawajaripoti kidato cha kwanza Serengeti
Asilimia 24 ya wanafunzi waliotakiwa kuripoti kwa ajili ya kuanza elimu ya kidato cha kwanza...
Wakazi wa Walaya ya Hai wameendelea kunufaika na uwepo wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro (KINAPA) hususani kupitia mfuko wa ujir…
Wakazi wa Walaya ya Hai wameendelea kunufaika na uwepo wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro (KINAPA) hususani kupitia mfuko wa ujirani mwema. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.…
Dakika 1326 za kutisha za Paul Peter
MSHAMBULIAJI wa maafande wa JKT Tanzania, Paul Peter Kasunda, ameichezea timu hiyo dakika 1326 za mashindano yote hadi sasa, huku akiwa na rekodi bora, ikiwa ni msimu wa kwanza tu…
Nyota watatu wamtibulia Laizer Fountain Gate
KOCHA Mkuu wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’, amesema kuwakosa wachezaji watatu waliofikia makubaliano ya kutua ndani ya kikosi hicho katika dirisha dogo la Januari 2026, ni pigo kubwa kwake,…
Bwenzi akaribia mwaka bila bao
KIUNGO mshambuliaji wa Mashujaa, Seleman Rashid ‘Bwenzi’, anakaribia kufikisha mwaka mzima bila ya kufunga bao lolote la Ligi Kuu, tangu mara ya mwisho nyota huyo alipofunga wakati akiwa na kikosi…
Kichuya apiga hesabu kali Coastal Union
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Shiza Kichuya amesema kasi aliyoanza nayo akiwa na kikosi hicho katika kufumania nyavu, inampa nguvu ya kupiga hesabu kali zaidi ili kufunga mengi kuliko ilivyokuwa msimu…
Wakala wa Vipimo (WMA) imewahimiza wananchi kote nchini kuwa na uelewa wa haki yao ya msingi ya kuhoji na kuthibitisha usahihi w…
Wakala wa Vipimo (WMA) imewahimiza wananchi kote nchini kuwa na uelewa wa haki yao ya msingi ya kuhoji na kuthibitisha usahihi wa vipimo wanapofanya manunuzi dukani au katika eneo lolote…
TAWA yajipanga kutekeleza maono ya serikali
MOROGORO: MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuwezesha utoaji vibali vya kuajiri askari wa wanyamapori takribani 551 kwa mwaka wa fedha 2025/26.…
Sudan: Kumpokea Hemedti huko Uganda ni “uungaji mkono wa moja kwa moja kwa mauaji ya kimbari”
Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imelaani vikali hatua ya serikali ya Uganda ya kumpokea kamanda wa waasi wa Rapid Support Forces (RSF), Mohamed Hamdan Dagalo (Hemedti), ikielezea hatua…
Mashauri 526 yasikilizwa kliniki ya sheria migogoro ardhi Dar, madai na mirathi yatawala
Katika Jiji la Dar es Salaam, palipo na mzunguko wa maisha usiozimika, Viwanja vya Mnazi Mmoja...
TEWW kuendeleza usimamizi miradi ya kimkakati
MOROGORO: JUMLA ya vijana 42,000 wamenufaika na programu za muda mrefu na muda mfupi kwa kupatiwa elimu na mafunzo ya ufundi stadi kupitia Mradi wa Mpango wa Elimu Changamani kwa…
Geay afunika tena Deagu Marathon
MWANARIADHA nyota wa kimataifa wa riadha wa Tanzania, Gabriel Geay amefanya kweli katika Mbio za Daegu Marathon 2026 kwa kutetea ubingwa wa mbio hizo kwa mara ya pili mfululizo zilizofanyika…
Katambi alivalia njuga sakata la mkandarasi barabara, stendi
Sakata la kusuasua kwa ujenzi wa barabara ya Mwawaza na stendi kuu ya mabasi mkoani Shinyanga...
Singida BS yafanya kweli Ligi Kuu ikiichapa Mtibwa Sugar
Timu ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-1, dhidi ya Mtibwa Sugar, katika...
Dk Mwigulu: Serikali kuwekeza kwenye Sayansi na Teknolojia
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, ametaka uongozi wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na...
Mbinu alizotumia Epstein kuwanasa matajiri, wanasiasa – 13
Wakati kitendawili kikiwa kigumu kutegua kuhusu waziri mkuu mashuhuri aliyembaka Virginia...
Singida Black Stars yarudi na moto Bara
SINGIDA Black Stars imerejea kwa kishindo katika Ligi Kuu Bara baada ya leo mchana kuifyatua Mtibwa Sugari kwa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma na kuchupa…
Tanzania’s account management system seeks to cope with the digital era quest
DAR ES SAAAM: BENEFICIARIES of the Strategic Account Management Training are expected to have in-depth practicable skills on how to win and retain clients as Tanzanians seek a global-level business…
Dar braces for the CEOs’ AI Master-class session
DAR ES SALAAM: THE urge to strengthen good governance and risk oversight are among the notable skills to be gained by the Chief Executive Officers (CEOs) lined up for the…
Tume ya Uchunguzi Oktoba 29 yaongezewa siku 42, wadau watoa neno
Wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa...
Ubunifu, uboreshaji viwango huduma sekta ya maji vyaiibua GGML
Upatikanaji wa maji safi na salama unaendelea kuwa kipaumbele katika ajenda ya maendeleo ya...
Waziri Araghchi: Iran italinda haki za taifa katika nyuklia kupitia diplomasia
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesisitiza dhamira ya nchi yake kulinda haki halali za taifa katika nyanja ya nishati ya nyuklia kwa njia ya diplomasia.
Iran yamkemea balozi wa Marekani aliyeunga mkono mpango wa “Israel Kubwa”
Iran imejiunga na nchi na mashirika kadhaa ya Kiislamu na Kiarabu katika kulaani vikali kauli za balozi wa Marekani katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu, aliyedokeza kuwa Israel ina haki ya…
Tanesco kuingiza umeme wa jua kwenye gridi ya Taifa
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linatarajia kuingiza kwenye gridi ya Taifa umeme...
Geay awika tena Deagu Marathon
Nyota wa kimataifa wa riadha wa Tanzania, Gabriel Geay amefanya kweli katika Mbio za Daegu...
Wachimbaji Mirerani wapata zahanati
ARUSHA: ZAHANATI yenye gharama ya zaidi ya Sh milioni 180 inajengwa ndani ya ukuta wa migodi ya madini ya Tanzanite iliyopo katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mirerani mkoani Arusha.…
Magaidi wauwa watu 50, wateka wanawake na watoto kaskazini-magharibi mwa Nigeria
Takribani watu 50 wameuawa na wanawake pamoja na watoto kadhaa kutekwa nyara katika shambulio la kigaidi lililolenga kijiji kimoja katika jimbo la Zamfara, kaskazini-magharibi mwa Nigeria.
Türk: Akili Mnemba izingatie ujumuishaji, uwajibikaji na viwango vya kimataifa
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu, Volker Türk, ameonya kuwa bila kuweka mifumo madhubuti ya udhibiti kwa haraka, akili mnemba (AI) inaweza kuongeza pengo la usawa,…
Sekta ya madini ya Sudan yapata hasara ya dola bilioni 7 huku vita vikiendelea
Sekta ya madini nchini Sudan imepata hasara inayokadiriwa kufikia dola bilioni saba kufuatia kuendelea kwa vita vya vya ndani kwa takribani miezi 34. Hayo ni kwa mujibu wa Mamlaka ya…
Umuhimu wa kuelewa hisia unapowasiliana na mtoto
Kama kuna eneo muhimu kwa sisi wazazi kulizingatia ni kuelewa hisia za watoto kabla hatujawapa...
Maisha ya kuigiza yanavyoathiri ndoa za wengi
Katika zama hizi, ndoa nyingi haziishi tena kwa misingi ya ukweli bali kwa misingi ya maonyesho.
Andrew: Unachohitaji kujua kuhusu kuanguka kwa Mwanamfalme wa zamani
Andrew Mountbatten-Windsor amesherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 66 akiwa ndani ya seli ya polisi akiwa na “kitanda na choo tu”, ni nini kilichosababisha kuanguka kwa heshima ya mwanamfalme wa…
Kane apigiwa kampeni Barcelona
Jina la mshambuliaji wa Bayern Munich, Harry Kane limeibuka katika kampeni ya kuwania Urais wa...
Zanzibar yatenga Sh99 bilioni kujenga shule 13 za ghorofa
Safari ya kumaliza mfumo wa mikondo miwili kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari...
Mvua yaua watatu Songwe, yumo mwanafunzi wa shule ya msingi
Watu watatu akiwamo mwanafunzi wa darasa la pili, wamefariki dunia kufuatia mvua zinazoendelea...
Tanzania to host International Kiswahili Conference in Paris
PARIS: TANZANIA will host the International Kiswahili Conference in Paris, France, from April 27 to 30, 2026, the government has confirmed. The conference, aimed at celebrating the global growth of…
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Karim Amri, ameongoza Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kagera kufanya ziara ya kuimarisha chama…
Ushahidi wa maandishi katika kila jambo unalofanya ni muhimu sana, litakulinda na mambo mengi kisheria kama mwanasheria wetu ana…
Ushahidi wa maandishi katika kila jambo unalofanya ni muhimu sana, litakulinda na mambo mengi kisheria kama mwanasheria wetu anavyoeleza zaidi. #SheriaUpdate (Feed generated with FetchRSS)
TZ Film Festival and Awards: Where cinema sparkled, water cost fortune
DAR ES SALAAM: THERE are some evenings that pass like polite dinner guests. They knock gently, compliment the curtains and leave before the tea goes cold. And then there are…
Unaleaje watoto baada ya ndoa kuvunjika
Kuvunjika kwa ndoa ni tukio linalotikisa misingi ya familia na kuacha maumivu makubwa kwa...
30bn/- PPP to restore stone town sites
ZANZIBAR: THE Zanzibar Government has signed a Public-Private Partnership (PPP) agreement with Infinity Developments to restore and upgrade key historical sites within Stone Town, with the investor committing approximately 12…