Wanamichezo wa Iran wamkingia kifua Kiongozi Muadhamu
Zaidi ya wanachama 5,000 wa jumuiya ya michezo ya Iran wametoa taarifa kulaani vitisho na bwabwaja za Rais wa Marekani Donald Trump, wakitangaza uungaji mkono wao mkubwa kwa Kiongozi Muadhamu…
Moloko aibua shangwe Mbeya Kwanza
BAADA ya Mbeya Kwanza kukamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani Jesus Ducapel Moloko, kocha wa timu hiyo, Maka Mwalwisi, amesema wapinzani wajipange vizuri katika raundi hii ya…
Mido iliyokwama Simba yafunguka
KIUNGO wa Barberian FC, Muhsin Mlaga, amesema licha ya dili lake la kwenda Simba kushindwa kukamilika dakika za mwisho, ila, jambo la kuhusishwa na kikosi hicho kwake imempa motisha kubwa…
#HABARI: Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Mheshimi…
#HABARI: Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Mheshimiwa Anna Makinda, amesema kuwa mafanikio ya mwanafunzi…
Kipaumbele cha Wandiba Gunners FC
KOCHA mpya wa Gunners FC ya jijini Dodoma, Mathias Wandiba, amesema malengo makubwa aliyopewa na uongozi wa kikosi hicho ni kuhakikisha timu hiyo inabakia Ligi ya Championship, licha ya ushindani…
Abrahaman atwishwa zigo Transit Camp
KOCHA Mkuu wa Transit Camp, Shadrack Nsajigwa, amesema kuondoka kwa aliyekuwa mshambuliaji wa kikosi hicho, Adam Uledi ni pengo kubwa kutokana na ubora wake, ingawa usajili wa nyota, Abrahaman Mussa…
Straika mpya Geita achimba mkwara
MSHAMBULIAJI mpya wa Geita Gold, Raymond Lulendi, amesema licha ya ushindani mkubwa uliopo katika eneo la kikosi hicho msimu huu ila hana hofu, kwa sababu atapambana kadri ya uwezo wake…
Kwanini bei ya dhahabu inaongezeka kwa kasi?
Mvutano kati ya Marekani na Jumuiya ya kujihami ya NATO kuhusu eneo la Greenland, imeongeza wasiwasi kuhusu hali ya uchumi duniani.
Iran yatangaza majeshi ya Ulaya kuwa ni ‘makundi ya kigaidi’ katika hatua ya kulipiza kisasi
Tehran inachukua hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Umoja wa Ulaya baada ya umoja huo kulitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi kama "shirika la kigaidi".
Iran: Kwa mujibu wa sheria ya kulipiza kisasi, majeshi ya nchi za Ulaya yanachukuliwa kuwa makundi ya kigaidi
Mohammad Baqer Qalibaf, Spika wa Bunge la Iran amesema katika kikao cha hadhara hii leo: "Kwa mujibu wa kifungu cha 7 cha sheria kuhusu hatua za kukabiliana na tangazo la…
Faili mpya ya Epstein yafichua mkataba wa Modi wa India, Somaliland na Rothschild
Hati hizo pia zinaonyesha Epstein na watu binafsi katika mtandao wake wakijadili Somaliland, iliyojitangazia kujitenga tangu 1991.
Wanyeche claims pro title as TPC Open 2026 heats up in Moshi
MOSHI: THE professional golfers’ category at the 2026 TPC Golf Open delivered a fiercely competitive two-day showdown, with the 36-hole contest concluding on Friday at the scenic TPC Club course…
Mnajua pa kwenda ndoa inapoyumba
Nadhani wengi mmeishasikia baadhi ya wanandoa walioshindwa kuimarisha ndoa zao kwa sababu...
Mitandao inavyowapa hofu vijana kuoa, kuolewa
Hadithi na simulizi za kusalitiana, ugomvi, hekaheka, kukosa uhuru na amani zinazotolewa katika...
When Tanzanian music played on, but money wandered off
DAR ES SALAAM: THERE is something strangely poetic and downright cruel, about the journey of Tanzanian music. It has travelled far and wide, danced across continents and found fans in…
#HABARI: Serikali imewataka wazalishaji na wabunifu wa teknolojia za nishati safi kuongeza juhudi katika kutengeneza bidhaa zina…
#HABARI: Serikali imewataka wazalishaji na wabunifu wa teknolojia za nishati safi kuongeza juhudi katika kutengeneza bidhaa zinazomudu gharama za wananchi wengi ili kupanua matumizi yake nchi nzima. Mkurugenzi wa Nishati…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameongoza zoezi la usafi katika fukwe ya Dengu jijini Dar es Salaam, huku akik…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameongoza zoezi la usafi katika fukwe ya Dengu jijini Dar es Salaam, huku akikemea vikali utupaji wa taka hovyo, hususan chupa za…
ONGEA NA ANTI BETTIE: Mama anamchukia mume wangu tunayependana
Nimeolewa huu mwaka wa pili, kwa bahati mbaya wakati ninafunga ndoa na mume wangu mama yangu...
Tanzania SGR redefining cross border tourism in East and Central Africa
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S Standard Gauge Railway (SGR) is quietly reshaping African tourism by turning the country into a regional gateway through cross border tourism in East and Central Africa.…
Tanzania’s National Insurer NIC Earns Second Consecutive Superbrand Recognition
NAIROBI: Tanzania’s National Insurance Corporation (NIC) has been awarded Superbrand status for the second consecutive year, reinforcing its reputation as one of the region’s most trusted insurance providers and highlighting…
Umoja wa Afrika walaani mashambulizi dhidi ya Niger; waahidi kuiunga mkono nchi hiyo
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Mahmoud Ali Youssouf amelaani mashambulizi ya hivi karibuni huko Niger ikiwa ni pamoja na shambulio kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamani…
Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Mateta akubali uhamisho wa kujiunga na AC Milan
Jean-Philippe Mateta amekubali mkataba na AC Milan hadi 2030, Fulham wametoa ofa ya £20m kwa lengo la kumsajili Joe Willock iliyokataliwa na Newcastle, na Michael Carrick anataka Marcus Rashford arejeshwe…
Malawi yatangaza mlipuko wa polio baada ya kugundua sampuli za ugonjwa huo
Serikali ya Malawi imetangaza kuibuka virusi vya polio aina ya 2 (cVDPV2) kufuatia kugunduliwa kwa sampuli za mazingira.
Iran: IRGC inadumisha amani, utulivu; uingiliaji unachochea taharuki
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lina jukumu muhimu katika kudumisha amani na utulivu katika eneo la Ghuba…
Kipindi: Tupike Kijapani: Chakula cha “Hosomaki” – Ukumbi wa Jumapili
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu tunakuletea Kipindi cha Tupike Kijapani ambapo tutapika pamoja chakula cha “Hosomaki” hii…
Govt targets youth, women in cooperative drive
DODOMA: The Minister of Agriculture, Mr Daniel Chongolo, has directed the newly inaugurated Board of Commissioners of the Tanzania Cooperative Development Commission (TCDC) to ensure that special groups are fully…
Uchumi wa Taiwan ulikua kwa zaidi ya 8% mwaka 2025, ukuaji wa juu zaidi katika miaka 15
Taiwan imesema uchumi wake ulikua kwa asilimia 8.63 ukiondoa mfumuko wa bei mwaka 2025, kutoka mwaka uliotangulia, ikiwa ni ukuaji wake wa juu zaidi katika kipindi cha miaka 15. Sababu…
PMI ya kiwanda ya mwezi Januari nchini China imeshuka kwa alama 50 kwa mara ya kwanza katika miezi miwili
Kiashiria muhimu cha shughuli za uzalishaji za China kimepungua kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miezi miwili. Lawama kubwa inawekwa kwenye mahitaji ya ndani yasiyoongezeka kutokana na kushuka kwa…
Mkuu wa Umoja wa Mataifa aonya kuhusu mdororo wa kifedha unaokaribia kutokana na michango isiyolipwa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amezishauri nchi wanachama kulipa michango yao, akionya kwamba Umoja wa Mataifa unakabiliwa na hatari ya mdororo wa kifedha kutokana na kiasi kikubwa…
Milipuko katika majengo ya makazi nchini Iran, shambulio lakanushwa
Chombo cha habari cha Iran kimesema mtu mmoja ameuawa na wengine 14 kujeruhiwa katika mlipuko kuliotokea kwenye jengo la makazi kusini mwa nchi hiyo.
Watu zaidi ya 500 wameuawa katika mashambulizi ya Israel huko Gaza tangu kuanza kwa makubaliano ya kusitisha mapigano
Mamlaka katika Ukanda wa Gaza zimesema watu zaidi ya 500 wamefariki katika mashambulizi ya Israel tangu makubaliano ya kusitisha mapigano yalipoanza kutekelezwa mwezi Oktoba mwaka jana.
Mazungumzo ya amani ya pande tatu kuhusu Ukraine yanatarajiwa kuanza tena Februari Mosi
Mazungumzo ya amani ya pande tatu yanayohusisha Ukraine, Urusi na Marekani yanatarajiwa kuanza tena Februari Mosi yakizingatia suala la eneo.
Wasafiri kati ya Japani na Korea Kusini walifikia kiwango cha juu zaidi mwaka 2025
Maafisa wa utalii nchini Japani na Korea Kusini wametoa data zinazoonyesha kwamba idadi ya wasafiri kati ya nchi hizo mbili ilifikia kiwango cha juu zaidi mwaka 2025.
Japani na Uingereza zakubaliana kufanya kazi katika kuimarisha minyororo ya usambazaji wa madini muhimu
Waziri Mkuu wa Japani, Takaichi Sanae, na mwenzake wa Uingereza, Keir Starmer, wamekubaliana kushirikiana kwa karibu na nchi zenye mtazamo unaofanana ili kuimarisha minyororo ya usambazaji wa madini muhimu.
Korea Kaskazini yawachagua wajumbe wa bunge la chama tawala
Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vinasema kamati kuu ya Chama tawala cha Wafanyakazi imewachagua wajumbe wa mkutano mkuu wa kwanza wa chama hicho katika kipindi cha miaka mitano.
Hahaha leo fedheha waliyomvisha Bibie imekuwa kimasomaso…Siwa ndio nini jamani huko ukweni 🥹 Usikose kutazama uhondo wa #Kombo…
Hahaha leo fedheha waliyomvisha Bibie imekuwa kimasomaso...Siwa ndio nini jamani huko ukweni 🥹 Usikose kutazama uhondo wa #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD (Feed generated with FetchRSS)
Tazama Utamaduni wa Kisasa & Mtindo Videos
Furahia maudhui ya video na sauti ya NHK WORLD-JAPAN kupitia Utamaduni wa Kisasa & Mtindo
Tazama Maandalizi dhidi ya janga Videos
Furahia maudhui ya video na sauti ya NHK WORLD-JAPAN kupitia Maandalizi dhidi ya janga
Afisa wa Umoja wa Mataifa: Usitishaji mapigano Gaza si wa kweli
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) amelaani shambulio la jeshi la Israel katika kitongoji cha Sheikh Radwan kaskazini magharibi mwa Jiji la Gaza,…
Tazama Matukio ya Hivi Karibuni Videos
Furahia maudhui ya video na sauti ya NHK WORLD-JAPAN kupitia Matukio ya Hivi Karibuni
Riwaya: “Uzi wa Buibui” na Akutagawa Ryunosuke – Riwaya
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea riwaya inayoitwa “Uzi wa Buibui" iliyoandikwa na Akutagawa Ryunosuke. Hadithi hii…
Riwaya: “Knock” na Arai Motoko – Riwaya
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea riwaya inayoitwa “Knock” iliyoandikwa na Arai Motoko. Hii ni simulizi fupi…
Riwaya “Uvumi Kuhusu Bw. Aoyama” iliyoandikwa na Kodama – Riwaya
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani na mambo mengine ya kufurahisha. Wakati huu, tunakuletea riwaya inayoitwa "Uvumi Kuhusu Bwana Aoyama"…
Riwaya “Tanaka-san Hataki Kwenda Ofisini” – Riwaya
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea Riwaya iitwayo "Tanaka-san Hataki Kwenda Ofisini" iliyoandikwa na Akeno Kaeruko Mitindo…
Riwaya: “Nipo kwa ajili yako” na Totoki Naoko – Riwaya
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea riwaya kuhusu simulizi ya "Nipo kwa ajili yako" iliyoandikwa na Totoki…
Kipindi: Tupike Kijapani: Chakula cha “chan chan yaki” kutoka mkoani Hokkaido – Ukumbi wa Jumapili
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu tunakuletea kipindi cha Tupike Kijapani ambapo tutapika pamoja chakula cha "chan chan…
Somo la 44: Nimesikia onyesho lingine litafanyika. – Jifunze Kijapani
Tam alikwenda kwenye onyesho la piano la Yuuki, mwanamume anayempenda na hatimaye aliweza kuonana naye tena. Baada ya kurudi nyumbani katika "Nyumba ya Haru-san," anawasimulia mwenyenyumba wake roboti na mpangaji…
Chama kinachoungwa mkono na jeshi la Myanmar chashinda kwa kishindo
Matokeo kutoka kwa tume ya uchaguzi ya Myanmar yanaonyesha kuwa chama kinachoungwa mkono na jeshi kilipata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu, na kupata wingi wa viti katika mabaraza yote mawili…
Korea Kusini yaishukuru Japani baada ya ndege za kijeshi kutua kwa dharura
Waziri wa Ulinzi wa Korea Kusini Ahn Gyu-back ameishukuru Japani kwa kusaidia ndege ya kijeshi ya Korea Kusini iliyokumbwa na matatizo. Ndege ya usafiri ya C-130 ililazimika kutua kwa dharura…
Taasisi ya Ushauri ya Ulaya: Iran itatumia karata zake zote iwapo itashambuliwa na Marekani
Taasisi ya ushauri ya Baraza la Ulaya kuhusu Mahusiano ya Kigeni imeonya katika ripoti yake juu ya matokeo mabaya ya mashambulizi ya kijeshi wa Marekani nchini Iran.