Jiongeze: Hawa mastaa wetu wana miaka 40 sasa
Wengi wana zaidi ya 40. Lakini wale ambao miaka yao haiongezeki sasa ni rasmi wana miaka 40. Na...
Utendaji wa jeshi la IRGC kuanzia kupambana na Daesh hadi Vita vya Siku 12 na utawala wa Kizayuni
Jeshi la Walinzi wa Mapindzi ya Kiislamu (IRGC) katika miongo ya hivi karibuni limefanya vyema, hasa katika mapambano dhidi ya magaidi wa kundi la Daesh (ISIS) na pia katika Vita…
#SWALILAKIPIMAJOTO:Serikali kupiga marufuku michango katika shule.Je, kuna dhamira ya dhati kusimamia agizo hilo?
#SWALILAKIPIMAJOTO:Serikali kupiga marufuku michango katika shule.Je, kuna dhamira ya dhati kusimamia agizo hilo?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 01, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 01, 2026
Kipindupindu chauwa watu 12 Msumbiji huku kesi za ugonjwa huo zikiongezeka Malawi
Msumbiji imesajili vifo vya watu 12 kutokana na ugonjwa wa kipindupindu katika muda wa saa 24 zilizopita pamoja na kesi mpya za ugonjwa huo 135. Hii ni kwa mujibu wa…
Zaidi ya watu 200 wamefariki DRC kwa maporomoko kwenye mgodi unaodhibitiwa na waasi
Watu wasiopungua 200 wameaga dunia mapema wiki hii wakati mvua kubwa iliposababisha mfululizo wa maporomoko ya udongo katika mgodi wa madini ya koltani ulioko Rubaya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia…
Shamkhani: Iran itashambulia ndani ya kitovu cha ‘Israel’ kulipiza kisasi
Mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, ameonya kwamba hatua yoyote ya uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu inaweza kuchochea majibu makali, ikiwemo mashambulizi yatakayopenya…
Askari 10 na magaidi 109 wauawa katika mapigano kwenye jimbo la Balochistan, Pakistan
Askari wasiopungua 10 na magaidi 109 wameuawa katika mapigano wakati vikosi vya usalama vya Pakistan vilipozima mashambulizi makubwa "yaliyoratibiwa" katika jimbo la kusini-magharibi mwa Balochistan. Hayo yalielezwa jana Jumamosi na…
US yaidhinisha kuiuzia silaha Israel za $ bilioni 6.6 zikiwemo inazotumia kuulia Wapalestina
Serikali ya Marekani imeidhinisha mauzo ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 6.67 kwa utawala wa kizayuni wa Israel wakati huu ambapo kuna usitishaji mapigano unaolegalega katika vita vya mauaji…
Jumapili, Mosi Februari, 2026
Leo ni Jumapili 12 Shaaban 1447 Hijria mwafaka na Mosi Februari 2026 Miladia.
All the best Samia scholars
DAR ES SALAAM: THE Samia Scholarship for Data Science, Artificial Intelligence and Allied Sciences (DS/AI+) is a prestigious Tanzanian government initiative targeting top-performing Form Six science graduates for advanced, fully…
Strategic projects create 61,000 impressive jobs
DODOMA: MORE than 61,000 jobs have been generated through strategic projects implemented across the country, with the government reaffirming its commitment to expanding employment opportunities for university graduates through major…
SAMIA @100 DAYS: Framework developed to close skills gap
DODOMA: THE Ministry of Education, Science and Technology, in collaboration with stakeholders from both the public and private sectors, has developed a joint programme aimed at addressing the shortage of…
PM: Govt tightens grip on graft, public fund misuse
DODOMA: THE government has launched investigations into all sectors suspected of facilitating corruption, misappropriation of public funds and unethical conduct among public officials. Prime Minister Dr Mwigulu Nchemba said this…
#HABARI: Waziri Mkuu Mhe.Dtk
#HABARI: Waziri Mkuu Mhe.Dtk. Mwigulu Nchemba akimkabidhi tuzo maalumu Braydon Bent, shabiki maarufu duniani wa Manchester City kutoka Uingereza kama sehemu ya kutambua mchango wake katika kutangaza utali wa Tanzania…
“Uhifadhi huu si kwa ajili ya serikali, kama ambavyo mmesema tumerithishwa…tuwarithishe, hili ni jambo la kila Mtanzania, tush…
"Uhifadhi huu si kwa ajili ya serikali, kama ambavyo mmesema tumerithishwa...tuwarithishe, hili ni jambo la kila Mtanzania, tushirikishane njia bora za kuendeleza uhifadhi huu ni urithi"Mhe.Mwigulu Nchemba - Waziri Mkuu…
#MEDANIZASIASA ; MASWALI KONK YA ODEMBA NDANI YA MEDANI ZA SIASA
#MEDANIZASIASA ; MASWALI KONK YA ODEMBA NDANI YA MEDANI ZA SIASA (Feed generated with FetchRSS)
🔴HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA KITAIFA ZA UHIFADHI NA UTALII (THE SERENGETI AWARDS)
🔴HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA KITAIFA ZA UHIFADHI NA UTALII (THE SERENGETI AWARDS)... JANUARI 31, 2026
Mtetezi wa haki za binadamu Tanzania awania nafasi ya juu UN
Mtetezi wa haki za binadamu kutoka Tanzania, Onesmo Olengurumwa, ametajwa kuwa miongoni mwa...
Nairobi: Mwalimu 1 auawa, wengine 14 wajeruhiwa baada ya ajali ya matatu iliyokuwa mwendo kasi
Mtu mmoja aliuawa na wengine 14 wajeruhiwa katika ajali nje ya Shule ya Msingi ya City ambapo uchaguzi wa KUPPET ulikuwa ukifanyika Jumamosi, Januari 31.
Usikose kutazama THE PUNISHER leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamONE pekee
Usikose kutazama THE PUNISHER leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamONE pekee. (Feed generated with FetchRSS)
Nyeri: 19 Wajeruhiwa baada ya gari la shule kupoteza mwelekeo, kupinduka kisha kuingia kwenye bonde
Angalau wanafunzi 19 walijeruhiwa baada ya gari lao walilokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kuelekea bondeni huko Endarasha, Kieni Magharibi, Kaunti ya Nyeri.
“Ukiangalia kundi letu tuko nafasi ya pili, mpaka sasa tunapointi zetu tano, ninaimani robo fainali tunaenda kuingia tena kibabe…
"Ukiangalia kundi letu tuko nafasi ya pili, mpaka sasa tunapointi zetu tano, ninaimani robo fainali tunaenda kuingia tena kibabe, wanakuambia haiishi mpaka iishe" Mashaka Kapingo - Shabiki wa Yanga Powered…
Mwigulu ahimiza ushirikiano katika utunzaji na uhifadhi
Mwigulu anatarajiwa kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika utoaji wa tuzo za utalii...
Utitiri wa ving’ora barabarani: Serikali yatangaza hatua kali
Waziri Katambi amesema changamoto ya ujenzi holela na kutokuzingatia kanuni za usalama wa moto...
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU – 31/01/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 31/01/2026 (Feed generated with FetchRSS)
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI JANUARI 31, 2026 – MAGARI ZAIDI YA 20 YAKIWEMO YA ABIRIA YAKAMATWA
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI JANUARI 31, 2026 - MAGARI ZAIDI YA 20 YAKIWEMO YA ABIRIA YAKAMATWA
Usikose kutazama MasterChef leo saa 3:00 usiku kupitia #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV, shindano la leo …
Usikose kutazama MasterChef leo saa 3:00 usiku kupitia #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV, shindano la leo sio la kukosa kabisa... (Feed generated with FetchRSS)
“Kundi lilivyo na aina ya Mechi ilivyokuwa, ukipata pointi moja maana yake umepata pointi ya muhimu, pointi ya thamani, tumechuk…
"Kundi lilivyo na aina ya Mechi ilivyokuwa, ukipata pointi moja maana yake umepata pointi ya muhimu, pointi ya thamani, tumechukua pointi moja hesabu ziko wazi imebakia kwetu" -Ally Kamwe -…
Sikia hii ya Edgar William
BAO alilolifunga mshambuliaji wa Dodoma Jiji, Edgar William, juzi katika ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, limemfanya kuweka raekodi ya kuwafunga maafande hao misimu miwili mfululizo, huku akiwa na…
Koko Yafungwa: Kampuni ya mafuta ya kupikia yafunganya virago Kenya
Koko Networks imefungwa nchini, na kuwaacha Wakenya700 bila ajira na maelfu ya familia kutokuwa na uhakika kitakachofuata baada ya mzozo kuhusu kaboni.
Waarabu wa Simba waomba sapoti Yanga
SIMBA inacheza nyumbani leo Jumapili dhidi ya Esperance de Tunis, lakini Waarabu wao hao wametua Zanzibar wakifuata mambo mawili ikiwamo Yanga.
Buba amchomoa Conte, amfuata Fadlu
YANGA imemaliza utata baada ya kumuondoa kiungo Moussa Bala Conte akimpisha winga mpya wa timu hiyo, Buba Jammeh aliyekamilisha usajili wake saa chache kabla ya dirisha dogo kufungwa Januari 30,…
#VIDEO: Afisa Habari wa timu ya Azam FC Thabith Chumwi Zakaria maarufu kama Zakakazi akiongea na waandishi wa habari amesema mch…
#VIDEO: Afisa Habari wa timu ya Azam FC Thabith Chumwi Zakaria maarufu kama Zakakazi akiongea na waandishi wa habari amesema mchezo wao wa kesho Februari 01, dhidi ya Nairobi United…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, mkoani Dodoma, Bwana Simon Mayeka, amewataka wataalam wa ardhi wa Halmashauri hiyo, kuchukua …
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, mkoani Dodoma, Bwana Simon Mayeka, amewataka wataalam wa ardhi wa Halmashauri hiyo, kuchukua hatua za haraka za kuweka mipaka katika Vijiji vya Mbagilwa na…
Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee
Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee. (Feed generated with FetchRSS)
Usikose kutazama 6 of us leo saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee
Usikose kutazama 6 of us leo saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee. Mama yake Yavush ametoa tamkoa. (Feed generated with FetchRSS)
🙃🙌
🙃🙌 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ameumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka kumi, katika Vitongo…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ameumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka kumi, katika Vitongoji shikizi vya Mwandubandu, asante Magufuri na Sentabariadi wilayani Uvinza…
Chongolo: Tuna chakula cha kuhudumia nchi kwa miezi 18
Akiba ya chakula iliyopo sasa ya tani 550,000 ni zaidi ya kiwango kinachohitajika cha tani...
Trump ageukia mikakati yake ya kijeshi Afrika Mashariki
Dar es Salaam. Wakati mjadala kuhusu operesheni za Rais wa Marekani Donald Trump ukishika kasi...
Kura ya maoni yaonesha CDU/CSU zafungana na AfD
Muungano wa vyama vya kihafidhina wa Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, uko sawa na chama cha mrengo mkali wa kulia, Alternative for Germany (AfD), kwa mara ya kwanza katika miezi…
Mashambulizi ya Israel yauwa Wapalestina 30, wakiwemo watoto
Duru za kitabibu katika Ukanda wa Gaza zimesema kuwa mashambulizi ya Israel yaliwaua takriban Wapalestina 30, ikiwa ni moja kati ya idadi kubwa zaidi tangu kusainiwa kwa usitishaji mapigano wa…
Yanga ilivyoisimamisha Al Ahly ikipiga hesabu kali kufuzu robo fainali
SI umeona Yanga ilivyotoana jasho na Al Ahly, timu yenye historia kubwa katika soka la Afrika ikibeba taji la Ligi ya Mabingwa Afrika mara 12 na kuwa kinara Sasa Wanajangwani…
Yanga, Al Ahly zagawana pointi, zikichangamsha kundi
Matokeo hayo yamezidi kuongeza ugumu katika kundi lao B ambalo kwa sasa timu zote nne zilizopo...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SINGIDA – JANUARI 31, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SINGIDA - JANUARI 31, 2026
Mjumbe wa Urusi arejea Marekani kwa mazungumzo ya Ukraine
Mjumbe wa Urusi, kwa mazungumzo ya amani ya Ukraine, Kirill Dmitriev, amerejea nchini Marekani kuelekea duru nyingine ya mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na Urusi yaliyopangwa kufanyika Jumapili huko…