Milipuko iliyoambatana na vifo yaripotiwa Iran
Milipuko kadhaa imeripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini Iran, wakati hofu ya kuzuka kwa vita ikiendelea kuongezeka.
Halmashauri ya Jiji la Mbeya inatarajia kuanzisha kituo maalumu cha kutunza watoto katika soko la Mwanjelwa, kitakachogharimu za…
Halmashauri ya Jiji la Mbeya inatarajia kuanzisha kituo maalumu cha kutunza watoto katika soko la Mwanjelwa, kitakachogharimu zaidi ya shilingi milioni 92. Ili kufanikisha mpango huu, tayari imeanzishwa harambee ya…
Dakika ya 45 kipindi cha kwanza, Yanga anamtangulia Al Ahly kwa goli moja
Dakika ya 45 kipindi cha kwanza, Yanga anamtangulia Al Ahly kwa goli moja Game inaendelea katika Dimba la Amani Complex, Zanzibar. Yanga 1-0 Al Ahly (Feed generated with FetchRSS)
Jaji wa Marekani azuia kwa muda kusitishwa kwa ulinzi wa kufukuzwa kwa Waethiopia
Serikali ilitoa notisi ya siku 60 tu ya kusitishwa licha ya migogoro na ukosefu wa utulivu unaoendelea katika baadhi ya maeneo ya Ethiopia - masharti ambayo yalihalalisha kuulinzi wa TPS…
Watu kadhaa wapoteza maisha katika ajali ya mgodi Kongo
Zaidi ya watu 200 wafariki baada ya maporomoko kuvuruga migodi ya madini ya coltan mijini Rubaya, eneo linalodhibitiwa na waasi wa M23 mashariki mwa Kongo.
Ingia toka Ligi Kuu dirisha dogo 2025-2026
DIRISHA dogo la usajili wa Ligi Kuu Bara na mashindano mengine ya ndani lilifungwa juzi, Ijumaa, Januari 30, 2026, baada ya kudumu kwa mwezi mmoja tangu lilipofunguliwa Januari 1, 2026,…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA JIONI – 31/01/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA JIONI - 31/01/2026 (Feed generated with FetchRSS)
𝐇𝐓 | #CAFCL
𝐇𝐓 | #CAFCL Young Africans SC 1 🆚 0 Al Ahly (Feed generated with FetchRSS)
Mtoto wa miaka 11 adaiwa Kujinyonga, aacha ujumbe
Tukio hilo lililotokea jana Ijumaa Januari 30, 2026 jijini Arusha, taarifa za awali zinaeleza...
Sh7.4 bilioni za NMB kwenda kwenye miradi ya elimu, afya, mazingira
Zaidi ya Sh7.4 bilioni zimetengwa baada ya benki hiyo kupata faida ya Sh746 bilioni kwa mwaka...
#HABARI: Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bw
#HABARI: Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bw. John Mongella, amewataka viongozi wa chama hicho kote nchini, kuhakikisha mashina na matawi yanapewa kipaumbele na kusisitiza kuwa mashina na…
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi wa Kata ya Kaloleni – Tunduma, Sinai Mwaseba amefanya mazungumzo na wauza vyakula maarufu wa mtaa wa …
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi wa Kata ya Kaloleni - Tunduma, Sinai Mwaseba amefanya mazungumzo na wauza vyakula maarufu wa mtaa wa Kaloleni, wanaojulikana kama “Mama Ntilie”, kuhusu umuhimu wa malezi…
Televisheni ya kitaifa ya Uturuki TRT yaadhimisha miaka 58 ya utangazaji
Takriban miongo sita baada ya kurusha matangazo yake ya kwanza , televisheni ya umma ya Uturuki inasherehekea ukuaji wake katika jukwaa la vyombo vya habari duniani kote Ulaya, Afrika na…
#HABARI: Mwanachama Mwandamizi wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amekataa kushirikiana na Tume ya Rais ya kuchunguza mat…
#HABARI: Mwanachama Mwandamizi wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amekataa kushirikiana na Tume ya Rais ya kuchunguza matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza…
#HABARI: Serikali, kupitia Wizara ya Nishati, imeahidi kuendelea kushirikiana kwa karibu na wadau wa sekta ya mafuta ili kuhakik…
#HABARI: Serikali, kupitia Wizara ya Nishati, imeahidi kuendelea kushirikiana kwa karibu na wadau wa sekta ya mafuta ili kuhakikisha nchi inakuwa na nishati ya kutosha, salama, na inayouzwa kwa bei…
Umoja wa Mataifa (UN) umesema unakabiliwa na uhaba wa fedha kutokana na mataifa wanachama kutokulipa ada zao, hali inayohatarish…
Umoja wa Mataifa (UN) umesema unakabiliwa na uhaba wa fedha kutokana na mataifa wanachama kutokulipa ada zao, hali inayohatarisha utoaji wa huduma, huku fedha zilizopo zikikadiriwa kwisha Julai 2026. Katibu…
Serikali imesema nchi ina akiba ya chakula kinachotosheleza kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu
Serikali imesema nchi ina akiba ya chakula kinachotosheleza kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo baada ya kufanya ukaguzi wa akiba na…
Azam yaliamsha, Wakenya wakijipanga CAFCC
AZAM imepanga kuendeleza ubabe mbele ya Nairobi United kwenye mchezo wa nne wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika huku Wakenya hao wakija na hesabu zao.
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu azuru Haram ya Imam Khomeini (MA)
Sherehe za kuadhimisha mwaka wa arobaini na saba tangu ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu zimeanza kwa Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuzuru haram haram tukufu…
Rais Pezeshkian: Trump, Netanyahu, na Ulaya walitaka kuchochea mgawanyiko ndani ya Iran
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa katika ghasia za hivi karibuni zilizochochewa na tawala za kigeni, Rais wa Marekani Donald Trump, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, na watawala…
Niger yasema Ufaransa imehusika na shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Niamey
Kiongozi wa mpito wa Niger, Jenerali Abdourahamane Tchiani, ameituhumu Ufaransa pamoja na nchi jirani za Benin na Ivory Coast kwa kufadhili shambulio la kigaidi lililolenga uwanja mkuu wa kimataifa wa…
Mafaili mapya ya Epstein yafichua namna Trump alivyombaka binti wa miaka 13
Wizara ya Sheria ya Marekani imetoa mamilioni ya nyaraka mpya zinazohusiana na kesi ya Jeffrey Epstein, mtendajinai aliyepatikana na hatia ya makosa ya kingono dhidi ya watoto, kabla ya kuondoa…
PSPTB releases exam results, warns against cheating
DODOMA: THE Procurement and Supplies Professionals and Technical Board (PSPTB) has released the results of the 32nd Board professional examinations held in December last year, issuing a stern warning against…
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema itaendelea kuunga mkono jitihada za taasisi na sekta binafsi zinazolenga kuinua w…
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema itaendelea kuunga mkono jitihada za taasisi na sekta binafsi zinazolenga kuinua wabunifu na wajasiriamali, ili kuwawezesha kujiajiri na kuchangia maendeleo ya uchumi wa…
Sh6.9 bilioni zatumiwa kukabiliana na magonjwa yasiyopewa kipaumbele
Dodoma. Ili kukabiliana na magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele, Serikali imetumia kiasi cha...
Uwanja wa Afcon 2027 wafikia asilimia 30 Zanzibar
Wakati maandalizi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 yakiendelea, ujenzi wa uwanja utakaotumika visiwani hapa umefikia asimilia 30.
Wanachokitarajia mastaa hawa Yanga ikiivaa Al Ahly
WASANII mbalimbali hapa nchini ambao ni mashabiki wa Yanga SC, wameonyesha imani kubwa kwa timu hiyo ambayo jioni ya leo Januari 31, 2026 itacheza dhidi ya Al Ahly kutoka Misri…
Waarabu wa Simba waifuata Yanga
SIMBA inacheza nyumbani kesho Jumapili dhidi ya Esperance de Tunis, lakini Waarabu wao hao wametua Zanzibar wakifuata mambo mawili wakiwamo Yanga.
Polisi kuanza msako wavamizi barabara za BRT
Muliro amesema Jeshi la Polisi tayari limetoa elimu kwa makundi mbalimbali ikiwamo waendesha...
Iran iko ‘tayari’ kwa ‘makubaliano ya nyuklia ya haki na ya usawa’: mwanadiplomasia mkuu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alithibitisha tena msimamo usio wa nyuklia na uwazi kwa diplomasia wakati wa ziara ya Uturuki.
Wakili na Mtaalamu wa Sheria za Familia, Susan Dotto, amesema kisheria jukumu la kuhakikisha mahitaji muhimu ya familia yanatimi…
Wakili na Mtaalamu wa Sheria za Familia, Susan Dotto, amesema kisheria jukumu la kuhakikisha mahitaji muhimu ya familia yanatimizwa ni la mwanaume, na kwamba anatakiwa kulitekeleza jukumu hilo kulingana na…
Wafanyabiashara Soko la Nguzo walia na tozo, miundombinu chakavu
Shinyanga. Wafanyabiashara wa Soko la Nguzo Nane lililopo Manispaa ya Shinyanga, mkoani...
Man Sentenced to 28 years for trafficking 268kg of Heroin
DAR ES SALAAM: THE High Court of Economic Crimes, Division of Corruption Offenses, has sentenced Mr Isso Lupembe to 28 years in prison after he was found guilty of participating…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aeleza wasiwasi kuhusu hali ya usalama Tigray nchini Ethiopia
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema anafuatilia kwa karibu kinachoendelea huko eneo la Tigray nchini Ethiopia, ambako mvutano unaoibuka upya na taarifa za mapigano vimechangia kuzorota kwa…
UDADAVUZI: Je, binadamu wanaweza kushindana na mashine na kubaki na umuhimu katika zama za AI?
Akili mnemba AI, inaonekana kuwa ya kubadilisha maisha ya watu kwa kiwango kikubwa, lakini pia kuna hatari dhahiri kwamba inaweza kusababisha upotevu wa ajira na misukosuko ya kijamii. Wataalamu wa…
Ufaulu kidato cha nne 2025 wapaa, sayansi bado pasua kichwa
Ufaulu huo ni ongezeko la asilimia 2.61 ikilinganishwa na matokeo ya mtihani wa mwaka 2024...
Tanzania records superior pass in Form Four Exams
DAR ES SALAAM: THE National Examinations Council of Tanzania (NECTA) has officially released the 2025 Form Four National Examination (CSEE) results, showing a notable improvement in student performance compared to…
Uwanja wa Afcon wafikia asilimia 30 Zanzibar
Kwa mujibu wa mtaalamu huyo, wamekusudia baada ya miezi mitatu wamalize kazi zote za kumwaga zege.
Tanzanians assured of the safe, competitive fuel price
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has pledged to continue working closely with stakeholders in the country’s fuel sector to ensure the availability of sufficient, safe and competitively priced fuel…
Tanzania factory invests 100bn/- to boost rice production
KAHAMA: THE director of KOM Food Products Limited Factory located in Kahama District, Shinyanga Region, Dr Jesca Kabalwa, has said that they have invested 100bn/- to produce rice products. She…
Tanzania embarks on modern technology against wild animal threats
DODOMA: THE Tanzanian government said it prioritizes strengthening the protection of its citizens’ lives and property against wild and destructive wild animals as part of a national strategy to manage…
Tanzania sees domestic investment as a key to health research strategies
NAIROBI: TANZANIA has continued to demonstrate it’s commitment to strengthening the health sector by investing in research, digital health systems, control of infectious and non-communicable diseases, all these going together…
Mgodi wa kuchimba madini DRC waporomoka: Zaidi ya 200 wauawa katika eneo lenye utajiri wa coltan
Maafa yakumba kitovu cha uchimbaji madini kinachodhibitiwa na waasi cha Rubaya, chanzo kikuu cha madini ya simu mahiri duniani.
#HAARI: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Bi Mwajuma Nasombe, amemuagiza Mkandarasi anayetekele…
#HAARI: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Bi Mwajuma Nasombe, amemuagiza Mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Kimataifa cha Ngangamfumuni kuongeza kasi ya ujenzi kwa…
Familia ya Oketch Salah: Picha tamu za watoto wa mwana wa kupanga wa Raila ambao ni nadra kuwaona
Oketch Salah alipata umaarufu baada ya kubainika kuwa alikuwa mwana wa kupanga wa hayati Raila Odinga. Amefichua nyuso za watoto wake kwa mara ya kwanza.
LATRA suspends four online ticketing firms
DAR ES SALAAM: THE Land Transport Regulatory Authority (LATRA) has suspended four online ticketing companies for failing to meet regulatory requirements, issuing a 15-day ultimatum for bus operators to comply…
Umoja wa Ulaya: Syria si salama kwa kuwarudisha wahamiaji
Umoja wa Ulaya: Hali nchini Syria haijaimarika vya kutosha kuruhusu nchi za Umoja wa Ulaya kuanza kuwarudisha kwa wingi Wasyria waliotafuta hifadhi katika mataifa yao.
Wafanyabiashara wadogo waitwa kuchukua mikopo yenye masharti nafuu
Mikopo hiyo inalenga kuwawezesha wafanyabiashara ndogondogo wenye mauzo ghafi yasiyozidi Sh4...
Rufaa yamwokoa mwanajeshi wa DRC aliyehukumiwa kwa unyang’anyi Tanzania
Soma zaidi hapa...