WFP: Mamilioni ya watu katika njaa kali Afrika Magharibi na Kati
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa onyo kali kutokea mjini Dakar, Senegal, likieleza kuwa bila rasilimali na hatua za haraka, watu walio katika mazingira…
Pezeshkian: Kuhusika Marekani na Israel katika matukio ya Iran hakukanushiki
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuhusika moja kwa moja Marekani, utawala wa Kizayuni na baadhi ya nchi za Ulaya katika matukio ya hivi karibuni ya Iran…
Marekani haiwezi kukwepa dhima ya jinai walizofanyiwa wananchi wa Iran
“Gholamhossein Darzi,” Balozi na Naibu wa Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kwamba, maandamano ya amani ya wananchi u wa Iran yalitekwa nyara na…
Marekani na Israel zimeonesha kivitendo na waziwazi chuki zao dhidi ya Iran
Waziri wa Ulinzi nwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Tuna ushahidi madhubuti unaoonesha kwamba, Marekani, utawala wa Kizayuni na baadhi ya washirika wao waliunda kituo maalumu cha kujadili na…
Mchambuzi Mzayuni: Marekani haina uthubutu wa kuanzisha vita vingine dhidi ya Iran
Mchambuzi mmoja wa masuala ya kieneo na kimataifa wa utawala wa Kizayuni amesema kuwa, si Donald Trump na si Marekani yenyewe, wote hawana uthubutu wa kuanzisha vita vipya dhidi ya…
Jumamosi, 17 Januari, 2026
Leo ni Jumamosi 27 Rajab 1447 Hijria sawa na 17 Januari 2026 Miladia.
Kwa nini Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai inapinga uingiliaji wa kigeni nchini Iran?
Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) imetangaza rasmi kupinga uingiliaji wa aina yoyote wa kigeni nchini Iran.
Siku za Karesi zinahesabika
Siku za Karesi zinahesabika
#KIPIMAJOTO: “Dira sio tukio la kwamba unaamka asubuhi unawapigia watu simu, hii ni mipango ambayo
#KIPIMAJOTO: “Dira sio tukio la kwamba unaamka asubuhi unawapigia watu simu, hii ni mipango ambayo. Unakuta jamii kwanza inakuwa na matarajio…..” Deodatus Balile – Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania Powered…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 16, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 16, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 16, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 16, 2026
NBC Premier League Jumamosi hii
NBC Premier League Jumamosi hii AzamFC watakuwa nyumbani Azam Complex wakiwakaribisha Coastal Union. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsports1HD
Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi …
Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira…
Wakala wa Umeme Vijijini (REA) umefanikiwa kuzindua kituo cha kupoza umeme cha Mtera kinachotarajiwa kuwanufaisha wakazi wa Irin…
Wakala wa Umeme Vijijini (REA) umefanikiwa kuzindua kituo cha kupoza umeme cha Mtera kinachotarajiwa kuwanufaisha wakazi wa Iringa na maeneo ya jirani. Sambamba na hilo serikali imewahimiza wananchi kulinda miundombinu…
Serikali imepokea meli mbili za tani 26,500 za mbolea ya kupandia mazao aina ya DAP zenye ruzuku kwa ajili ya kuwasambazia wakul…
Serikali imepokea meli mbili za tani 26,500 za mbolea ya kupandia mazao aina ya DAP zenye ruzuku kwa ajili ya kuwasambazia wakulima nchini. Mkurugenmzi Mkuu wa Kampuni ya Mbolea nchini…
Hapa Sentro weekend yetu tunaianza na @kongamoyo_band kwa burudani taamu isiyochosha
Hapa Sentro weekend yetu tunaianza na @kongamoyo_band kwa burudani taamu isiyochosha. #SentroYaCloudsTv #Clouds26Nyoosha
Laiti wangejua wasingemuachia #AzamTWO
Laiti wangejua wasingemuachia #AzamTWO
Serikali imetangaza kutoa fursa kwa vijana zaidi ya 5,700 ya kujiunga na mafunzo ya uanagenzi yatakayowawezesha kupata ujuzi wa …
Serikali imetangaza kutoa fursa kwa vijana zaidi ya 5,700 ya kujiunga na mafunzo ya uanagenzi yatakayowawezesha kupata ujuzi wa vitendo ili kushindana kikamilifu katika sekta za maendeleo kupitia ajira, kujiajiri…
Kampuni ya Mwananchi, MSD waingia makubaliano ya kimkakati kuelimisha wananchi
Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na Bohari ya Dawa (MSD) zimekubaliana...
Mkazi wa Bunju ajinyakulia milioni 50
Mkazi wa Bunju jijini Dar es Salaam, Yusuph Constantine Muhoja ameibuka mshindi wa jumla wa...
Mwaselela akerwa shule kukosa vyoo, aahidi kujenga vipya, akitoa madawati 400
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya ‘MNEC’ Ndele Mwaselela...
#HABARI: Familia ya Bi
#HABARI: Familia ya Bi. Pendo Sangiziro, mkazi wa Nyantorontoro Kata ya Nyankumbu Halmashauri na Manispaa ya Geita mkoani Geita wamelazimika kulala nje ya nyumba yao kwa siku nne mpaka sasa…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU – 16/01/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 16/01/2026
Kesi wizi wa Sh62 mililioni inayomkabili Laila, kuendelea wiki ijayo
Mahakama ya Wilaya ya Temeke imepanga Januari 23, 2026 kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya...
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 16, 2026 -JENGO LA NSSSF LASHIKA MOTO DAR ES SALAAM
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 16, 2026 -JENGO LA NSSSF LASHIKA MOTO DAR ES SALAAM
‘Wanafunzi Simanjiro wasizuiwe kisa sare hata wavae rubega’
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro (DC), mkoani Manyara, Fakii Lulandala amewaagiza walimu wakuu wa...
Waziri Kijaji aitaka NCT kuongeza masomo ya lugha za mataifa
Kwa mujibu wa Waziri huyo kuanzia Januari 2025 hadi Novemba 2025, idadi ya watalii imeongezeka...
Profesa Kitila atangaza vita na wanaoomba rushwa wawekezaji
Serikali imesema inatambua uwepo wa baadhi ya watumishi wanaosumbua wawekezaji kwa kuwaomba...
Sita washikiliwa tuhuma za mauaji ya bodaboda Ngosha Tabora
Polisi Mkoa wa Tabora imetoa taarifa za kuwashikiliwa watuhumiwa mbalimbali wakiwemo wa mauaji...
Vijana 5,746 wachaguliwa mafunzo ya uanagenzi, Serikali yasisitiza ajira na ujuzi kwa vitendo
Serikali imetangaza kuwa jumla ya vijana 5,746 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya uanagenzi...
Kibabage sasa kutua Simba rasmi bila malipo
Beki huyo wa kushoto anayemudu pia kucheza nafasi ya winga, anakuwa mchezaji wa pili kutoka...
Adaiwa kumuua mkewe mjamzito kwa mateke, ngumi
Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Seke Mabirika (45) kwa tuhuma ya mauaji ya mke wake, Rahel...
Polisi wanaodaiwa kusambaza taarifa za uongo kwa Mange Kimambi kusomewa maelezo Feb 16
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Februari 16, 2026 kwa ajili ya upande wa Jamhuri...
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu watano kwa tuhuma za kumuua kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la H…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu watano kwa tuhuma za kumuua kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Hamza Malingumu Hussein (20) katika eneo la Lukobe, Manispaa ya…
Iringa, Kongwa na Mpwapwa wapata suluhu’ katakata’ ya umeme
Wakala wa nishati ya umeme vijijini (REA) umezindua kituo cha kupoozea umeme Mtera...
Wenyeviti Chadema waja na maazimio saba yaliyokea Oktoba 29
Umoja wa Wenyeviti wa Mikoa 31 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umekuja na...
Kibaha, Pwani — Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tanzania Women Empowerment Network (TAWEN), Dk
Kibaha, Pwani — Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tanzania Women Empowerment Network (TAWEN), Dk. Florence Masunga, ametoa wito kwa wakuu wa taasisi za umma na viongozi wa…
Uchaguzi mkuu waahirisha kufungua shule Uganda
Uamuzi huo unahusu shule zote za serikali na binafsi, shule za kimataifa, vyuo vya kati pamoja...
Mwili wa mtoto mchanga watupwa shambani Arusha
Simanzi imetawala leo Januari 15, 2026 katika Mtaa wa Korongoni jijini Arusha baada ya mwili wa...
Kwa nini Wamarekani waliowengi wanapinga wazo la Marekani kuimiliki Greenland?
Utafiti mpya wa maoni unaonyesha kuwa Wamarekani wengi wanapinga vikali wazo la kuihodhi Greenland.
Malawi kutumia Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa matibabu ya kibingwa
Serikali ya Malawi imetangaza kuanza kutumia Hospitali ya Rufaa ya Benjamini Mkapa kama kituo...
Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili akiwemo Doto Lubongeja mkazi wa kijiji cha Madundasi wilayani Mbarali kwa tuhuma …
Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili akiwemo Doto Lubongeja mkazi wa kijiji cha Madundasi wilayani Mbarali kwa tuhuma za mauaji ya watoto watatu wa familia moja wasiokuwa wakichunga mifugo ya…
Usikose kufuatilia #TheStoryofJuana leo kuanzia saa 1:00 usiku
Usikose kufuatilia #TheStoryofJuana leo kuanzia saa 1:00 usiku #AzamONE #WeSpeakSeries
Happy birthday mdau wetu @isutimioyo , pia pole kwa changamoto za kiafya zilitokana na ajali
Happy birthday mdau wetu @isutimioyo , pia pole kwa changamoto za kiafya zilitokana na ajali. #Cloudsmediagroup inakutakia maisha marefu na afya imara. #Clouds26Nyoosha
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA – JANUARI 16, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA - JANUARI 16, 2026
Ndidi ashauri Nigeria isimtimue Kocha Chelle
Hatima ya Chelle iko kwenye mabano kufuatia timu hiyo kufungwa na Morocco kwa mikwaju ya...
The Punisher
The Punisher Wikiendi nyingine kitu cha The Punisher kinaendelea katika muda ule ule saa 4:00 usiku kaupitia AzamONE. #ThePunisher #AzamONE
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Tabora limefanikiwa kuwatia mbaroni watu 15 wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali, ikiwemo wizi wa…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Tabora limefanikiwa kuwatia mbaroni watu 15 wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali, ikiwemo wizi wa pikipiki na vifaa vya ujenzi wa mradi wa maji wa Ziwa Victoria.…