Sasa Wend analalamika nini, Salma ni kama hajutii alichokifanya
Sasa Wend analalamika nini, Salma ni kama hajutii alichokifanya. Usikose kutazama #NomaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Kwa nini kuna maandamano Iran na Trump amesema Marekani itafanya nini?
Desemba 28, wafanyabiashara wa maduka waliandamana katika mitaa ya Tehran kuelezea hasira zao kutokana na kushuka kwa thamani ya sarafu ya Iran, rial, dhidi ya dola ya Marekani
OUT yachunguza madai ya udanganyifu wahitimu wa 2025
Kauli hiyo inakuja kufuatia taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa...
Akili Mnemba itachochea enzi mpya ya nishati ya nyuklia duniani?
Ukuaji wa kasi wa matumizi ya akili mnemba (AI) ulimwenguni kote unaweka shinikizo kubwa kwenye mifumo ya umeme, jambo linalowafanya wengi kuamini kuwa upanuzi kamili wa nishati ya nyuklia ni…
UN80: Ubinadamu unakuwa imara zaidi tunaposimama kama wamoja
Nguvu kubwa zinaendelea kujipanga kudhoofisha ushirikiano wa kimataifa, ameonya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, katika tukio maalum lililofanyika London Jumamosi hii kuadhimisha miaka 80 ya Baraza Kuu…
Libasse Gueye mashine ya kwanza Simba
Gueye anamudu kucheza nafasi tofauti uwanjani ambapo mbali na kiungo mshambuliaji pia anaweza...
Libasse Gueyemashine ya kwanza Simba
Gueye anamudu kucheza nafasi tofauti uwanjani ambapo mbali na kiungo mshambuliaji pia anaweza...
Ndugu watakiwa kutowatelekeza yatima vituoni
Iringa. Katika kuhakikisha watoto yatima wanakuwa kwa ustawi na kupata malezi bora, jamii...
Vijana waibua taharuki msibani kisa mwenzao aliyefia mahabusu
Vijana hao hawakutaka kusikiliza mahaburi yaliyokuwa yakitolewa na kiongozi huyo wa kiroho...
Sababu tatu za kutokwa na damu kwenye kinyesi
Watu wengi hufadhaika wanapoona damu kwenye kinyesi chao, wakidhani ni tatizo kubwa, kama saratani ya tumbo.
Wafanyakazi kortini wakidaiwa kumuibia mwajiri wao Sh1.478 bilioni
Wafanyakazi tisa wa kampuni ya Vita Foam (T) Limited, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
Wafanyakazi kortini wakidaiwa kumuibia wajiri wao Sh1.478 bilioni
Wafanyakazi tisa wa kampuni ya Vita Foam (T) Limited, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
ZMCC yahimiza ushirikiano, mazingira ya bora ya biashara Zanzibar
Mwenyekiti wa Chemba ya Biashara Zanzibar (ZMCC), Ali Amour amesema hatua hiyo itachangia zaidi...
Bandari ya Tanga yatoa onyo kwa madereva wizi wa vipuri
Mbega amesema kwa wastani magari kati ya 600 hadi 800 hushushwa Bandari ya Tanga kila mwezi...
Watumishi TRA wafanya matembezi kuhamasisha ulipaji kodi
Dodoma. Chama cha Wafanyakazi Wakusanya Mapato Tanzania (Tarewu) kimefanya matembezi ya...
Leo usikose kutazama tamthiliya ya 6 of Us kuanzia saa 2:00 usiku
Leo usikose kutazama tamthiliya ya 6 of Us kuanzia saa 2:00 usiku. #AzamTWO
Uganda: Mtoto wa Bobi Wine adai babake amekwepa utekaji
Katika mkanda wa video uliochapishwa kwenye mtandao wa X, mtoto wa kiume wa Bobi Wine- Solomon Kampala amedai kuwa babake alifanikiwa kuwakwepa wanajeshi wa nchi hiyo wakati walipodaiwa kuvamia makazi…
Wananchi wanaoishi katika kijiji cha Kirongwe na Bubombi wilayani Rorya mkoani Mara wameiomba serikali ya mkoa wa Mara, kuchukua…
Wananchi wanaoishi katika kijiji cha Kirongwe na Bubombi wilayani Rorya mkoani Mara wameiomba serikali ya mkoa wa Mara, kuchukua hatua za kudhiti vitendo vya uvamizi katika ziwa victora kwani wamechoshwa…
Uwezekano wa Marekani kuishambulia Mexico na nchi nyingine za Amerika Kusini
Kufuatia kuongezeka vitisho vya Rais Donald Trump dhidi ya Mexico, maafisa wa Wizara ya Vita ya Marekani wametangaza kuwa uwezekano wa kufanyika operesheni za kijeshi nchini Mexico umeongezeka.
Serikali imezindua rasmi kituo cha kupooza umeme cha Mtera ambacho kinatarajiwa kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika katik…
Serikali imezindua rasmi kituo cha kupooza umeme cha Mtera ambacho kinatarajiwa kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika katika mikoa ya Dodoma na Iringa, hatua inayotekeleza sera ya Taifa ya Nishati…
Nigeria, Misri namba zimekubali mshindi wa tatu AFCON
Katika mechi 31 zilizopita za kuwania nafasi ya tatu, jumla ya mabao 87 yamefungwa, kwa wastani...
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, faini ya shilingi 500,000 f…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, faini ya shilingi 500,000 fidia shilingi 2,000,000 na viboko viwili, Mtuhumiwa Ikalala Masololo Shagembe…
Miamba iliamka tena kesho yake safari kwa Mashavu 🤣🙌🏽
Miamba iliamka tena kesho yake safari kwa Mashavu 🤣🙌🏽
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Mboni Mhita amewaelekeza watendaji wa Serikali, watumishi wa Sekta ya Afya na wawakilishi wa wananchi katika sekta mbalimbali, kuanza kutekeleza mpango wa Bima…
Anayedaiwa kujinyonga mahabusu kuzikwa leo akiacha maswali 10 tata
Msemaji wa familia hiyo, Today Rambau alisema kijana huyo (marehemu) alitofautina na baba yake...
Marekani yaitengea Israel dola bilioni 3.3 nyingine za kufanyia jinai duniani
Bunge la Marekani limepasisha muswada wa dola bilioni 3.3 kwa ajili ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao hivi sasa dunia nzima inalaani jinai zake kubwa katika maeneo tofauti hasa…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linapenda kutoa taarifa ya kukamatwa kwa watuhumiwa 8 ambao ni bodaboda huko ka…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linapenda kutoa taarifa ya kukamatwa kwa watuhumiwa 8 ambao ni bodaboda huko katika Kijiji cha Kiwambo Kata ya Kitomondo Tarafa ya Kisiju…
Matokeo ya chaguzi Uganda 2026: Bobi Wine yuko wapi?
Polisi nchini Uganda wamekanusha madai kwamba mgombea kiti cha urais nchini humo kwa tiketi ya chama cha National Unity (NUP) Robert Ssentamu Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine Pamoja na mke wake…
Kipaji cha kuimba kilianzia wapi?….Msikilize Mtanga huyu hapa
Kipaji cha kuimba kilianzia wapi?....Msikilize Mtanga huyu hapa Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Chad yaelemewa na wakimbizi wa Sudan, CAR, Cameroon, Nigeria na kwengineko
Mzigo mkubwa wa wakimbizi wanaomiminika kila leo nchini Chad umeielemea serikali ya nchi hiyo ambayo muda wote inaiomba jamii ya kimataifa na hasa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa…
Tanzania: Rais Samia awaomba msahama wageni na wanadiplomasia
Rais wa Tanzania Samia Suluhu kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi wa Oktoba mwaka uliopita, amezungumzia hatua ya serikali yake kuzima mtandao wa intaneti wakati na baada ya uchaguzi huo.…
Anko Kitime: Hotuba ya Mwalimu Nyerere inavyoakisi maisha ya sasa
Kwa watu wengi sana Utamaduni na Sanaa kwao huchukuliwa kama burudani tu. Mbegu ya kudharau...
Tazama mazoezi ya leo yanayohusu namna tofauti ya kunyoosha viungo na kupunguza uzito yanayoongozwa na mwalimu Eric, ambayo yana…
Tazama mazoezi ya leo yanayohusu namna tofauti ya kunyoosha viungo na kupunguza uzito yanayoongozwa na mwalimu Eric, ambayo yanavyoweza kufanywa na rika tofauti kwa watu wazima na wazee, mazoezi hayo…
#HABARI: Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Godfrey Kasekenya, amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Kigoma kuhakikisha anamsimamia kwa karibu mkandarasi anayejenga barabara ya Malagarasi–Ilunde–Uvinza kwa kiwango…
Uganda: Jeshi lakanusha kukamata Bobi Wine
Jeshi la Uganda limekanusha madai kwamba kiongozi wa upinzani Bobi Wine alitekwa akiwa nyumbani na kusafirishwa kusikojulikana kwa ndege ya kijeshi. Imechapishwa: 17/01/2026 – 07:53Imehaririwa: 17/01/2026 – 07:55 Dakika 1…
Makamanda wa Wanamaji wa China na Afrika Kusini watembelea meli za kivita za Iran mjini Cape Town
Makamanda na wanajeshi wa majini ya China na Afrika Kusini wametembelea meli za kivita za kikosi cha majini cha Iran kilichotia nanga katika bandari ya Cape Town, pembeni mwa mazoezi…
Iran yalaani unafiki wa G7 kuhusu haki za binadamu kufuatia tamko lao la kuingilia mambo ya ndani
Wizara ya Mambo ya Nje imelaani vikali tamko la hivi karibuni la kuingilia mambo ya ndani ya Iran lililotolewa na Kundi la Nchi Saba (G7), ikilishutumu kundi hilo la kiserikali…
Hofu yatanda Afrika kuhusu utafiti wa chanjo unaofadhiliwa na Marekani kuhusu homa ya ini
Utafiti wa chanjo uliogharamiwa na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) nchini Guinea‑Bissau umekosolewa vikali na wataalamu wa afya pamoja na maafisa wa ndani ya taasisi hiyo,…
Vikosi vya usalama Iran vyanasa silaha 60,000 zilizokuwa zikielekea Tehran
Vikosi vya usalama vya Iran vinasema vimekamata silaha 60,000 zilizokuwa zikielekezwa Tehran, na kuvunja mtandao wa kigaidi uliopata mafunzo kutoka shirika la kijasusi la Israel, Mossad. Magaidi hao walihusika katika…
UN yataka msaada wa haraka ufike Sudan kuepusha janga la kibinadamu
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa wakimbizi na Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, Barham Salih, ametoa wito wa dharura wa msaada wa kibinadamu…
Jux anavyopindua meza Afrika Mashariki
Mwimbaji wa Bongofleva, Jux anaendelea kuiwakilisha vizuri Afrika Mashariki, na sasa kupitia...
Miaka 10 baada ya kifo cha mume wa Celine Dion
Mwanamuziki wa Pop, Rock na R&B kutokea Canada, Celine Dion, 57, ameeleza kwa hisia kali...
Tetesi za soka Jumamosi; Glasner yuko kwenye rada ya Manchester United
Kocha anayeondoka wa Crystal Palace, Oliver Glasner, ni miongoni mwa majina yanayozingatiwa kuchukua nafasi ya ukocha wa Manchester United.
Ndani ya Boksi: Fella kimya na Mondi kimya
Mtoto wa kihuni. Kipisi cha mtu. Toka mitaa ya mandishi matatu. Namaanisha TMK. Said Fella, ila...
Uchaguzi Uganda 2026: Museveni aelekea kushinda uchaguzi, mpinzani wake mkuu adai kuwepo kwa udanganyifu
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameongoza kwa kishindo katika uchaguzi wa urais uliofanyika Alhamisi, akiwa mbele dhidi ya mpinzani wake mkuu Bobi Wine, ambaye chama chake tayari kimeanza kuhoji uhalali…
Vifo vya watu wakiwa ndani peke yao vyashtua
Utaratibu wa baadhi ya watu kuishi peke yao ndani ya nyumba na wengine kufariki pasipo...
Vifo vya wakaa pweke vyaibua maswali kwa jamii
Utaratibu wa baadhi ya watu kuishi peke yao ndani ya nyumba na wengine kufariki pasipo...
#SwaliLaKipimaJoto:Matukio ya moto katika majengo ya umma na binafsi maeneo mbalimbali.Je, Taasisi ziweke utaratibu wa kukagua m…
#SwaliLaKipimaJoto:Matukio ya moto katika majengo ya umma na binafsi maeneo mbalimbali.Je, Taasisi ziweke utaratibu wa kukagua mifumo yake kila mara kuepusha majanga