Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika uka…
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba…
Afrika Kusini: Uchunguzi kufanyika kuhusu mazoezi ya kijeshi na Iran
Waziri wa ulinzi wa Afrika Kusini, Angie Motshekg, ameagiza uchunguzi kufanyika kuhusu ripoti ya Iran kushiriki katika mazoezi ya wanajeshi wa majini, kinyume na maagizo ya rais. Imechapishwa: 16/01/2026 –…
Jeshi la polisi mkoani Tabora linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kijana Dereva Bodaboda Hamisi Nchambi…
Jeshi la polisi mkoani Tabora linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kijana Dereva Bodaboda Hamisi Nchambi (27) ambaye aliuawa na kisha mwili wake kutelekezwa juu ya…
Vikosi vya usalama vimezingira nyumba ya kiongozi wa upinzani nchi Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine
Vikosi vya usalama vimezingira nyumba ya kiongozi wa upinzani nchi Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine. Bobi Wine ambaye anashiriki katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu nchini Uganda ameonyesha upinzani mkubwa…
Waziri Makonda aenda Morocco kuzifuata fainali za AFCON 2027
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ameondoka nchini leo Januari 16, 2026 kwenda Morocco tayari kwa ajili ya kupokea kijiti cha maandalizi ya Kombe la Mataifa (AFCON)…
Comment yako itasomwa na @neypova kwenye TheSpark ya Clouds tv na burudani itasimamiwa na @djfantastic255
Comment yako itasomwa na @neypova kwenye TheSpark ya Clouds tv na burudani itasimamiwa na @djfantastic255
Huyu siku bwana Hashmet akiwafuma🙌 #AzamTWO
Huyu siku bwana Hashmet akiwafuma🙌 #AzamTWO
Watu karibia Milioni 55 wanakabiliwa na njaa Afrika Magharibi na kati
Watu karibu Milioni 55 katika nchi za Afrika Magharibi na Kati, wanakabiliwana uhaba wa chakula, hali ambayo inatarajiwa kuendelea kushuhudiwa mwaka huu. Imechapishwa: 16/01/2026 – 15:10 Dakika 1 Wakati wa…
HABARI: Majeruhi wawili wa jinsia ya kike katika jengo la ghorofa la National Social Security House wapelekwa Hospitali ya Mnazi…
HABARI: Majeruhi wawili wa jinsia ya kike katika jengo la ghorofa la National Social Security House wapelekwa Hospitali ya Mnazi Mmoja kwa ajili ya matibabu zaidi. Hayo yamethibitishwa na Mkaguzi…
Dk Nchimbi: Serikali imejipanga kuboresha usafiri wa anga
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi amesema licha ya uwekezaji katika sekta ya...
#MEZAHURU: “Kwa asiyejua malengo kabisa yaani yeye kazi yake kucheka yaani ule upuuzi ndio anao ufurahia ambao unazungumzwa pale…
#MEZAHURU: “Kwa asiyejua malengo kabisa yaani yeye kazi yake kucheka yaani ule upuuzi ndio anao ufurahia ambao unazungumzwa pale… kwa sababu hajaenda na malengo lakini yule alieenda na malengo atazungumza…
Wazazi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza waliopangiwa shule za Serikali lakini wakaandikishwa shule binafsi wametakiwa kutoa taa…
Wazazi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza waliopangiwa shule za Serikali lakini wakaandikishwa shule binafsi wametakiwa kutoa taarifa katika shule walizopangiwa awali, ili Serikali iwe na kumbukumbu sahihi. Hayo yamesemwa…
Shangazi Mwaija anaendelea kuinyoosha familia, Binti Msumi haachi tabia yake
Shangazi Mwaija anaendelea kuinyoosha familia, Binti Msumi haachi tabia yake Usikose kutazama #KombolelaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Matokeo ya awali ya uchaguzi nchini Uganda 2026, yanaonesha Rais Yoweri Museveni wa NRM aliye madarakani anaongoza kwa asilimia …
Matokeo ya awali ya uchaguzi nchini Uganda 2026, yanaonesha Rais Yoweri Museveni wa NRM aliye madarakani anaongoza kwa asilimia zaidi ya 60 ya kura zilizopigwa. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi…
@kongamoyo_band wameapa kukuongoza kuanza kunyoosha weekend yako Ijumaa ya leo hapa #Sentro @cloudstv ili kufungua milango ya fa…
@kongamoyo_band wameapa kukuongoza kuanza kunyoosha weekend yako Ijumaa ya leo hapa #Sentro @cloudstv ili kufungua milango ya faraja na kuongeza nafasi ya kuitumikia mipango yako ya weekend. Njoo na popcorn…
Salma atajibu nini kwa Nawanda, kwa Side na Chioma nako kunafukuta, Usikose kutazama #NomaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #Si…
Salma atajibu nini kwa Nawanda, kwa Side na Chioma nako kunafukuta, Usikose kutazama #NomaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
#HABARI: Wizara ya Katiba na Sheria, kupitia kliniki yake ya msaada wa kisheria, imefanikiwa kumfikia Mzee Jumanne Ngaiza, mkazi…
#HABARI: Wizara ya Katiba na Sheria, kupitia kliniki yake ya msaada wa kisheria, imefanikiwa kumfikia Mzee Jumanne Ngaiza, mkazi wa mtaa wa Unyankahe mkoani Singida, ili kutatua mgogoro wa ardhi…
Halmashauri ya Jiji la Tanga imetangaza rasmi kwa wananchi kuanza kutuma maombi ya mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmas…
Halmashauri ya Jiji la Tanga imetangaza rasmi kwa wananchi kuanza kutuma maombi ya mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri hiyo, kwa makundi ya Wanawake, Vijana pamoja na Watu Wenye…
Wasuluhishi wa mzozo wa mashariki ya DRC wako jijini Lome
Wasuluhishi na wawezeshaji wa mchakato wa kupata amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na katika eneo la Maziwa Makuu, wapo jijni Lome nchini Togo ambako watahudhuria kikao cha…
Mtanga akieleza miongoni mwa wasanii aliokuwa akiwavutia sana katika harakati zake za kuingia kwenye tasnia ya uigizaji
Mtanga akieleza miongoni mwa wasanii aliokuwa akiwavutia sana katika harakati zake za kuingia kwenye tasnia ya uigizaji. Anasema zamani alikuwa 'Mwarabu', Msikilize hapa Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00…
Slot amkumbuka Salah akikiri pengo lake
London, England. Meneja wa Liverpool, Arne Slot amesema atafurahi kumpokea tena mshambuliaji...
Wavuvi walalamikia uvamizi Ziwa Victoria, Serikali yachukua hatua
Wavuvi katika Kata ya Bukura wilayani Rorya, mkoani Mara wameiomba Serikali kuchukua hatua za...
Uganda: Bobi Wine anazuiliwa nyumbani kwake
Nchini Uganda, matokeo ya kura ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Alhamisi, yanaendelea kutangazwa na tume ya Uchaguzi, wakati kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, akizuiwa nyumbani…
Ayatullah Khatami: Njama za kuigawa Iran kupitia machafuko zimefeli
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa nchini Tehran amesema kuwa, njama za maadui za kuigawa Iran kupitia mamluki wao kuzusha vurugu na machafuko hapa nchini zimefeli na kugonga…
Ashikiliwa kwa mauaji ya watoto watatu wa familia moja
Kamanda Siwa amesema tukio hilo lilitokea jana Januari 15, 2026 katika Kijiji cha Matundasi...
Mawindo ya Karesi yanafikia, Sophia naye anawindwa.Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00 usiku
Mawindo ya Karesi yanafikia, Sophia naye anawindwa.Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00 usiku. #AzamTWO
🔴MEZA HURU: VIJANA WAKIWA VIJIWENI HUPEANA MICHONGO YA PESA AMA NI ZOGO TU?
🔴MEZA HURU: VIJANA WAKIWA VIJIWENI HUPEANA MICHONGO YA PESA AMA NI ZOGO TU? ....JANUARI 16, 2026
Msaada wa haraka wahitajika kuepesha janga zaidi la kibinadamu Sudan: UNHCR
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa wakimbizi na Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, Barham Salih, ametoa wito wa dharura wa msaada wa kibinadamu…
Ili maisha yaendelee Gaza umeme unahitajika kwa udi na uvumba: UNOPS
Uharibifu Mkubwa uliosalia Gaza baada ya vita baina ya Israel na Hamas kusitishwa uko bayana katika kila kona ya jiji hilo majengo yaliyoporomoka, vyuma vililivyotapakaa kila mahali, na vitongoji vilivyogeuka…
UNICEF yaonya majira ya baridi kali ni jinamizi kwa watoto Ukraine
Watoto wa Ukraine wanakabiliwa na majira ya baridi mabaya zaidi tangu kuanza kwa vita, huku mashambulizi makali dhidi ya miundombinu ya nishati na maji yakikumbana na baridi kali isiyovumilika, na…
WFP: Changamoto ya misaada yawasukuma mamilioni ya watu katika njaa kali Afrika Magharibi na Kati
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) leo Januari 16, 2026 limetoa onyo kali kutokea mjini Dakar, Senegal, likieleza kuwa bila rasilimali na hatua za haraka,…
Ujenzi wa kingo za kuzuia mafuriko unaofanywa na UNMISS kunasaidia kuokoa maisha Sudan Kusini
Wakazi wa Bentiu, jimbo la Unity nchini Sudan Kusini, wanaishi katika hofu ya kudumu ya mafuriko yanayosababishwa na mvua kubwa, huku wahandisi kutoka Pakistan wanaohudumu katika Ujumbe wa Umoja wa…
“Tulidanganywa”: Jinsi mwanamke alivyowarubuni wanaume wa kigeni kupigana kwenye mstari wa mbele wa Urusi
Azarnykh mara kwa mara huchapisha video zake akiwahamasisha watu kujiunga na kuhudumu katika jeshi la Urusi.
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….JANUARI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 16, 2026
Wavuvi Tanga wasitisha mgomo
Uongozi wa Chama cha Wavuvi Mkoa wa Tanga umetangaza kusitisha mgomo wa kusitisha shughuli za...
Marekani imeonyesha upinzani wake dhidi ya uamuzi wa Afrika Kusini kushiriki katika zoezi la kijeshi la majini la kimataifa lina…
Marekani imeonyesha upinzani wake dhidi ya uamuzi wa Afrika Kusini kushiriki katika zoezi la kijeshi la majini la kimataifa linalohusisha Iran, ikiielezea Tehran kama “mhusika anayevuruga utulivu wa kimataifa na…
JWTZ latoa chakula, tiba kuimarisha uhusiano na wananchi
Mkuu wa Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),...
Wazazi Geita waonywa kuozesha, kutumikisha watoto
Wazazi na walezi ambao hawajapeleka watoto wao kujiunga na kidato cha kwanza katika muhula mpya...
Zoezi la kuhesabu kura Uganda linaendelea, Museveni anaongoza kwa zaidi ya 76%
Zoezi la kuhesabu kura nchini Uganda kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika Alkhamisi ya jana linaendelea huku matokeo ya awali yakionyesha kuwa, Yoweri Museveni rais wa sasa anaongoza kwa wingi wa kura.
Araqchi: Iran iko macho na imejiandaa dhidi ya uingialiaji wowote wa kigeni
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na China wamesisitiza umuhimu wa kudumisha utulivu, kuheshimu uhuru wa nchi, na nafasi muhimu ya kidiplomasia katika kuzuia kuongezeka mizozo na mivutano.
#HABARI: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari limefika hapa Posta Jengo la National Social Security House kwa ajili kuuzima moto …
#HABARI: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari limefika hapa Posta Jengo la National Social Security House kwa ajili kuuzima moto pamoja na kuokoa waliopo ndani ya jengo hilo. Endelea kutufuatilia…
Pakistan: Hatutaruhusu anga yetu itumiwe kwa ajili ya kuishambulia Iran
Serikali ya Pakistan imetangaza kuwa, katu haitataruhusu anga yake itumiwe kwa ajili ya kuishambulia kijeshi Iran.
Kenya yasaini makubaliano ya awali ya biashara na China
Kenya imesaini makubaliano ya awali ya biashara na China ambayo yanaipa 98% ya mauzo yake ya nje ufikiaji usiotozwa ushuru katika soko kubwa la China. Hayo yameelezwa na serikali ya…
Waziri Mkuu kunogesha tamasha la Wabunge Simba, Yanga
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba anatarajia kunogesha tamasha litakalowakutanisha watumishi wa Bunge na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wanaoshabikia klabu za Yanga na Simba akiwa mgeni rasmi.
#HABARI: Moto umezuka katika ghorofa la National Social Security House lililopo karibu na Mnara wa Askari, Posta jijini Dar es S…
#HABARI: Moto umezuka katika ghorofa la National Social Security House lililopo karibu na Mnara wa Askari, Posta jijini Dar es Salaam. Endelea kutufuatilia kwa habari kamili. Powered by #MCHEZOSUPA …
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….JANUARI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 16, 2026
Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani, limewataka madereva waliokosa sifa za kupata leseni kurudia miti…
Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani, limewataka madereva waliokosa sifa za kupata leseni kurudia mitihani ya udereva inayotolewa na jeshi hilo ili waweze kukidhi vigezo vya kisheria…
Jengo la National Social Security House lililopo Posta Jijini Dar es Salaam limeshika moto muda huu na chanzo chake bado hakijaj…
Jengo la National Social Security House lililopo Posta Jijini Dar es Salaam limeshika moto muda huu na chanzo chake bado hakijajulikana. #kilichoborakabisa