Dar exports to South Africa surge
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S gold exports to South Africa have increased significantly over the past five years, boosting trade between the two Southern African Development Community (SADC) member states to…
TZ earns top global GovTech ranking in WB Index
DAR ES SALAAM: TANZANIA has continued to shine internationally after being ranked among countries with the highest level of digital maturity in the public sector by the World Bank, underscoring…
Donald Trump asema yuko tayari kukutana na kaimu rais wa Venezuela Delcy Rodriguez
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumapili, Januari 11, kwamba yuko tayari kukutana na kiongozi wa mpito wa Venezuela, Delcy Rodriguez, ambaye aliteuliwa madarakani baada ya Marekani kumkamata…
Mahakama ya Rufaa yatupilia mbali rufaa ya Standard Chartered dhidi ya IPTL
Mahakama katika uamuzi wake imesema kuwa kuwa kimsingi, utumaji wa hati ya rufaa kwa mjibu...
Iran: Trump anasema Tehran iko tayari kwa majadiliano na mkutano ‘unaandaliwa’
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku yaJumapili, Januari 11, kwamba viongozi wa Iran wako tayari kwa “majadiliano” baada ya vitisho vyake vya kuchukua hatua za kijeshi, huku Jamhuri ya…
62ND REVOLUTION ANNIVERSARY: Z’bar notches major strides
ZANZIBAR: ZANZIBAR President, Dr Hussein Mwinyi, has said the 62nd anniversary of the Zanzibar Revolution finds the Isles firmly on a path of economic transformation, infrastructure expansion and improved social…
Sera Msaada wa Kisheria mbioni kutungwa
SINGIDA; SERIKALI ipo mbioni kuandaa Sera ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria itakayoweka misingi ya kuboresha na kuimarisha upatikanaji wa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi kote nchini. Kauli…
Raia wa Uganda wapewa likizo ya siku mbili kushiriki uchaguzi mkuu
Serikali ya Uganda imetangaza likizo ya siku mbili kwa wananchi kushiriki uchaguzi mkuu siku ya alhamisi wikik hii, ambapo rais Yoweri Museveni atashindana na kinara wa upinzani, Robert Kyagulanyi. Imechapishwa:…
Mapitio ya #MAGAZETI leo januari 12, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo januari 12, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Aliwahi kuwakosoa viongozi wa Afrika wanaong’ang’ania madaraka. Sasa ataongoza muhula wa saba
Raia wa Uganda walio na umri wa chini ya miaka 40 - na ambao ni zaidi ya robo tatu ya watu - wamemfahamu rais mmoja tu.
Aliwahi kuwakosoa viongozi wa Afrika wanaong’ang’ania madaraka. Sasa anataka muhula wa saba
Raia wa Uganda walio na umri wa chini ya miaka 40 - na ambao ni zaidi ya robo tatu ya watu - wamemfahamu rais mmoja tu.
Merz aanza ziara yake ya kwanza ya kiserikali India
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ameanza ziara rasmi India Jumatatu na kuifanya nchi hiyo ya watu wengi zaidi ya wakazi bilioni 1.4 kuwa kituo chake cha kwanza kikubwa cha Asia…
Sudan: Jeshi latangaza kurejelewa kwa shughuli katika Mji Mkuu
Waziri mkuu wa Sudan, Kamil Idris ametangaza shughuli za serikali kurejea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, baada ya miaka mitatu ya kuwa inaendesha shughuli zake huko Port Sudan.…
Dk Mwinyi aanika mafanikio lukuki afya, amani, Muungano
ZANZIBAR; WAKATI Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo ikiadhimisha miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Rais Dk Hussen Mwinyi amesema serikali yake inajivunia mafanikio makubwa yaliyofikiwa katika kipindi cha miaka…
Sudan: Serikali yatangaza kurudi mji mkuu, Khartoum
Wakati Sudan ikikamilisha siku 1,000 za vita vya wenyewe kwa wenyewe mwishoi mwa wiki hii iliyopita, Waziri Mkuu ametangaza siku ya Jumapili, Januari 11, kurudi rasmi kwa serikali katika mji…
#MapinduziDay #AzamTVBurudaniKwaWote
#MapinduziDay #AzamTVBurudaniKwaWote (Feed generated with FetchRSS)
Dk Mwinyi aachia huru wafungwa 17 Mapinduzi
ZANZIBAR; LEO ni kumbukizi ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika siku kama ya leo miaka 62 iliyopita am bapo Wazanzibari waliondoa utawala wa kisultani uliokuwa ukiongozwa na Sultan Jamshid bin Abdullah…
Maandamano Iran: Jeshi linasimama wapi na serikali inataka nini?
Jeshi kwa kushirikiana na vikosi vingine vya usalama - limetangaza kwamba litalinda "maslahi ya kitaifa, miundombinu ya kimkakati ya nchi, na mali ya umma.”
Kasi ya maendeleo Zanzibar uhalisia Mapinduzi ya 1964
ZANZIBAR; LEO ni maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar tangu yalipofanyika Januari 12, 1964 baa da ya kuondolewa utawala wa kisultani ukiongo zwa na Jamshid bin Abdullah na…
Mali: Viwanda kadhaa vyashambuliwa katika eneo la Kayes magharibi mwa Mali
Nchini Mali, kizuizi cha kiuchumi kilichowekwa kwa mafuta mwezi Septemba mwaka uliyopita na wanajihadi kimeenea hadi kwenye vituo vya viwanda. Viwanda vya wafanyabiashara wa Mali na India vimeshambuliwa siku ya…
Uganda: Yoweri Museveni alenga kuongoza kwa muhula wa saba
Alhamisi ya wiki hii raia wa Uganda, watapiga kura kuchagua rais, wabunge na wawakilishi wengine, katika uchaguzi ambao karibu robo tatu ya raia wa nchi hiyo wenye umri wa miaka…
Senegal: Boti na wahamiaji 300 watoweka baharini kwa mwezi mmoja
Boti iliyokuwa imebeba watu 300 kutoka nchi za Afrika Magharibi, ambayo iliondoka pwani ya Gambia zaidi ya mwezi uliyopita, haijulikani ilipo. Boti hiyo, iliyokuwa ikielekea Uhispania, iliondoka katika mji wa…
Waziri Mkenda aikabidhi TISTA vitabu elimu ya dini
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amekabidhi vitabu vya elimu ya dini ya kiislamu kwa ngazi ya elimu ya sekondari kwa Taasisi ya Kusimamia…
Uganda: Vikosi vya usalama vyaimarisha uwepo wao Kampala kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Januari 15
Hali inazidi kuwa tete nchini Uganda kabla ya Uchaguzi Mkuu unaopangwa kufanyika Januari 15, ambapo uchaguzi wa rais, wa wabunge, na wa serikali za mitaa zitafanyika. Mikutano mikubwa bado imepangwa.…
#SwaliLaKipimaJoto:Wafungwa wanaopatiwa msamaha nyakati za sikukuu
#SwaliLaKipimaJoto:Wafungwa wanaopatiwa msamaha nyakati za sikukuu. Je, wanapewa mitaji kubadilisha Maisha yao?
Biashara ya viungo vya sehemu za siri inavyochochea ukeketaji – 1
Uwepo wa biashara ya siri ya viungo vya binadamu vinavyotokana na ukeketaji umeongeza ugumu wa...
DRC: UM waonya kuhusu matukio 626 dhidi ya wafanyakazi wa kibinadamu mwaka 2025, hasa Mashariki
Mashambulizi dhidi ya wafanyakazi wa xa mashirika ya kutoa misaada ya kibinadamu yanaongezeka nchini Hamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Umoja wa Mataifa unaonya. Imechapishwa: 12/01/2026 – 04:48 Dakika 1…
Kansela Friedrich Merz aanza ziara rasmi nchini India
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amewasili India leo Jumatatu kwa ziara rasmi ya siku mbili kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi.
Tahadhari yatolewa kuhusu mauaji ya halaiki Iran
Shirika la kutetea haki za binadamu la Iran lenye makao yake nchini Norway limesema mamlaka za Iran zimefanya mauaji ya halaiki.
Vikosi vya Syria vyadhibiti vitongoji vya Aleppo
Serikali ya Syria imeudhibiti kikamilifu mji wa Aleppo siku ya Jumapili baada ya kuvichukua vitongoji vya Wakurdi vya jiji hilo.
Myanmar yafanya duru ya pili ya uchaguzi mkuu
Myanmar imeanza duru ya pili ya upigaji kura jana Jumapili katika uchaguzi wake mkuu wa kwanza tangu jeshi lilipochukua madaraka miaka mitano iliyopita.
Wavenezuela wasubiri kuwachiwa huru wafungwa wa kisiasa
Raia wa Venezuele wameendelea kusubiri kuachiwa huru idadi kubwa ya wafungwa wa kisiasa kufuatia ahadi iliyotolewa na rais wa mpito Delcy Rodriguez Alhamisi wiki iliyopita.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 12, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 12, 2026
Tamasha la Sauti za Busara 2026, kufanyika Mnazi Mmoja
Tamasha la Sauti za Busara msimu wa 23 litafanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Unguja...
Uganda yakosoa ripoti kuhusu ukandamizaji dhidi ya wapinzani
Serikali ya Uganda imeipinga ripoti ya Umoja Mataifa inayoikosoa vikali kwa ukandamizaji dhidi ya upinzani kuelekea uchaguzi mkuu. Sikiliza ripoti kwa kina.
12.01.2026 Matangazo ya Mchana
Iran yadai kuwa hali kwa sasa "imedhibitiwa kikamilifu"+++Serikali ya Uganda imeipinga ripoti ya Umoja Mataifa inayoikosoa vikali kwa ukandamizaji dhidi ya upinzani kuelekea uchaguzi mkuu+++Ujerumani na India zakubaliana kuimarisha usalama…
12.01.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz awasili India kwa ziara rasmi ya siku mbili. Shirika la kutetea haki za binadamu la Iran latahadharisha kuhusu mauaji ya halaiki katika maandamano. Na Syria…
Bobi Wine: Rais wa Wananchi katika uchaguzi wa kihistoria
Kutoka Ghetto ya Kampala hadi jukwaa la siasa za kitaifa, Bobi Wine amegeuka kuwa sauti ya vijana na changamoto kwa utawala wa miongo minne wa Rais Museveni, wakati Uganda ikielekea…
Bobi Wine: Rais wa Wananchi katika uchaguzi wa kihistoria
Kutoka Ghetto ya Kampala hadi jukwaa la siasa za kitaifa, Bobi Wine amegeuka kuwa sauti ya vijana na changamoto kwa utawala wa miongo minne wa Rais Museveni, wakati Uganda ikielekea…
Uganda yachagua kati ya matumaini na ugumu
Jeshi mitaani, mashaka juu ya uchaguzi wa haki na hofu ya vurugu. Wengi wanatumaini mabadiliko, lakini wengine wanahofia machafuko, ukandamizaji na muendelezo wa utawala wa miongo minne wa Rais Yoweri…
Hamad amlilia Mzee Kikala akiomba msamaha 🥶
Hamad amlilia Mzee Kikala akiomba msamaha 🥶
#HABARI: Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe
#HABARI: Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amekabidhi vitabu vya Elimu ya dini ya Kiislamu kidato cha tano kwa taasisi ya kusimamia ufundishaji wa elimu ya…
Chunya yaonya wazazi kutumikisha watoto kilimo cha tumbaku, uchimbaji madini
Serikali mkoani Mbeya, imeelekeza ununuzi wa bidhaa za huduma kupitia taasisi za umma...
Serikali yahimiza mfumo NeST uzingatie uwazi, haki, uwajibikaji kuepuka rushwa
Serikali mkoani Mbeya, imeelekeza ununuzi wa bidhaa za huduma kupitia taasisi za umma...
Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia Elimu ameagiza kuvunjwa mara moja kwa mkataba wa kampuni ya Bugeta Engineering Ltd kwa…
Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia Elimu ameagiza kuvunjwa mara moja kwa mkataba wa kampuni ya Bugeta Engineering Ltd kwa kushindwa kutekeleza kwa wakati mradi wa ujenzi wa mabweni na vyumba…