Dhamana ya Mwambe anayeshikiliwa polisi kusikilizwa leo
Hatima aliyewahi kuwa waziri katika Serikali ya awamu ya sita, Geofrey Mwambe itajulikana leo...
Kuna jambo la kujifunza kwa hawa wawili, hadi sasa umejifunza nini?
Kuna jambo la kujifunza kwa hawa wawili, hadi sasa umejifunza nini? 👀
Bunge la Zambia laidhinisha muswada tata wa kubadilisha sheria za uchaguzi
Bunge la Zambia siku ya Jumatatu limeidhinisha kwa kishindo muswada wa kubadilisha vipengele vya katiba vinavyohusiana na uchaguzi ambao upinzani utamsaidia Rais Hakainde Hichilema kwa uchaguzi wa mwakani.
Ubunifu wa wanafunzi wa kada ya umeme kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi mkoani Morogoro huenda ukawa jibu la mtaji mdogo kw…
Ubunifu wa wanafunzi wa kada ya umeme kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi mkoani Morogoro huenda ukawa jibu la mtaji mdogo kwa wajasiriamali wa ufugaji kuku baada ya kubuni mashine…
Serikali imetangaza mpango wa dharura wa kukabiliana na uhaba wa maji katika baadhi ya mikoa na kuitaka Mamlaka ya Majisafi na M…
Serikali imetangaza mpango wa dharura wa kukabiliana na uhaba wa maji katika baadhi ya mikoa na kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kusimamia ratiba ya ugawaji…
Ni kitu gani ambacho watu wanadhani unacho lakini huna!
Ni kitu gani ambacho watu wanadhani unacho lakini huna! Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow
#HABARI: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mbunge wa Simanjiro, James Ole Milya, amewata viongozi…
#HABARI: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mbunge wa Simanjiro, James Ole Milya, amewata viongozi na Watendaji wa Serikali wanaotoka kwenye jamii hiyo, wawasaidie wananchi…
Jitihada za kumuondoa Bisura kwenye kasri la Mzee Maega zinagonga mwamba…Ameweka wazi tena kwa macho makavu…Hatoki mtu hadi …
Jitihada za kumuondoa Bisura kwenye kasri la Mzee Maega zinagonga mwamba...Ameweka wazi tena kwa macho makavu...Hatoki mtu hadi kieleweke. Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU – 15/12/2025
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 15/12/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 15,2025 – MVUA NA UPEPO MKALI VYAACHA KAYA 11 BILA MAKAZI TABORA
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 15,2025 - MVUA NA UPEPO MKALI VYAACHA KAYA 11 BILA MAKAZI TABORA
Mazungumzo ya kumaliza vita Ukraine yaendelea Berlin
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na wajumbe wa rais wa Marekani Donald Trump wameendelea na mazungumzo mjini Berlin Ujerumani yanayolenga kumaliza vita na Urusi.
Serikali yajizatiti kukabili upungufu wa maji Dar, Pwani
DAR ES SALAAM: Serikali itaendelea kuchukua hatua zote za dharura kuhakikisha mikoa ya Dar es Salaam na Pwani inaendelea kupata huduma ya maji kwa kadri inavyowezekana, ikiwa ni pamoja na…
Namna Afrika ilivyotoa muelekeo kwa agenda ya Mkutano wa Doha
Kongamano la Mkutano wa 23 la Doha liliangazia malengo ya Afrika kutumia kilimo kwa ajili kuleta utajiri zaidi na siyo you kuondoa watu kutoka kwenye umaskini.
Namna Afrika ilivyotoa muelekeo kwa agenda ya Mkutano wa Doha
Kongamano la Mkutano wa 23 la Doha liliangazia malengo ya Afrika kutumia kilimo kwa ajili kuleta utajiri zaidi na siyo you kuondoa watu kutoka kwenye umaskini.
Ajali zilivyokatisha maisha ya watu 2025
Katika maelezo yake alirejea takwimu za Jeshi la Polisi zilizoonesha kulitokea jumla ya ajali...
Wajumbe wa Marekani na Ulaya waujadili mzozo wa Ukraine
Wajumbe wa Marekani wamekutana na wenzao wa Ulaya katika mji mkuu wa Ujerumani - Berlin siku ya Jumatatu kuujadili mpango wa amani unaolenga kuvimaliza vita vya Urusi nchini Ukraine.
M23 yawataka raia wa DRC waliokimbia warejee nchini mwao
Msemaji wa AFC/M23 Lawrence Kanyuka amewataka wakongomani kurejea nyumbani akitaja kuwa kwa sasa hali ya usalama ni shwari.
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imezindua rasmi kampeni ya msimu wa sikukuu “ Funga mwaka kijanja Talii ( season two)” ikiwa ni m…
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imezindua rasmi kampeni ya msimu wa sikukuu “ Funga mwaka kijanja Talii ( season two)” ikiwa ni mwendelezo wa jitihada za Serikali katika kuhamasisha utalii…
Dk Nchimbi aitaka UDSM kuwa kitovu cha ubunifu Kampasi ya Kagera
Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...
Madaktari 150 kutoka mikoa saba wamepatiwa mafunzo maalum yenye lengo la kuimarisha utoaji wa huduma kwa wanufaika wa Mfuko wa F…
Madaktari 150 kutoka mikoa saba wamepatiwa mafunzo maalum yenye lengo la kuimarisha utoaji wa huduma kwa wanufaika wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF). Mafunzo hayo kuhusu tathmini za magonjwa…
#HABARI: Jeshi la Polisi nchini, limeagiza kukamatwa kwa madereva wa mabasi ya abiria, wanaotembea na pombe kwenye mabasi yao kw…
#HABARI: Jeshi la Polisi nchini, limeagiza kukamatwa kwa madereva wa mabasi ya abiria, wanaotembea na pombe kwenye mabasi yao kwa lengo kunywa wakiwa safarini, kwani vitendo hivyo vya matumizi ya…
#HABARI: Dunili Mageme Maduhu (56), mkazi wa kijiji cha Mwamugesha wilayani Itilima, amehukumiwa kifungo cha miezi tisa jela na …
#HABARI: Dunili Mageme Maduhu (56), mkazi wa kijiji cha Mwamugesha wilayani Itilima, amehukumiwa kifungo cha miezi tisa jela na Hakimu Mkazi Mwandamizi Robert Kaanwa kwa kosa la kutishia kumuua baba…
Takriban watu 37 wafariki kutokana na mafuriko Morocco
Takriban watu 37 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha mkoani Safi nchini Morocco huku wengine 14 wakiendelea kupata matibabu na wawili wakiwa mahututi.
#HABARI: Mtoto mwenye umri wa miaka kumi na tatu, aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la tano Shule ya Msingi Chanika, wilayani Hande…
#HABARI: Mtoto mwenye umri wa miaka kumi na tatu, aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la tano Shule ya Msingi Chanika, wilayani Handeni, mkoani Tanga aliyefahamika kwa jina la Paskal Msekeni, amejinyonga…
Ipi sababu ya mapinduzi ya mara kwa mara barani Afrika
Bara la Afrika limepitia misukosuko katika siku za hivi karibuni kama mapinduzi nchini Madagascar na Guinea-Bissau na jaribio la mapinduzi Benin. Je ni kwa nini hali kama hii imejitokeza mara…
Upunguvu wa misaada, mateso kwa watoto wa Kenya
Athari za maamuzi aliyofanya rais wa Marekani Donald Trump kufutilia mbali misaada ya chakula zinadhihirika miongoni mwa jamii za wafugaji wa kuhamahama za Turkana Kaskazini mwa Kenya.
Walanguzi tiketi za abiria kikaangoni
GEITA: JESHI la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani limekemea vikali tabia ya mawakala wa mabasi ya abiria kufanya ulanguzi wa tiketi wa safari za mwisho wa mwaka kwani watachukuliwa hatua.…
Mkutano wa Tehran; Ubunifu wa Iran kwa ajili ya mwafaka wa kikanda na uthabiti wa Afghanistan
Mkutano wa wawakilishi maalum wa nchi jirani za Afghanistan pamoja na Russia umefanyika katika wizara ya mambo ya nje ya Iran, mjini Tehran.
Hakuna ruhusa ya kufanya maandamano yoyote Kongo
Mamlaka katika mji wa kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imepiga marufuku maandamano yoyote kutoka kwa upinzani na hata vyama tawala kutokana na itifaki za usalama.
Transport Ministry commends LATRA’s digital innovation
ARUSHA: THE Deputy Minister for Transport, David Kihenzile, has today, December 15, 2025, commended the Land Transport Regulatory Authority (LATRA) for its digital innovation that has made access to transport…
Employees trained to enhance transparency in public procurement
MBEYA: THE Mbeya Regional Commissioner, Beno Malisa, has urged public office employees in the Southern Highlands Zone to use the National Electronic Public Procurement System (NeST) to ensure that public…
Tanzania kuendeleza ukarabati na kujenga meli mpya
Meli moja itajengwa katika Ziwa Tanganyika ikiwa na uwezo wa kubeba tani 3,500 za mizigo, huku...
Wamiliki wa magari watakiwa kuwasikiliza madereva kudhibiti ajali
Wamiliki wa magari yanayosafirisha abiria nchini, wametakiwa kufuata ushauri wa madereva badala...
Dr Kijaji hails tourism stakeholders of who earned Tanzania global awards
DODOMA: THE Ministry of Natural Resources and Tourism has congratulated all stakeholders in the tourism sector for their excellent performance that enabled Tanzania to win major awards. The Minister for…
Wachezaji wa Kiafrika wavuma Ulaya kabla ya AFCON
Wakati michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ikisubiriwa kwa shauku kubwa miongoni mwa mashabiki, wengi wanatarajia kuwaona wachezaji nyota wanaocheza katika ligi mbalimbali ulimwenguni wakiwakilisha timu zao za taifa.
Tanzania Posts launches 55th Essay Writing competition
DAR ES SALAAM: The Tanzania Posts Corporation has organized a letter-writing competition aimed at nurturing the talents of children and young people in writing, as well as recognizing their awareness…
Jeshi la Uganda ladaiwa kuingilia mchakato wa uchaguzi
Asasi za kiraia, wadadisi wa masuala ya utawala wanasiasa na watu mbali mbali wamekosoa uhusika wa moja kwa moja wa wanajeshi katika uchaguzi nchini Uganda.
Vifo vya wajawazito, watoto vyapungua Maswa
Maswa. Vifo vya wajawazito katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa vimepungua kwa kiasi kikubwa...
Katikati ya Jiji la Dar es salaam linapatikana Soko la Kisutu lenye Uwezo wa kubeba Wafanyabiashara zaidi ya 1500, kuelekea msim…
Katikati ya Jiji la Dar es salaam linapatikana Soko la Kisutu lenye Uwezo wa kubeba Wafanyabiashara zaidi ya 1500, kuelekea msimu huu wa Sikukuu hali ya Biashara Usiku katika Soko…
John Terry afichua alivyowaza kujiua kisa kukosa penalti fainali ya UEFA
Nahodha wa zamani wa Chelsea, John Terry, amefunguka na kukiri kuwa aliwahi kuwaza kujiua baada...
Zanzibar tables leaders’ performance system as it marks Ethics, Human Rights Day
ZANZIBAR: THE Revolutionary Government of Zanzibar has today, December 15, 2025, celebrated the World’s Ethics and Human Rights Day with a process to establish a Performance Appraisal System for Leaders,…
Uturuki inataka kuongeza muda wa uwepo wake wa kijeshi nchini Libya
Uturuki imewasilisha hoja bungeni kutaka kuongezwa muda wa miezi 24 kwa wanajeshi wake Libya, ikitaja hali ya sintofahamu ya kisiasa inayoendelea, changamoto za kiusalama ambazo hazijatatuliwa na umuhimu wa kulinda…
Uturuki inataka kuongeza muda wa uwepo wake wa kijeshi nchini Libya
Uturuki imewasilisha hoja bungeni kutaka kuongezwa muda wa miezi 24 kwa wanajeshi wake Libya, ikitaja hali ya sintofahamu ya kisiasa inayoendelea, changamoto za kiusalama ambazo hazijatatuliwa na umuhimu wa kulinda…
AFC/M23 yawataka wanajeshi wa Burundi kurejea nchini mwao
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, siku chache baada ya kuuteka mji wa kimkakati wa Uvira, AFC/M23 inatowa wito kwa askari wote wa Burundi ambao bado wako kwenye ardhi ya…
Jaafari Moshi, Mwanakikoba akielezea tatizo la wanandoa ambao hawaambiani ukweli wanapojiunga kwenye vikoba
Jaafari Moshi, Mwanakikoba akielezea tatizo la wanandoa ambao hawaambiani ukweli wanapojiunga kwenye vikoba. #clouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
Bibi kizimbani, akidaiwa kusafirisha bangi
Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatatu Desemba 15, 2025 na kusomewa kesi ya jinai...