DRC: Roger Lumbala ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa uhalifu dhidi ya binadamu
Kiongozi wa zamani wa waasi nchini DRC Roger Lumbala amepatikana na hatia ya kushiriki katika uhalifu dhidi ya binadamu siku ya Jumatatu, Desemba 15. Imechapishwa: 16/12/2025 – 05:23 Dakika 3…
Mahakama ya Ufaransa yamfunga jela kiongozi wa zamani wa waasi wa Congo miaka 30
Kiongozi wa zamani wa waasi wa Congo Roger Lumbala alipatikana na hatia na mahakama ya Paris siku ya Jumatatu ya kuhusika katika uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanywa wakati wa Vita…
M23 yaendelea kuwashikilia mamia ya askari wa Burundi
Kundi la waasi wa M23 linalodaiwa kuungwa mkono na Rwanda limewakamata mamia ya wanajeshi wa Burundi wakati wa mashambulizi yake ya hivi punde mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,…
🔴KUMEKUCHA: .DESEMBA 16, 2025
🔴KUMEKUCHA:HALI YA ULINZI NA USALAMA YA WILAYA YA UBUNGO .DESEMBA 16, 2025
Ukraine yasema iko tayari kuachana na mpango wa NATO
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amekutana na mjumbe wa Marekani Steve Witkoff, kujadili mapendekezo ya rais Donald Trump kuhusu kumaliza vita kati ya Ukraine na Urusi. Imechapishwa: 16/12/2025 – 05:05…
Umoja wa Mataifa wahimiza kuachiliwa huru kwa watu 10,000 wanaozuiliwa kiholela nchini Eritrea
Umoja wa Mataifa unataka kuachiwa bila kwa masharti kwa watu wanaokadiriwa kuwa Elfu 10, waliokamatwa na kuzuiwa nchini Eritrea, wakiwemo wanasiasa, wanahabari na wanafunzi. Imechapishwa: 16/12/2025 – 05:01 Dakika 1…
Tuchopeke elimu ya afya ya akili kwenye mtalaa
Afya ya akili kwa watoto ni zaidi ya kutokuwepo kwa ugonjwa. Ni hali ya ustawi wa kiakili...
Marekani yaipa Ukraine hakikisho la ulinzi
Marekani imekubali kuipatia Ukraine hakikisho la usalama kama sehemu ya mpango wa kukomesha vita vya takribani miaka minne vya Urusi dhidi yake.
Uturuki yadungua ndege isiyo na rubani isiyojulikana ikikaribia anga yake juu ya Bahari Nyeusi
Wizara ya ulinzi ya Uturuki imesema kuwa droni lililogunduliwa karibu na Bahari Nyeusi lilidunguliwa katika eneo salama baada ya kushindwa kujibu hatua za kudhibiti.
DRC: M23 yadai kuwakamata mamia ya wanajeshi wa Burundi katika shambulio la hivi karibuni
Waasi wa M23/AFC wanaoungwa mkono na Rwanda, wanadai kuwakamata mamia ya wanajeshi wa Burundi, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wakati huu vita vikiendelea jimboni Kivu Kusini. Imechapishwa: 16/12/2025…
Mpigania demokrasia Lai atiwa hatiani Hong Kong
Jimmy Lai, bilionea aliyekuwa akimiliki yombo vya habari na mkosoaji mkubwa wa utawala wa China, ametiwa hatiani kwenye kesi ya aina yake kuhusiana na usalama wa taifa, hukumu ambayo inampeleka…
Trump aishitaki BBC akitaka fidia ya dola bilioni 10
Rais Donald Trump wa Marekani amefunguwa kesi mahakamani akidai fidia ya dola bilioni 10 kutoka Shirika la Utangazaji la Uingereza, BBC, akilituhumu kumchafulia jina.
#SwaliLaKipimaJoto:”Pembejeo zinazotakiwa kuuzwa kwa bei ya ruzuku kuuzwa kinyemela
#SwaliLaKipimaJoto:"Pembejeo zinazotakiwa kuuzwa kwa bei ya ruzuku kuuzwa kinyemela. Je, wenye kufanya hivyo wanyang'anywe vibali vya kuziuza
🔴#MAGAZETI:MAPYA YAIBUKA SAKATA LA MWAMBE / KOCHA MPYA SIMBA ABEBESHWA MZIGO
🔴#MAGAZETI:MAPYA YAIBUKA SAKATA LA MWAMBE / KOCHA MPYA SIMBA ABEBESHWA MZIGO.. DISEMBA 16, 2025
Mshirika wa Embalo akamatwa na euro milioni 5 taslim
Mshirika wa karibu wa rais aliyepinduliwa nchini Guinea Bissau, Umar Sissoco Embalo, ametiwa nguvuni nchini Ureno akiwa na fedha taslimu euro milioni tano.
Iran: Madai ya kumiliki visiwa vya Ghuba ya Uajemi ni dhidi ya mamlaka ya kujitawala na ujirani mwema
Iran imesema kuwa madai yoyote ya kumiliki visiwa vitatu vya Ghuba ya Uajemi yaani Tomb Kubwa, TombNdogo na Bu Musa ni ukiukaji wa kanuni za ujirani mwema na kutoheshimu mamla…
ICC yatupilia mbali rufaa ya Israel ya kuomba waranti wa kumkamata Netanyahu ubatilishwe
Kitengo cha rufani cha Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kimetupilia mbali hoja za utawala wa kizayuni wa Israel za kupinga uhalali wa uchunguzi wa mahakama hiyo kuhusu jinai zilizofanywa…
Marekani yaipa Ukraine hakikisho la usalama
Marekani imeipa Ukraine hakikisho la ulinzi sawa na lile walilonalo wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa NATO, licha ya ukweli kwamba suala la Kiev kusalimisha sehemu ya ardhi zake kwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…..DESEMBA 16, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DESEMBA 16, 2025
Mvua kubwa na mafuriko yaua watu 37 katika mji wa Safi, Morocco
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Morocco leo JUmatatu imetangaza kuwa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa yamesababisha vifo vya takriban watu 37 katika mji wa pwani wa Safi nchini humo.
Makaburi ya Waislamu nchini Australia yanajisiwa baada ya ufyatuaji risasi huko Sydney
Makaburi ya Waislamu nchini Australia yamenajisiwa kwa vichwa vya nguruwe vilivyokatwa kufuatia ufyatuaji risasi uliolenga hafla ya Kiyahudi mjini Sydney nchini humo.
ECOWAS yapinga mpango wa mpito wa kijeshi wa Guinea-Bissau
Viongozi wa Afrika Magharibi wamepinga mpango wa mpito uliotangazwa na watawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau, badala yake wametaka kurejea haraka kwa utaratibu wa kikatiba. na kuonya kuhusu vikwazo vinavyolengwa dhidi…
Ana kazi lakini ana njaa; kwa nini wazazi wa Uingereza wanatafuta misaada ya chakula
Kadiri uchumi wa Uingereza unavyozidi kulegea na kuporomoka, takribani robo ya wazazi wenye ajira nao wanalazimika kutafuta msaada wa chakula cha bure kutoka mashirika ya hisani.
Jumanne, 16 Disemba, 2025
Leo ni Jumanne tarehe 25 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria mwafaka na tarehe 16 Disemba 2025.
16.12.2025 Matangazo ya Jioni
Ikulu ya Kremlin yakataa kusitisha vita nchini Ukraine msimu wa Krismasi // Kiongozi wa jeshi Sudan asema yuko tayari kuzungumza na Trump kufikia amani // Takriban watu 30 wafungwa jela…
16.12.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, waasi wa AFC/M23 wamesema wako tayari kuondoka kutoka mji wa Uvira / Sudan kwa mara nyingine tena imeongoza orodha…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 16, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Wawakilishi la Marekani inatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini Tanzania hatua inayolenga kuim…
Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Wawakilishi la Marekani inatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini Tanzania hatua inayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano wa kibunge kati ya Tanzania…
Frank Gogadi, mhitimu chuo kikuu amesema hajawahi kujipangia mshahara ambao atalipwa atakapoajiriwa baada ya kumaliza chuo
Frank Gogadi, mhitimu chuo kikuu amesema hajawahi kujipangia mshahara ambao atalipwa atakapoajiriwa baada ya kumaliza chuo. #sentroCloudstv #Clouds26Nyoosha
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 15 DESEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 15 DESEMBA 2025
“Mtaa ni mgumu kama usipojituma usipokuwa na nidhamu na kuwa na maarifa ya kuweza kuchanganua ili kuweza kujikomboa kiuchumi baa…
"Mtaa ni mgumu kama usipojituma usipokuwa na nidhamu na kuwa na maarifa ya kuweza kuchanganua ili kuweza kujikomboa kiuchumi baada ya kumaliza chuo"-Frank Gogadi, Mhitimu chuo kikuu #SentroYaCloudstv
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..15 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..15 DESEMBA 2025
M23 yadai kuwakamata wanajeshi wa Burundi katika mashambulizi ya Uvira
Kundi la waasi la M23 linasema limewakamata mamia ya wanajeshi wa Burundi wakati wa mashambulio ya hivi karibuni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, madai ambayo Reuters hayakuweza kuthibitisha.
Rais Mwinyi ateua wakuu wa mikoa, manaibu katibu wakuu
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya teuzi tano, kati ya hizo wakuu wa mikoa...
“Tunakwenda kuangala hiki kituo kinatoa huduma vizuri au hakitoi huduma vizuri, lakini pia kwenye mfumo kwa mfano huyu amekuja a…
"Tunakwenda kuangala hiki kituo kinatoa huduma vizuri au hakitoi huduma vizuri, lakini pia kwenye mfumo kwa mfano huyu amekuja akaambiwa hakuna dawa, lakini kwenye mfumo yule mtu ameandika kuomba ile…
Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) imemhakikishia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt
Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) imemhakikishia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kufanya tafiti kuongeza thamani ya mazao ya mifugo ili kukidhi masoko ya nje…
Ban Ki-moon asema mabadiliko ya Baraza la Usalama la UN yanahitajika kukabiliana na kura ya turufu
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon siku ya Jumatatu alitoa wito wa kufanyika mabadiliko ya Baraza la Usalaml, akionya kuwa shirika hilo liko hatarini "kupoteza umuhimu wake"…
#DAKIKA45: “Afya ya mfuko imekwenda ikiimarika, nakisi tuliyokuwa nayo mpaka tunafunga mahesabu yetu tumekuwa na ziada ya Bilion…
#DAKIKA45: "Afya ya mfuko imekwenda ikiimarika, nakisi tuliyokuwa nayo mpaka tunafunga mahesabu yetu tumekuwa na ziada ya Bilioni 225, ambapo ziada hii imefanya mambo mengi, vilevile tumefunga mianya ya udanganyifu"…
“Pale chuoni kwetu CBE tulikuwa tunafundishwa mambo ya entrepreneurship kutokana na uhalisia wa chuo chenyewe kinafundisha biash…
"Pale chuoni kwetu CBE tulikuwa tunafundishwa mambo ya entrepreneurship kutokana na uhalisia wa chuo chenyewe kinafundisha biashara, mbali na Kanda yetu ya TEHAMA pia tulikuwa tunafundishwa entrepreneurship ili tujiajiri kwa…
#DAKIKA45: “Mifumo yetu inasomana na watoa huduma, ukienda na namba yako ya NIDA taarifa zako unazipata huna haja ya kwenda na k…
#DAKIKA45: "Mifumo yetu inasomana na watoa huduma, ukienda na namba yako ya NIDA taarifa zako unazipata huna haja ya kwenda na kadi, unakwenda na namba yako tu," Dkt.Irene Isaka -…
Hofu imetanda kwa baadhi ya wakulima nchini kufuatia uhaba wa mvua katika maeneo mbalimbali hali inayotishia kustawi kwa mazao h…
Hofu imetanda kwa baadhi ya wakulima nchini kufuatia uhaba wa mvua katika maeneo mbalimbali hali inayotishia kustawi kwa mazao huku wataamu wa kilimo wakiwashauri wakulima hao kubadilisha mbinu za kilimo.…
Hashmet anajifanya hasikii sauti ya Aziza 😅
Hashmet anajifanya hasikii sauti ya Aziza 😅
Aliyekuwa Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Geofrey Mwambe amepatiwa dhamana katika Kituo Kikuu cha Polisi alipok…
Aliyekuwa Waziri wa Nchi - Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Geofrey Mwambe amepatiwa dhamana katika Kituo Kikuu cha Polisi alipokuwa akishikiliwa. Wakili wake, Hekima Mwasipu ameelezea tuhuma zinazomkabili mteja wake.…
Huyu ndio Baba yake Mussa au kwa jina jingine Shaiza ambaye kwa sasa ameajiriwa kwenye misheni ngumu ya kusaka baadhi ya nyaraka…
Huyu ndio Baba yake Mussa au kwa jina jingine Shaiza ambaye kwa sasa ameajiriwa kwenye misheni ngumu ya kusaka baadhi ya nyaraka na kazi nyingine ya kujilinda asijulikane kwenye mpango…
#MICHEZO: Rais wa Klabu ya Yanga Eng Hersi Said amesema anajivunia kuongoza klabu ya hiyo ambayo ameitaja ndio klabu yenye mafan…
#MICHEZO: Rais wa Klabu ya Yanga Eng Hersi Said amesema anajivunia kuongoza klabu ya hiyo ambayo ameitaja ndio klabu yenye mafanikio zaidi nchini Tanzania! Katika mazungumzo na @hoseamchopa Exclusive akiwa…
🔴DAKIKA 45 NA MKURUGENZI MKUU NHIF, DKT
🔴DAKIKA 45 NA MKURUGENZI MKUU NHIF, DKT. IRENE ISAKA, DESEMBA 15, 2025
#MICHEZO: Mchezaji wa zamani wa Chelsea Roberto Di Matteo ambaye alikuwepo katika Kongamano la FIFA Doha Qatar alionekana kuvuti…
#MICHEZO: Mchezaji wa zamani wa Chelsea Roberto Di Matteo ambaye alikuwepo katika Kongamano la FIFA Doha Qatar alionekana kuvutiwa zaidi na uwasilishaji wa vipengele muhimu kwa mabadiliko thabiti ya klabu…
Katika kusheherekea miaka mitatu tangu ya kufunguliwa kwa mgodi wa Azam TV uliopo Buzuruga jijini Mwanza, mgodi huo umetangaza p…
Katika kusheherekea miaka mitatu tangu ya kufunguliwa kwa mgodi wa Azam TV uliopo Buzuruga jijini Mwanza, mgodi huo umetangaza punguzo la bei kwa visimbuzi vya Azam TV ikiwa ni mpango…
Wakulima kutoka katika kata nne za wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wamepaza sauti kuwalalamikia baadhi ya mawakala wanaouza mbole…
Wakulima kutoka katika kata nne za wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wamepaza sauti kuwalalamikia baadhi ya mawakala wanaouza mbolea za ruzuku kwa kutoza bei kubwa ya mbolea hizo hadi kuwakwamisha…