Ulinzi mkali katika miji mkubwa Tanzania
Polisi wametawanywa kwa kiwango kikubwa katika mitaa iliyo mitupu katika miji mikuu ya Tanzania siku ya Jumanne, kabla ya maandamano yaliyopangwa ambayo serikali imeyatangaza mapema kuwa ni haramu.
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza limeahidi kuendelea kusimamia shughuli za maendeleo na ku…
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza limeahidi kuendelea kusimamia shughuli za maendeleo na kuongeza mapato ya halmashauri hiyo. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri…
#HABARI:Stendi ya Magufuli ilivyo katika siku ya leo ya kuadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Desemba 09, 2025
#HABARI:Stendi ya Magufuli ilivyo katika siku ya leo ya kuadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Desemba 09, 2025.
Tanzania yaadhimisha miaka 64 ya Uhuru huku kukiwa na hofu ya usalama
Tanzania Bara kwa kawaida, kila tarehe 9 Desemba huadhimisha Siku ya Uhuru, na mwaka huu taifa hilo linatimiza miaka 64 tangu lipate uhuru wake.
#HABARI: Mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba hakuna kundi lolote lililojitokeza barabarani kushiriki maandamano yaliyotajwa …
#HABARI: Mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba hakuna kundi lolote lililojitokeza barabarani kushiriki maandamano yaliyotajwa kufanywa leo siku ya Uhuru nchini kote.
Hali ilivyo mitaani leo Siku ya Uhuru
Waandaaji wa maandamano ambao hawafahamiki waliitisha tena maandamano yasiyo na ukomo ya...
Rais Samia Suluhu Hassan leo Disemba 09, 2025, Tanzania ikiadhimisha miaka 64 ya uhuru wa Tanzania Bara ametangaza kuwasamehe wa…
Rais Samia Suluhu Hassan leo Disemba 09, 2025, Tanzania ikiadhimisha miaka 64 ya uhuru wa Tanzania Bara ametangaza kuwasamehe wafungwa 1,036 ambapo 22 kati yao wameachiwa huru na waliobaki 1,014…
#HABARI: Hali ilivyo eneo la Mbezi mchana huu ambapo ulinzi umeimarishwa ardhini na angani helkopta ya JWTZ imeonekana ikiimaris…
#HABARI: Hali ilivyo eneo la Mbezi mchana huu ambapo ulinzi umeimarishwa ardhini na angani helkopta ya JWTZ imeonekana ikiimarisha ulinzi. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma…
Burkina Faso yalaumu ndege ya kijeshi ya Nigeria kutua kwa dharura
Muungano wa nchi za Sahel - ulioundwa na Mali, Niger na Burkina Faso - umeeleza kuwa ndege hiyo ilibeba wanajeshi 11 na haikuruhusiwa kuruka katika anga ya Burkina Faso.
Alonso apewa Man City, Zidane, Klopp watajwa Real Madrid
Kwa mujibu wa ripoti hizo, uamuzi uliotolewa katika kikao hicho ni kwamba Alonso, aliyeanza...
#HABARI: Hali ilivyo barabara ya Morogoro kuelekea Kimara jijini Dar es Salaam
#HABARI: Hali ilivyo barabara ya Morogoro kuelekea Kimara jijini Dar es Salaam.
Wazalishaji wa batiki Dar wapewa mafunzo ya usalama, afya
Washiriki walijifunza mada mbalimbali ikiwemo dhana ya usalama na afya kazini, utambuzi wa...
#HABARI: Hali ilivyo barabara ya Sam Nujoma jijini Dar es Salaam
#HABARI: Hali ilivyo barabara ya Sam Nujoma jijini Dar es Salaam.
Bisura amerudi nyumbani na kutaka Maega awaambie watoto wao kuwa yeye ndio mama yao…Watoto wamemkataa na hawataki kabisa kumsi…
Bisura amerudi nyumbani na kutaka Maega awaambie watoto wao kuwa yeye ndio mama yao...Watoto wamemkataa na hawataki kabisa kumsikia...Kumbuka Bisura pia amelipia kikundi cha kijasusi kitafute zilipo hazina za mume…
Muya: Dhidi ya Yanga tumeshindwa kushikilia bomba
BAADA ya kupoteza pointi tatu dhidi ya Yanga, Kocha mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya amesema kipigo cha Yanga kilichangiwa na wenyewe kushindwa kushikilia bomba, japo ubora wa wachezaji wa…
#HABARI: Hali ilivyo katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam kukionekana kukiwa na utulivu na magari machache barabaran…
#HABARI: Hali ilivyo katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam kukionekana kukiwa na utulivu na magari machache barabarani hususan magari binafsi huku Daladala, Bajaji na Pikipiki zikiadimika.
📶 Gharama ya 1GB Duniani: Nchi Zinazoongoza Kwa Ugali na Urahisi wa Data
📶 Gharama ya 1GB Duniani: Nchi Zinazoongoza Kwa Ugali na Urahisi wa Data Ripoti ya Cable.co.uk ya mwaka 2023 imeonesha tofauti kubwa ya bei ya 1GB ya intaneti duniani. Baadhi…
Prisons yasaka wawili kumaliza uhaba wa mabao
TANZANIA Prisons imesema licha ya matokeo kuwa magumu, lakini inaridhishwa na kiwango bora cha wachezaji na namna wanavyojituma uwanjani, huku benchi la ufundi likianza kusaka nyota wawili wa kuongeza nguvu…
Leo ni siku ya Uhuru wa Tanganyika (#Disemba 9) ambapo Wananchi wametakiwa kubaki majumbani kwao kama hakuna sababu ya kutoka nj…
Leo ni siku ya Uhuru wa Tanganyika (#Disemba 9) ambapo Wananchi wametakiwa kubaki majumbani kwao kama hakuna sababu ya kutoka nje ili kudumisha zaidi amani huku hali ya mitaa mingi…
Mgunda awabana mastaa Namungo
KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema anatambua ugumu wa kuwaachia wachezaji katikati ya mashindano na kuwabana akiwapa programu maalumu ili waitumie wakiwa mapumziko kusudi wakirudi wawe timamu kimwili.
#HABARI: Hari ilivyo katika kuadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Desemba 09, 2025 maeneo ya Salasala barabara ya kuelekea…
#HABARI: Hari ilivyo katika kuadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Desemba 09, 2025 maeneo ya Salasala barabara ya kuelekea Kinzudi.
Soko la Kawe lililopo Manispaa ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam limeendelea kutoa huduma zake kama kawaida ambapo Clouds imesh…
Soko la Kawe lililopo Manispaa ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam limeendelea kutoa huduma zake kama kawaida ambapo Clouds imeshuhudia Wananchi wakiendelea kujipatia mahitaji yao mbalimbali ya nyumbani. #CloudsDigitalupdates
#HABARI: Hali ilivyo eneo la Wazo jijini Dar es Salaam ambapo maduka yamefungwa barabara nyeupe
#HABARI: Hali ilivyo eneo la Wazo jijini Dar es Salaam ambapo maduka yamefungwa barabara nyeupe. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo…
Kadri Osman anavyotanua mbawa zake za utawala ndivyo anakutana na miamba mingine mizito
Kadri Osman anavyotanua mbawa zake za utawala ndivyo anakutana na miamba mingine mizito. Usikose leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Kocha Pamba Jiji akiri mambo ni magumu
KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza amekiri Ligi Kuu Bara msimu huu, presha ni kubwa kwa nafasi iliyopo timu hiyo, huku akitoa mapumziko kwa mastaa hadi Januari 3, mwakani.
Israel yalaaniwa vikali kwa kuvamia ofisi za UNRWA Quds Mashariki
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, limesema kwamba polisi wa Israel walivamia makao yake makuu katika Quds (Jerusalem) Mashariki mapema Jumatatu, hatua ambayo limeitaja kuwa “changamoto…
HALI ILIVYO KATIKA BAADHI YA MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM
HALI ILIVYO KATIKA BAADHI YA MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM..
Iran yalalamikia FIFA kuhusu nara ya mechi yake na Misri katika Kombe la Dunia
Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limewasilisha malalamiko rasmi kwa Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, dhidi ya hatua isiyo ya kimichezo ya kamati ya maandalizi ya Kombe…
Mwanaharakati: Nchi za Afrika ziige mfano wa Kenya wa kuchunguza jinai za jeshi la Uingereza
Uchunguzi wa bunge la Kenya kuhusu makosa na ukiukaji uliofanywa na Kikosi cha Mafunzo cha Jeshi la Uingereza nchini Kenya (BATUK) umeibua wito wa muda mrefu wa kuhoji mienendo ya…
Rais wa DRC aituhumu Rwanda kwa kukiuka makubaliano ya ‘amani’ yaliyofikiwa Marekani
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi, ameituhumu Rwanda kwa kukiuka makubaliano ya amani yaliyosimamiwa na Marekani na kutiwa saini wiki iliyopita mjini Washington DC.
Mlipuko wa kipindupindu DRC umeua watu 1,888, wakiwemo watoto 340
Mlipuko wa kipindupindu mwaka huu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeleta madhara makubwa, ukiwa na jumla ya wagonjwa 64,427 tangu mwanzo wa mwaka huu 2025, na kusababisha vifo…
Lady Boss ana wakati mgumu kwa sasa
Lady Boss ana wakati mgumu kwa sasa. Usipange kukosa uhondo wa Mines of Passion leo saa 3;00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
Kila kitu kina gharama zake kwenye maisha
Kila kitu kina gharama zake kwenye maisha. Ndivyo ilivyo kwa ‘Single Mama’ SARAH kupitia tamthilia ya ‘THE PRICE,’ utakayoanza kuitazama kuanzia Desemba 10, 2025 kupitia #AzamTWO makao makuu ya burudani…
Rais Samia awasamehe wafungwa 1,036, wengine waachiwa huru
Idadi ya wafungwa walioachiwa huru leo, Desemba 9, 2025 inafanana na ile ya waliochiwa katika...
“Wapo wananchi ambao bado wanahofu na wapo ambao nimeona wameenda sokoni wananunua vitu vya muda mrefu kwamba labda kutakuwa na …
"Wapo wananchi ambao bado wanahofu na wapo ambao nimeona wameenda sokoni wananunua vitu vya muda mrefu kwamba labda kutakuwa na 'lockdown' sisi kama kamati ya amani katika mkoa wetu tunaamini…
Ni siku nyingine huko Mystery Bay, Stella anarudishwa na kujikuta akiwa na maiti na watoto wake hawajulikani walipo; mji haujapo…
Ni siku nyingine huko Mystery Bay, Stella anarudishwa na kujikuta akiwa na maiti na watoto wake hawajulikani walipo; mji haujapoa. Usikose kutazama BAY OF FIRES leo saa 4:00 usiku ndani…
Hivi Camila ana hamu hata ya kujua kinachoendelea kupotea kwa mume wake?
Hivi Camila ana hamu hata ya kujua kinachoendelea kupotea kwa mume wake? Mama Juana amlalamikia mwanaye kisa kuwa na uhusiano wa karibu na Gaby. Juana inaendelea kutema burudani na leo.…
#HABARI: Hii ndiyo hali halisi katika maeneo ya Mwenge Stendi jijini Dar es Salaam asubuhi ya leo, Desemba 9, 2025
#HABARI: Hii ndiyo hali halisi katika maeneo ya Mwenge Stendi jijini Dar es Salaam asubuhi ya leo, Desemba 9, 2025. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma…
Kicheko bei ya petroli, dizeli zashuka Zanzibar
Amesema, lita moja ya mafuta ya ndege itauzwa kwa Sh2,376 kutoka Sh2,405 sawa na punguzo la Sh29.
Safari ya jasho, machozi na damu kuutafuta Uhuru wa Tanganyika
Katika karne ya 19, ardhi ya Tanganyika ilijumuisha jamii na makabila mbalimbali, wakiishi...
Benin: Baada ya mapinduzi yaliyoshindwa, Patrice Talon akutana na baraza la mawaziri
Kufuatia jaribio la mapinduzi lililoshindwa nchini Benin, mkutano usio kuwa wa kawaida wa baraza la mawaziri umefanyika siku ya Jumatatu, Desemba 8, katika ikulu ya rais, ukiongozwa na Rais Patrice…
Bisura ameleta mpasuko nyumbani kwa mzee Maega…Watoto wameanza kukwaruzana…Shakei anampanga Sheiza nani wa kumsikiliza kweny…
Bisura ameleta mpasuko nyumbani kwa mzee Maega...Watoto wameanza kukwaruzana...Shakei anampanga Sheiza nani wa kumsikiliza kwenye jumba la mzee Maega. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
KANISA LA UFUFUO NA UZIMA ‘KITANZINI’!
KANISA LA UFUFUO NA UZIMA 'KITANZINI'! Hili ni jengo la Kanisa la Ufufuo na Uzima pale Kibaha. Hasi sasa utepe bado upo na Kanisa hilo halijafunguliwa ingawa Waziri Mkuu Dkt.…
Tafakuri ya fursa na changamoto kwa Watanzania
Uhai wa Tanganyika (sasa Tanzania) kama Taifa huru, umetimiza miaka 64, umri ambao ndani yake...
Senegal: Waziri Mkuu Ousmane Sonko amedhihirisha malengo yake katika uchaguzi wa rais wa 2029
Kwa mara ya pili tangu PASTEF iingie madarakani mwezi Machi 2024, mkuu wa serikali ya Senegal ameonyesha nia yake katika uchaguzi ujao wa urais. “Hakuna kinachoweza kunizuia kuwa mgombea!” alitangaza…
Happy #IndependecyDay #2025 #Tanzania
Happy #IndependecyDay #2025 #Tanzania @officialbakhresagroup