Wasanii kikapu ni mchezo wao
NI swali ambalo baadhi ya watu wamekuwa wakijuliza sababu zinazowafanya wasanii wa muziki, waigizaji na wanamitindo kupenda mchezo wa kikapu.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Saidi Mohamed Mtanda amesema video inayosambaa mitandaoni leo tarehe 09 Desemba 2025 ambayo inaonesha ku…
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Saidi Mohamed Mtanda amesema video inayosambaa mitandaoni leo tarehe 09 Desemba 2025 ambayo inaonesha kundi la Wananchi wakitoa maoni yanayosikika yakisema....... “Ndugu zetu wametekwa sana,…
Hili hapa jeshi la Gamondi AFCON 20205, mastaa kibao wakifyekwa
Desemba 23, 2025, Taifa Stars itafungua na Nigeria kisha Desemba 27, 2025 itacheza na Uganda
Pacome, Doumbia wapewa siku saba Jangwani
HADI sasa kuna timu mbili tu zimesalia hazijapoteza mechi hata moja katika Ligi Kuu Bara ambazo ni Azam na Yanga, lakini kocha wa watetezi wa Ligi hiyi, Yanga kuna maagizo…
Mpango wa Trump wa amani kuingia awamu ya pili
Awamu ya kwanza ya makubaliano ya usitishaji vita kati ya Hamas na Israel iliyosimamiwa na Marekani ipo karibu kufikia ukingoni, baada ya miezi miwili ya utekelezaji iliyogubikwa na ukiukaji na…
USALAMA WA ANGA UNAIMARISHWA
USALAMA WA ANGA UNAIMARISHWA.. NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza kikengere ili kupata notification pindi habari zinapopostiwa ::: #standupcomedy #tanzaniatalent…
Caren Simba amefunguka kuwa hajawahi kudate na mchezaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kama ilivyokuwa inasambaa mitandaoni, pili alik…
Caren Simba amefunguka kuwa hajawahi kudate na mchezaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kama ilivyokuwa inasambaa mitandaoni, pili alikuwa ni shemeji yake kupitia kwa rafiki yake (Vanesa aliyezaa na Aziz Ki)…
TANAPA wins accolades for its quality tourism management.
DUBAI: THE Tanzania National Parks Authority (TANAPA) is among the leading centres of excellence in the provision of tourism services in Tanzania. This was stated today, 9th December 2025, by…
#HABARI: Kutokana na kukosekana kwa maji safi na salama baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach Africana wameendelea kutafuta maji ili m…
#HABARI: Kutokana na kukosekana kwa maji safi na salama baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach Africana wameendelea kutafuta maji ili maisha yaendelee kama kawaida bila kujali vikwazo wanavyovipata huku maji…
A journey of massive social, economic progress
DAR ES SALAAM: AS Tanzania commemorate the 64th anniversary of our independence, this nation has a unique opportunity to reflect on the significant progress achieved over the past six years…
#HABARI: Watu watatu wamenusurika kifo eneo la Mtaa Mafiati jijini Mbeya baada ya magari mawili kugongana, gari la kwanza ni ga…
#HABARI: Watu watatu wamenusurika kifo eneo la Mtaa Mafiati jijini Mbeya baada ya magari mawili kugongana, gari la kwanza ni gari mali ya Shirika la Umeme nchini (TANESCO-EMERGENCY) na gari…
Wanawake 22 wapandikizwa mimba Muhimbili
Dar es Salaam. Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imesema jumla ya wanawake 22 wapo katika...
Ripoti: Serikali ni kikwazo cha vita dhidi ya ufisadi Kenya
Ripoti mpya kuhusu ufisadi Kenya inaonyesha serikali ndiyo kikwazo kikubwa zaidi katika vita dhidi ya rushwa, huku wizara nyingi, idara za serikali, mashirika na serikali za kaunti zitajwa kuongoza kwa…
#HABARI: Hali ya utulivu inaendelea kuonekana katika eneo la stendi ya mabasi ya Hanang iliyopo Wilayani Hanang mkoani Manyara …
#HABARI: Hali ya utulivu inaendelea kuonekana katika eneo la stendi ya mabasi ya Hanang iliyopo Wilayani Hanang mkoani Manyara ambapo shughuli za usafirishaji zinaendelea huku kukiwa na idadi ndogo ya…
Historic launch strengthens media freedom, public trust
DAR ES SALAAM: AS Tanzania marks 64 years of independence, the launch of the Journalists’ Accreditation Board (JAB) stands out as a key milestone in the country’s growing and evolving…
Polisi wa Kenya wafika Haiti katika hatua ya kwanza tangu UN ipanue majukumu ya operesheni
Kikosi kipya cha polisi 230 wa Kenya kimewasili Haiti siku ya Jumatatu, polisi nchini Haiti wamesema, hatua inayoashiria kuwasili kwa maafisa wa kigeni kwa mara ya kwanza tangu Baraza la…
64 years on, govt eyes stronger health for all
DAR ES SALAAM: AS Tanzania marks 64 years of independence, the health sector continues to undergo significant transformations, including the launch of a pilot programme for Universal Health Insurance (UHI).…
Msimamo wa Halima Mdee unabaki kuwa ule ule ambao ni kuwa kuliko kufanya siasa nje ya Chadema ni bora aache kabisa siasa
Msimamo wa Halima Mdee unabaki kuwa ule ule ambao ni kuwa kuliko kufanya siasa nje ya Chadema ni bora aache kabisa siasa Halima bado anaamini kuwa atarejea Chadema na kuendeleza…
Why 4Rs matter yesterday, today and tomorrow
DODOMA: TANZANIA marks 64 years of independence today with much to celebrate, thanks to the solid foundation laid by the Father of the Nation, Mwalimu Julius Nyerere and further strengthened…
How Kiswahili language contributes to diplomatic ties
DAR ES SALAAM: AS Tanzania marks 64 years of Independence, Kiswahili is emerging not just as a national treasure but a sweeping force reshaping diplomatic and cultural ties across Africa…
Hatua mpya katika uhusiano wa Iran na Kenya; kianzio katika diplomasia ya Kiafrika ya Tehran?
Balozi wa Iran nchini Kenya amesema kuwa uhusiano kati ya Tehran na Nairobi umeingia katika hatua mpya.
Celebrating 64th Independence Anniversary
DAR ES SALAAM: ON a warm December night in 1961, Tanganyika entered history as a new nation. Thousands gathered in Dar es Salaam as the Union Jack was lowered and…
Dr Samia grants clemency to 1,036 prisoners on the National Day
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has today, December 9, 2025, granted clemency to 1,036 prisoners as part of the celebrations to mark 64 years of Independence. Among them,…
Abiria 40 wanusurika, basi likiteketea kwa moto Morogoro
Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya mfumo wa umeme wa gari...
Ni muhimu kila mtu kutambuaa kwamba Haki za Binadamu ni msingi wa kila siku: Magango
Tarehe 10 Desemva wiki hii, Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa OHHR itaungana na dunia kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Haki za binadamu ikikumbuka kupitishwa kwa azimio…
Umoja wa Mataifa wasaka dola bilioni 1 kwa ajili ya mfuko wake wa dharura, CERF
Umoja wa Mataifa umewakutanisha wafadhili Desemba 9 kuchangia mfuko wake wa dharura, ambao hutoa msaada wa haraka kwa mamilioni ya watu kote duniani pindi kunapotokea migogoro au majanga yanayohusiana na…
Baraza la Usalama: Watu wa Ukraine wanaochohitaji si huruma tu bali hatua madhubuti
Mwaka 2025 ni Miongoni mwa miaka iliyokuwa na vifo vingi kwa Ukraine, amesema alisema leo Kayoko Gotoh, Mkurugenzi wa masuala ya Ulaya na Asia ya Kati na Kaimu Mkuu wa…
Wanawake 7 kati ya 10 wanakumbana na ukatili mtandaoni: UN
Utafiti uliofanywa na Tume ya Ulaya kwakushirikiana na shirika la Umoja wa Mataifa linalaoshughulikia masuala ya wanawake UN Women umebaini kuwa wanawake saba kati ya kumi wakiwemo watetezi wa haki…
Watoto wachanga wa Gaza wanaogopa vita kabla ya kupumua mara ya kwanza kwa utapiamlo: UN
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF leo limeonya kwamba akina mama waliolazimishwa kukosa chakula huko Gaza sasa wanajifungua watoto wachanga wenye uzito mdogo kupita kiasi au wanaozaliwa…
Kamati ya UN yaionya kusambaa kwa kauli za chuki na mashambulizi ya kikabila Sudan
Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi CERD, leo imetoa onyo kali kwa Sudan, ikieleza wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la matumizi ya lugha ya kudhalilisha, kauli za…
Tanzania yang’aa tena CECAFA, ikitwaa ubingwa ASFC
Dar es Salaam. Timu ya Wanawake ya Tanzania chini ya umri wa miaka 15, imetwaa ubingwa wa...
#HABARi: Jeshi la Polisi limetoa taarifa kuwa, hadi muda huu wa mchana Desemba 9, 2025 hali ya usalama wa nchi ni shwari
#HABARi: Jeshi la Polisi limetoa taarifa kuwa, hadi muda huu wa mchana Desemba 9, 2025 hali ya usalama wa nchi ni shwari. Vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuimarisha usalama…
Mshtakiwa wa dawa za kulevya alivyotoroka Bandari ya Dar
Washtakiwa wanadaiwa walikuwa wakisafirisha dawa hizo kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar kwa...
Kongamano la Kiswahili kuwavuta watafiti na wahadhiri wa kimataifa
Unguja. Kongamano la tisa la Kiswahili la kimataifa linatarajiwa kuwakutanisha wahadhiri na...
ICC imemhukumu kiongozi wa Janjaweed wa Darfur kifungo cha miaka 20 jela
Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) leo Jumanne wamemhukumu kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed katika jimbo la Darfur Sudan kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na…
Barabara ya Hariri ya Kusini: Iran, Uturuki zarekebisha biashara ya Eurasia
Mwishoni mwa mwezi uliopita, wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan alipofanya ziara mjini Tehran, Iran na Uturuki zilitangaza makubaliano ya kuanza ujenzi wa njia mpya ya…
Kikosi kipya cha polisi wa Kenya chawasili Haiti kukabiliana na magenge ya uhalifu
Hiki ni kikosi cha tano cha polisi wa Kenya kufika huko Haiti kisiwa kilichokumbwa na ghasia tangu kuanza kuhudumu kwa misheni ya polisi inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa. Kenya…
Nchi za eneo la Sahel zatishia kusimamisha ndege za Nigeria iwapo anga ya nchi hizo itakiukwa
Shirikisho la Nchi za Sahel barani Afrika linalojumuisha Mali, Niger na Burkina Faso (AES) limetangaza kuwa litazizuia ndege zote zinazokiuka anga yashirikisho hilo kufuatia ripoti za ukiukaji wa sheria uliofanywa…
Heri ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa, Mtayarishaji wa kipindi cha #Clouds360, @marcel__kitabu
Heri ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa, Mtayarishaji wa kipindi cha #Clouds360, @marcel__kitabu. #CMG inakutakia mafanikio na baraka maishani mwako, endelea kusababisha #Clouds26Nyoosha
Zelensky alemewa na mashinikizo ya Marekani ili kukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita vya Ukraine
Serikali ya Marekani imezidisha mashinikizo kwa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ili kukubali kuachia sehemu kubwa ya ardhi ya nchi hiyo na makubaliano mengine yaliyoainishwa katika mpango wa amani wa…
Taarifa ya polisi:HALI YA USALAMA NI SHWARI
Taarifa ya polisi:HALI YA USALAMA NI SHWARI
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mohamed Mtanda, ametolea ufafanuzi video clip inayotaja kutokea Mwanza inayoonyesha wananchi wameandamana na wanasikilizwa na Wanajeshi. Mtanda akizungumza na vyombo vya habari amewashukuru…
#HABARI: Baadhi ya Wananchi katika soko la kuku, Shekilango jijini Dar es salaam wametoa maoni yao kwenye siku ya leo ya Desem…
#HABARI: Baadhi ya Wananchi katika soko la kuku, Shekilango jijini Dar es salaam wametoa maoni yao kwenye siku ya leo ya Desemba 09 ambapo wameweka utofauti wa siku ya leo…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafanya uchunguzi wa tukio la ajali ya gari kuwaka moto na kuteketea
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafanya uchunguzi wa tukio la ajali ya gari kuwaka moto na kuteketea. Tukio hilo limetokea Decemba 9, 2025 asubuhi eneo la Maseyu kona…
#HABARI: ITV imefanya mahojiano na baadhi ya wafanyabiashara katika soko la mabibo kwenye siku ya leo desemba 9 na kupata baadhi…
#HABARI: ITV imefanya mahojiano na baadhi ya wafanyabiashara katika soko la mabibo kwenye siku ya leo desemba 9 na kupata baadhi ya maoni ya wananchi