Burundi inalaani mashambulizi ya Rwanda katika ardhi yake na ‘tabia yake ya uhasama’
Burundi imelaani “tabia ya kivita” ya Rwanda siku ya Jumatatu, Desemba 8, ikiishutumu nchi hiyo kwa “kurusha mabomu” katika ardhi yake, na kuwajeruhi watu wawili. Imechapishwa: 09/12/2025 – 06:28Imehaririwa: 09/12/2025…
Uongozi na wafanyakazi wa Azam Media Limited unawatakia Watanzania wote heri ya maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bar…
Uongozi na wafanyakazi wa Azam Media Limited unawatakia Watanzania wote heri ya maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara. #HappyIndependeceDay
Wachimba migodi DRC wahimiza mazungumzo ya haraka ili kuondoa mlundikano wa mauzo ya nje ya Kobalt
Chama cha wachimba madini cha DRC kimeitisha mazungumzo ya dharura na serikali ili kuainisha sheria mpya za usafirishaji wa kobalt, na kusema kwamba utata wa kisheria na vikwazo vya kutii…
Zelensky akutana na washirika wa Ulaya London kujadili mpango wa amani wa Marekani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky almekutana na viongozi wa Uingereza, Ufaransa, na Ujerumani jijini London Jumatatu, wakionyesha uungaji mkono wa Ulaya kwa Ukraine katika kile walichokielezea kama wakati “muhimu” katika…
Kikosi kipya cha maafisa wa polisi 230 kutoka Kenya kimewasili nchini Haiti
Kenya imetuma kikosi kipya cha maafisa wa polisi 230 nchini Haiti siku ya Jumatatu ili kuimarisha ujumbe wa kimataifa ambao tayari umeombwa na mataifa mengi kusiriki, na ambao umeshindwa kudhibiti…
Somalia inatoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa Sudan walioathiriwa na vita
Miongo kadhaa baada ya maelfu ya wanafunzi wa Kisomali kupata hifadhi na elimu mjini Khartoum huku taifa lao likikabiliwa na changamoto za kijamii na kisiasa, Somalia imefungua milango yake kwa…
Netanyahu kukutana na Trump kuhusu Gaza mnamo Desemba 29
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atakutana na Rais wa Marekani Donald Trump mnamo Desemba 29 kujadili hatua zinazofuata za kusitisha mapigano Gaza, msemaji wa serikali ya Israel amesema siku…
Uturuki na Hungary watia saini mikataba ya usalama, mila kuimarisha ushirikiano wa kimkakati
Rais wa Uturuki Erdogan asema kuwa Ankara na Budapest wanakaribia kufikia kiwango cha biashara cha dola bilioni 6 katika mkutano wa pamoja wa wanahabari mjini Istanbul.
Tanzania imepiga marufu maandamano yoyote ya Desemba 9
Serikali ya Tanzania imewaonya raia wake kutothobutu kuingia mitaani, ikisema maandamano yoyote ya Desemba 9 ni kinyume na sheria na yatachukuliwa kama jaribio la mapinduzi. Imechapishwa: 09/12/2025 – 05:20 Dakika…
SUDAN IMEINGIA MKATABA NA RUSSIA WA MIAKA 25 UNAO RUHUSU RUSSIA KUJENGA BASE YA KIJESHI AMBAYO ITAKUWA NA WANAJESHI 300
SUDAN IMEINGIA MKATABA NA RUSSIA WA MIAKA 25 UNAO RUHUSU RUSSIA KUJENGA BASE YA KIJESHI AMBAYO ITAKUWA NA WANAJESHI 300. HII NDIO ITAKUWA BASE YA KWANZA YA RUSSIA BARANI AFRIKA.
Wanajeshi kadhaa waliuawa wakati wa kukabiliana na jaribio la mapinduzi, serikali ya Benin inasema
Watu kadhaa walifariki nchini Benin wakati wa jaribio la mapinduzi lililozuiwa mwishoni mwa juma, serikali ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi ilitangaza Jumatatu baada ya mkutano wa dharura wa baraza…
🔴#MAGAZETI: RAIS: BAKI NYUMBANI KAMA HUNA DHARURA -DESEMBA 09- 2025
🔴#MAGAZETI: RAIS: BAKI NYUMBANI KAMA HUNA DHARURA -DESEMBA 09- 2025
Mwanadiplomasia: Iran iliitia Israel hasara ‘kubwa na iliyoenea’ wakati wa Vita vya Siku 12
Mwanadiplomasia mwandamizi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iliusababishia utawala wa kizayuni wa Israel uharibifu 'mkubwa na ulioenea' wakati wa uvamizi wake uliofanya mwezi Juni dhidi ya Iran kwa uungaji…
Kuanzisha kituo maalum cha kusaidia vijana kuanzisha miradi ya uwekezaji Je
Kuanzisha kituo maalum cha kusaidia vijana kuanzisha miradi ya uwekezaji Je. kutaongeza motisha kwa vijana kuwa wabunifu zaidi?
Zelensky: Hatuwezi kamwe kuiachia Urusi ardhi yetu
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Ukraine haina haki ya kisheria au kimaadili ya kuikabidhi ardhi yake kwa Urusi chini ya makubaliano yoyote yenye lengo la kukomesha uvamizi wa karibu…
M23 yakaribia Uvira, wanajeshi wa Kongo wakimbilia Burundi
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wanaendelea kusonga mbele katika uwanja wa mapambano huko mashariki mwa Kongo na kukaribia kuchukua udhibiti wa mji wa Uvira unaopakana na nchi jirani…
Zelensky akutana na washirika wake wa Ulaya mjini London
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amefanya Jumatatu mazungumzo na washirika wake wa Ulaya mjini London na kujadili namna ya kuboresha mpango wa amani uliopendekezwa na Marekani unaolenga kumaliza vita vya…
Tanzania yapiga marufuku maandamano ya Desemba 9
Serikali ya Tanzania imeonya kwamba maandamano yaliyopangwa kufanyika Jumanne ni kinyume cha sheria na yatachukuliwa kama jaribio la mapinduzi, huku ikiwataka wananchi kusalia majumbani mwao.
Netanyahu kukutana na Trump Desemba 29 kuhusu Gaza
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atafanya mazungumzo na Rais wa Marekani Donald Trump mnamo Desemba 29 ili kujadili hatua zinazofuata katika mpango wa amani kuhusu Gaza unaosimamiwa na Marekani.
Kikosi kipya cha Kenya chenye Polisi 230 chawasili Haiti
Polisi 230 wa Kenya wamewasili Haiti Jumatatu jioni, kikiwa ni kikosi cha kwanza cha kigeni tangu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipoidhinisha kutanua kikosi kilichopo na kinachopambana na…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…DESEMBA 09, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 09, 2025
Idadi ya waliokufa kutokana na hujuma ya RSF Kusini mwa Kordofan, Sudan, yafikia 114
Mamlaka za Sudan katika jimbo la Kordofan Kusini zimethibitisha maafa makubwa: shambulio la ndege isiyo na rubani la waasi wa RSF lililotokea Alhamisi, Desemba 4, hadi sasa limeua watu 114…
Ripoti: Wapalestina wasiopungua 110 wamefariki katika magereza ya Israel tangu Ben-Gvir achukue wadhifa
Ripoti mpya imebainisha kuwa angalau Wapalestina 110 wamepoteza maisha ndani ya magereza ya utawala haramu wa Israel tangu Itamar Ben-Gvir, kinara mwenye misimamo mikali wa chama cha 'Nguvu ya Mayahudi'…
Tinubu: Jeshi la Nigeria ‘lililinda’ Benin kufuatia jaribio la mapinduzi
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, amesema vikosi vya ulinzi vya nchi yake vilisaidia kulinda taifa jirani la Benin baada ya jaribio la mapinduzi ya kijeshi Jumapili.
Ukosefu mkubwa maji unazidi kusambaa kusini mwa Somalia
Vyanzo muhimu vya maji kusini mwa Somalia vinakauka kwa kasi huku ukame ukiongezeka, na kusababisha uhaba mkubwa kwa mamia ya maelfu ya watu.
Jumanne, tarehe 9 Disemba, 2025
Jumanne tarehe 18 Jamadithani 1447 Hijria sawa na Disemba 9 mwaka 2025.
Ni kwa kiwango gani hatua ya Israel ya kutumia watu wenye ushawishi inaweza kubadilisha simulizi ya kimataifa
Kufuatia kuchukizwa sana kwa walimwengu na utawala wa Kizayuni, hasa baada ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo huko Palestina, baraza la mawaziri la utawala huo limetenga bajeti ya…
09.12.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Umoja wa Mataifa unasema watu 200,000 wamekimbia makwao mashariki mwa Congo katika siku za hivi karibuni, wakati waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda…
09.12.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nchini Tanzania katika maeneo mbali mbali ya taifa hilo hali inaripotiwa kuwa kimya / Waziri wa mambo ya kigeni wa Burundi amesema nchi yake haitoendelea…
09.12.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amefanya mazungumzo na washirika wake wa Ulaya mjini London / Sudan inaingia katika hatua hatari zaidi ya vita vyake vya…
09.12.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Waasi wa M23 waukaribia mji wa Uvira huku wanajeshi wa Kongo wakikimbilia Burundi. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akutana na washirika wake wa Ulaya mjini London. Tanzania yapiga marufuku maandamano…
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAWASILIANO YA RAISI, IKULU Dodoma 08 Desemba, 2025 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (KWA KUTOLEWA MARA MOJA) TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino kujadili ushirikiano wa pande mbili na…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 08 DESEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 08 DESEMBA 2025
Erdogan apongeza hatua iliyopigwa na Syria baada ya Assad, aahidi kuisaidia kujenga umoja wa kitaifa
Rais Erdogan wa Uturuki ameonesha utayari wa nchi yake kuilinda Syria.
Photos from East Africa TV plus+’s post
KUTOKA MITANDAONI Taarifa kwa wanaojua kingereza watutafsirie...
Viongozi wa Kata ya Chanika,wilaya ya Handeni mkoani Tanga wakiongozwa na Diwani wa Kata hiyo, Habibu Mbota, wameunda rasmi Kama…
Viongozi wa Kata ya Chanika,wilaya ya Handeni mkoani Tanga wakiongozwa na Diwani wa Kata hiyo, Habibu Mbota, wameunda rasmi Kamati ya Amani ngazi ya kata na mitaa, lengo likiwa ni…
Serikali ya Tanzania na Marekani zimefikia hatua ya mwisho ya majadiliano, ili kutia saini na kuanza rasmi utekelezaji wa Mradi …
Serikali ya Tanzania na Marekani zimefikia hatua ya mwisho ya majadiliano, ili kutia saini na kuanza rasmi utekelezaji wa Mradi wa Gesi Asilia ya Kimiminika (LNG) wenye thamani ya Dola…
Wataalamu kutoka Taasisi ya Udhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) wamewashauuri wakulima nchini kununua mbegu zilizofanyiwa u…
Wataalamu kutoka Taasisi ya Udhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) wamewashauuri wakulima nchini kununua mbegu zilizofanyiwa utafiti na kuhakikiwa ili kuepuka kupata hasara kwenye mavuno yao. Joyce Mwakalinga amewashuhudia wataalamu…
Uganda: Jeshi la Polisi kuchunguza madai ya askari wake kuwachapa fimbo wapinzani
Mara kwa mara, chama cha upinzani cha Bobi Wine kijulikanacho kama National Unity Platform, kimeituhumu serikali ya Museveni kwa kuhusika na utekaji na utesaji wa wanachama wake.
Ni kwa namna gani unaweza kujifunza kuwa mvumilivu?
Ni kwa namna gani unaweza kujifunza kuwa mvumilivu? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow
“Kwenye hili suala la mwisho wa mwaka, kila mwaka huwa lipo, mahitaji makubwa ya usafiri…inapotokea dharura kama hii ya wasafi…
"Kwenye hili suala la mwisho wa mwaka, kila mwaka huwa lipo, mahitaji makubwa ya usafiri...inapotokea dharura kama hii ya wasafiri kuwa wengi... tunatoa vibali vya muda watu wanaomba wenye magari…
“Katika Mafanikio Yangu Alikiba Anahusika Asilimia 60”-Amesema Niffer
"Katika Mafanikio Yangu Alikiba Anahusika Asilimia 60"-Amesema Niffer.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametembelea kambi maalumu iliyoandaliwa na Ubalozi wa India nchini kwa lengo la ku…
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametembelea kambi maalumu iliyoandaliwa na Ubalozi wa India nchini kwa lengo la kutoa viungo mbadala kwa wahitaji 600. Viungo hivyo vitakayogharimu Dola…
Mussa amewasili Lushoto na kupokelewa na mwenyeji wake Baba Hamida, huku amepewa utambulisho mpya kama Sheiza pasina kujua kuwa …
Mussa amewasili Lushoto na kupokelewa na mwenyeji wake Baba Hamida, huku amepewa utambulisho mpya kama Sheiza pasina kujua kuwa ni jasusi aliyekuja kumpeleleza Mzee Maega ambaye anadhani ni msaidizi wa…
Rais wa DRC Felix Tshisekedi aituhumu Rwanda kwa kukiuka makubaliano ya amani
Disemba 4, 2025, wawili hao walitia saini mkataba wa ‘kihistoria’ mbele ya Rais Donald Trump wa Marekani.
🔴DAKIKA 45 NAMKURUGENZI MKUU LATRA, CPA DKT
🔴DAKIKA 45 NAMKURUGENZI MKUU LATRA, CPA DKT. HABIBU SULUO, DESEMBA 08, 2025