Siku ni leo
Siku ni leo. Karibu sana mjengoni @pichayanguseries 🔥😍 Jumatatu - Alhamisi saa 1:30 Usiku chaneli namba 106 #SinemaZetuHD
Benin: ‘Hali imedhibitiwa,’ anasema Rais Talon baada ya jaribio la mapinduzi
Nchini Benin, kufuatia tangazo la jeshi kwamba “ameondolewa madarakani,” Rais Patrice Talon amehutubia taifa Jumapili, Desemba 7, 2025, kwenye televisheni ya kitaifa. Amesema kwamba Imechapishwa: 08/12/2025 – 05:11Imehaririwa: 08/12/2025 –…
Serikali ya Nigeria yahakikisha kuachiliwa kwa watoto 100 wa shule waliotekwa nyara
Serikali ya Nigeria imefanikisha kuachiliwa kwa watoto 100 wa shule ambao walitekwa nyara mwezi uliopita katika jimbo la Niger, kituo cha utangazaji cha Channels Televisheni kiliripoti Jumapili.
Wakazi Dar na kilio cha ulinzi shirikishi
Wakati Serikali za mitaa zikisisitiza ushiriki wa wananchi katika kulinda makazi yao, baadhi ya...
🔴KUMEKUCHA: MITA JANJA ZA TANESCO…DESEMBA 08, 2025
🔴KUMEKUCHA: MITA JANJA ZA TANESCO...DESEMBA 08, 2025
Mapigano makali yaendelea kushuhudiwa huko Uvira
Mapigano makali yameendelea kushuhudiwa huko Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wanakabiliana na jeshi la Kongo linaloungwa mkono na wanajeshi…
Viongozi wa nchi tatu za Ulaya kukutana na Zelensky
Viongozi wa nchi tatu za Ulaya wanakutana Jumatatu mjini London na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ili kuujadili mpango wa amani uliopendekezwa na Marekani.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani ziarani China
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul amewasili China Jumatatu kwa ziara yake ya kwanza nchini humo.
Benin yawakamata watu 14 kwa jaribio la mapinduzi
Watu 14 wamekamatwa kuhusiana na jaribio la mapinduzi lililofeli nchini Benin siku ya Jumapili, msemaji wa serikali ya taifa hilo la Afrika Magharibi aliambia Reuters.
#KIPIMAJOTO: Visima vya DAWASA kutatua Kero ya upatikanaji wa maji katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani nyakati za kiangazi
#KIPIMAJOTO: Visima vya DAWASA kutatua Kero ya upatikanaji wa maji katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani nyakati za kiangazi. Je, iwezeshwe Kifedha ivichimbe vingi zaidi ili Kero hiyo…
Nigeria yawezesha kuachiwa huru wanafunzi 100 waliotekwa
Serikali ya Nigeria imewezesha mpango wa kuachiliwa huru kwa wanafunzi 100 waliotekwa nyara na watu wenye silaha katika shule ya Kikatoliki mwezi uliopita.
Iran: Mkakati mpya wa Usalama wa Taifa wa Marekani unaandikwa hasa kwa ajili ya Israel
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mkakati mpya wa Usalama wa Taifa wa Marekani (NSS) unaobainisha misingi na vipaumbele vya Washington katika…
AU, ECOWAS zalaani jaribio la mapinduzi Benin; zasema zinaiunga mkono serikali
Umoja wa Afrika (AU) na Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) zimelaani jaribio la mapinduzi nchini Benin siku ya Jumapili, na kueleza kuwa zinaiunga mkono serikali katika…
Mamlaka ya Benin yazima jaribio la mapinduzi ya kijeshi
Mamlaka ya Benin imetangaza Jumapili kuzima jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililolenga kumuondoa madarakani Rais Patrice Talon. Umoja wa Afrika umelaani jaribio hilo huku Jumuiya ya ECOWAS ikituma msaada wa…
AU yalaani shambulio la RSF lililoua zaidi ya raia 100 katika mji wa Kalogi, kusini mwa Sudan
Umoja wa Afrika, AU umelaani vikali mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yaliyofanywa na Vikosi vya Usaidizi wa Haraka, RSF yaliyoua makumi ya watu wakiwemo watoto katika mji wa Kalogi…
HAMAS: Tuko tayari kukabidhi silaha kwa utawala wa Wapalestina ikiwa Israel itaondoka kikamilifu Ghaza
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, iko tayari kukabidhi silaha zake katika Ukanda wa Ghaza kwa mamlaka ya utawala ya Wapalestina itakayosimamia uendeshaji wa eneo hilo, kwa…
Qatar yakanusha kuisaidia kifedha HAMAS, yasema mawasiliano yao yalianza miaka 13 nyuma
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema mawasiliano baina ya Doha na harakati ya Hamas yalianza miaka 10 hadi 13 iliyopita kwa lengo la kurahisisha juhudi za kusitisha mapigano…
Kwa nini Wamarekani wengi wanapinga hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran?
Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya raia wa Marekani wanapinga mashambulizi ya kijeshi yaliyofanywa na serikali ya Rais Donald Trump dhidi ya Iran.
Jumatatu, 08 Disemba, 2025
Leo ni Jumatatu, 17 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria sawa na 08 Disemba, 2025.
08.12.2025 Matangazo ya Mchana
Syria yaadhimisha mwaka mmoja tangu Assad kuondolewa madarakani+++Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anatarajiwa leo kukutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini London kujadili kuhusu mpango wa amani kwa…
08.12.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mamlaka ya Benin yatangaza kuzima jaribio la mapinduzi ya kijeshi. Viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa kukutana Jumatatu na rais wa Ukraine mjini London. Mapigano makali yaendelea kushuhudiwa huko Uvira,…
NUKUU MWALIMU NYERERE:-“MAREKANI HAWA NI HAWAHAWA AU NI WENGINE MIMI MBONA BADO NI YULEYULE
NUKUU MWALIMU NYERERE:-"MAREKANI HAWA NI HAWAHAWA AU NI WENGINE MIMI MBONA BADO NI YULEYULE... NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza…
Taarifa kutoka kwa ubalozi wa Urusi nchini Tanzania 👇👇👇👇
Taarifa kutoka kwa ubalozi wa Urusi nchini Tanzania 👇👇👇👇 Habari ya Sweden kuelekeza msaada wake kutoka nchi kadhaa za Afrika zikiwemo Tanzania kwenye Ukraine inaonyesha wazi kwamba, kwa baadhi ya…
Dube aing’arisha Yanga ikisogelea kileleni
BAADA ya kuanza kwa kusuasua katika Ligi Kuu Bara msimu huu, sasa Prince Dube amefunga mfululuzo baada ya leo Desemba 7, 2025 kuweka kambani bao moja lililoipa Yanga ushindi wa…
Nyerere katika ujamaa wake na falsafa ya kikomunia au kikomunist aliweza kuwa na ushawishi mkubwa kwa warusi na wachina , na Mre…
Nyerere katika ujamaa wake na falsafa ya kikomunia au kikomunist aliweza kuwa na ushawishi mkubwa kwa warusi na wachina , na Mrekani aliijua nguvu ya nyerere na Tanzania ambaye alikuwa…
Tanzania ndio key master wa siasa za maziwa makuu kwa miaka 40 sasa, ila kinachoonekana sasa nafasi hiyo imechukuliwa na Kenya
Tanzania ndio key master wa siasa za maziwa makuu kwa miaka 40 sasa, ila kinachoonekana sasa nafasi hiyo imechukuliwa na Kenya. Kwa sasa eneo la Afrika Mashariki, Marekani kaamua kuipa…
Aweso: Maji ya Ruvu yawe kwa matumizi ya binadamu pekee
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amepiga marufuku matumizi ya maji yanayotoka Mto Ruvu kwa shughuli...
Polisi yakana kuwateka viongozi Chadema Songwe, yadai inawashikilia kwa vitendo vya uhalifu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekanusha madai ya kutekwa kwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani...
Serikali yachunguza ubadhirifu wa Sh2.5 bilioni Temesa
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema wizara imebaini tuhuma za ubadhirifu wa Sh2.5 bilioni...
Hekta 170 za Mlima Hanang zaungua moto
Hekta 170 za hifadhi ya mazingira asili ya mlima Hanang mkoani Manyara, zimeungua moto uliodumu...
” Hata Urusi wana maslahi yao nchini kwetu kwa sababu hakuna biashara bila maslahi lakini tumekubali kufanya biashara na Urusi k…
" Hata Urusi wana maslahi yao nchini kwetu kwa sababu hakuna biashara bila maslahi lakini tumekubali kufanya biashara na Urusi kwa sababu wanazingatia maslahi yetu zaidi tofauti na wengine wanaozingatia…
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 07, 2025 -DAWASA YATAKIWA KUGAWA MAJI KIDOGO YANAYOPATIKANA
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 07, 2025 -DAWASA YATAKIWA KUGAWA MAJI KIDOGO YANAYOPATIKANA
Jengo la vifaa vya kilimo lazinduliwa Kilolo, Wakulima wahimizwa kilimo tija
Katika mchakato wa kuongeza tija kwa wakulima na kuhamasisha matumizi ya teknolojia katika...
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Bw
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Bw. Hamadi Mbega, amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Bw. Abdallah Nandonde, pamoja na wataalaam wengine kwa kusimamia vyema zoezi la ukusanyaji…
Matola aulizwa maswali mazito, Mnyama akipasuka kwa Azam FC
Mechi bora ya Ligi Kuu Bara imepigwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam na Azam kumaliza ubabe wa Simba kwa kuichapa mabao 2-0.
Azam FC yaifumua Simba Kwa Mkapa
Mechi bora ya Ligi Kuu Bara imepigwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam na Azam kumaliza ubabe wa Simba kwa kuichapa mabao 2-0.
“Walimuua Sankara kisha wakaweka Rais wanayemtaka wao kwa maslahi yao, baada ya kumuondoa Rais waliyemtaka wao sasa wanajaribu k…
"Walimuua Sankara kisha wakaweka Rais wanayemtaka wao kwa maslahi yao, baada ya kumuondoa Rais waliyemtaka wao sasa wanajaribu kutugawa kupitia sisi kwa sisi kupitia vikundi vya uasi, wanatufanya tupigane sisi…
Azam yaifumua Simba
Mechi bora ya Ligi Kuu Bara imepigwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam...
#HABARI: Kundi lenye Tembo zaidi ya 15 wamevamia hekari zaidi 55 na kula pia kuharibu zaidi ya hekari 3 za miti ya mikorosho, m…
#HABARI: Kundi lenye Tembo zaidi ya 15 wamevamia hekari zaidi 55 na kula pia kuharibu zaidi ya hekari 3 za miti ya mikorosho, mahindi na miti ya matunda, kwenye kilimo…
Katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, viongozi wapya wa kisiasa wameweka msisitizo katika usimamizi wa mapato,…
Katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, viongozi wapya wa kisiasa wameweka msisitizo katika usimamizi wa mapato, uimarishaji wa huduma kwa wananchi na kuboresha uchumi wa kaya, muda mfupi…
… Marekani kwenye ujumbe wao…
... Marekani kwenye ujumbe wao wanasema kuwa vitendo vya hivi karibuni vya serikali ya Rais Samia vimeweka hatarini maslahi yake ... Wengi tunafikiri kuwa ni yale yaliojiri October 29 ?…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KATAVI – DESEMBA 07, 2025 –
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KATAVI - DESEMBA 07, 2025 -
Bodaboda wataka polisi imwachie diwani mstaafu Chadema
Vijana wa Kata ya Kiwira wilayani Rungwe wamekemea vitendo vya uvunjifu wa amani, huku...
Watumishi legelegewaonywa wilayani hai
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuweka mikakati...
Umoja wa Afrika walaani jaribio la mapinduzi nchini Benin
Umoja wa Afrika umelaani vikali jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Benin na ukawataka wanajeshi kurejea katika kambi zao. Hii ni kulingana na taarifa iliyotoa leo.
Netanyahu atarajia kuingia awamu ya pili ya makubaliano
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema leo kwamba anatazamia kuingia katika awamu ya pili ya mpango wa kusitisha mapigano Gaza unaofadhiliwa na Marekani "hivi karibuni".
UN: Kipindi cha mpito cha Syria bado ni tete
Jopo la wachunguzi wa Umoja wa Mataifa limesema leo kuwa kipindi cha mpito cha Syria bado ni tete, mwaka mmoja baada ya kupinduliwa kwa Bashar al-Assad, na kwamba hali ya…