dentifying the first link in Tanzania’s corporate cyber epidemics
IN the ongoing battle to secure the digital landscape of Tanzanian Small and Medium Enterprises (SMEs) and corporate entities, a concept borrowed from epidemiology is proving to be a critical…
“Sasa furaha utapata wapi ndugu yangu, kila siku tushakuwa watu wa kupigwa kama ngoma ya shughulini yani kila mtu akifika anajip…
"Sasa furaha utapata wapi ndugu yangu, kila siku tushakuwa watu wa kupigwa kama ngoma ya shughulini yani kila mtu akifika anajipigia tu, yani ni shida... ni huzuni"- Max Simba -…
Penalti ya Yanga yamponza refa, TPLB yavuna mamilioni
Katika hatua nyingine, kikao hicho cha Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi, kimetoza...
Samia’s speech in focus: Defending stability against engineered disorder
DAR ES SLAAM: AT moments when a nation’s stability feels strained, it is not the volume of competing voices that determines the way forward but the clarity of thought guiding…
“Vijana wajiepushe na vurugu na uvunjifu wa amani na shughuli zozote ambazo haziruhusiwi kisheria na vijana wakatae kuhamasishwa…
"Vijana wajiepushe na vurugu na uvunjifu wa amani na shughuli zozote ambazo haziruhusiwi kisheria na vijana wakatae kuhamasishwa kufanya matendo ambayo yanawagharimu wao wenyewe na yanawagharimu nchi yao. "Vijana watulie…
Makinda ataka uhalisia takwimu za kilimo, mifugo
KAMISAA wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Anne Makinda ametoa mwito kwa vijana watakaofanya utafiti wa kilimo na mifugo wakusanye takwimu halisia zitakazosaidia kuleta maendeleo ya kweli…
Universities as labs of thought
The discussion, led by Minister of State for Youth Development Joel Nanauka, placed strong emphasis on academic discourse, critical reasoning and constructive civic engagement. His message was clear: the intellectual…
Wisdom thrives: Samia’s call for unity, restraint and national healing
DAR ES SALAAM: IN her 2nd December 2025 address to the Dar es Salaam Council of Elders, President Samia Suluhu Hassan spoke to a nation still grappling with the aftermath…
Mtaka: Vijana lindeni amani
MKUU wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amewataka vijana kulinda amani ya Tanzania kwani wao ndiyo wanabeba matumaini ya taifa. Aliyasema hayo juzi alipokuwa akizungumza katika ibada katika Kanisa la…
“Watu kuondoka mwezi Desemba kwenda mikoani majumbani kwao imekuwa ni utaratibu unaofanyika kila mwaka na Tarehe ndio hizi na kw…
"Watu kuondoka mwezi Desemba kwenda mikoani majumbani kwao imekuwa ni utaratibu unaofanyika kila mwaka na Tarehe ndio hizi na kwenda kusheherekea sherehe za mwisho wa mwaka. Pia natambua kuna hayo…
“Watu kuondoka mwezi Desemba kwenda mikoani majumbani kwao imekuwa ni utaratibu unaofanyika kila mwaka na Tarehe ndio hizi na kw…
"Watu kuondoka mwezi Desemba kwenda mikoani majumbani kwao imekuwa ni utaratibu unaofanyika kila mwaka na Tarehe ndio hizi na kwenda kusheherekea sherehe za mwisho wa mwaka. Pia natambua kuna hayo…
🔴MKUTANO WA MAWAZIRI NA WAANDISHI WA HABARI….DESEMBA 08 2025
🔴MKUTANO WA MAWAZIRI NA WAANDISHI WA HABARI....DESEMBA 08 2025
Govt empowers youth, women through mining licenses in Simanjiro
ARUSHA: THE government has reiterated its commitment to empowering Tanzanians in the mineral economy through the Mining for a Better Tomorrow (MBT) program, which aims to provide youth and women…
Infrastructure, water shortages top MP Lukumay’s priority list
ARUSHA: THE Member of Parliament for Arumeru West Constituency, Dr Johannes Lukumay, has pledged to tackle water and road infrastructure challenges in the constituency to enable residents to engage more…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ili kupisha uchunguzi w…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za uzembe, usimamizi dhaifu na ubadhirifu dhidi yake pamoja…
Mirerani’s Tanzanite City Centre to open next year
SIMANJIRO: WORK on the Tanzanite City Centre, a major national and international mineral trading hub taking shape in Mirerani, Simanjiro District, is nearing completion, with the 5.4bn/- project set to…
Mapigano kati ya Thailand na Cambodia yaanza tena
Thailand imedai leo Jumatatu kutumia ndege “kushambulia malengo ya kijeshi” na “kuzuia mashambulizi ya Cambodia,” baada ya mmoja wa wanajeshi wake kuuawa mpakani. Hii imeongeza mvutano, kwani makubaliano ya kusitisha…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….DESEMBA 08 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....DESEMBA 08 2025
Stella majanga haishi, akiwa ameshikiliwa anapaswa kujinasua na kuisaka familia yake
Stella majanga haishi, akiwa ameshikiliwa anapaswa kujinasua na kuisaka familia yake. Usikose kutazama BAY OF FIRES leo saa 4:00 usiku kupitia #AzamONE
Ukraine: Donald Trump amkosoa Volodymyr Zelensky kwa kutosoma pendekezo la amani
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Jumapili jioni kwamba “anasikitishwa” kuona mwenzake wa Ukraine “bado hajasoma” pendekezo la Marekani lililofichuliwa wiki tatu zilizopita kwa ajili ya kutatua mgogoro nchini Ukraine.…
Harness Mwanza’s economic potential, TIA graduates told
MWANZA: GRADUATES from the Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Mwanza Campus, have been urged to leverage economic opportunities in the region to improve their livelihoods and contribute to national development.…
Destructive fishing threatens Mkinga’s seaweed industry
TANGA: SEAWEED farmers in Boma Subutini, Mkinga District, Tanga Region, have urged the government to intensify action against kokoro fishing, warning that the practice is harming marine life, damaging seaweed…
Araghchi: Marekani haiko tayari kwa mazungumzo ya manufaa kwa pande mbili, ya usawa na ya kuheshimiana
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema, Tehran imefikia hitimisho kwamba Marekani haiko tayari kwa mazungumzo ya manufaa kwa pande mbili, ya…
DRC: M23 ikisaidiwa na jeshi la Rwanda inasonga mbele kuelekea Kivu, imeteka mji wa kimkakati
Duru za serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimetangaza kuwa, waasi wa M23, wakisaidiwa na jeshi la Rwanda wanaendelea kusonga mbele kuelekea eneo la Kivu Kusini.
Netanyahu: Israel haitaondoka katika maeneo ya kusini ya Syria iliyoyavamia
Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amesema, jeshi la utawala huo halitaondoka katika maeneo liliyoyavamia na kuyakalia kwa mabavu ya kusini mwa Syria.
UN yazindua ombi la dola bilioni 33 kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu milioni 87
Umoja wa Mataifa leo umezindua ombi la misaada ya kibinadamu duniani la dola bilioni 33, ukiomba nchi na wadau kote ulimwenguni kuongeza msaada kwa mamilioni ya watu wanaokabiliwa na migogoro…
Access to breast cancer screening improves in Arusha
ARUSHA: WOMEN in Arusha Region have expressed heartfelt gratitude to President Samia Suluhu Hassan for purchasing and installing a mammography machine at Kaloleni Health Centre in Arusha City, a service…
Serikali yapewa ushauri pato la Dola tril 1/
WATAALAMU wa uchumi wameishauri serikali izingatie nguzo tatu za Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025-2050 ili kufikia lengo la nchi la kuwa na kipato cha kati cha juu na pato…
Serikali ya Nigeria yafanikisha kuachiwa huru watoto 100 waliotekwa nyara katika jimbo la Niger
Serikali ya Nigeria imefanikisha kuachiliwa huru watoto 100 wa skuli waliotekwa nyara mwezi uliopita katika Jimbo la Niger. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na televisheni ya Channels Television…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendele…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania…
Nigeria: Wanafuzi 100 waliotekwa waachiliwa, kulingana na ofisi ya na Chanzo cha UM
Wanafunzi mia moja kutoka shule ya kikatoliki magharibi mwa Nigeria, waliotekwa nyara mnamo Novemba 21 na watu wasiojulikana wenye silaha, wameachiliwa, chanzo cha Umoja wa Mataifa na ofisi ya rais…
Exports climb to 41tri/- amid gold, tourism growth
DAR ES SALAAM: THE export of goods and services rose to 17.09 billion US dollars (about 41.8tri/-) in the year ending September this year, up from 14.9 billion US dollars…
Mwana anaendelea kumuonesha Chioma utoto mjini ulivyo 🙌🙂
Mwana anaendelea kumuonesha Chioma utoto mjini ulivyo 🙌🙂 #NomaSeries
TISEZA drums farming, livestock sectors opportunities
DAR ES SALAAM: TANZANIA Investment and Special Economic Zones Authority (TISEZA) has highlighted a wide range of investment opportunities in large-scale commercial farming. The investment scope covers crops such as…
Rushwa katika Riadha: Kesi Mpya ya Papa Massata Diack wa Senegal kuanza
Kesi ya Papa Massata Diack, mtoto wa mkuu wa zamani wa riadha duniani Lamine Diack, itaanza Jumatatu, Desemba 8, katika Mahakama ya Rufaa ya Paris, kufuatia kubatilishwa kwa sehemu kwa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….DESEMBA 08 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....DESEMBA 08 2025
Leaders reiterate plea for peace, nation building
DAR ES SALAAM: LEADERS have reiterated calls for safeguarding peace and respecting the rule of law. They also urged Tanzanian youth to avoid being lured into actions that could destabilise…
Madagascar: Serikali yaelezea mfumo wa mashauriano ya kitaifa yanayokuja
Wakati wa kipindi maalum kwenye televisheni ya taifa jioni ya Jumapili, Desemba 7, Waziri wa serikali mpya ya Madagascar ametangaza kwamba mazungumzo haya yataandaliwa kwa pamoja na serikali na Baraza…
Bosi Temesa asimamishwa kazi
DAR ES SALAAM: SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za uzembe, usimamizi dhaifu na ubadhirifu…
#LiveonClouds360
#LiveonClouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha Cc: @dr.samsasali360 @sophiakessytz @pjsweya
DRC: Makubaliano ya amani ya Washington yanasalia kuwa kama ndoto Kivu Kusini
Mapigano yanaendelea mashariki mwa DRC licha ya kusainiwa kwa makubaliano ya amani kati ya Kinshasa na Kigali chini ya usimamizi wa Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Alhamisi, Desemba…
Sudan: Makumi ya raia wauawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani Kalogi
Mashambulizi hayo ya Alhamisi, Desemba 4, yanayohusishwa na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) cha Jenerali Hemedti, yanaripotiwa kusababisha vifo vya watu 79, wakiwemo watoto 40, kulingana na chanzo cha…
Jeshi la Congo linadai Rwanda, M23 walishambulia kwa bomu mashariki mwa DRC, lakini Kigali inakana
Jeshi la Congo lilishutumu jeshi la Rwanda na waasi wa M23 kwa kurusha mabomu kutoka Rwanda hadi maeneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, katika madai ya hivi…
ECOWAS yatuma wanajeshi Benin kufuatia jaribio la mapinduzi
Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS)siku ya Jumapili jioni imetangaza kwamba imepeleka wanajeshi nchini Benin kufuatia jaribio la mapinduzi lililozuiwa na mamlaka mapema siku hiyo. Katika taarifa,…
CHANGAMOTO YA MAJI DAR, SAM ANAZURURA NA MADUMU YAKE
CHANGAMOTO YA MAJI DAR, SAM ANAZURURA NA MADUMU YAKE. Kutokana na hali ya changamoto ya maji iliyoripotiwa hivi karibuni na taarifa kutolewa na Mamlaka za maji, @dr.samsasali360 anataka kusoma magazeti…
Jaribio la mapinduzi ya Benin: Rais Talon ahutubia taifa, asema hali ‘imedhibitiwa kabisa’
Rais wa Benin alisema Jumapili kwamba "hali imedhibitiwa kabisa" katika nchi yake baada ya serikali kuzuia jaribio la mapinduzi lililofanywa na wanajeshi watiifu.waaminifu.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…DESEMBA 08, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 08, 2025