Binti wa Zuma akana mashtaka ya uchochezi
Duduzile Zuma-Sambudla, bintiye rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amekana mashtaka ya kuchochea ghasia wakati wa machafuko makubwa yaliyotokea nchini humo mwezi Julai 2021.
Jumanne, tarehe 11 Novemba, 2025
Leo ni Jumanne tarehe 20 Jamadil Awwal 1447 Hijria mwafaka na tarehe 11 Disemba 2025.
Unity, dialogue key to post-election stability – Experts
DAR ES SALAAM: ANALYSTS and academicians have stressed the importance of national unity, peace and inclusive dialogue as a foundation for Tanzania’s socio-economic and political development after the General Election.…
Dodoma residents urged to respect, value people with disabilities
DODOMA: DODOMA residents have been urged to respect and value people with disabilities and to refrain from using derogatory language that causes psychological and emotional harm. The call was made…
11.11.2025
Bunge la nchi hiyo limempata Spika wake mpya atakayeongoza muhimili huo kwa kipindi cha miaka mitano+++Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira wa COP30 umefunguliwa jana katika mji wa Brazil…
11.11.2025 Matangazo ya Asubuhi
Rais Donald Trump amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa mpito wa Syria Ahmad al-Sharaa+++Hali nchini Sudan inaendelea kuwa mbaya, maelfu ya watu wanadaiwa kuuawa kutokana na mashambulizi ya wanamgambo…
Govt allocates 197m/- for Mpamaa Primary School
DODOMA: THE government has disbursed 197m/- for the implementation of various development projects at Mpamaa Primary School in Dodoma City, including classroom construction and the renovation of sanitation facilities. Presenting…
Dodoma residents urged to seize free medical screening opportunity
DODOMA: DODOMA residents have been urged to take advantage of a three-day free medical screening camp for non-communicable diseases (NCDs) to be held at Nyerere Square Recreation Park from tomorrow…
Development projects drive Dodoma economy
DODOMA: DODOMA’s economy is booming as state-backed infrastructure projects reshape the capital, turning it into a lucrative investment destination, Regional Commissioner Rosemary Senyamule said. Growth has been driven primarily by…
Coast RC tasks institutions to empower youth through IPOSA projects
KIBAHA: COAST Regional Commissioner Mr Abubakar Kunenge has directed adult education institutions to ensure that activities implemented under the Integrated Programme for Out-of-School Adolescents (IPOSA) provide young people with practical…
Kitangiri councillor stresses unity, pledges to focus on development
THE newly elected Kitangiri Ward Councillor in Ilemela District, Mwanza Region, Mr Donard Ndaro has urged residents to put aside political differences and unite in promoting development within their community.…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 11, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Kyerwa to distribute 5 million coffee seedlings to raise output
KAGERA: KYERWA District Council in Kagera Region has announced plans to distribute more than five million improved coffee seedlings to farmers during the 2025/2026 farming season as part of efforts…
Coast RC urges youth empowerment via IPOSA
KIBAHA: COAST Regional Commissioner Mr Abubakar Kunenge has directed adult education institutions to ensure that activities implemented under the Integrated Programme for Out-of-School Adolescents (IPOSA) provide young people with practical…
New 528.9m/- secondary school in Kibaha to open in January
KIBAHA: STUDENTS and youths in Kibaha District Council, Coast Region are set to benefit from a new secondary school, Mwakamo Ruvu, located in Minazi Mikinda village, built at a cost…
‘Obtain birth certificates to ease school registration’
ZANZIBAR: PARENTS and guardians in Chambani Shehia, Mkoani District in Zanzibar, have been urged to ensure their children are issued with birth certificates immediately after birth, to avoid future complications,…
‘Encourage students to enroll in NHIF scheme’
MWANZA: MWANZA Regional Commissioner (RC) Mr Said Mtanda has directed heads of higher learning and middle-level institutions in the region to ensure that all newly admitted students are educated about…
Ministry advices students to report to universities on time
DAR ES SALAAM: THE Ministry of Education, Science and Technology has called on all university students across the country to report to their respective institutions on time as the 2025/2026…
Leaders call for inclusive dialogue platforms to engage youth
MWANZA: FOLLOWING the recent unrest that occurred during the just-ended General Election in several parts of the country, leaders in Mwanza have called for the establishment of inclusive dialogue platforms…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 10 NOVEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 10 NOVEMBA 2025
Uimarishaji wa Uturuki ni heshima na kumuenzi Ataturk: Erdogan
Rais wa Uturuki amemuenzi mwanzilishi huyo wa jamhuri akitangaza ufunguzi wa eneo alilozaliwa Ataturk.
#HABARI: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapidunzi Dkt.Hussein Mwinyi, amelizindua Baraza jipya la Wawakilishi, huku…
#HABARI: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapidunzi Dkt.Hussein Mwinyi, amelizindua Baraza jipya la Wawakilishi, huku akitoa msimamo wake kuwa yuko tayari kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa…
Arusha kuandaa mkutano wa akili unde wa Afrika 2025
Kwa mara ya kwanza, Jiji la Arusha linatarajiwa kuandaa Mkutano Mkuu wa Mwisho wa Mwaka wa...
🔴AIBUYAKO:JAMANI KWA HILI LA MATAIRI CHAKAVU, HAPANA LIMEZIDI !!!….NOVEMBA 10, 2025
🔴AIBUYAKO:JAMANI KWA HILI LA MATAIRI CHAKAVU, HAPANA LIMEZIDI !!!....NOVEMBA 10, 2025
#HABARI: Mlinzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara Shaziri Namnda mwenye umri wa miaka arobaini na tat…
#HABARI: Mlinzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara Shaziri Namnda mwenye umri wa miaka arobaini na tatu amejinyonga hadi kufa kwa kutumia chandarua cha kujikinga na mbu…
‘Mauaji ya waandamanaji ni chukizo mbele za Mungu’
Askofu Ruwa'ichi ametoa kauli hiyo wakati wa homilia yake ya Novemba 10, 2025 katika Ibada ya Misa ya kuwaombea waliofariki wakati wa vurugu baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29,…
Chui aliyewatia hofu wakazi wa Kijiji cha Mwalali, wilayani Itilima mkoani Simiyu, amekamatwa na askari wa Mamlaka ya Usimamizi …
Chui aliyewatia hofu wakazi wa Kijiji cha Mwalali, wilayani Itilima mkoani Simiyu, amekamatwa na askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) Kanda ya Ziwa baada ya operesheni ya siku…
🔴DAKIKA 45 NA NYASEBWA CHIMAGU, NOVEMBA 10, 2025
🔴DAKIKA 45 NA NYASEBWA CHIMAGU, NOVEMBA 10, 2025
Halmashauri ya Jiji la Tanga imeanza kutekeleza mradi wa kufunga kamera za ulinzi na taa za barabarani kwa lengo la kuboresha us…
Halmashauri ya Jiji la Tanga imeanza kutekeleza mradi wa kufunga kamera za ulinzi na taa za barabarani kwa lengo la kuboresha usalama na mandhari ya mji huo. Kupitia mradi huo…
Arusha Kuandaa Mkutano wa Akili Bandia wa Afrika 2025
Kwa mara ya kwanza, Jiji la Arusha linatarajiwa kuandaa Mkutano Mkuu wa Mwisho wa Mwaka wa...
Wananchi wa Kitongoji cha Kanisani, wilayani Mvomero mkoani Morogoro, wanakabiliwa na uhaba wa maji safi na salama, hali inayowa…
Wananchi wa Kitongoji cha Kanisani, wilayani Mvomero mkoani Morogoro, wanakabiliwa na uhaba wa maji safi na salama, hali inayowalazimu kutumia maji kutoka bwawa linalotumiwa pia na wanyama mbalimbali. Wanasema kukosekana…
Elimu ya ufundi inayotolewa na vyuo vya umma vya maendeleo ya wananchi (FDC) imeonekana kuwa mkombozi kwa vijana wengi waliokosa…
Elimu ya ufundi inayotolewa na vyuo vya umma vya maendeleo ya wananchi (FDC) imeonekana kuwa mkombozi kwa vijana wengi waliokosa fursa za elimu kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo umasikini. Katika…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza kuwa Jeshi la Polisi limewaachilia kwa dhamana viongozi wake wanne, akiwem…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza kuwa Jeshi la Polisi limewaachilia kwa dhamana viongozi wake wanne, akiwemo Makamu Mwenyekiti Bara, John Heche, Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, Mjumbe…
#HABARI: Vyama vya siasa 6 vimewasilisha majina ya wagombea wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kati…
#HABARI: Vyama vya siasa 6 vimewasilisha majina ya wagombea wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika uchaguzi wa Spika unaotarajiwa kufanyika Novemba 11, 2025,…
#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimethibitisha viongozi wake waliokuwa wameshikiliwa na Jeshi la Polisi wa…
#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimethibitisha viongozi wake waliokuwa wameshikiliwa na Jeshi la Polisi wameachiwa kwa dhamana. Taarifa ya CHADEMA imesema viongozi hao ni pamoja na Mhe. John…
Watanzania zaidi ya 300 watoa taarifa za ukiukwaji wa haki TLS
Kwa siku tano pekee, zaidi ya Watanzania 300 wamejitokeza kutoa taarifa kwa Chama cha...
AU yatoa wito wa hatua za haraka kuchukuliwa Mali
Umoja wa Afrika umetoa wito wa kuchukuliwa hatua haraka ya kimataifa, ikiwemo ushirikiana wa kutoa taarifa za kijasusi ili kushughulikia hali mbaya ya kiusalama nchini Mali.
Bunge la 13 kuanza kesho, Samia ateua wabunge sita
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akifanya uteuzi wa wabunge sita, Bunge la 13 linaanza rasmi...
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 10, 2025 – MAHAKAMA KUU YAKATAA OMBI LA JAMHURI DHIDI YA LISSU
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 10, 2025 - MAHAKAMA KUU YAKATAA OMBI LA JAMHURI DHIDI YA LISSU
Waitara aonya udanganyifu utekelezaji miradi ya Tanapa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Jenerali George...
Watuhumiwa 227 Ilemela, Arusha washtakiwa kwa uhaini, Jamhuri yabanwa kwa hoja nne
Watuhumiwa 227 waliokamatwa wilayani Ilemela mkoani Mwanza na Arusha kutokana na vurugu...
Mkutano wa COP30 na umuhimu wake huko Brazil
Kila mwaka,kongamano la mabadiliko ya tabia nchi la Umoja wa Mataifa hugonga vichwa vya habari kote duniani sambamba na harakati za kuinusuru sayari ya dunia na athari hizo.
#HABARI: Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) Kanda ya Ziwa imefanikiwa kumnasa chui akiwa hai kwa kutumia mtego m…
#HABARI: Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) Kanda ya Ziwa imefanikiwa kumnasa chui akiwa hai kwa kutumia mtego maalum baada ya kuvamia makazi ya watu na kukaa kwenye mapango ya…
Heche, vigogo Chadema waachiwa
Jeshi la Polisi limewaachia kwa dhamana viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na...
Bei ya vyakula yapoa baada ya vurugu za Oktoba 29, tangawizi, nyama bado
Wakati makali ya upandaji wa bei kwa bidhaa mbalimbali za vyakula ikianza kupoa kwenye masoko...
Ujerumani yatakiwa kupinga itikadi kali za mrengo wa kulia
Rais wa Ujerumani Frank Walter Steinmeier amevitolea wito vyama vinavyofuata siasa za mrengo wa kushoto kuwajibika zaidi katika kupambana na itikadi kali za mrengo wa kulia.
Ghasia za jimboni Ituri-DRC zadumaza huduma za kijamii
Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linasema kuwa hali ya ghasia inayoendelea katika jimbo la Ituri kaskazini mwa nchi inachangia kuendelea kuzorora kwa huduma za kijamii.
Rais Samia Awateua Wabunge Sita
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ameteua wabunge sita kuingia katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu…
Sarkozy aondoka jela akisubiri rufaa yake kuamuliwa
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy ameondoka katika jela na sasa atatumikia kifungo chake cha miaka mitano chini ya uangalizi wa mahakama.
Trump amsamehe Giuliani na wapambe wengine
Rais Donald Trump amewasamehea wapambe wake walioshutumiwa kushiriki jaribio la kubatilisha ushindi wa uchaguzi wa 2020.