Yanga yamvunjia mkataba Folz, Mabedi achukua mikoba
Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja rasmi mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Romain Folz, ambaye amejiunga na timu hiyo mwanzo wa msimu.
#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimetoa taarifa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche amewekwa ki…
#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimetoa taarifa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche amewekwa kizuizini, taarifa iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Brenda Rupia, imeeleza kuwa Heche…
#HABARI: Tamko la kamishna Jenerali wa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya (DCEA), la kuwataka waathirika…
#HABARI: Tamko la kamishna Jenerali wa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya (DCEA), la kuwataka waathirika wa dawa hizo kujitokeza kupata tiba bila kukamatwa, linaendelea kupongezwa na…
Yanga yamtimua Romain Folz, Mabedi apewa Mikoba
Yanga imefikia uamuzi wa kuachana na kocha huyo baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka...
#HABARI: Mbunge wa viti maalum mstaafu kupitia CHADEMA, Felista Njau, amesema Rais Dkt
#HABARI: Mbunge wa viti maalum mstaafu kupitia CHADEMA, Felista Njau, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amevunja mfumo dume kwa vitendo na kuwataka wanawake wa Mkoa wa Mara kujitokeza kwa…
Maafisa usafirishaji (boda boda na bajaji) zaidi ya 1,000 wa jimbo la Mtumba mkoani Dodoma wamefanya maandamano ya kuweka wazi a…
Maafisa usafirishaji (boda boda na bajaji) zaidi ya 1,000 wa jimbo la Mtumba mkoani Dodoma wamefanya maandamano ya kuweka wazi azma yao ya kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.…
#HABARI: Shirikisho la watu Wenye ulemavu mkoani Tanga, limeiomba Tume Huru ya Uchaguzi, kuhakikisha inaboresha vituo vya kupiga…
#HABARI: Shirikisho la watu Wenye ulemavu mkoani Tanga, limeiomba Tume Huru ya Uchaguzi, kuhakikisha inaboresha vituo vya kupiga kura, kwa kuweka vifaa na miundombinu rafiki, ili waweze kutumia haki yao…
Katika lugha ya Kiswahili tumezoea misemo mbalimbali iliyotungwa na wahenga wa zamani, lakini kwa kijana Milomilo, mjasiriamali …
Katika lugha ya Kiswahili tumezoea misemo mbalimbali iliyotungwa na wahenga wa zamani, lakini kwa kijana Milomilo, mjasiriamali kutoka Bariadi mkoani Simiyu, mambo ni tofauti. Yeye ameamua kutunga misemo yake mwenyewe…
Uelewa mdogo kuhusu njia sahihi za kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza umetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la magonjwa hayo…
Uelewa mdogo kuhusu njia sahihi za kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza umetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la magonjwa hayo, ambapo kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO)…
Apoteza maisha baada ya kulipukiwa na mtungi wa gesi
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kupigwa kipande cha mtungi wa gesi uliolipuka katika eneo la...
Laizer alia na kiungo Fountain Gate
KOCHA wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema huu ni mwanzo mzuri kwa timu hiyo kupata ushindi nyumbani, licha ya kuwa kikosi hicho bado kuna maeneo yanavuja ikiwemo nafasi ya…
Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha NRA, Almas Kisabya, ameahidi kutunga sheria kali za kupambana na mmomonyoko wa…
Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha NRA, Almas Kisabya, ameahidi kutunga sheria kali za kupambana na mmomonyoko wa maadili nchini, sambamba na kufuta bili za maji kwa…
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeeleza kuwa nauli ya mabasi ya mwendo wa haraka itaendelea kuwa shilingi 750 ha…
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeeleza kuwa nauli ya mabasi ya mwendo wa haraka itaendelea kuwa shilingi 750 hadi pale watakapojiridhisha kuwa changamoto zote za usafiri huo zimekwisha.…
Maximo amaliza utata kwa Ajibu
KOCHA wa KMC, Marcio Maximo ameonyesha kuwa na imani na ubora wa kiungo wake mshambuliaji Ibrahim Ajibu, licha ya kutompa nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza…
CCM yajipanga kuinua uchumi, biashara Nkasi
Ahadi hizo na nyingine zilizopo kwenye ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 zimetolewa leo Jumamosi...
#MICHEZO : Baada ya Yanga kupoteza 1-0 dhidi ya Silver Strikers katika hatua ya pili ya ligi ya mabingwa
#MICHEZO : Baada ya Yanga kupoteza 1-0 dhidi ya Silver Strikers katika hatua ya pili ya ligi ya mabingwa. Kocha huyo ameonekano mwenye mawazo Sana na wengi wakiwa na hofu…
#HABARI: Chama cha Mapinduzi kupitia mgombea mwenza nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt
#HABARI: Chama cha Mapinduzi kupitia mgombea mwenza nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmnauel Nchimbi, akiwa katika maeneo ya Kilosa, Mikumi na Kilombero mkoani morogoro…
Maafande kutuliza hasira kwa watoza kodi
BAADA ya kufungwa mabao 2-1 na Pamba Jiji, benchi la ufundi la Mashujaa FC limesema kwa sasa akili yao inawaza namna ya kufanya vizuri katika mechi ijayo dhidi ya TRA…
Baraza: Tumetoa gundu, sasa subirini
KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza amesema ushindi wa mabao 2-1 walioupata dhidi ya Mashujaa FC, ni kama wametoa bahati mbaya kwenye kikosi chao na sasa watacheza kwa kujiamini…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 18, 2025 –
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 18, 2025 -
RC Mbeya awaonya wananchi dhidi ya vurugu siku ya uchaguzi
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa amewaomba wananchi mkoani humo kutoshawishiwa na yeyote...
Tanzania yapambana na udumavu licha ya mafanikio sekta ya afya
Wakati Tanzania ikiendelea kupiga hatua katika kuboresha viashiria vya afya na kupunguza vifo...
#HABARI: Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe
#HABARI: Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo upanuzi wa barabara kuu ya TANZAM kipande cha Igawa…
Takukuru Mufindi yaihimiza Ruwasa usimamizi wa miradi ya maji
Abdarahman ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Oktoba 18, 2025 wakati akiwasilisha mada ya Kanuni za...
Kamati za ukaguzi zafundwa kukabili upotevu fedha za umma
Mwanza. Zaidi ya washiriki 240 kutoka sekretarieti za mikoa na mamlaka za serikali za mitaa...
Familia ya Msigala yamtafuta kijana wao, waripoti Polisi Dar
Familia ya Tabu Msigala (49), ambaye mkazi wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, imeeleza...
Raila Odinga kuzikwa Jumapili nyumbani Bondo
Mwili wa mwanasiasa mkongwe nchini Kenya Raila Odinga, umewasili huko Bondo karibu na kaunti ya Siaya tayari kwa mazishi ya faragha yatakayofanyika siku ya Jumapili.
Israel yarejesha miili 15 ya Wapalestina huko Gaza
Israel imerejesha miili ya Wapalestina 15 huko Gaza siku ya Jumamosi, na kufanya idadi hiyo kufikia 135.Taarifa hizo zimethibitishwa na wizara ya afya katika eneo linaloongozwa na Hamas.
Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imelipa Shilingi bilioni 1.6 kwa wananchi 213 wa Kijiji cha Mpeta, Wilaya ya Uvi…
Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imelipa Shilingi bilioni 1.6 kwa wananchi 213 wa Kijiji cha Mpeta, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, wanaopisha ujenzi wa mradi wa reli ya…
Maelfu wakimbia pwani ya Ufilipino kutokana na dhoruba
Maelfu ya wakaazi wamekimbia makaazi yao kando ya bahari ya Pasifiki nchini Ufilipino wakati dhoruba ya kitropiki Fengshen ikitua na kusababisha tahadhari ya mafuriko katika pwani.
Urusi yaishambulia Ukraine katikati mwa juhudi za diplomasia
Urusi imeishambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine usiku wa kuamkia jumamosi, mnamo wakati mazungumzo kati ya Rais Donald Trump na Volodomyr Zelensky yakifanyika.
Afghanistan na Pakistan zajaribu kutuliza uhasama kati yao
Wajumbe wa Afghanistan na Pakistan wako katika mji mkuu wa Qatar, Doha, kwa mazungumzo ya kutuliza mzozo mbaya zaidi kati ya nchi hizo jirani.
Upinzani Ivory Coast walaani marufuku ya maandamano
Vyama vya upinzani vya Ivory Coast na mashirika yasiyo ya kiserikali yameshutumu marufuku ya mikutano ya kisiasa wiki moja tu kabla ya uchaguzi wa rais.
ZEC yapokea karatasi za kura, vyama vya siasa vyatoa kauli
Unguja. Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imepokea rasmi karatasi za kura zilizochapishwa na...
Azam yatanguliza mguu makundi Afrika, Yanga ikipoteza Malawi
Bao pekee la Silver Strikers katika mchezo huo limefungwa Yosefe Andrew katika dakika ya 76 ya...
Kitambala, Msindo waing’arisha Azam FC, Mabaharia wa KMKM wakwaa kisiki nyumbani
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, wameanza vyema tiketi ya kuisaka hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya leo Oktoba 18, 2025 kuibuka na…
Chama Cha Makini kimetoa rai kwa Watanzania kutoshabikia au kushiriki maandamano yanayohamasishwa kufanyika siku ya uchaguzi mku…
Chama Cha Makini kimetoa rai kwa Watanzania kutoshabikia au kushiriki maandamano yanayohamasishwa kufanyika siku ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, na badala yake wajitokeze kwa wingi kupiga kura kisha kurejea…
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Wilaya ya Lindi lim…
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Wilaya ya Lindi limeendesha semina maalum kwa viongozi wake kutoka kata zote za wilaya hiyo,…
Wafanyabiashara Kariakoo wataka maboresho zaidi
Mlelwa amesema utekelezaji wa mpango huo utaondoa mgongano uliopo kati ya wamiliki wa maduka na...
Yanga yapigwa ugenini, Folz aacha maswali kibao
DAKIKA tisini za ugenini kwa Yanga leo Oktoba 18, 2025 zimekuwa ngumu baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wao, Silver Strikers ikiwa ni mechi ya mkondo…
Changamoto tatu zabainika mwendokasi Mbagala
Miongoni mwa mambo yalioangaliwa ni uendeshaji wa mabasi hayo pamoja na mifumo ya kutolea...
Serikali ya meaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati mkoani Songwe ikiwemo upanuzi wa barabara kuu ya Tanzania na Zambi…
Serikali ya meaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati mkoani Songwe ikiwemo upanuzi wa barabara kuu ya Tanzania na Zambia (TANZAM) kipande cha Igawa - Tunduma chenye urefu kwa kilometa 218…
Wizara ya Afya imesema inaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuhakikisha Taifa linaweka mifumo endelevu ya kukabi…
Wizara ya Afya imesema inaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuhakikisha Taifa linaweka mifumo endelevu ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, hususan katika sekta ya afya. Kauli…
Dk Mwinyi aahidi kujenga viwanda vya kuchaka samaki
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi amesema...
Samia aahidi kukuza biashara kati ya Tanzania, DRC
Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake aliahidi hayo jana katika...
Paresso: Kwa nini Watanzania wachague wagombea wa CCM
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Cecilia Pareso amesema wananchi wanapaswa kujitokeza kupiga...
CCM yaahidi ujenzi barabara Morogoro, tembo wavamizi kushughulikiwa
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kuufungua Mkoa wa Morogoro kwa kujenga barabara mbalimbali...
Kiongozi wa mapinduzi ya Madagascar Randrianirina aliapishwa kuwa rais
Umoja wa Afrika na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wamelaani mapinduzi hayo, ambayo yalikuja baada ya wiki kadhaa za maandamano ya "Gen Z" yaliyochochewa na uhaba mkubwa…