WHO: Hakuna mgonjwa mpya wa Ebola aliyerekodiwa Bulape DRC kwa siku 20
Ofisi ya Kanda ya Afrika ya Shirika la Afya Duniani (WHO) imetangaza kuwa, hakuna mgonjwa mpya wa Ebola aliyerekodiwa au kuthibitishwa kwa siku 20 katika kanda ya afya ya Bulape,…
🔴LIVE: MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM, DKT
🔴LIVE: MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KATIKA KAMPENI KAYANGA - RUKWA
Barua ya Araqchi kwa Guterres na Baraza la Usalama: Muda wa azimio 2231 umemalizika
Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema katika barua rasmi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na Mwenyekiti wa…
Ripoti: Ufaransa inakiuka pakubwa haki za watoto wahamiaji
Shirika moja la Umoja wa Mataifa limesema Ufaransa "imekiuka pakubwa na kwa utaratibu" haki za watoto wahamiaji, na kuwaacha wengi wao wakinyimwa huduma za afya na kukosa makazi.
Umoja wa Mataifa: Kiwango cha uharibifu katika Ukanda wa Gaza hakitasawariki
Tom Fletcher, Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Misaada ya Kibinadamu, amesema kuwa, kiwango cha uharibifu katika Ukanda wa Gaza haikitasawariki kiasi kwamba, ni vigumu kuamini hali…
Ujenzi wa Bandari ya Karema mkoani Katavi ulioenda sambamba na ujenzi wa meli nne za mizigo utarahisisha usafiri na usafirishaji…
Ujenzi wa Bandari ya Karema mkoani Katavi ulioenda sambamba na ujenzi wa meli nne za mizigo utarahisisha usafiri na usafirishaji kati ya Tanzania na nchi jirani za Jamhuri ya Kidemokrasia…
Wasira: Nchi ipo salama, wananchi waende wakapige kura Oktoba 29
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema nchi ipo...
Kumalizika muda wa Azimio 2231 la Baraza la Usalama; Iran yasisitiza kuondolewa vikwazo, yaungwa mkono na nchi 121
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa ikitangaza kumalizika muda wa Azimio nambari 2231.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga soko la kimataifa la mazao ya kilimo katika Kata ya Mpanda Hoteli mkoani Katavi. Soko…
Uhispania: Vikwazo vya silaha dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel vinaendelea
Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kuwa, licha ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza, serikali ya Madrid itadumisha vikwazo vyake vya silaha dhidi ya Israel.
Gaza inaishutumu Israel kwa wizi wa viungo kutoka kwa Wapalestina, inataka uchunguzi wa kimataifa
Maafisa watoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusu ukeketaji na ukiukaji wa haki za binadamu.
#MICHEZO: Zimesalia dakika kadhaa kabla ya Yanga kucheza dhidi ya Silver Strikers ya Malawi katika uwanja wa Bingu Lilongwe Mala…
#MICHEZO: Zimesalia dakika kadhaa kabla ya Yanga kucheza dhidi ya Silver Strikers ya Malawi katika uwanja wa Bingu Lilongwe Malawi ambapo ni saa 9 kwa saa za Malawi na saa…
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kupuuza upotoshaji unaoenezwa kwenye Mitandao ya kijamii kuhusu uchapishaji…
#HABARI: Wakati taifa likielekea katika uchaguzi mkuu, wa kuwachagua viongozi mbalimbali akiwemo Rais, Wabunge na Madiwani, Taas…
#HABARI: Wakati taifa likielekea katika uchaguzi mkuu, wa kuwachagua viongozi mbalimbali akiwemo Rais, Wabunge na Madiwani, Taasisi ya mwanamke na nguvu ya kijani nchini, imeandaa kongamano la viongozi wa dini,…
#HABARI: Viongozi wa taasisi za dini kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika mashariki, wamefanya Ibada ya maalumu ya kuziombea n…
#HABARI: Viongozi wa taasisi za dini kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika mashariki, wamefanya Ibada ya maalumu ya kuziombea nchi hizo amani, na wameziomba serikali za nchi hizo kuongeza nguvu,…
Familia nyingi zimejikuta zikibeba mzigo mkubwa wa madeni baada ya harusi, huku wengi wakiwa hawajui ni kwanini waliingia kwenye…
Familia nyingi zimejikuta zikibeba mzigo mkubwa wa madeni baada ya harusi, huku wengi wakiwa hawajui ni kwanini waliingia kwenye hali hiyo. Wasikilize washereheshaji wakielezea baadhi ya sababu zinazowavutia wengi kuingia…
Umati wa watu wamsindikiza Odinga nyumbani Bondo
Umati mkubwa wa watu umekusanyika magharibi mwa Kenya siku ya Jumamosi kushuhudia mwili wa mwanasiasa mpendwa, Raila Odinga, katika shughuli ya maombolezo.
Obama amkumbuka kwa sifa tele Raila Odinga, kiongozi wa upinzani wa Kenya aliyefariki
Babake Barrack Obama alitoka Kaunti ya Siaya kwenye ufuo wa Ziwa Victoria - eneo ambalo Raila Odinga alizaliwa na atazikwa Jumapili.
Kenya: Maelfu ya wakaazi wa Kisumu wamwomboleza Raila Odinga
KISUMU – Maelfu ya waombolezaji kutoka jiji la Kisumu na maeneo mengine ya Magharibi mwa Kenya wamejitokeza siku ya Jumamosi kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, kiongozi mashuhuri, aliyetawala siasa…
Taifa Stars yaganda viwango vya FIFA, Kenya yapaa
Katika chati hiyo ya viwango vya ubora wa soka duniani, Tanzania imebaki katika nafasi ya 107...
Jowuta kushirikiana na Article 19 kuwasaidia wanahabari
Mutahi amesema kutokana na changamoto hizo, Article 19 kwa kushirikiana na wahisani wake...
#MICHEZO: Yanga leo wanacheza dhidi ya timu ya Silver Strikers ya Malawi katika mchezo wa hatua ya pili ya ligi mabingwa barani …
#MICHEZO: Yanga leo wanacheza dhidi ya timu ya Silver Strikers ya Malawi katika mchezo wa hatua ya pili ya ligi mabingwa barani Afrika. Ambapo Rais wa Yanga Eng Hersi Said…
ICC inakataa ombi la Israel la kukata rufaa kuhusu vibali vya kukamatwa kwa Netanyahu na Gallant
Mahakama inasema ombi la Israel la kukata rufaa dhidi ya vibali vya viongozi wake kuhusu vita vya Gaza "si suala la kukata rufaa," wakati changamoto ya mamlaka inaendelea kuchunguzwa.
Hayati Raila Odinga akiimba enzi za uhai wake🕊️🕊️
Hayati Raila Odinga akiimba enzi za uhai wake🕊️🕊️ #baba #farewell #odinga #kenya #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania
#MICHEZO: Rais wa Yanga Eng
#MICHEZO: Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, amezindua matawi matatu mapya ya wanachama wa Yanga nchini Malawi katika ukumbi wa kimataifa wa Bingu, ambapo amewaeleza wanachama malengo yao makubwa walionayo…
#HABARI: Wanaushirika nchini wametakiwa kuendelea kulinda na kudumisha tunu ya amani iliyopo kwani ndiyo msingi wa maendeleo na …
#HABARI: Wanaushirika nchini wametakiwa kuendelea kulinda na kudumisha tunu ya amani iliyopo kwani ndiyo msingi wa maendeleo na ustawi wa vyama vya ushirika pamoja na taifa kwa ujumla. Wito huo…
#HABARI: Mnamo Oktoba 15, 2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Rombo mbele ya Mhe
#HABARI: Mnamo Oktoba 15, 2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Rombo mbele ya Mhe. Innocent Nyella Hakimu Mkuu Mwandamizi, imeamriwa kesi ya jinai namba 9081/2025 ikiwa ni Jamhuri ya Muungano…
Shuhudia namna wauguzi, vikosi vya ulinzi na usalama vilivyotoa huduma ya dharuza kwa waliopoteza fahamu na walioumia wakati wa …
Shuhudia namna wauguzi, vikosi vya ulinzi na usalama vilivyotoa huduma ya dharuza kwa waliopoteza fahamu na walioumia wakati wa kuuaga mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga katika…
#HABARI: Mradi wa pamoja ya Vyama Vikuu vya Ushirika vya Korosho nchini (KCJE LTD), imekuja na mpango maalum wa kutatua changamo…
#HABARI: Mradi wa pamoja ya Vyama Vikuu vya Ushirika vya Korosho nchini (KCJE LTD), imekuja na mpango maalum wa kutatua changamoto ya muda mrefu inayowakabili wakulima na vyama vya ushirika…
Kampeni za Samia kutikisa Katavi, Rukwa
Samia ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anatarajiwa kufanya mikutano...
Wanafunzi waonya matumizi ya mitandao kuelekea uchaguzi mkuu
Wameziomba asasi za kiraia kushirikiana na Serikali katika kubuni mbinu shirikishi...
“Weupe wa Matumaini” – Maadhimisho ya Siku ya Vipofu na Fimbo Nyeupe Duniani
Karibuni wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran katika makala yetu ya wiki hii ambayo tumewaandalia kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Vipofu na Fimbo Nyeupe Duniani; siku…
Mbeumo atumika dili la Baleba kutua Man United
Mbeumo ameripotiwa kumhamasisha mchezaji mwenzake wa Cameroon, Carlos Baleba waungane pamoja...
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe amezielekeza hospitali zote nchini kuhakikisha zinatoa huduma zote za dharura kwa wagonjwa bila kuchelewesha na bila kuangalia uwezo wa kifedha kwa wakati…
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Mbeya, Mhandisi Matari Masige amesema wanaendelea na utekelezaji wa uje…
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Mbeya, Mhandisi Matari Masige amesema wanaendelea na utekelezaji wa ujenzi wa miradi ya miundombinu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni…
Shirika lisilo la kiserikali la Bandung Afrika limeandaa mkutano wa saba wa mwaka wa Pan Afrika Diaspora, unaotarajiwa kufanyika…
Shirika lisilo la kiserikali la Bandung Afrika limeandaa mkutano wa saba wa mwaka wa Pan Afrika Diaspora, unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu jijini Arusha, ukilenga kujadili masuala muhimu ya…
Mwili wa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Odinga ulivyowasili mjini Kisumu kwa ajili ya kuagwa
Mwili wa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Odinga ulivyowasili mjini Kisumu kwa ajili ya kuagwa. Umati mkubwa wa watu umejitokeza kushiriki shughuli ya kuuaga mwili huo, huku taarifa zikisema…
Sababu Uefa kuifanyia uchunguzi Juventus
Juventus imebainisha Alhamisi iliyopita kwamba ipo kwenye uchunguzi mkali wa Shirikisho la Soka...
Obama anavyomkumbuka Raila Odinga
Raila Odinga, aliyefariki dunia Oktoba 15, 2025 wakati akipatiwa matibabu nchini India...
Ndani ya Boksi: Ushawishi wao, mkwanja wao
‘Ledizi endi jentromeni’. Kama bado haujajua, dunia ya sasa siyo ya wachapakazi tu, bali ni...
Iran yakadhibisha madai kwamba inatishia usalama wa Uingereza
Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini London umepinga vikali madai ya mkuu wa Shirika la Ujasusi la Ndani la Uingereza (MI5) kwamba Tehran inataka kutishia usalama wa Uingereza,…
Iran yalaani mashambulizi ya karibuni ya Israel kusini mwa Lebanon
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya karibuni ya anga ya Israel kusini mwa Lebanon, na kuzibebesha dhima nchi zilizodhamini makubaliano ya kusitisha vita yaani…
Yazdanian: Iran hurusha satelaiti sita angani kila mwaka
Vahid Yazdanian Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Anga cha Iran ametangaza kuwa Iran imefanikiwa kurusha satelaiti sita angani kila mwaka, sambamba na kupiga hatua kubwa katika teknolojia ya kurusha…
Yazdaniani: Iran hurusha satelaiti sita angani kila mwaka
Vahid Yazdanian Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Anga cha Iran ametangaza kuwa Iran imefanikiwa kurusha satelaiti sita angani kila mwaka, sambamba na kupiga hatua kubwa katika teknolojia ya kurusha…
Chuo Kikuu cha Oxford chanufaika na makampuni yanayojishughulisha na uhalifu wa Israel
Chuo Kikuu cha Oxford cha nchini Uingereza, ambacho kwa muda mrefu kinajulikana kama kilele cha elimu duniani, kinachunguzwa vikali baada ya kubainika wazi kwamba kimefanya uwekezaji kwa njia isiyo ya…
Kiongozi mkuu wa upinzani Guinea Bissau atupwa nje katika orodha ya mwisho ya uchaguzi
Muungano mkuu wa upinzani nchini Guinea-Bissau na chama cha kihistoria cha PAIGC kilichoko ndani ya muungano huo havitashiriki kwenye uchaguzi wa uchaguzi wa rais na bunge wa mwezi Novemba mwaka…