Wananchi waonyesha kuchoshwa na CCM kuelekea Oktoba 29
Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, wananchi wa Tanzania wameanza kutoa hisia kali dhidi ya CCM wakilalamikia huduma hafifu za kijamii. Je, sauti hizi za wazi ni…
Makocha, Wachezaji waukataa mpira mpya Ligi Kuu Bara, Bodi ya Ligi yafunguka
Wamefunguka ,apungufu wanayoyaona kwenye mpira huo, Soma zaidi hapa
Urusi haitambui vikwazo vya Umoja wa Mataifa kwa Iran
Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa Vassily Nebenzia, amewaambia waandishi habari kwamba nchi yake haitambui vikwazo vya Umoja huo vilivyorejeshewa Iran.
WHO: Ebola ilisababisha vifo vya watu 42 DR Kongo
Shirika la afya Ulimwenguni limesema mripuko wa Ebola uliotangazwa katika Jamhuri ya Kidemkokrasia ya Kongo, mwanzoni mwa mwezi Septemba umesababisha vifo vya watu 42
Ulaya yajipanga upya kuhusu vita na usalama wa Ukraine
Karibu viongozi 50 wa Ulaya wamekutana Copenhagen kujadili vita vya Ukraine, usalama wa bara na changamoto za kiuchumi huku Rais Volodymyr Zelensky akitafuta msaada zaidi kufuatia kupungua kwa uungwaji mkono…
Inaelezwa kuwa karne ya sasa, wanawake wengi huchelewa kuzaa kutokana na sababu mbalimbali kama masomo, kazi, biashara, na baadh…
Inaelezwa kuwa karne ya sasa, wanawake wengi huchelewa kuzaa kutokana na sababu mbalimbali kama masomo, kazi, biashara, na baadhi huanza kuzaa tu baada ya ndoa. Hali hii mara nyingine husababisha…
Wanaharakati wa Sumud Flottilla kurejeshwa Ulaya
Msafara wa Sumud Flottilla wa takriban meli na mashua 45 ukielekea Gaza wazuiwa na wanaharakati wakamatwa na jeshi la Israel katika eneo la bahari la Kimataifa
Ni ukweli wa wazi kuwa upendo na mshikamano kwenye familia huchangia kwa kiasi kikubwa sana mafanikio ya wana familia kiuchumi n…
Ni ukweli wa wazi kuwa upendo na mshikamano kwenye familia huchangia kwa kiasi kikubwa sana mafanikio ya wana familia kiuchumi na kijamii. Lakini isivyo bahati, katika baadhi ya familia mafanikio…
Rais wa Colombia aendeleza kampeni ya kumkosoa Rais Trump wa Marekani
Katika siku za hivi karibuni, Rais Gustavo Petro wa Colombia, ameendeleza ukosoaji mkali dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani na sera za utawala wake.
Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya ja…
Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito. Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama…
Kufuatia malalamiko ya wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kuhusu huduma zisizoridhisha za mabasi ya mwendokasi, Rais Samia Suluhu…
Kufuatia malalamiko ya wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kuhusu huduma zisizoridhisha za mabasi ya mwendokasi, Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza mabadiliko katika uongozi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo…
‘Kikosi kilichounganishwa’ cha AES kinaingia katika awamu yake ya uendeshaji nchini Niger
“FU-AES” inawakilisha kikosi kilichounganishwa cha Muungano wa Nchi za Sahel. Hili ndilo lilikuwa lengo la ziara ya Jenerali Abdourahamane Tiani mjini Bamako siku ya Jumanne, Septemba 30. Mkuu wa nchi…
Jinai za Marekani wakati wa uvamizi wa Iraq
Jinai za Marekani wakati wa kuikalia kwa mabavu Iraq zilikuwa kubwa na mfano mchungu sana wa mauaji na uharibifu chini humo ambazo wavamizi wa Kimarekani walijaribu na hadi sasa wanaendelea…
Jamii nyingi duniani zinakabiliwa na tatizo la ukatili na hatua mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa ili kupunguza matukio hayo
Jamii nyingi duniani zinakabiliwa na tatizo la ukatili na hatua mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa ili kupunguza matukio hayo. Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Ilala, Joyce Maketa ameeleza aina za ukatili…
Iran: Uchokozi wa Israel dhidi ya msafara wa Sumud ni ugaidi na ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali kitendo cha utawala ghasibu wa Israel cha kuivamia kijeshi msafara wa kimataifa wa meli unaojulikana kama Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda wa…
Iran: Uchokozi wa Israel dhidi ya msafara wa Sumud ni ugaidi na ukiukaji wa wazi wa sheria wa kimataifa
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali kitendo cha utawala ghasibu wa Israel cha kuivamia kijeshi msafara wa kimataifa wa meli unaojulikana kama Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda wa…
Iran na Japan zafungua ukurasa mpya katika ushirikiano wa kisayansi
Waziri wa Sayansi, Utafiti na Teknolojia wa Iran Hossein Simaee amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Iran Tamaki Tsukada kabla ya kufanya ziara huko Japan kwa lengo…
Maandamano yashtadi Madagascar huku Rais akishinikizwa kujiuzulu
Mitaa mbali ya Madagascar jana Jumatano ilishuhudia maandamano ya wananchi wanaoshinikiza kujiuzulu raia wa nchi hiyo. Polisi ya nchi hiyo kwa upande wake walichukua hatua za kuzuia kuibuka ghasia katika…
Somalia yaridhia katiba ya Afrika kuhusu haki na ustawi wa watoto
Bunge la Shirikisho la Somalia jana lilipasisha Mkataba wa Afrika wa Haki na Ustawi wa Mtoto baada ya wabunge kukutana mjini Mogadishu.
WHO: Mlipuko wa Ebola Kongo waonyesha dalili za kupungua maambukizi
Shirika la Afya Duniani( WHO) limetangaza kuwa mlipuko wa wa ugonjwa wa Ebola kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaonyesha "dalili za kupungua kwa maambukizi".
Wananchi wameeleza maoni yao baada ya mabasi mapya ya mwendokasi ya kampuni ya MOFAT kuanza kutoa huduma kwa abiria wanaosafiri …
Wananchi wameeleza maoni yao baada ya mabasi mapya ya mwendokasi ya kampuni ya MOFAT kuanza kutoa huduma kwa abiria wanaosafiri kati ya Mbezi na Kimara, hatua iliyolenga kupunguza kero ya…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, ametoa rai kwa wananchi kutojihusisha na vitendo vya uharibifu …
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, ametoa rai kwa wananchi kutojihusisha na vitendo vya uharibifu wa miundombinu ya umma licha ya changamoto za usafiri zinazojitokeza,…
Mtaalamu maarufu wa sayansi ya wanyama pori Jane Goodall afariki akiwa na umri wa miaka 91
Mwanaharakati wa mazingira raia wa Uingereza Jane Goodall, ambaye alikuwa mbobezi katika sayansi ya wanyamapori na hasa uhusiano kati ya sokwemtu na binadamu na kujipatia umaarufu mkubwa duniani kutokana na…
Tanzania: Ukandamizaji unaozidi kutishia uchaguzi wa Octoba
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch, katika ripoti yake inaishtumu serikali ya Tanzania kwa kuminya uhuru wa kisiasa, hatua ambayo inatilia shaka iwapo uchaguzi…
Ethiopia: Karibu watu 40 na wengine 200 kujeruhiwa katika jengo la kanisa
Watu karibu 40 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 200 wamejeruhiwa, baada ya kuangukiwa na fito na mbao za kushikilia jengo la Kanisa nchini Ethiopia. Imechapishwa: 02/10/2025 – 08:09 Dakika…
Uganda: Wanaharakati 2 wa Kenya watekwa nyara nchini Uganda walipokuwa kwenye kampeni ya Bobi Wine
Wanaharakati wawili wa nchini Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo, wameripotiwa kutekwa nyara nchini Uganda katika mazingira ya kutatanisha. Imechapishwa: 02/10/2025 – 07:57 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Korea Kusini yakubali kuwajibika kwa kuasili watoto kwa njia mbaya
Korea Kusini imekubali kwa mara ya kwanza leo Alhamisi, Oktoba 2, wajibu wake wa kuasili makumi ya maelfu ya watoto waliotumwa nje ya nchi kwa njia mbaya “kupitia” wakati mwingine…
Idadi ya waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi nchini Ufilipino yafikia 72
Idadi ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.9 kipimo cha Richter lililopiga katikati mwa Ufilipino siku ya Jumanne jioni imeongezeka hadi 72, kulingana na shirka…
GSF inaendelea Gaza licha ya boti zake kuzuiliwa na Israel
Msafara wa meli, ujulikanao kama Global Sumud Flotilla (GSF), unaobeba misaada kuelekea ukanda wa Gaza ilutangaza mapema leo Alhamisi, Oktoba 2, kwamba unaendelea na safari yake kuelekea eneo lenye vita…
Marekani kuipa Ukraine taarifa za kijasusi kutumika kwa mashambulizi dhidi ya Urusi
Marekani itapanga kuipatia Ukraine taarifa za kijasusi zitakazotumika kuratibu mashambulizi ya makombora ya masafa marefu dhidi ya miundombinu ya nishati ya Urusi, maafisa wawili wamesema siku ya Jumatano, wakati nchi…
Italia: Maandamano yazuka kufuatia kuzuiwa kwa meli za misaada ya kibinadamu kuelekea Gaza
Vyama vya wafanyakazi vya Italia vimeitisha mgomo wa jumla siku ya Ijumaa kwa mshikamano na shirika la kimataifa la misaada kwa Gaza. Maandamano yalizuka katika miji kadhaa siku ya Jumatano…
Israel yazuia msafara wa meli ya misaada kuelekea Gaza
Jeshi la wanamaji la Israel limekamata meli zilizokuwa zimebeba misaada kuelekea Gaza na kuwaweka kizuizini wanaharakati waliokuwa ndani, akiwemo mwanaharakati wa hali ya hewa wa Sweden Greta Thunberg. Imechapishwa: 02/10/2025…
Madagascar: Vyama vya wafanyakazi vyaungana na vuguvugu la maandamano na Rajoelina ajiuzulu
Vyama vya wafanyakazi nchini Madagascar vinaongeza shinikizo kwa Rais Andry Rajoelina, wiki moja baada ya kuanza kwa vuguvugu la maandamano ambalo halijawahi kushuhudiwa linaloitikisa taifa hivi sasa. Mshikamano wa Vyama…
WHO yatangaza vifo 42 kufuatia mlipuko wa hivi punde wa Ebola nchini DRC
Mlipuko mpya wa Ebola umekuwa ukiendelea tangu mapema mwezi Septemba nchiniJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika Mkoa wa Kasai. Kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), watu 42 wamefariki kati…
Colombia yawatimua wanadiplomasia wa Israel kwa kuvamiwa msafara wa Sumud, yasema Trump ni wa kufungwa jela
Colombia imewafukuza wanadiplomasia wa utawala wa kizayuni wa Israel kwa uchokozi uliofanywa na utawala huo ghasibu wa kuuvamia kijeshi msafara wa kimaataifa wa meli unaojulikana kama Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda…
Ripoti – Wanawake wanazidi kunyanyaswa kwenye mitandao
NAIROBI – Kadri matumizi ya mitandao yanavyoongezeka barani Afrika, wanawake na wasichana wanazidi kuripoti ukatili kutokana na matumizi hayo ya mitandao. Imechapishwa: 02/10/2025 – 04:56 Dakika 3 Wakati wa kusoma…
Watafiti Watano wa Iran kutoka Taasisi ya Royan wamo kati ya asilimia 2 bora duniani
Watafiti watano kutoka Taasisi ya Royan nchini Iran wametajwa miongoni mwa asilimia 2 ya wanasayansi wanaonukuliwa zaidi duniani, kwa mujibu wa orodha iliyochapishwa na Chuo Kikuu cha Stanford.
Uingereza imeipatia Israel zaidi ya risasi 100,000 ndani ya mwezi mmoja wakati wa mauaji ya kimbari Gaza
Uchunguzi wa hivi karibuni umebaini kuwa Uingereza iliukabidhi utawala katili wa Israel jumla ya risasi 110,000 katika mwezi Agosti, wakati jeshi la Israel likiendelea na vita ya mauaji ya kimbari…
Russia: Hatua ya kurejesha vikwazo dhidi ya Iran haina uhalali, yavunja Mkataba wa UN
Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Vasily Nebenzya, amesema kuwa hatua ya baadhi ya mataifa ya Magharibi kurejesha vikwazo kupitia utaratibu wa “snapback” dhidi ya Iran haina msingi wa…
Rais wa Nigeria atangaza ‘hali mbaya zaidi imepita’
Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ameadhimisha miaka 65 ya uhuru wa taifa lake kwa hotuba iliyojumuisha heshima kwa waasisi wa taifa na tathmini ya mageuzi aliyosema yameinusuru nchi yenye…
Maduro: Venezuela si ‘koloni’, uchokozi wa Marekani utakabiliwa kwa mshikamano wa kikanda
Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, ameonya kuwa shambulio lolote dhidi ya taifa lake litakabiliwa kwa mshikamano wa mataifa ya ukanda, akisisitiza kuwa nchi hiyo katu haiwezi kuwa koloni wala kutawaliwa…
Kinachoifanya Russia ishikilie msimamo kwamba kurejeshwa vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran kunapingana na Mkataba wa UN
Russia imetangaza kuwa madai ya kurejesha vikwazo dhidi ya Iran hayana msingi wowote na hatua iliyochukuliwa na Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na suala hilo inapingana na Mkataba wa…
Alkhamisi, Oktoba Pili, 2025
Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 10 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe Pili Oktoba 2025 Miladia.
Leo Katika Historia, Alkhamisi, Oktoba Pili, 2025
Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 10 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe Pili Oktoba 2025 Miladia.
02.10.2025
Hali ya mambo katika maeneo ya Gaza City imechukuwa mwelekeo wa kuzusha wasiwasi mkubwa+++Hadi sasa mamlaka za Uganda zimesita kutoa taarifa kuhusu kukamatwa kwa wanaharakati wawili wa kisiasa raia wa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 2,2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Samia: Wananchi tukapige kura usalama ni mkubwa
Kulingana na Samia, wale wanaoshawishi kuvunja amani wana mahali pa kukimbilia wao na familia zao.
KMKM yavuna Sh10.5 millioni, yaanza kuiwinda Azam kimataifa
MABAHARIA wa KMKM, wamefanikiwa kuvuna Sh10.5 millioni kutoka kwa Mkuu wa Kikosi cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), Azana Hassan Msingiri ikiwa sehemu ya kuipongeza timu hiyo kwa kuingia hatua ya…
ZEC: Wapiga kura 8,325 Zanzibar wakosa sifa
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeidhinisha jumla ya wapiga kura 717,557 watakaoshiriki kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
KVZ, JKU hakuna mbabe ZPL
MECHI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) iliyochezwa leo Oktoba 1, 2025 kati ya JKU na KVZ kwenye Uwanja wa Mao A mjini Unguja, imemalizika kwa sare ya mabao 2-2.