Kipi kinafuata Iran baada ya kurejeshewa vikwazo?
Kwa mara nyingine Iran inajikuta chini ya vikwazo vikali vya kimataifa kuhusiana na mpango wake wa nyuklia na wa makombora ya masafa marefu. Haya yanajiri baada ya mkwamo wa mazungumzo…
Uchagzi wanukia Tanzania wagombea wazidi kuomba kura
Wagombea Tanzania wameendelea kurusha kete zao za kisiasa vilivyo na wakiwekeza katika mbinu mbadala za ushindi huku wananchi nao wakitoa maoni yao wakati wakisubiri siku ya kupiga kura.
Hofu ya bomu lazua taharuki tamasha la Oktoberfest
Uwanja wa tamasha maarufu la bia, Oktoberfest, nchini Ujerumani huko mjini Munich umefungwa kwa muda hadi baadae jioni hii kutokana na kitisho cha bomu.
Samia anadi sera akiomba kura kwa wananchi
Mgombea urais wa chama tawala CCM nchini Tanzania ambaye pia ni Rais wa Taifa hilo la Afrika Mashariki Samia Suluhu Hassan, anaendelea kunadi sera zake akiomba kura kwa wananchi.
mechi kadhaa za Ligi ya Mabingwa ya UEFA (UEFA Champions League) katika hatua ya pili ya makundi
eo, Jumatano Oktoba 1, 2025, kuna mechi kadhaa za Ligi ya Mabingwa ya UEFA (UEFA Champions League) katika hatua ya pili ya makundi (Matchday 2). Hizi hapa ni baadhi ya…
“Champions League: Real Madrid, Bayern, na Marseille Washangaza Uwanjani; Galatasaray Yashinda Liverpool!”
Hapa chini ni matokeo ya mechi za Ligi ya Mabingwa ya UEFA zilizochezwa Jumanne, Septemba 30, 2025: 🔥 Matokeo ya Mechi Kwa matokeo haya, baadhi ya timu zimejiimarisha kileleni mwa…
“Yanga SC Yakataliwa Sokoine: Djigui Diarra Akishika Ushindi Kwa Kuokoa Mabao, Mashabiki Wakiita Folz Aondoke!
Hapa nimeandaa players rating za wachezaji wa Yanga SC kulingana na mechi ya Septemba 30, 2025 dhidi ya Mbeya City (0-0) na uchambuzi uliotolewa. Nimezitumia alama ya nyota 1–5 (5…
“Historia Inajirudia: Yanga Inapata Mgogoro Uwanjani Mbeya”
🏟️ Muhtasari wa Mechi 🔹 Maelezo Muhimu 🔹 Muhtasari wa Kihistoria Kwa kifupi, Yanga SC imekataliwa na Mbeya City uwanjani Sokoine, mashabiki wanaendelea kushinikiza mabadiliko ya kocha, huku Folz na…
Pezeshkian: Iran inatoa kipaumbele kuimarisha uhusiano na China
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran katika ujumbe wake kwa mwenzake wa China, Xi Jinping, amesisitiza kuwa Tehran inatoa kipaumbele kwa suala la kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na wa kina na…
NHK General Site Privacy Notice – NHK WORLD-JAPAN
NHK WORLD is the international service of NHK, Japan's largest broadcasting organization.
Matumizi ya plastiki kama nishati ya kupikia yasababisha kuenea kwa magonjwa ya kupumua
Huko Ukanda wa Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel wanawake katika eneo la Deir al- Balah wanalazimika kutumia majiko ambayo wanachochea taka za plastiki na makaratasi ili kupota…
Lazima tutambue mchango wa wazee katika kuunda jamii zenye haki: UN
Umoja wa Mataifa umeitaka jamii ya kimataifa kutambua nafasi inayokua ya wazee katika kuunda jamii thabiti na za haki.
Maambukizi ya Ebola yapungua Kasai, DRC – WHO
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani, WHO limesema mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kwenye jimbo la Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (DRC) bado upo lakini maambukizi…
Mwanamuziki Angelique Kidjo asimulia safari yake ya elimu akiunga mkono wito wa UNICEF kwa viongozi wa Afrika
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF linatoa wito kwa viongozi wa Afrika kufanya uwekezaji wa kifedha wa busara utakaowezesha watoto kupata ujuzi wa msingi wa kujifunza na…
Takwimu za UNGA: Hotuba ndefu zaidi, Wanawake Wachache, na baadhi kutokuwepo
Kwa muda wa siku sita, safu ya viongozi wa dunia (194 kwa jumla, 24 tu kati yao wakiwa ni wanawake) walitoa hotuba kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kutoka…
Kumalizika kwa AGOA kutaathiri upanuzi wa mauzo ya Afrika kuelekea Marekani
Hatma ya bidhaa nyingi za kilimo na viwandani kutoka Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kuelekea Marekani ipo mashakani kufuatia kumalizika kwa muda wa Mpango wa Ukuaji na Fursa za…
IOM yazindua jukwaa la kusaidia harakati za vijana wahamiaji Afrika
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) leo huko Geneva, Uswisi kwa kushirikiana na wadau kutoka Nairobi, Kenya, wamezindua jukwaa la kidijitali linalounganisha vijana wa Afrika, Wakawell Youth Hackathon,u…
Muungano wa Mataifa ya Sahel (AES) kuunda jeshi la pamoja
Rais wa Niger, Abdourahamane Tchiani amesema ulinzi na usalama ni nguzo kuu ya Shirikisho la Muungano wa Nchi za Sahel (AES), huku jumuiya hiyo ikijiandaa kuunda kikosi cha pamoja cha…
Araghchi aiambia CNN: Kurutibisha urani ni haki ya msingi ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kurutubisha madini ya urani ni haki isiyopingika na isiyopokonyeka ya Jamhuri ya Kiislamu.
Araghchi aiambia CNN: Kurutibisha urani ni haki ya msingi ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kurutubisha madini ya urani ni haki isiyopingika na isiyopokonyeka ya Jamhuri ya Kiislamu.
Jihadul Islami, Ansarullah zapinga mpango wa Trump-Netanyahu kuhusu Gaza
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Jihadul Islami ya Palestina amekosoa vikali mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wenye vipengele 20 wa eti kumaliza vita vya mauaji ya…
Tetemeko la ardhi laua makumi ya watu nchini Ufilipino
Tetemeko kubwa la ardhi lilitokea katikati mwa Ufilipino jana Jumanne usiku limeua watu zaidi ya 70 na kujeruhi wengine kadhaa, maafisa wa eneo hilo wamesema hayo leo Jumatano.
Tetemeko la ardhi laua makumi ya watu nchini Ufilipino
Tetemeko kubwa la ardhi lilitokea katikati mwa Ufilipino jana Jumanne usiku limeua watu zaidi ya 70 na kujeruhi wengine kadhaa, maafisa wa eneo hilo wamesema hayo leo Jumatano.
Rais wa Colombia: Trump anapasa kufungwa jela kwa jinai za Gaza
Rais wa Colombia, Gustavo Petro amekosoa vikali sera za mwenzake wa Marekani na kusema kuwa, Donald Trump ni mshiriki wa mauaji ya kimbari huko Gaza na anapaswa kufungwa jela.
Rais wa Colombia: Trump anapasa kufungwa jela kwa jinai za Gaza
Rais wa Colombia, Gustavo Petro amekosoa vikali sera za mwenzake wa Marekani na kusema kuwa, Donald Trump ni mshiriki wa mauaji ya kimbari huko Gaza na anapaswa kufungwa jela.
Shughuli za serikali ya Marekani zasimama
Shuguli za serikali ya Marekani zimesimama rasmi baada ya wabunge kushindwa kukubaliana kuhusu mpango wa matumizi ya serikali.
Huduma ya mitandao ya nafuu Afrika Mashariki
NAIROBI – Afrika Mashariki inashuhudia mabadiliko kwenye matumizi ya huduma za mitandao baada ya kampuni ya kutoa huduma za mitandao ya Mawingu kupokea ufadhili wa hadi dola milioni 20 ili…
Haiti kupewa kikosi kikubwa zaidi kupambana na wahalifu
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kukibadilisha Kikosi Maalumu cha Kimataifa nchini Haiti kuwa kikosi kamili cha kijeshi ili kukabiliana na magenge ya wahalifu yanayoitikisa nchi…
Mpango wa Trump wa vipengele 20, tapatapa ya kuuokoa utawala wa kizayuni usishindwe katika vita vya Ghaza
Makundi ya Muqawama katika eneo hili la Asia Magharibi yakiwemo ya Jihadul-Islami ya Palestina na Ansarullah ya Yemen yameuelezea mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya Ghaza…
Mpango wa Trump wa vipengele 21, tapatapa ya kuuokoa utawala wa kizayuni usishindwe katika vita vya Ghaza
Makundi ya Muqawama katika eneo hili la Asia Magharibi yakiwemo ya Jihadul-Islami ya Palestina na Ansarullah ya Yemen yameuelezea mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya Ghaza…
Bado Watatu – 46
Nilipobisha mlango wa nyumba yake, Hamisa alikuja kunifungulia. Akanikaribisha ndani. “Karibu.” Sauti yake ilikuwa ya adabu na nidhamu. Niliomba Mungu asibadilike tena na kuwa chui.
Bado Watatu – 45
Mzee alizipokea pesa hizo na kunishukuru. “Nitakapohitaji tena maelezo yako nitakufuata.” “Asante sana. Karibu na ninakukaribisha kwa mara nyinyine tena. Utakapohitaji kuja kwangu usisite, njoo tu.”
Bado Watatu – 44
Nikaingia katika kile chumba. Mwanga uliokuwemo ulikuwa hafifu sana kwa sababu chumba chenyewe hakikuwa na dirisha. Ukuta wake wa upande wa nje ulijengwa kwa matofali na sehemu ya dirisha ilizibwa…
SEPAH: Iwapo vita vipya vitazuka, tutatoa pigo zito zaidi kuliko la huko nyuma
Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amezungumzia njama za maadui dhidi ya taifa la Iran na kusisitiza kwa kusema: "Ni jambo lisilo na chembe ya shaka…
Makombora ya Yemen yafunga uwanja wa ndege wa pili wa Israel
Miaka sita baada ya kufunguliwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ramon kwa kelele na mbwembwe nyingi, ukiwa ni uwanja wa ndege wa pili kwa ukubwa wa utawala wa Kizayuni,…
UN yataka kutekelezwa azimio la kusitisha mapigano mashariki mwa DRC
Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alisema jana Jumanne kwamba, azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa mapigano mashariki…
Mashirika ya silaha ya Israel yakumbwa na janga la kusambaratika
Kadiri jinai na mauaji ya kimbari ya Israel yanavyozidi kuongezeka huko Ghaza, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Lebanon ndivyo ususiaji wa kimataifa unavyozidi kushika kasi na sasa hivi…
Uingereza iliipa Israel zaidi ya risasi 10,000 mwezi Agosti ili kufanya mauaji ya kimbari Ghaza
Taarifa kutoka nchini Uingereza zimefichua kuwa, nchi hiyo ya kifalme ya Ulaya iliupa utawala wa Kizayuni risasi 110,000 ndani ya mwezi mmoja tu ili Israel iendelee kufanya mauaji ya kimbari…
Deni lililofichwa nchini Senegal: Macky Sall aanzisha mjadala
Aliyekuwa rais wa Senegal Macky Sall, wakati wa mahojiano yake nje ya nchi, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu deni lililoikabili Senegal. Baada ya kuondoka kwa rais huyo wa zamani,…
Baada ya serikali ya Marekani kufunga shughuli zake rasmi, upi mustakabali wa AGOA barani Afrika
Kwa wiki kadhaa, hali ya sintofahamu imetawala juu ya mustakabali wa mkataba huu wa kibiashara ulioanzishwa chini ya utawala wa Bill Clinton kati ya nchi 32 za Afrika na Marekani.…
Madagascar: Maelfu ya waandamanaji waandamana na kumtaka Rajoelina ajiuzulu
Watu zaidi na zaidi wanajiunga na vuguvugu la maandamano yanayotikisa mji mkuu wa Madagascar, Antananarivo. Licha ya tangazo la Andry Rajoelina siku ya Jumatatu, Septemba 29, la kufutwa kwa serikali…
Haiti: Ujumbe wa Usaidizi wa Usalama wa Kimataifa kutoa nafasi kwa kikosi imara zaidi
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jumanne, Septemba 30, limeidhinisha azimio lenye lengo la kubadilisha Misheni ya Usaidizi wa Polisi ya Haiti inayoongozwa na Kenya kuwa kikosi imara zaidi,…
Pezeshkian: Si katika hulka na dhati ya Iran kusalimu amri
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ameashiria azma na irada thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu mkabala wa mashinikizo ya maajinabi na kutangaza kwamba, taifa hili kamwe halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa.
DRC: Joseph Kabila ahukumiwa adhabu ya kifo
Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri yya Kidemokrasia ya Congo imemhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa rais wa nchi hiyo Joseph Kabila, ikimtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu.
Yemen: Tuko tayari kuungana na ‘jeshi la kimataifa’ linalopendekezwa na Colombia kuikomboa Palestina
Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amepongeza pendekezo la hivi karibuni la Rais wa Colombia wakati wa hotuba yake mbele ya Umoja wa Mataifa la kuundwa 'jeshi la…
Gen-Z wa Morocco waendelea kuandamana wakitaka kuboreshwa elimu, afya
Maandamano yanayoongozwa na vijana wa kizazi cha Gen-Z ya kushinikiza kuboreshwa huduma hospitalini na shuleni yameenea katika miji mbali mbali ya Morocco.
Russia: Hatutashiriki kwenye mpango wa Trump kuhusu Gaza
Sambamba na kusisitizia utayarifu wa Russia wa kutatua mgogoro wa Asia Magharibi, Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesisitiza kuwa Moscow haitashiriki katika mpango wa Rais wa Marekani juu ya…
Venezuela kutangaza ‘hali ya hatari’ iwapo itavamiwa na Marekani
Serikali ya Venezuela imetangaza kuwa itaamilisha "Dikrii ya Dharura ya Kigeni" ikiwa Marekani itaanzisha mashambulizi yoyote ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo.
Je, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limenasa katika mtego wa kura ya turufu?
Haki ya kura ya turufu ni mojawapo ya masuala yenye utata kuhusu mamlaka ya wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Jumatano, Oktoba Mosi, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 8 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 9 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe Mosi Oktoba 2025 Miladia.