Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 1, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
EU yasisitiza umuhimu wa ulinzi dhidi ya droni
Umoja wa Ulaya umesisitiza umuhimu wa kuwekeza katika ulinzi dhidi ya ndege zisizo na rubani barani Ulaya. Lakini Jumuiya hiyo imesema itachukua muda mrefu zaidi ili kujenga uwezo wa ulinzi…
Kabila: Safari ya urais hadi hukumu ya kifo DRC
Joseph Kabila alipanda madarakani akiwa na umri wa miaka 29 na kuiongoza DRC kwa karibu miongo miwili. Sasa akiwa uhamishoni na akikabiliwa na mashtaka ya usaliti na kuunga mkono waasi…
Samia: CCM itajenga na kuinua utu wa Mtanzania
Kulingana na mgombea huyo, endapo CCM itapewa ridhaa ya kuongoza tena, serikali yake itaanza utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote ili kila Mtanzania awe na uhakika wa…
Wimbi jipya barani Afrika la kuunga mkono Palestina na kulaani Israel
Wananchi na viongozi wa nchi za Kiafrika wamelaani jinai za Israel katika wimbi jipya la kuwaunga mkono Wapalestina.
Marekani: Mahakama ya Marekani yasitiisha agizo la kuwafukuza mamia ya wafanyakazi VOA
Jaji wa shirikisho siku ya Jumatatu amezuia mpango wa utawala wa Trump wa kuwafuta kazi mamia ya wafanyakazi katika shirika la utangazaji la Marekani/Sauti ya Amerika (VOA). Katika uamuzi huo…
Pezeshkian: Utaratibu wa Snapback ni jaribio la kuhalalisha hatua haramu za Magharibi
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja utaratibu wa Snapback kama jaribio la kuhalalisha vitendo haramu vya nchi za Magharibi.
Araqchi: Matakwa ya kupindukia mpaka ya Marekani yamezuia kutatuliwa kadhia ya nyuklia huko New York
Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa makubaliano kuhusu utaratibu kwa jina la "Snapback" hayakufikiwa mjini New York kutokana na matakwa ya kupindukia ya Marekani, ikiungwa…
Russia yaonya kuhusu kuongezeka hatari iwapo Marekani itatuma Ukraine makombora ya Tomahawk
Russsia imesema kuwa jeshi lake linachunguza iwapo Marekani itaikabidhi Ukraine makombora ya meli ya Tomahawk au la kwa ajili ya kutekeleza mashambulizi dhidi yake; hatua ambayo maafisa wa Russia wanasema…
Viongozi wa UN na wadau kumulika zahma inayokabili wakimbizi wa kabila la warohingya
Zaidi ya miaka minane tangu zaidi ya wakimbizi 750,000 waislamu wa kabila la warohingya wakimbie Myanmar kuelekea kwenye kambi kubwa nchini Bangladesh, mgogoro huo bado haujapatiwa suluhisho
Gaza: Sitisho la mapigano ni muhimu, wakati dunia ikisubiri taarifa za mpango wa amani wa Marekani
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamerejelea wito wao wa kutaka usitishaji wa mapigano wa haraka huko Gaza, eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israeli, ili kusaidia kupunguza mateso ya wapalestina,…
UNESCO yazindua suluhisho jipya la AI kwa Afrika katika mkutano wa G20
Katika mkutano wa G20 kuhusu Akili Mnemba AI barani Afrika unaofanyika wiki hii, Shirika la Umoja wa Mastaifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO limetangaza mfululizo wa suluhu bunifu na…
Utafsiri una jukumu muhimu katiika kuhudumia Dunia: UN
Kila mwaka tarehe 30 Septemba, Umoja wa Mataifa huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uafsiri.
EAC yasisitiza usalama, uchumi na masuala ya kidijitali katika UNGA80
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, Veronica Nduva, akizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa ameeleza jinsi jumuiya hiyo inavyoshirikiana na mashirika ya kikanda na kimataifa…
Kilichomo kwenye makaratasi ya maazimio si uhalisia wa kinachoendelea DRC – Bi. Keita
Licha ya hatua za hivi karibuni za kidiplomasia zilizofikiwa kwa maandishi, hali halisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) bado ni mbaya, kwa mujibu wa Bintou Keita, Mwakilishi Maalum…
Hali ya Rohingya nchini Myanmar, ‘mtihani kwa ubinadamu’
“Nyumba zimechomwa. Majirani wameuawa. Tumaini linapotea.” Kwa maneno hayo makali, Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Annalena Baerbock amefungua mkutano wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa…
Wafanyakazi wa sekta ya mafuta Nigeria waendelea na mgomo wakipinga kupunguzwa wafanyakazi katika kiwanda cha Dangote
Ofisi za idara ya Udhbiti wa Mafuta na Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Nigeria zimefungwa kutokana na mgomo wa kitaifa ulioanzishwa na jumuiya ya wafanyakazi wa sekta ya mafuta…
Namibia yafanikiwa kuzuia kuenea moto uliounguza zaidi ya theluthi moja ya mbuga ya taifa
Indileni Daniel Waziri wa Mazingira, Misitu na Utalii wa Namibia amesema kuwa nchi yake imeathiriwa na moto mkubwa wa nyika ambao umeteketeza zaidi ya theluthi moja ya Mbuga ya Taifa…
Benjamin Netanyahu: ‘Sijakubali kabisa’ taifa la Palestina katika mazungumzo na Rais Trump
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amekanusha kukubali kanuni ya taifa la Palestina katika video iliyorushwa leo Jumanne, Septemba 30, kwenye akaunti yake ya Telegram baada ya kuwasilishwa kwa mpango wa amani…
Tehran yatangaza kurejea kwa raia 120 waliofukuzwa Marekani
Iran imetangaza leo Jumanne, Septemba 30, kurejea wiki hii kwa raia wake 120 waliofukuzwa nchini Marekani, kama sehemu ya sera ya Rais Donald Trump ya kupinga uhamiaji. Uamuzi huu, mfano…
DRC: Hatima ya Joseph Kabila kujulikana leo Jumanne
Mahakama Kuu ya Kijeshi ya Kinshasa inatarajiwa kutoa uamuzi wake leo Jumanne, Septemba 30, katika kesi inayomkabili rais wa zamani Joseph Kabila. Awali hukumu hiyo ambayio ilipangwa kutolewa Septemba 12,…
Ukraine inashutumu ndege zisizo na rubani za Hungary kwa kupaa katika eneo lake
Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orban anajulikana kwa ukaribu wake na Moscow: anakataa kutoa msaada wa kijeshi kwa Kyiv na mara kwa mara anazuia mazungumzo ya kujiunga na Ukraine na…
Marekani-Afrika: Je, sera ya biashara ya Donald Trump itasitisha AGOA?
Mwaka wa 2000, chini ya Bill Clinton, AGOA (African Growth and Opportunity Act) iliundwa kwa lengo la wazi: kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Marekani na Kusini mwa Jangwa la…
Albania Yateua Akili Bandia “Diella” kuwa Waziri wa Kwanza wa Serikali ya kidijitali
Hatua hiyo, iliyotangazwa mnamo Septemba 2025, ni mara ya kwanza kwa nchi yoyote kuweka rasmi majukumu ya mawaziri kwa mfumo wa Akili Bandia kama nji aya kukabiliana na ufisadi
Mexico: Baada ya mwaka mmoja madarakani, umaarufu wa Claudia Sheinbaum bado upo
Baada ya mwaka mmoja madarakani, Rais wa Mexico Claudia Sheinbaum bado anafurahia umaarufu mkubwa, hata kama anakabiliwa na changamoto kubwa, ikiwa ni pamoja na uhusiano mgumu na mwenzake wa Marekani,…
Mkuu wa Exxon alitaka hakikisho la usalama kwa mradi wa gesi kutoka kwa rais wa Msumbiji
Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya Exxon, Darren Woods alitaka kuhakikishiwa usalama na rais wa Msumbiji Daniel Chapo kwa mradi wa gesi wa dola bilioni 30 kabla ya kuruhusu mpango…
DRC: Shirika lisilo la kiserikali linataka ukaguzi wa Mfuko wa madini kwa vizazi vijavyo
Pesa za Mfuko wa madini kwa vizazi vijavyo zinakwenda wapi? Mfuko huu ambao umeundwa ili kuhakikisha maisha ya “baada ya uchimbaji madini” nchini DRC, una dhamira ya kujenga utajiri kwa…
Ukraine: Watu wanne wameuawa katika shambulizi la ndege zisizo na rubani za Urusi Sumy
Familia ya watu wanne wameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Urusi katika eneo la Sumy kaskazini mwa Ukraine, mkuu wa utawala wa kijeshi wa kikanda, Oleg Grygorov,…
Serikali ya Trump yaunga mkono mpango wa kuongeza muda wa mwaka 1 kwa biashara ya Afrika
Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump unaunga mkono kuongezwa kwa mwaka mmoja kwa mpango wa kibiashara kati ya Afrika na Marekani, ambao muda wake unamalizika leo, 30, Septemba, kulingana…
Iran yalaani urejeshaji vikwazo vya UN vilivyokwisha muda wake uliofanywa na Marekani na Ulaya
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ameikosoa Marekani na mataifa matatu ya Ulaya kwa kujaribu kutumia utaratibu wa 'snapback' wa makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015 ili…
Katibu Mkuu wa Jihadul-Islami ya Palestina, Ansarullah ya Yemen ‘wauponda’ mpango wa Trump kuhusu Ghaza
Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesisitiza kwamba, mpango wa Donald Trump kwa ajili ya Ukanda wa Ghaza ni mpango wa utawala wa Kizayuni na ni waraka wa…
Rais wa Madagascar avunja serikali sambamba na watu wasiopungua 22 kuuawa katika maandamano
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina ameivunja serikali yake siku ya Jumatatu kutokana na kupamba moto maandamano ya upinzani yanayoongozwa na vijana ya kulalamikia uhaba mkubwa wa maji na umeme, mgogoro…
Corbyn: Achilia mbali Ghaza, Tony Blair hafai kuwepo popote katika Mashariki ya Kati
Kiongozi wa zamani wa Chama cha Leba nchini Uingereza Jeremy Corbyn amesema, waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Tony Blair sio tu hafai kupewa mamlaka ya uliwali wa kuendesha…
Trump awaita ‘wapumbavu’ washirika wa Marekani wa Ulaya walioitambua nchi ya Palestina
Rais wa Marekani Donald Trump amewashambulia vikali kwa kuwaita wapumbavu washirika wakuu wa Ulaya wa nchi hiyo ikiwemo Uingereza na Ufaransa kwa kuitambua rasmi nchi ya Palestina.
Madagascar: Rais Rajoelina, amelivunja baraza lake la mawaziri baada ya maandamano ya vijana
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, ametangaza kulivunja baraza lake la mawaziri kufuatia maandamano mabaya Zaidi kuripotiwa kwenye kisiwa hicho, raia wakipinga kukatika kwa umeme mara kwa mara pamoja na uhaba…
S. Kusini: Mahakama yatupilia mbali pingamizi ya mawakili wa utetezi katika kesi ya Machar
Mahakama maalumu nchini Sudan Kusini inayosikiliza kesi ya uhaini, mauaji na dhulma za kibinadamu dhidi ya aliyekuwa makamu wa kwanza wa rais Riek Machar, imetupilia mbali pingamizi la mawakili wa…
Israel/Gaza: Mataifa ya Kiislamu yaungana na mataifa yenye nguvu ya Ulaya kuunga mkono mpango wa amani
Mataifa 8 ya kiislamu yametangaza kuunga mkono mpango wa Amani wa rais wa Marekani Donald Trump, kuhusu vita vya Gaza licha ya kuwa baadhi ya wadau wa Palestina kuonesha kutoridhishwa…
Misri na Somalia wajadili ushirikiano wa kijeshi, kuunga mkono utulivu wa Afrika
Waziri wa Ulinzi wa Misri Abdul Majeed Saqr na mwenzake wa Somalia, Ahmed Moalim Fiqi, walijadili njia za kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na kuunga mkono utulivu kote barani Afrika wakati…
Palestina, Uturuki na viongozi wa dunia wanakaribisha mpango wa Trump wa kusitisha mapigano Gaza
Viongozi wa kikanda na kimataifa wanaitaka Hamas kukubali pendekezo la Marekani linalojumuisha kuachiliwa kwa mateka na kupokonywa silaha.
Rais wa Madagascar aifuta serikali kufuatia maandamano
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina ameifuta kazi serikali yake kufuatia maandamano makali dhidi ya kukatika kwa maji na umeme katika eneo la Bahari ya Hindi.
Cameroon kufanya uchaguzi mkuu Oktoba 12, 2025
Cameroon inajiandaa kufanya uchaguzi mkuu Oktoba 12 mwaka huu wa 2025 ambapo wagombea 10 ndio wanaowania kiti cha Urais ikiwa ni pamoja na rais Paul Biya aliyeiongoza nchi hiyo kwa…
Netanyahu aukubali mpango wa amani wa rais Donald Trump
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema anaunga mkono pendekezo la mpango wa amani kwenye Ukanda wa Gaza baada ya mazungumzo na Rais Trump siku ya Jumatatu
Putin: ‘Tunashinda vita vya haki’ nchini Ukraine
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema siku ya Jumatatu kuwa vikosi vya Urusi vinapata ushindi katika kile alichokiita "vita vya haki" nchini Ukraine.
Rais Maduro asaini amri inayomuongezea nguvu wanapovamiwa
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ametia saini amri inayompa mamlaka ya ziada ya usalama kunapotokea uvamizi wa kijeshi nchini humo.
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina aivunja serikali yake
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina ameivunja serikali yake jana Jumatatu baada ya siku kadhaa za machafuko makubwa ambayo Umoja wa Mataifa umesema yalisababisha vifo vya watu 22.
Mamlaka ya Taliban yazima mtandao wa intaneti
Mamlaka ya Kiislam ya Taliban nchini Afghanistan imeamuru kuzimwa kwa mkongo wa taifa wa intaneti "hadi kutakapotangazwa vinginevyo."
Hamas: Mpango wa Trump ‘hauna mpango’, hauna dhamana
Rais wa Marekani ambaye ndiye chanzo kikuu cha mauaji ya umati huko Ghaza kwa uungaji mkono wake wa hali ya juu kwa utawala wa Kizayuni, kwa mara nyingine tena amejifanya…
Pezeshkian apuuzilia mbali vikwazo; asema ni ndoto kuwapigisha magoti Wairani
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maadui wanafanya kila wawezalo kuiwekea vikwazo Iran kwa sababu nchi hii iimekataa kuwapigia magoti na haitakubali kudhalilishwa.
Israel yasitisha huduma uwanja wa ndege wa Tel Aviv kufuatia mashambulizi ya Yemen
Uwanja wa ndege mkuu wa Israel umesimamisha kwa muda safari za ndege baada ya jeshi la Yemen kufanya operesheni maalumu ya shambulizi kwa kutumia kombora la 'hypersonic' aina ya Palestina…
Ripoti: Jeshi la China lafanyia majaribio mifumo ya nyuklia ya mashambulizi mtawalia
Watafiti wa kijeshi wa China wamefanya majaribio ya ulipuaji wa nyuklia mtawalia ili kuunda nguvu kubwa zaidi ya uharibifu.