Skip to content
  • Fri. Jun 19th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Baadhi ya vijana wanaotekeleza awamu ya pili ya programu ya ‘Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT)’ kwa upande wa sekta ya uvuvi wamesema… Watoto wawili, Najma Yusufu na Esther wote wakiwa na umri wa chini ya miaka 10 wanapitia maumivu makubwa kutokana na changamoto … Rais wa Tanzania, Dkt “Baada ya dhiki, faraja” ndivyo tulivyofunzwa na tumelishuhudia hilo mara kadhaa maishani Ruto Amrushia Gachagua Makombora Mazito Katika Hotuba Moto: “Inaonekana Hunijui”
ASTV TANZANIA

Baadhi ya vijana wanaotekeleza awamu ya pili ya programu ya ‘Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT)’ kwa upande wa sekta ya uvuvi wamesema…

June 19, 2026 mjombazecoder
ASTV TANZANIA

Watoto wawili, Najma Yusufu na Esther wote wakiwa na umri wa chini ya miaka 10 wanapitia maumivu makubwa kutokana na changamoto …

June 19, 2026 mjombazecoder
ASTV TANZANIA

Rais wa Tanzania, Dkt

June 19, 2026 mjombazecoder
ASTV TANZANIA

“Baada ya dhiki, faraja” ndivyo tulivyofunzwa na tumelishuhudia hilo mara kadhaa maishani

June 19, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Ruto Amrushia Gachagua Makombora Mazito Katika Hotuba Moto: “Inaonekana Hunijui”

June 19, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Baadhi ya vijana wanaotekeleza awamu ya pili ya programu ya ‘Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT)’ kwa upande wa sekta ya uvuvi wamesema…
ASTV TANZANIA
Baadhi ya vijana wanaotekeleza awamu ya pili ya programu ya ‘Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT)’ kwa upande wa sekta ya uvuvi wamesema…
Watoto wawili, Najma Yusufu na Esther wote wakiwa na umri wa chini ya miaka 10 wanapitia maumivu makubwa kutokana na changamoto …
ASTV TANZANIA
Watoto wawili, Najma Yusufu na Esther wote wakiwa na umri wa chini ya miaka 10 wanapitia maumivu makubwa kutokana na changamoto …
Rais wa Tanzania, Dkt
ASTV TANZANIA
Rais wa Tanzania, Dkt
“Baada ya dhiki, faraja” ndivyo tulivyofunzwa na tumelishuhudia hilo mara kadhaa maishani
ASTV TANZANIA
“Baada ya dhiki, faraja” ndivyo tulivyofunzwa na tumelishuhudia hilo mara kadhaa maishani
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Baadhi ya vijana wanaotekeleza awamu ya pili ya programu ya ‘Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT)’ kwa upande wa sekta ya uvuvi wamesema…
ASTV TANZANIA
Baadhi ya vijana wanaotekeleza awamu ya pili ya programu ya ‘Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT)’ kwa upande wa sekta ya uvuvi wamesema…
Watoto wawili, Najma Yusufu na Esther wote wakiwa na umri wa chini ya miaka 10 wanapitia maumivu makubwa kutokana na changamoto …
ASTV TANZANIA
Watoto wawili, Najma Yusufu na Esther wote wakiwa na umri wa chini ya miaka 10 wanapitia maumivu makubwa kutokana na changamoto …
Rais wa Tanzania, Dkt
ASTV TANZANIA
Rais wa Tanzania, Dkt
“Baada ya dhiki, faraja” ndivyo tulivyofunzwa na tumelishuhudia hilo mara kadhaa maishani
ASTV TANZANIA
“Baada ya dhiki, faraja” ndivyo tulivyofunzwa na tumelishuhudia hilo mara kadhaa maishani
HABARI ZA KIPEKEE

Sudan yatoa “tahadhari nyekundu” kuhusu uwezekano wa kutokea mafuriko nchini

September 30, 2025 mjombazecoder

Sudan imetoa "tahadhari nyekundu" kuhusu uwezekano wa kutokea mafuriko katika majimbo matano kando ya Mto Nile, ikisema kuwa viwango vya maji vimeongezeka katika vijito vyake viwili vikuu, Blue na White…

HABARI ZA KIPEKEE

Je, uzoefu wa kupambana na ubaguzi wa rangi unaweza kuulazimisha utawala wa Kizayuni kuondoka Ghaza

September 30, 2025 mjombazecoder

Wananchi wa Afrika Kusini walifanya maandamano makubwa na ya kihistoria hivi karibuni wakitaka kuvunjwa kikamilifu uhusiano wa kidiplomasia na kibiashara wa nchi hiyo na utawala dhalimu na wa ubaguzi wa…

HABARI ZA KIPEKEE

Jumanne, 30 Septemba, 2025

September 30, 2025 mjombazecoder

Leo ni Jumanne tarehe 7 Rabiul-Thani mwaka 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 8 mwezi Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe 30 Septemba 2025 Miladia.

Uncategorized

Israel yaukubali mpango wa amani, yawaonya Hamas kutoukataa

September 30, 2025 mjombazecoder

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesema anaunga mkono pendekezo la mpango wa amani kwenye Ukanda wa Gaza baada ya mazungumzo na Rais Trump jana Jumatatu huku akiwatahadharisha wapiganaji wa Hamas ikiwa…

Uncategorized

30.09.2025 Matangazo ya Asubuhi

September 30, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump alimkaribisha waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Washington kwa mkutano wa kujadili pendekezo la mpango wa amani wa Ukanda wa Gaza+++Mkutano wa 80 wa…

MAGAZETI

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 30, 2025

September 29, 2025 mjombazecoder

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa

Uncategorized

Erdogan kuhusu UNGA: Suala la Palestina lilitawala, Israel ilisahaulika, kikao na Trump kinatia moyo

September 29, 2025 mjombazecoder

Hakuna aliye tayari kusimama na Israel au kuonekana kwenye picha na serikali ya Netanyahu, isipokuwa mataifa machache,' anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan.

Uncategorized

Marekani-Korea Kaskazini: Kim na Trump watakutna tena

September 29, 2025 mjombazecoder

Viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini wameonesha utayari wa kukutana kwa mara ya nne, lakini pande hazijalegeza msimamo katika suala muhimu la kudhibiti mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini.

Uncategorized

Stoltenberg: Ubinafsi wa Trump na mpango tata wa Ukraine

September 29, 2025 mjombazecoder

Katibu Mkuu wa zamani wa NATO, Jens Stoltenberg, aezela jinsi alivyombembeleza Trump asiondoke NATO, pendekezo la “suluhisho la Kifini” kwa Ukraine, na mvutano wake na Ufaransa kuhusu uongozi na mageuzi…

Uncategorized

Tanzania: Uchaguzi katikati mwa migawanyiko CCM, upinzani

September 29, 2025 mjombazecoder

Kadri Tanzania inavyokaribia uchaguzi wa Oktoba, migawanyiko ndani ya chama tawala na upinzani uliogawanyika inaweza kuamua mustakabali wa kisiasa wa nchi hiyo.

Uncategorized

Suluhisho la mzozo wa Gaza lipo karibu kufikiwa

September 29, 2025 mjombazecoder

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Johann Wadephul, amesema suluhisho la mzozo wa Gaza lipo karibu kufikiwa huku akipongeza juhudi za Marekani za kutaka kusitisha vita katika…

Uncategorized

UNICEF; Watoto wahamishwe kutoka hospitali Gaza City

September 29, 2025 mjombazecoder

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto, UNICEF limetoa wito wa kuhamishwa mara moja kwa kiasi cha watoto 25 walio wagonjwa ama njiti walioko katika mashini za kuwatunza watoto…

Uncategorized

Hungary yafungia tovuti 12 za habari za Ukraine

September 29, 2025 mjombazecoder

Hungary imetangaza leo kufungia ufikiaji wa tovuti 12 za habari za Ukraine baada ya hatua kama hiyo kuchukuliwa na Ukraine na kuzidisha mvutano kati ya mataifa hayo mawili jirani.

Uncategorized

Bangladesh yaishtumu India kwa kuchochea ghasia

September 29, 2025 mjombazecoder

Mshauri mkuu wa utawala wa mpito wa Bangladesh ameishutumu India kwa kuchochea machafuko, kufuatia vifo vya watu watatu katika ghasia za kikabila kwenye wilaya ya kusini-mashariki mwa nchi hiyo.

Uncategorized

Sudan yaonya kuhusu hatari ya mafuriko karibu na mto Nile

September 29, 2025 mjombazecoder

Sudan imetoa onyo la uwezekano wa mafuriko katika majimbo matano kando ya Mto Nile, ikitaja kupanda kwa viwango vya maji katika vijito vyake viwili vikuu, Blue na White Nile.

Uncategorized

Wahamiaji wa Marekani waliopelekwa Ghana wahamishiwa Togo

September 29, 2025 mjombazecoder

Raia wa Afrika Magharibi waliofukuzwa na Marekani na kupelekwa Ghana sasa wanajisimamia mahitaji yao wenyewe nchini Togo baada ya kuachwa huko bila nyaraka zao.

Uncategorized

Afrika: Kufutwa kwa AGOA kunafungua njia mpya

September 29, 2025 mjombazecoder

Mkataba wa kibiashara kati ya Marekani na nchi za Afrika unafikia ukingoni. Kuna tishio la kupotea kwa ajira, lakini pia kuna fursa kwa bara hili kuimarisha ushirikiano mpya wa kibiashara.

Uncategorized

Mzozo wa Urusi-Ukraine waingia hatua ya hatari ya kupanuka

September 29, 2025 mjombazecoder

Ukiukaji wa anga ya NATO, mashambulio ya droni na maombi ya Ukraine ya makombora ya Tomahawk vinatishia kupanua mzozo — Ulaya inakabiliwa na chaguo gumu: kuimarisha vizuizi au kuepuka kuingia…

HABARI ZA KIPEKEE

Iran: Sekretarieti ya UN imevuka mpaka wa mamlaka yake kutangaza urejeshwaji wa vikwazo

September 29, 2025 mjombazecoder

Iran imepinga vikali taarifa ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa kwa nchi wanachama kuhusu kutumika tena maazimio yaliyohitimisha muda wake yanayoilenga Jamhuri ya Kiislamu kwa vikwazo.

Uncategorized

NUKUU ZA VIONGOZI: Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la UN, UNGA80- SIKU YA SITA

September 29, 2025 mjombazecoder

Mjadala Mkuu wa mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo ni siku ya sita ambapo viongozi wa dunia wanaendelea kutoa hotuba zao kwenye ukumbi wa Baraza…

Uncategorized

Hospitali ziko chini ya mashambulizi makubwa ya Israel Gaza, OHCHR yalaani vikali

September 29, 2025 mjombazecoder

Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR, katika eneo linalokaliwa kimabavu la Palestina imetoa onyo kali leo kuhusu kile ilichokiita mashambulizi ya mara kwa mara ya kijeshi…

Uncategorized

Eritrea: Lazima kuwe na mpangilio mpya wa dunia uliojikita katika haki na usawa

September 29, 2025 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Eritrea, Osman Saleh Mohammed, amehutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika Kikao cha 80 au UNGA80, akionya kwamba mfumo wa…

Uncategorized

Ili Afrika ‘iimarike kiafya’ inabidi isiwe tegemezi kwenye masuala ya kifedha – Dkt. Ntuli Kapologwe

September 29, 2025 mjombazecoder

Tukisalia hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, kandoni mwa Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA80, inafanyika mikutano mingine ya pembezoni…

Uncategorized

Wakati wa Afrika kupewa viti na sauti Baraza la Usalama la UN ni sasa: Lokaale

September 29, 2025 mjombazecoder

Mwakilishi wa kudumu wa Kenya katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ekitela Lokaale, amesema kuwa ni wakati muafaka kwa Afrika kupewa nafasi ya kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa…

Uncategorized

Zambia: Kama hakuna utulivu katika eneo moja, hakuna utulivu kila mahali

September 29, 2025 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Zambia, Mheshimiwa Mulambo Haimbe, ambaye amesema Zambia inalaani vikali vita na uvamizi na wanasihi pande zote kwenye mizozo iliyotawala duniani…

Uncategorized

Burundi imefunga ukusara wa machafuko na kufungua wa maridhiano: Bizimana

September 29, 2025 mjombazecoder

Katika hotuba yenye nguvu katika kikao cha 80 cha Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA80 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kikanda wa Burundi,…

Uncategorized

Malawi: Ushiriki wa wanawake katika operesheni za ulinzi wa amani ‘unalipa’

September 29, 2025 mjombazecoder

Malawi katika Mjadala Mkuu wa mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imewakilishwa na Balozi Agnes Mary Chimbiri-Molande ambaye amezungumzia maendeleo ambayo nchi yake imepiga katika kukuza…

Uncategorized

Vatican yasisitiza amani, upokonyaji silaha na heshima kwa ubinadamu: UNGA80

September 29, 2025 mjombazecoder

Vaticani ametoa wito mzito wa mshikamano wa kimataifa, amani na haki wakati wa Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ambapo Askofu Mkuu Paul…

Uncategorized

Pazia la Mjadala Mkuu UNGA80 lafungwa kwa wito wa uwiano wa uwakilishi, mageuzi na hatua za pamoja

September 29, 2025 mjombazecoder

Siku sita za Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA80) zimetamatika leo Jumatatu Septemba 29 alasiri kwa Rais wa Baraza hilo Annalena Baerbock…

Uncategorized

Chekeni Salumu – msichana anayeandika kwa miguu Tanzania

September 29, 2025 mjombazecoder

Simulizi ya Chekeni Salumu ni mfano wa kuigwa wa ujasiri na matumaini. Licha ya kuzaliwa bila mikono, hakukata tamaa. Akiwa bado msichana mdogo, alijifunza kuandika kwa kutumia miguu na sasa…

Uncategorized

Guinea kufanya uchaguzi wake wa kwanza wa urais baada ya mapinduzi Disemba 28

September 29, 2025 mjombazecoder

Guinea imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa urais Desemba 28, uchaguzi wa kwanza tangu Jenerali Mamadi Doumbouya achukue mamlaka katika mapinduzi ya mwaka 2021. Imechapishwa: 29/09/2025 – 13:52 Dakika 1 Wakati…

Uncategorized

Uchaguzi wa wabunge Gabon: Chama cha rais kinaongoza kulingana na sehemu ya matokeo

September 29, 2025 mjombazecoder

Matokeo ya uchaguzi wa wabunge wa Septemba 27, 2025, yametangazwa usiku wa Septemba 28. Chama cha Democratic Union of Builders (UDB), chama cha Rais Oligui Nguema, ndicho kinaongoza. Kimeshinda wapinzani…

HABARI ZA KIPEKEE

Kampeni za uchaguzi mkuu wa Uganda wa Januari 2026 zaanza rasmi

September 29, 2025 mjombazecoder

Kampeni za uchaguzi mkuu wa Uganda zimeanza rasmi leo Jumatatu kabla ya uchaguzi huo wa Januari 206 ambao huenda ukawa mpambano kati ya Rais aliyeko madarakani Yoweri Kaguta Museveni na…

Uncategorized

Familia za mateka wa Israel zatuma barua kwa Trump

September 29, 2025 mjombazecoder

Jamaa wa mateka wanaoshikiliwa katika Ukanda wa Gaza wametuma barua ya dharura kwa Rais wa Marekani Donald Trump kabla ya kukutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu baadaye hii…

Uncategorized

Marekani yazingatia kuipa Ukraine makombora ya masafa marefu

September 29, 2025 mjombazecoder

Marekani inazingatia ombi la Ukraine la kupata makombora ya masafa marefu aina ya Tomahawk kwa juhudi zake za kukabiliana na wavamizi wa Urusi. Haya yamesemwa jana na naibu rais JD…

HABARI ZA KIPEKEE

HAMAS: Tony Blair ‘ndugu wa shetani’ ni wa kupandishwa kizimbani, si wa kuiongoza Ghaza

September 29, 2025 mjombazecoder

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani mpango ulioripotiwa kuwa umeandaliwa na Marekani wa kumetua waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair awe liwali wa Ukanda wa…

HABARI ZA KIPEKEE

Yemen yafanya shambulio la aina yake la kombora la ‘Hypersonic’ Tel Aviv, lawatimua wazayuni

September 29, 2025 mjombazecoder

Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Yemen Brigedia Jenerali Yahya Saree amesema, jeshi la nchi hiyo limefanya operesheni maalumu ya shambulizi kwa kutumia kombora la 'hypersonic' aina ya Palestina 2…

HABARI ZA KIPEKEE

Yemen yafanya shambulio la aina yake la kombora la ‘Hypersonic’ na droni Tel Aviv, lawatimua wazayuni

September 29, 2025 mjombazecoder

Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Yemen Brigedia Jenerali Yahya Saree amesema, jeshi la nchi hiyo limefanya operesheni maalumu ya shambulizi kwa kutumia kombora la 'hypersonic' aina ya Palestina 2…

HABARI ZA KIPEKEE

Waziri wa zamani wa Kilimo wa China ahukumiwa kifo kwa ufisadi wa kupokea rushwa

September 29, 2025 mjombazecoder

Mahakama nchini China imemhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa waziri wa kilimo wa nchi hiyo baada ya kumpata na hatia ya ufisadi wa kupokea rushwa.

Uncategorized

Umoja wa Ulaya wathibitisha kurejesha vikwazo dhidi ya Iran

September 29, 2025 mjombazecoder

Umoja wa Ulaya umethibitisha leo kuwa umerejesha vikwazo dhidi ya Iran, kufuatia hatua kama hiyo iliyochukuliwa na Umoja Mataifa.

Uncategorized

Umoja wa Ulaya wapongeza matokeo ya uchaguzi nchini Moldova

September 29, 2025 mjombazecoder

Umoja wa Ulaya umepongeza matokeo ya uchaguzi wa bunge nchini Moldova na kusema umeonyesha kuwa nchi hiyo ndogo ya mashariki mwa Ulaya iko kwenye njia sahihi ya kujiunga na Umoja…

Uncategorized

Guinea yatangaza uchaguzi wa urais baada ya mapinduzi

September 29, 2025 mjombazecoder

Guinea itafanya uchaguzi wake mkuu wa kwanza wa urais tarehe 28 Desemba tangu mapinduzi ya mwaka 2021. Haya ni kwa mujibu wa agizo la rais lililosomwa kupitia televisheni ya kitaifa.

Uncategorized

EU yaiwekea vikwazo Iran kufuatia mpango wa nyuklia

September 29, 2025 mjombazecoder

Umoja wa Ulaya umethibitisha kwamba umeiwekea tena vikwazo Iran, kufuatia mpango wake wa nyuklia, siku moja baada ya Umoja wa Mataifa kurejesha vikwazo vyake kwa Jamhuri hiyo ya kiislamu kwa…

Uncategorized

EU yathibitisha vikwazo vyake dhidi ya Iran

September 29, 2025 mjombazecoder

Umoja wa Ulaya umethibitisha kwamba umeiwekea tena vikwazo Iran, kufuatia mpango wake wa nyuklia, siku moja baada ya Umoja wa Mataifa kurejesha vikwazo vyake kwa Jamhuri hiyo ya kiislamu kwa…

Uncategorized

Wanaopendelea Umoja wa Ulaya washinda uchaguzi Moldova

September 29, 2025 mjombazecoder

Umoja wa Ulaya umewapongeza wapigakura wa Moldova kwa ushindi wa chama tawala kinachopendelea Umoja huo, ambapo vyama vinavyoelemea upande wa Urusi vimeangushwa vibaya.

Uncategorized

Human Rights Watch: Ukandamizaji mkubwa watishia uchaguzi

September 29, 2025 mjombazecoder

Shirika la utetezi wa haki Human Rights Watch limetoa ripoti ikidai ukandamizaji wa kisiasa Tanzania unaweka hatarini uchaguzi wa Oktoba 29, huku wahanga wakiripoti kutekwa, kushambuliwa na kubanwa kwa vyombo…

HABARI ZA KIPEKEE

Ulimwengu wa Spoti, Sep 29

September 29, 2025 mjombazecoder

Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.

HABARI ZA KIPEKEE

China haina wasiwasi, bali inashangaa; mbona Marekani inang’ang’ania kurejea Afghanistan?

September 29, 2025 mjombazecoder

China imetangaza kwamba, njama za madola yaliyosababisha mgogoro wa Afghanistan za kujaribu kurejea nchini humo na kuweka kambi zao za kijeshi ni hatari kwa usalama wa ukanda mzima.

Uncategorized

Iran yadai yamnyonga ‘mmoja wa wapelelezi muhimu zaidi wa Israel’

September 29, 2025 mjombazecoder

Mwanamume aliyepatikana na hatia ya ujasusi na kutajwa na Iran kama “mmoja wa majasusi muhimu” wa Israel, adui mkuu wa Tehran, ameuawa alfajiri ya Jumatatu, kwa mujibu wa mahakama ya…

HABARI ZA KIPEKEE

Iran yatoa wito wa kutimuliwa Israel katika soka kutokana na mauaji yake ya kimbari Gaza

September 29, 2025 mjombazecoder

Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa wito wa kutimuliwa Israel katika soka kutokana na mauaji yake ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.

Posts pagination

1 … 944 945 946 … 992

Recent Posts

  • Baadhi ya vijana wanaotekeleza awamu ya pili ya programu ya ‘Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT)’ kwa upande wa sekta ya uvuvi wamesema…
  • Watoto wawili, Najma Yusufu na Esther wote wakiwa na umri wa chini ya miaka 10 wanapitia maumivu makubwa kutokana na changamoto …
  • Rais wa Tanzania, Dkt
  • “Baada ya dhiki, faraja” ndivyo tulivyofunzwa na tumelishuhudia hilo mara kadhaa maishani
  • Ruto Amrushia Gachagua Makombora Mazito Katika Hotuba Moto: “Inaonekana Hunijui”

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

ASTV TANZANIA

Baadhi ya vijana wanaotekeleza awamu ya pili ya programu ya ‘Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT)’ kwa upande wa sekta ya uvuvi wamesema…

June 19, 2026 mjombazecoder
ASTV TANZANIA

Watoto wawili, Najma Yusufu na Esther wote wakiwa na umri wa chini ya miaka 10 wanapitia maumivu makubwa kutokana na changamoto …

June 19, 2026 mjombazecoder
ASTV TANZANIA

Rais wa Tanzania, Dkt

June 19, 2026 mjombazecoder
ASTV TANZANIA

“Baada ya dhiki, faraja” ndivyo tulivyofunzwa na tumelishuhudia hilo mara kadhaa maishani

June 19, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS