Nchini Marekani, utawala wa Trump unazidisha sera yake ya kupinga uhamiaji. Baada ya kuishtaki Boston kwa kile kinachojulikana kama sheria “zisizoweza kukiukwa”, operesheni kuu ya ICE, mamlaka ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani, inaendelea Massachusetts.
Marekani: Trump azindua operesheni mpya ya kupambana na wahamiaji Massachusetts