Vichwa vya nguruwe vyapatikana nje ya misikiti kadhaa Paris: Polisi

Mkuu wa Mskiti Mkuu wa Paris Chems-Eddine Hafiz amelaani “vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu” kwa kufikia kiwango cha hatari, akitaka jamii ielimishwe na umoja wa kitaifa dhidi ya wenye chuki na Uislamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *