[ad_1]
Afrika inachangia chini ya asilimia 5 ya uzalishaji wa gesi chafuzi duniani lakini inalipa kile ambacho mtaalamu mmoja wa masuala ya hali ya hewa anakiita “gharama kubwa” ya mabadiliko ya hali ya hewa; mada ambayo imetawala katika Mkutano wa Pili wa Hali ya Hewa wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia.
[ad_2]
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Afrika yataka kuchukuliwa hatua madhubuti ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi