Burkina Faso yatangaza viza bila malipo kwa Waafrika woteBurkina Faso yatangaza viza bila malipo kwa Waafrika wote

[ad_1]

Burkina Faso imetangaza kuwa viza ya kuingia nchini humo kwa raia wote wa nchi za Afrika sasa itakuwa bila malipo, ikiwa ni sehemu ya hatua kadhaa zilizopitishwa na Baraza la Mawaziri katika kikao chake cha kila wiki kilichoongozwa na Rais wa Mpito, Kapteni Ibrahim Traoré.

[ad_2]

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *