#MEZAHURU: Kichaa cha Mbwa
#MEZAHURU: Kichaa cha Mbwa. Kwa sasa kuna matukio mengi ya uwepo wa mbwa wenye kichaa. Je unamtambuaje mbwa mwenye kichaa? Madhara yake ni yapi kwa binadamu akikung’ata? Kwa nini kimeitwa…
#MEZAHURU: Kichaa cha Mbwa. Kwa sasa kuna matukio mengi ya uwepo wa mbwa wenye kichaa. Je unamtambuaje mbwa mwenye kichaa? Madhara yake ni yapi kwa binadamu akikung’ata? Kwa nini kimeitwa…
Chanzo cha picha, getty 9 Septemba 2025 Kila mwaka duniani kote kuna vifo 138,000 kutokana na kuumwa na nyoka. Nchini India kila mwaka zaidi ya vifo elfu 60 hutokea kutokana…
Serikali ya Rwanda imewasilisha rasimu ya sheria mpya inayosimamia usalama wa barabarani mbele ya Bunge ili kurekebisha sheria ya sasa ya barabarani nchini, ambayo haijabadilishwa kwa takriban miongo minne. Sheria…
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na Wataalam kutoka Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) ili kujadili hali ya utekelezaji wa miradi ya Nishati inayofadhiliwa…
#HABARI: Polisi jijini Nairobi wanachunguza kisa ambapo Wakili maarufu katika Kaunti ya Nairobi Mathew Kyalo Mbobu, alipigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana Jumanne jioni. Mbobu alimiminiwa risasi na kuuawa…
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Maelezo kuhusu taarifa Author, Asha Juma Nafasi, BBC, Nairobi Akiripoti kutoka Nairobi Saa 4 zilizopita Leo tunaangazia simulizi ya Catherine Mugure anayetuelezea changamoto za maisha alizokumbana nazo kutoka kwa mwenza…
Michael Otieno bado anakumbuka uchungu wa fimbo. Si tu mikononi mwake, bali pia kwenye hisia zake za utu. Katika shule yake ya msingi magharibi mwa Kenya, fimbo ilikuwa ya kawaida…
Mahakama ya Marekani siku ya Jumanne, Septemba 9, imezuia kwa muda hatua ya kufutwa kazi Gavana wa Hifadhi ya Shirikisho (Fed) Lisa Cook, agizo lililochukuliwa na Rais Donald Trump. Imechapishwa:…
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ametoa wito wa “kutambuliwa kimataifa kwa mauaji ya halaiki yanayofanywa katika ardhi ya Kongo, Septemba 8, 2025, mjini Geneva, wakati wa mkutano…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Shambulio jipya kubwa limehusishwa na ADF/MTM mashariki mwa DRC usiku wa Jumatatu kuamkia Jumanne, Septemba 9. Mashirika ya kiraia yanaripoti kuwa watu wasiopunguwa 72 waliuawa na nyumba kumi na nne…
Nchini Niger, mashambulizi ya kundi la Islamic State katika Sahel (ISIS) dhidi ya raia katika eneo la Tillaberi yameongezeka katika miezi ya hivi karibuni. Hii ni hitimisho la ripoti iliyochapishwa…
Huwezi kusikiliza tena Play video, “CCTV captures moment of Israeli attack on Hamas leaders in Doha”, Muda 0,2300:23 Maelezo ya video, CCTV yanawa wakati Israel ilipowashambulia viongozi wa Hamas mjini…
Iran na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) wametia saini makubaliano mjini Cairo siku ya Jumanne, Septemba 9, na kufungua njia ya kuanza tena ushirikiano, ikiwa ni pamoja…
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema siku ya Jumanne uamuzi wa Israel wa kushambulia Qatar ulifanywa na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na sio na rais wa Marekani kutoka chama cha…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Real Madrid ina nia ya kumsajili beki wa Tottenham Micky van de Ven, 24, lakini Spurs watafikiria kumuuza beki huyo wa Uholanzi kwa takriban £70m. (Fichajes – kwa Kihispania,) Kiungo…
Chanzo cha picha, Reuters Hamas imedai imesema kuwa viongozi wake waliolengwa na shambulizi la anga la Israel wamenusurika , lakini watu sita wameuawa katika shambulio hilo. Wakati huo huo Rais…
Katika tukio la nadra, Rais wa Marekani Donald Trump amemkaripia waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas nchini Qatar, huku akisisitiza kuwa hakuhusika katika…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, amemtua Waziri wake wa Ulinzi Sebastien Lecornu, kuwa Waziri wake Mkuu, baada ya bunge kupiga kura ya kukosa imani na mtangulizi wake François Bayrou. Imechapishwa:…
Waendesha mashtaka katika mahakama ya Kimataifa ya ICC, siku ya Jumanne, walianza kuwasilisha ushahidi dhidi ya kiongozi wa kundi la LRA Joseph Kony asiyefahamika alipo, ambaye wapiganaji wake walisababisha mauaji…
Rais Donald Trump wa Marekani amemkemea waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika hatua ya nadra kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas, huku akisisitiza hakuwa na jukumu lolote katika…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemteua waziri wake wa ulinzi na mshirika wake wa karibu Sebastien Lecornu kama waziri mkuu mpya ili kutatua mzozo wa kisiasa unaozidi kuongezeka huku maandamano…
#SWALILAKIPIMAJOTO:Wagombea wanaotafuta baraka za wazee wa mila na matambiko kupata ushindi.Je, wana ajenda ya dhati ya maendeleo kwa wananchi?
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imezindua kampeni katika Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne ikitaka kutambuliwa kimataifa kwa “mauaji ya halaiki” dhidi ya watu wa mashariki mwa Kongo. Waziri anayeshughulikia…
Iran imekubali mfumo mpya wa ushirikiano na shirika la Umoja wa Mataifa la kudhibiti usambazaji wa silaha za nyuklia IAEA siku ya Jumanne, baada ya kusimamisha ushirikiano kufuatia vita na…
Trump aliandika katika ukurasa wake wa kijamii wa Truth Social hapo jana Jumanne kwamba Tsurkov ameachiwa na kundi la wanamgambo la Kataeb Hezbollah baada ya kuteswa kwa miezi mingi na…
Jaji wa mahakama ya juu kabisa ya Brazil Flavio Dino amepiga kura jana Jumanne kumtia hatiani rais wa zamani wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kwa jaribio la mapinduzi ili aendelee…
Jaji wa mahakama ya juu kabisa ya Brazil Flavio Dino amepiga kura jana Jumanne kumtia hatiani rais wa zamani wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kwa jaribio la mapinduzi ili aendelee…
Jaji wa mahakama ya juu kabisa ya Brazil Flavio Dino amepiga kura jana Jumanne kumtia hatiani rais wa zamani wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kwa jaribio la mapinduzi ili aendelee…
10.09.202510 Septemba 2025 Uchawi na ushirikina ni hali inayoendelea kuathiri siasa barani Afrika. Baadhi ya wanasiasa hutuhumiwa kutumia waganga wa kienyeji kutafuta nguvu za kisiasa. Wanasiasa hao huamini kwamba uchawi…
10.09.202510 Septemba 2025 Madawa ya kuua wadudu hasa yale yanayotumika kwenye kilimo yanaendelea kuwa tishio kubwa kwa uzalishaji wa asali nchini Rwanda. Ingawa lengo la madawa hayo ni kulinda mazao…
SK2 / S02S10.09.202510 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kimefunguliwa Jumanne (09.09.2025) mjini New York, Marekani / Qatar imelaani…
Veronica Natalis 10.09.202510 Septemba 2025 Hofu ya kujifungua ni hali inayowakumba wanawake wengi nchini Tanzania hasa wale wanaojifungua kwa mara ya kwanza. Wanawake hupata mchanganyiko wa wasiwasi wa kimwili, kihisia…
DIRA.BZ10.09.202510 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump amemkaripia waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa shambulizi dhidi ya maafisa wa Hamas nchini Qatar /…
Josephat Charo 10.09.202510 Septemba 2025 Rais wa Marekani Donald Trump amkapia waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu mashambulizi ya Qatar. Iran yakubali mfumo mpya wa ushirikiano na shirika la…
Erdogan azungumza kwa simu na Emir wa Qatar, akitaja shambulio la Israel dhidi ya Doha kama ujambazi Hamas imesema mashambulizi hayo yamewaua watu sita, wakiwemo mtoto wa mpatanishi wake mkuu…
#HABARI: Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inapenda kuufahamisha umma na wadau wote wa michezo nchini kuwa, mchakato wa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) uliokuwa umetangazwa na…
Viongozi wakuu wa Hamas wanusurika na shambulio la anga la Israel nchini Qatar Kundi la Hamas limesema Marekani inawajibika kwa pamoja na Israel kuhusu mashambulizi ya Doha, na imesisitiza kuwa…
Wakati mkutano wa pili wa mazingira wa Afrika ukiendelea jijini Addis Ababa Ethiopia, wadau na wataalam wa nishati mbadala wanasubiri kuona ikiwa lengo lililoafikiwa katika mkutano wa kwanza jijini Nairobi…
Tangazo hilo la Israel limetolewa wakati mlipuko mkubwa ukisikika katika mji mkuu wa Doha na kusababisha moshi mweusi kufuka angani. Kwa mujibu wa mtandao wa habari wa Al Jazeera unaofadhiliwa…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amechapisha video inayodaiwa kuonyesha miili kadhaa ya waathirika ikiwa imelala chini, pamoja na gari dogo lililoungua karibu na uwanja wa michezo. Hata hivyo, shirika la…
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amerudishwa tena mahabusu baada ya kesi yake ya uhaini kuahirishwa kwa mara nyingine. Katika kikao cha leo, Lissu alipata nafasi ya kuwasilisha maelezo yake ya…
Katika taarifa, Rais Paudel amewahimiza raia kuwa watulivu na kuonyesha umoja kwa ajili ya kupata suluhisho la amani baada ya waandamanaji kuchoma moto majengo ya bunge pamoja na ofisi ya…
Kwa mujibu wa mashahidi, mashambulizi hayo yalilenga kituo cha umeme, kiwanda cha silaha na kiwanda cha kusafisha mafuta karibu na Khartoum. Ripoti kutoka chanzo cha kijeshi imeeleza kwamba kambi ya…
Tukio hilo limeibua hofu na hasira miongoni mwa jamii, likichukuliwa kama ishara ya wazi ya chuki dhidi ya Waislamu. Mkuu wa polisi wa Paris, Laurent Nunez, ameonya kwamba kuna uwezekano…
Uamuzi huo ambao haukutarajiwa umetangazwa na ofisi ya waziri mkuu Khadga Prasad Oli saa chache baada ya maandamano makubwa ya vijana yaliyoshuhudiwa kwenye miji mbalimbali ya taifa hilo kugeuka ya…
Ripoti ya uchunguzi ulioendeshwa na shirika la habari la barani Ulaya Eurovision ukijumuisha pia utafiti wa DW imegunduwa kwamba Israel imekuwa ikitumia wakala wake wa matangazo kuendesha kampeini za makusudi…
Kituo cha televisheni cha Al-Jazeera nchini Qatar kilionesha video inayoonesha moshi mkubwa ukizuka kwenye eneo ambalo kimesema ni karibu na makao rasmi ya mabalozi wa kigeni na zilipo pia ofisi…