Merz azidisha shinikizo kwa EU kuhusu magari ya umeme
Merz alitoa wito huo Jumanne wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya magari ya IAA mjini Munich, ambapo wazalishaji wakubwa wa Ulaya wamesisitiza umuhimu wa EU kutathmini upya mpango huo unaolenga…
Merz alitoa wito huo Jumanne wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya magari ya IAA mjini Munich, ambapo wazalishaji wakubwa wa Ulaya wamesisitiza umuhimu wa EU kutathmini upya mpango huo unaolenga…
Merz alitoa wito huo Jumanne wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya magari ya IAA mjini Munich, ambapo wazalishaji wakubwa wa Ulaya wamesisitiza umuhimu wa EU kutathmini upya mpango huo unaolenga…
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ameanza upya harakati za kutafuta Waziri Mkuu mpya baada ya Francois Bayrou kujiuzulu nafasi yake kufuatia kura ya kutokuwa na Imani nae iliyopigwa jana katika…
Waendesha mashtaka katika mahakama ya ICC, wameanza kuwasilisha ushahidi kuiomba mahakama hiyo, kuthibitisha mashtaka dhidi ya Joseph Kony, kiongozi wa kundi la waasi wa Uganda wa LRA, ambaye yuko mafichoni.
Vyombo vya habari nchini Uingereza vinaripoti kuwa uamuzi wa waziri wa fedha Rachel Reeves wa kufikiria na kutangaza uwezekano wa kuweka ushuru mpya kwenye mauzo ya nyumba, kupanua maeneo ya…
Vichwa vya nguruwe vyapatikana nje ya misikiti kadhaa Paris: Polisi Mkuu wa Mskiti Mkuu wa Paris Chems-Eddine Hafiz amelaani “vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu” kwa kufikia kiwango cha hatari,…
Vibali hivyo hupatikana kati ya siku moja hadi tatu, na kuondoa mfumo wa zamani wa matumizi ya karatasi, ambao kwa kiasi kikubwa ulikuwa na mianya ya rushwa. ‘‘Tunatumia mfumo huu…
Operesheni hiyo ya ukaguzi ilihusisha vituo 288, ambapo vingine 25 vilishushiwa hadhi na 105 vikiruhusiwa kuendelea kufanya kazi katika kiwango chao cha sasa. Afisa Mtendaji Mkuu wa KMPDC, Dkt. David…
Huu ni mradi wa kitaifa unaochukuliwa kama ishara ya mshikamano kwa taifa la Ethiopia, licha ya changamoto za kisiasa na migogoro ya ndani. Bwawa lina urefu wa mita 145 na…
Agizo hilo limetolewa baada ya Israel kutoa onyo kali kwamba itapanua oparesheni zake za kijeshi kwa kile walichokiita “kimbunga kikuu” ikiwa kundi la Hamas halitawaachilia mateka wa mwisho walioko mikononi…
Waziri Mkuu wa Ufaransa François Bayrou amepoteza kura ya imani aliyoiitisha mwenyewe bungeni kufuatia mkwamo wa kisiasa kuhusu bajeti ya kubana matumizi. Bayrou alipoteza kura hiyo Jumatatu usiku kwa kishindo…
Afisa wa serikali katika eneo hilo Macaire Sivikunula amesema shambulio hilo limetokea jana usiku katika kijiji cha Ntoyo, kilichopo katika eneo la Lubero, jimbo la Kivu Kaskazini. Msimamizi wa kijeshi…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, anatarajiwa kukutana Jumanne hii mjini Cairo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), Rafael Grossi, katika…
Jeshi la Israel limesema litafanya mashambulizi makubwa zaidi kwenye eneo la Gaza City ikiwa Hamas haitawachia mateka waliosalia mikononi mwao, huku likiwataka wakaazi wote kuondoka kwenye mji huo. Msemaji wa…
Hata hivyo, uzinduzi wa mradi huo umeibua mvutano wa kidiplomasia na baadhi ya majirani wake. Kwa Ethiopia, bwawa hilo la Grand Ethiopian Renaissance Dam, GERD, ni mradi wa kitaifa na…
Mkuu wa utawala wa rais, Andriy Yermak, amesema shambulio hilo la Jumapili lilikuwa la kwanza la aina hiyo tangu vita kuanza zaidi ya miaka mitatu iliyopita, na kwamba kombora la…
Miongoni mwa wanasiasa wakubwa waliojitokeza hivi leo kuzungumzia hali inavyoendelea nchini Ufaransa ni aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo na kiongozi wa sasa wa kundi la Renaissance bungeni, Gabriel Attal,…
Hili ni tukio jingine la umwagaji damu katika eneo ambalo mashambulizi yanayohusishwa na ADF yamekuwa yakijirudia kwa miaka mingi. Mashambulio hayo yalitokea muda mfupi baada ya saa tatu usiku, ambapo…
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kukipigia kwa wingi, kura za ndio kwa nafasi ya Urais,…
Katika Mkutano wa Pili wa kujadili Mabadiliko ya tabia nchi unaoendele nchini Ethiopia, Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abiy Ahmed alitangaza kwa fahari ombi la Ethiopia kuwa mwenyeji wa COP…
Chanzo cha picha, Dennis Morris Maelezo ya picha, Dennis Morris alichukua picha hii, inayoitwa Babylon by van, wakati wa ziara ya kwanza ya Bob Marley nchini Uingereza Maelezo kuhusu taarifa…
Kulingana na Mwiru, yeyote atakayefanya vitendo vya kifisadi, ataenda kukutana na mamba kwenye ikulu yake, akiahidi kumtumbukiza yeyote atakayejihusisha na ufisadi na uhujumu uchumi ndani ya bwawa hilo. “Kama umewatesa…
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Mechi pekee ya Andre Onana msimu huu ilikuwa katika kushindwa kwa Kombe la Carabao raundi ya pili huko Grimsby 8 Septemba 2025…
Waendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, wataanza kuwasilisha ushahidi Jumanne ili kuunga mkono mashtaka yao dhidi ya kiongozi wa waasi wa Uganda Joseph Kony katika kesi ya…
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Saa 4 zilizopita Bila shaka wanahistoria wanaendelea kukusanya takwimu za namna uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025 huu utakumbukwa miaka ya mbeleni. Lakini hadi kufikia sasa, tayari kipo ambacho bila shaka…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Moja ya meli kuu za Global Sumud Flotilla (GSF), inayojulikana kama “Family Boat”, iligongwa na kile kinachoshukiwa kuwa ni droni karibu na pwani ya Tunisia, waandaaji wake walisema, huku mamlaka…
Mahakama ya Juu ya Thailand leo Jumanne imeamuru kufungwa jela mara moja kwa Waziri Mkuu wa zamani na mwanasiasa mashuhuri Thaksin Shinawatra kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela. Imechapishwa: 09/09/2025…
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Mshambuliaji wa Liverpool Mtaliano Federico Chiesa Saa 2 zilizopita Liverpool haina nia ya kumuuza Federico Chiesa licha ya kumuacha nje ya kikosi…
Ethiopia itazindua rasmi bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika siku ya Jumanne, mradi ambao utatoa nishati kwa mamilioni ya Waethiopia huku ikizidisha mpasuko kati ya mto Misri ambao…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Chanzo cha picha, AFP via Getty Images Maelezo ya picha, Katika taifa lenye mtafaruku, ujenzi wa bwawa lilikuwa jambo moja lililowaleta watu pamoja Maelezo kuhusu taarifa Author, Kalkidan Yibeltal Nafasi,…
Nchini DRC, Rais Félix Tshisekedi ameitisha mkutano baina ya taasisi kuu siku ya Jumatatu, Septemba 8, mkutano ambao wameshiriki Spika wa Bunge la taifa, Vital Kamerhe, Rais wa Baraza la…
Siku ya pili ya Mkutano wa Hali ya Hewa barani Afrika unaendelea leo Jumanne, Septemba 9, mjini Addis Ababa, Ethiopia. Ajenda ni pamoja na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya…
Ethiopia itazindua Bwawa lake la Grand Renaissance leo Jumanne, Septemba 9. Jiwe la msingi liliwekwa mwaka wa 2011. Bwawa hilo ambalo linapatikana kaskazini mashariki mwa nchi, madhumuni yake rasmi ni…
Baraza la Katiba nchini Côte d’Ivoire limechapisha orodha ya mwisho ya wagombea katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 25. Wagombea watano wameidhinishwa, Tidjane Thiam na Laurent Gbagbo wakikataliwa. Imechapishwa: 09/09/2025…
Chanzo cha picha, SANA Israel imeanzisha mashambulizi ya anga Jumatatu jioni viungani mwa miji ya Homs na Latakia, nchini Syria, rasmi za vyombo vya habari vya Syria zimesema. Uvamizi wa…
Bunge nchini Ufaransa limepiga kura kuangusha serikali ya Waziri Mkuu François Bayrou, hatua inayokuja baada ya mkwamo uliodumu kwa miezi kadhaa kuhusu bajeti yake ya kubana matumizi. Imechapishwa: 09/09/2025 –…
Raia wapatao wawili wameuliwa na wengine 16 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya droni na makombora ya Ukraine katika maeneo yanayodhibitiwa na Urusi ya Donetsk jana Jumatatu. Jumba la makazi la orofa…
Mashambulizi ya kutokea angani ya Israel yameyalenga maeneo ya katikati na magharibi mwa miji ya Syria ya Homs na Latakia Jumatatu jioni. Taarifa hiyo imeripotiwa na shirika la habari la…
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amemkarbisha rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas katika makazi yake jijini London huku serikali ya Uingereza ikipiga hatua kuelekea kulitambua dola…
Waziri Mkuu wa chama cha Labour nchini NorwayJonas Gahr Store ametangaza ushindi kufuatia uchaguzi wa bunge uliofanyika jana Jumatatu. Waziri Mkuu huyo amesema wamefanikiwa kupata ushindi baada ya chama cha…
Dutretealipangiwa afike katika mahakama ya ICC mnamo Septemba 23 kusikiliza mashitaka kuhusu kampeni yake ya miaka kadhaa dhidi ya watumiaji na walanguzi wa dawa za kulevya ambayo mashirika ya kutetea…
09.09.20259 Septemba 2025 Watengenezaji wa magari wa Ujerumani wamekuwa wakijikongoja kwa zaidi ya muongo mmoja sasa. Mwanzoni mwa mwaka 2025 hata hivyo takwimu zilionesha kuwa kampuni kubwa ya magari ya…
SK2 / S02S09.09.20259 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Ethiopia imezindua rasmi Bwawa la Grand Renaissance (GERD), mradi mkubwa zaidi wa umeme wa maji barani Afrika / Jeshi la…
DIRA.BZ09.09.20259 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Bunge la Ufaransa limeiondoa madarakani serikali ya Waziri Mkuu Francois Bayrou baada ya kukaa madarakani kwa miezi tisa na kumwacha Rais Emmanuel…
Josephat Charo 09.09.20259 Septemba 2025 Waziri mkuu wa Ufaransa Francois Bayrou kujiuzulu na serikali yake baada ya kuondolewa na bunge katika kura ya imani. Watu 2 wauwawa na wengine 16…
Waziri Mkuu wa Ufaransa Francois Bayrou aliwafumbia macho hata washirika wake kwa kuitisha kura ya imani kuutafutia ufumbuzi mzozo wa muda mrefu kuhusu bajeti yake ya kubana matumizi, ambayo ililenga…
Erdogan wa Uturuki asaini mkataba wa kulinda haki za watoto katika ulimwengu wa kidijitali Mkataba huo unaeleza vipengele 13 vinavyolenga kuhakikisha upatikanaji salama, wa haki, na wenye maana wa dijitali…