#HABARI: Serikali imewataka wananchi kutumia maji yaliyopimwa ubora kwa sababu ni safi na salama kwa afya.

Meneja wa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoa wa Shinyanga Mhandisi Julieth Payovela amewaeleza wananchi wa Kijiji cha Nyasamba wilayani Kishapu kuacha matumizi ya maji ya mvua yaliyotuama katika bwawa kwa sababu hayana ubora wa matumizi kwa binadamu.

Mhandisi Julieth amesema kisima kirefu kilichojengwa na Serikali katika eneo hilo kinatoa majisafi ya uhakika na salama kwa afya ya mtumiaji.

#Oktoba29TunatikiSamia

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *