Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amemteua Jenerali wa Jeshi Ruphin Fortunat Zafisambo kuwa Waziri Mkuu mpya / Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema ana “uhakika kabisa” kuwa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 litaendelea kama ilivyopangwa nchini Morocco.